My wife left with my daughter due to inter family conflict but I worked hard to restore the situation back in 2016 later we rejoined and now we have 3 kids 2 daughters one son. Happily married.
@@saidmohame5714 hili goma lilipigwa 2002 nilikuwa na hii Albamu ya Sikinde inaitwa Onyo ilikuwa ni hatari sana karibia nyimbo zake zote kwenye hilo Albam zilikuwa nzuri sana ikiwemo na wimbo wa Albam unaoitwa ONYO ambao uliimbwa na Hassan Rehan Bichuka. Huu wa Isaya mtunzi na mwimbaji mkuu alikuwa ni Hussein Jumbe (Mungu amrehemu)
Habar ya mjini
Aaahaaa mwanangu Isaya
Kassim Rashid Kizunga hatari sana kwa hilo solo
My wife left with my daughter due to inter family conflict but I worked hard to restore the situation back in 2016 later we rejoined and now we have 3 kids 2 daughters one son. Happily married.
Nikiskiliza hizi nyimbo namkumbuka baba ang 😢
pole sana mpendwa j wewe na mimi atuchekani maana mimi tangu nimezariwa mpaka leo simjui baba angu ni yupi kaka
Isaya cha uderere
Hapo mtoto hatumwi dukani
Rip Mzee Jumbe
Isaya mrithi wangu
Nakumbuka mbali sana baba yangu
@@saidmohame5714 hili goma lilipigwa 2002 nilikuwa na hii Albamu ya Sikinde inaitwa Onyo ilikuwa ni hatari sana karibia nyimbo zake zote kwenye hilo Albam zilikuwa nzuri sana ikiwemo na wimbo wa Albam unaoitwa ONYO ambao uliimbwa na Hassan Rehan Bichuka. Huu wa Isaya mtunzi na mwimbaji mkuu alikuwa ni Hussein Jumbe (Mungu amrehemu)
mmmmh mimi nina miaka 23 lakini naipenda kweri hii nyimbo