Ebwana fei toto ni mchezaji kama wachezaji wengine apa tz ila yeye alipoondoka jangwani walitamani asicheze tena ila yeye kama yeye fei alichokifanya anakijua na zaid aliangalia maslahi 2 sio kingine ila uyo anajua anajua sana mpira FEI TOTO piga kaz.
God licha ya kuwa ww ni Yanga na mm ni Simba ila umenifurahisha sn jinc ulivoongea,usimba na uyanga umeuweka pembeni kabisaaaaaa, safi sn broo
Kazi yote kafanya feisal ni noma
Ebwana fei toto ni mchezaji kama wachezaji wengine apa tz ila yeye alipoondoka jangwani walitamani asicheze tena ila yeye kama yeye fei alichokifanya anakijua na zaid aliangalia maslahi 2 sio kingine ila uyo anajua anajua sana mpira FEI TOTO piga kaz.
Maneno yote hayo kumbuka fei alihusik goli zote 2 na point 3
Uko sahihi God
Nyie hamfanyi kazi
Ila kwa congo ndo msizubae nendeni mkajipange vizuri. Mkisinzia mbele ya congo mtakula ndani na inje . Msisemi saaana.
Wew acha uya.ngà😊 watu tupo kwenye utaifa
Hawa sio walio lia samata na msuva sai daa tanzania
Tutaona kama sisi Congo 🇨🇩 ni level yenu
Mashabi maandaazi
Hawa yanga daa hivi hawauonui mchango wa fei goli zote jamani huu ndio uchawi
Hili jamaa lina uyanga sana jinga tu.
Huyo toto
Ni paka kama paka wengine
himid umri mkubwa na si level ya national team abaki na warabu huko kucheza nje siyo lazima uitwe
Naye kawa coach uyu jamaa
Sahihi kaka🎉🎉🎉🎉😅😅
wabong hamn shukuran t ubaguz mlimsem koch ana bgua mbov leo manen ya sif pumbavu
Yaan Tanzania Haina mwendelezo goja mechi ijayo Niko hapa nimekaa😂😂😂😂
Halafu mimi sielewi ni kwanini. Yanga.wanamchkiaa FEITOTO
Zungumzeni tim ya taifa
Tff inabidi warifanyie kazi swala la kitaifa waache hujuma
Kweli umeongea
Fei ni mtu wa aina yake
Sawa kaka tumesikia shabalala umemsema maratatu nadhani kama hussein amesikia basi awapishe wachezajiwengine
Ivi taifa start tuna msonda ila God 😂😂😂
Aliteleza alimaanisha pascal msindo
Mzizee hana lolote anakimbia ovyo
Oooo anakimbia sawa mwache sisi tunamtaka hivohivo❤❤❤❤
Hakuna haja ya kumuita himid mao timu ya taifa hana lolote juhudi kubwa kipaji hakuna
Acheni usenge timu iko poa
Ndio man of the match fei toto
Jamaa ako vzur xana point kubwa coach unafaa kuelewa mpira hesabu tu
UYANGA MTUPU
Fei toto dah
Koch hatuwezi kumsifu kwani uwezo wawatu binafisi ndio umeamuwa
Uo uwezo wawachezaji angewaweka mabeki ungeona uo uwezo kocha aeshimiwe
We n mbwa
Sasa mnaipa pongezi yanga kwani imecheza yanga
Huna lolote sifa tu
Mungu anakuona Jicho la tatu!
Ukweli tushukuru tu tumepata ushindi kupitia kwa fei toto lakini kazi hii yote ni ya wachezaji wote
God yanga 👍🏽
wewe sio kocha hatutaki kelele zako za kishabiki