Vitu Muhimu Vya Kuzingatia Ili Utimize Malengo Yako

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork 5 років тому +7

    Nice content brother. Pia hongera sana kwa kutuandikia kitabu cha "TIMIZA MALENGO YAKO" Juzi ilikua siku ya kitabu duniani, Clouds TV walinipa interview kuhusu vitabu na kitabu chako ni moja ya vitabu nilishauri watu wasome. Interview yote nimeiweka kwangu waweza itazama. Hongera sana kaka TIMIZA MALENGO ni project ya maisha.💪💪

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 Місяць тому

    Ameeeen,,Sifa na utukufu tunamrudishia Mungu wetu aliye hai.Ahsante sana kaka Joel Mungu akubariki 🙏🙏

  • @Meditation-q9h
    @Meditation-q9h 5 років тому +1

    Sujui unanishauri vp kaka Joel nanauka nakukubali sana mawazo yako jinsi unavotushauri ahsante

  • @shamimkimaro4976
    @shamimkimaro4976 5 років тому +2

    Mungu akubariki sana niliponunua kitabu chako cha timiza malengo yako hakika ulinifungua sana yani nilikuwa kama nimefungwa ufahamu ila ulinitoa sehem nimejitambua sasa na nimezinduka kiukwel kama mtu hajui afanye nini katika maisha yake or hajui anzie wap akasome hicho kitabu cha timiza malengo yako. Utakuja kutoa ushuhuda hapa .sasa nasoma kinachoitwa tabia ya kughairisha mambo yani......................!mpka nimalize vyote

  • @sheillachisika2600
    @sheillachisika2600 5 років тому +5

    Kataa kukata tamaa I like that bro thank alot.

  • @faudhiatmasoud4025
    @faudhiatmasoud4025 5 років тому

    Kaka Joel..kama kungekua na neno zaidi ya neno asante basi ningekitamkia hilo..umenifanya nmepiga hatua kubwa sana kiimani,kimatendo na kiakili pia..wakati mwingine huwa tunakosea pasipo kujua hali kadhalika kuwa sahihi pasipo kujua..kikubwa nafurahia sana uwepo wako naomba Mwenyez Mungu akuchague kati ya wale atakaowatunuku maisha yenye furaha,mafanikio na afya tele..Mungu akusimamie kaka

  • @elikadoelias8053
    @elikadoelias8053 5 років тому

    Hakika tabia ya kusubiri kuonewa huruma katika anguko lako linasababisha kupoteza muda mwingi ,unapogundua umeshindwa sehemu simama Fanya tathimini ya kwanini umeshindwa na uchukue hatua nyingine ya kuiendea Ndoto yako! Ahsante sana kaka Nanauka.

  • @salomekombo6166
    @salomekombo6166 5 років тому

    Tnx broo Joel mung azid kubariki kazi yko kwan unatuma mioyo na kutokata tamaa katika maisha ubarikiwe

  • @wazuuonlinetv9796
    @wazuuonlinetv9796 5 років тому +2

    kaka yote unayosema ni kweli, Mungu akubariki Teacher Joel

  • @princeholy2536
    @princeholy2536 4 роки тому

    Umenitoa matopeni umeniweka kwenye mwanga wa nuru. Nakukubali sana Joel

  • @mercygikaara9338
    @mercygikaara9338 5 років тому

    Thank u very much for your teachings umenitoa bali sana kwa mafunzo yako ya kila siku

  • @marcelinadaffi7685
    @marcelinadaffi7685 5 років тому

    Asante sana kwa elimu nzuri sana
    Mimi nina malengo yangu lakini tunapingana mwenzangu naomba ushauri nifanyeje

  • @rahemahrahemah2719
    @rahemahrahemah2719 5 років тому

    Kwenye maisha yangu nimekataa kabisa kukata taamaa shukraan Kaka Joel MUNGU azidi kukuongoza kaka angu🙏

  • @eliasbufula6290
    @eliasbufula6290 5 років тому +2

    Mimi nilipenda sana kuonewa huruma, pia nilipofeli sikutaka kuwa wazi kukili kwamba nimefeli, lakini pia hata majuto yalinikumba sana, Asante sana.

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 років тому +4

    Ahsante brother somo makini sana yaani hiyo kukata tamaa nimekataa kabisa katika maisha yangu so naamini cku moja nitakua juu kama Qeen💕💕🌹🌹

    • @kelvinprincepius445
      @kelvinprincepius445 5 років тому

      wewe ni Queen tayari.Belief makes things possible.

    • @thegirl1405
      @thegirl1405 5 років тому +2

      @@kelvinprincepius445 Ahsante nafurahi kusikia hivyo ndugu yangu 👏👏

  • @msleny6767
    @msleny6767 5 років тому +1

    *Akataaye kushindwa si mshindani* kubali umeshindwa ili upate nafasi mpya yakuendeleza maisha yako
    Maelezo haya yote ni ya thamani, Asante kwa yote kaka

  • @omaryshafii50
    @omaryshafii50 5 років тому

    Naam huo ndo ukweli... Hata ibada pia kuna kitu kinakwambia wacha utafanya kesho lkn unatakiwa ufanye kama unajitambua... Feel the fear and do it anyway... Ahsante sana nimeipenda hiyo

  • @medsonstarlon0805
    @medsonstarlon0805 4 роки тому

    Shukrani kaka kwa elimu ya darasa huru,, see you at the top

  • @wilsonmaduhu5610
    @wilsonmaduhu5610 5 років тому +1

    Safi sana

  • @beatusmpogoza4200
    @beatusmpogoza4200 5 років тому

    Thanks Mr Life Coach, your Real coach. Nataka kununua kitabu cha Timiza Malengo, but you don't receive ma phone. Jambo LA kwanza (kutaka kuonewa huruma) na la mwisho yalikuwa ni shida sana kwangu ila sasa nimebadilika angalau baada madarasa yako mengi. Be blessed my bro.

  • @ezekielmalleck3364
    @ezekielmalleck3364 5 років тому

    Thank bro Nanauka

  • @sulejureij3799
    @sulejureij3799 5 років тому

    Shukran sana kaka, umenijenga sana kifikra. Kwa hapa mi naona self doubt and the fear of uncertainty inanikwamisha sana sijui utanishauri vipi kaka. Pamoja from +254.

  • @biubwaahmadi40
    @biubwaahmadi40 5 років тому

    Ahsante sana kaka.
    Changamoto nnayopitia sasa hivi ni hali ya kua na majuto katika maisha yangu.

  • @joshuayusto6400
    @joshuayusto6400 5 років тому

    mungu akubarki sana kk

  • @husseinsmash2416
    @husseinsmash2416 5 років тому

    Asante kwa kutuonesha njia kaka joel. Mimi nataka unisaidie kubadili mindset yangu ambayo ndio inayonifanya niwe na inaction behavior.

  • @noeljailo7651
    @noeljailo7651 5 років тому

    Spirit voice

  • @maishatzmartin5468
    @maishatzmartin5468 5 років тому

    asante sana kk joel

  • @othmanmuhammad1650
    @othmanmuhammad1650 5 років тому

    Thanks a lot,,it's very kind of you,.!

  • @bararuzunza2317
    @bararuzunza2317 5 років тому

    Asante sana unanitia moyo

  • @faustin3151
    @faustin3151 5 років тому

    Shukran bro, ongera kabsa

  • @chumbachaneemaccnonlinetv6271
    @chumbachaneemaccnonlinetv6271 5 років тому

    May God bless you abundantly

  • @sanirukimweri9275
    @sanirukimweri9275 5 років тому +1

    You are doing a very great job bro Joel... Really inspired.

  • @Aisha-xx8qq
    @Aisha-xx8qq 5 років тому +2

    No time for regrets, thank .

  • @huruma22news69
    @huruma22news69 3 роки тому +1

    Mkuu nakuku bali sana

  • @elfinlwimbo3908
    @elfinlwimbo3908 4 роки тому +1

    nahitaji kujiamini zaidi bro

  • @egonkasiano7822
    @egonkasiano7822 5 років тому +1

    Ahsante kaka

  • @andreasamos5903
    @andreasamos5903 5 років тому

    Thanks kk, ongea tupone!

  • @salmaoman6347
    @salmaoman6347 5 років тому +4

    Yaan we kka acha last week nme angalia clip zako uka sema usi subr m2 akupe fursa ita fute mwenyewe fursa niko Muscat nina miez kama mi 3 ckua na kazi ulivyo sema huu Ndio mda wako toka katafute kaz au chochote unacho kiitajia wallah nlitoka cku ile Alhamdulillah nka pata kaz asante sana na baadae ya kupata kaz fursa ya kaz nyng zime jutokeza lakn mwanzo nlikaa2 kusubr wa2 really i respect u lov u uja waig kukosea

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому +1

      Salma Oman wow Salma hii ni habari kubwa sana kwangu,Nafurahi na naamini utafanikiwa zaidi

    • @tatuatut7542
      @tatuatut7542 5 років тому

      Nitafute in box

    • @JoseMkumbwa
      @JoseMkumbwa Місяць тому

      Naitaji.kitabu

  • @MohaaElectronics
    @MohaaElectronics 5 років тому

    Good brother Joel

  • @Kazimily_Music
    @Kazimily_Music 5 років тому

    Asante sana bro 💪

  • @mikehjackson8146
    @mikehjackson8146 5 років тому

    Awesome broo thanks 4 ur sweet words

  • @fidiuskalekezi2049
    @fidiuskalekezi2049 5 років тому +1

    My life menter nakuelewa sana be blessed

    • @alphoncemollel6983
      @alphoncemollel6983 5 років тому

      Naitwa Alphonce namshukuru Mungu kwa kuniunganisha na wewe kweli umekuwa mtu wa msaada kwangu sana kweli Mungu wa mbinguni akuinue zaidi na zaidi

  • @gracejohn5286
    @gracejohn5286 5 років тому +5

    Kutokujiamini kunanisumbua mara nyingi, naweza sema naogopeshwa na watu wakaribu yangu najikuta nafanya vitu bila kujiamini

    • @kelvinprincepius445
      @kelvinprincepius445 5 років тому +2

      Pole sana,Mimi pia nilikua hivyo,ila tangu niamue kuwa responsible na maisha yangu hali hiyo haipo tena, you can do the same and Confidence is guaranteed.

    • @kelvinihashe2400
      @kelvinihashe2400 5 років тому +2

      Umenibadalisha sana kka hasa kutoka fixed mind set kwenda kwenye growth mind set

  • @SuleimanSendoki-sz6oy
    @SuleimanSendoki-sz6oy 5 місяців тому

    Kusubiri kuhurumiwa nikikwazo sana kwangu bro

  • @ambrossetrainer2909
    @ambrossetrainer2909 5 років тому +2

    Nakukubali sana motivations zako kaka

  • @agathamichael8818
    @agathamichael8818 5 років тому

    Thank you bro

  • @joseefaidabutu6467
    @joseefaidabutu6467 5 років тому

    Mimi ni Jambo la 3 na la 4 ,asante kwa somo nzuri

  • @hillaryaugustine7141
    @hillaryaugustine7141 5 років тому

    No caption Mr Nanauka,,god bless you guy,🙏🙏

  • @drkimwaga9583
    @drkimwaga9583 5 років тому

    Inaction behaviour and failure denial : hizi ni hali ambzo zinanikwaza sana katika malengo yangu

  • @paschalsasagu5610
    @paschalsasagu5610 5 років тому +4

    Kitu pekee nachojutia na ambacho sitaki tena kuona kikitokea ni kupoteza muda. Nimewahi kupoteza sn muda. ciitaji tena kuona nachezea muda

  • @denismganyizi92
    @denismganyizi92 4 роки тому

    Somo zuli Sana mungu akubaliki mtumishi wa mungu

  • @graceshemdoe1259
    @graceshemdoe1259 5 років тому

    Barikiwa mkuu.

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 5 років тому +3

    Npo darasani! tayari kujifunza

  • @safimusa1011
    @safimusa1011 5 років тому

    kila video yako inavumbua kitu flani mungu akupe afya na marifa zaidi

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 5 років тому

    Kitimbacho sipendagi nikuonewa huruma mungu akubariki kaka

  • @patrickthobias7011
    @patrickthobias7011 5 років тому +1

    True bro

  • @francisshao3156
    @francisshao3156 5 років тому +1

    Moja kujiamini kwangu ni tatizo, pili kukumbuka zisizo na maana yeyote

  • @madarakaenock9171
    @madarakaenock9171 5 років тому

    Big up sana brother.

  • @burhansalum6214
    @burhansalum6214 5 років тому +1

    Mm ninataka kubadili tabia kwanza nahisi ni kikwazo kikubwa kinachozuia mafanikio yangu na ndoto zangu kwa ujumla.

  • @martinmaami5853
    @martinmaami5853 5 років тому

    Brother joe you really inspire me,,,thanks alot & god bless you

  • @aminajuma1435
    @aminajuma1435 5 років тому

    Shukran kaka… mimi nahitajipia kupata vitabuvyako vinavyohusu darasahizi unazotupatia, je nitavipataje? Na kwagharama ya kiasigani?

  • @mondo-carmalulu6977
    @mondo-carmalulu6977 5 років тому +1

    doubting I'm self siwez nkawa na mashaka tena kwenye maisha angu

  • @adelehridecosmas3404
    @adelehridecosmas3404 5 років тому +1

    Kaka Mimi nimetoka kwenye biashara kubwa ya ujenzi nimeambiwa nimefeli nimeachishwa nasasa nimefungua banda langu La genge nifanyeje ili nitimize ndoto zangu za kuwa mfanyabiashara mkubwa sana lakini ata ivyo najiusisha na ufugaji mdogomdogo na ulimaji mboga kipi nifanye navyote naitaji

  • @yusuphpaschal5869
    @yusuphpaschal5869 5 років тому

    Mbona sauti hamna

  • @rchrismbarikiwa
    @rchrismbarikiwa 5 років тому

    Maranyingi nashindwa kujihurumia

  • @claralyamuya2509
    @claralyamuya2509 11 місяців тому

    Doubting yourself

  • @shukurumsuya7439
    @shukurumsuya7439 5 років тому

    (Douting themselves)mashaka

  • @edwardmsanjala3253
    @edwardmsanjala3253 5 років тому

    Kawaida nini kaka mbona salaam huwa huipi nafasi
    AU sio nzuri

  • @agnesslucas4744
    @agnesslucas4744 2 роки тому

    Kaka yoteunayo semanikweri mungu akubalik

  • @esterfured8562
    @esterfured8562 5 років тому

    Mm shida yangu nashika hela lkn najikuta alifanya kile nilcholenga naomba ushauri

  • @othmanmuhammad1650
    @othmanmuhammad1650 5 років тому

    Hello brother! !, How you doing, !?hope you fine,,that's great and perfect ten video,for real it so cool, ! I appreciate a lot about that because you entire something in my mind,

  • @Meditation-q9h
    @Meditation-q9h 5 років тому

    Mm nataka niwe fundi mkubwa wa rangi za gari nanina garage niloachiwa na mze wangu lakini kila ninachofanya iliniboreshe biashara yangu kunavipinga mizi vingi sana nafikiya niiyache lakini nikiangaliya ndiondoto yangu tokanikiwa mdogo na naipenda sana kazi yakupiga gar rangi

  • @cagetv6341
    @cagetv6341 5 років тому

    Kuna biashara nataka kufungua but kila Mara najaribu ila nashindwa

  • @rashidkihombo6782
    @rashidkihombo6782 4 роки тому

    Namba 5 kwangu ni tatizo kubwa

  • @winniepinea3643
    @winniepinea3643 3 роки тому

    Tupe somoo

  • @selemanamir9405
    @selemanamir9405 4 роки тому +1

    Motives

  • @kamiliusmgimba9848
    @kamiliusmgimba9848 5 років тому

    ebwana keenye doubt ndio shida ya ngu

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 років тому

    Ujumbe umetulia sana hasa hapo pakuwazia Mambo au hasara uliyo ipata mwanzo kweli ukiwazia sana huwezi songa kwani kilakitu utakiona kibaya

  • @alafasyhasham4700
    @alafasyhasham4700 5 років тому

    Me kwakweli nina tatzo ra kutojiamin ira nashukuru nataka nianze naro

  • @tatuatut7542
    @tatuatut7542 5 років тому

    Ukosawa

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 5 років тому

    natamani kujenga nyumba lakn nikiangalia Hera niliyonayo nahisi mtaji utaisha je nifanye nn nianzishe ujenzi wa nyumba pleas nishauli Kwa hilo

  • @msengisimoni2087
    @msengisimoni2087 5 років тому

    inaction behavior ndio jambo lakwanza kwangu,huwa nashughulika nalo

  • @irinapardon4230
    @irinapardon4230 3 роки тому

    Nawezaje kupata kitabu Cha timiza malengo yako?

  • @bongo_habari
    @bongo_habari 5 років тому +1

    Kutojiamini

  • @chrispiniemmanuel6813
    @chrispiniemmanuel6813 5 років тому

    Joel mm naitaji kitabu chako ntakipaje Niko kahama

  • @fidiuskalekezi2049
    @fidiuskalekezi2049 5 років тому

    Inaction behavior, hii ntaifanyia kazi

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому

    🤝

  • @Alama_Tv_online
    @Alama_Tv_online 5 років тому

    Mbona nilikuwa na hii sasa

  • @davidtvonline6020
    @davidtvonline6020 5 років тому

    Failure denial,,,regrets,,,😓😓😓

  • @salehegae3156
    @salehegae3156 5 років тому

    regrets in life

  • @zuhuraabdillah6941
    @zuhuraabdillah6941 5 років тому

    sympathy behaviour hii ni tatizo kwa ss wanawake tunapenda sana huruma ziwe juu yetu. am still learning bro see me at the top

  • @ndaud6612
    @ndaud6612 5 років тому

    hellow brother joel,morning! naitwa chris naomba mawasiliano yako brother

  • @jorumntandu1947
    @jorumntandu1947 5 років тому

    Yote ni changamoto kwangu ko nianze na lipi ili niweze kutimiza malengo yangu

  • @brunolebabu850
    @brunolebabu850 5 років тому

    Inaction behavior

  • @mdaginyikamwamuyinga895
    @mdaginyikamwamuyinga895 3 роки тому

    Do bro km unaniona ,

  • @davidmugisha2324
    @davidmugisha2324 5 років тому

    Mimi naomba unisaidie mimi huwa nina hofu ya kuanza jambo jipya

  • @hamadyusuph8394
    @hamadyusuph8394 5 років тому

    Kujiamini naanza nalo

  • @anethhaule1286
    @anethhaule1286 5 років тому

    Duu! Mi kama yote

  • @mchopafundisofa3041
    @mchopafundisofa3041 4 роки тому

    Nifany nn ili nitimiz ndot yangu

  • @albinoentreprises2176
    @albinoentreprises2176 5 років тому

    LAZIMA TUSEME UKWELI ELIMU YA DARASANI IMEKUSAIDIA KUFANYA HII KAZI KWA UFANISI