Onyesha kiu,pata utulivu halafu soma sana neno la Mungu hasa kwa habari ya kusikia sauti ya Mungu soma maandiko yanayohusu watu walisikiaje kutoka kwa Mungu,japokua kusikia ni kwa neno,ndoto maono na pia watu. Mungu akufanikishe
Yote hayo juu ni kweli ni majibu sahihi lkn cha msingi kabisa Mungu huongea na mtu kwa ndoto na maono ya wazi kupitia roho mtakatifu hvyo jitahidi kuchochea ujazo wa roho mtakatifu ndani yako ajae na kufurika ndipo utaanza kuona na kuskia Mungu akiongea nawewe
Rudia kwa sauti na kwa Imani maneno yafuatayo; BWANA YESU, NINAAMINI YA KUWA WEWE NI MWANA WA MUNGU, NA YA KWAMBA ULIKUFA MSALABANI KWA AJILI YA DHAMBI ZANGU, UKAZIKWA, NA SIKU YA TATU MUNGU AKAKUFUFUA KUTOKA KATIKA WAFU, NA SASA U HAI MILELE. NA SASA NINAKUKIRI WEWE YESU KRISTO YA KUWA NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Kwa sala hiyo fupi, kama umetamka kwa Imani, basi umeokoka kwa Jina la Yesu. Misingi wa sala hiyo ni WARUMI 10:9. Sasa unaweza kujiunga na Kanisa lolote la watu waliookoka lililopo jirani nawe ili upate kujifunza kuabudu hapo na kuukulia Wokovu. Mungu akubariki sana
Nashukuru sana Mungu kwa neno lauzima azidishe kwa mtu wa Mungu
Amina mtumishi wa mungu
Mungu akupe maisha malefu Toka nianze kukusiliza nimekua kiloo
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na mm naomba sana nibarikiwe kama ww
Mungu nasema kweli nilihudumiwa nikiwa duniani❤❤❤
Mungu awe pamoja nawe
Amina,Neno tamu kweli,nabarikiwa kutoka Kenya
Napokea kwa ngufu ya rohoo mtakatifu na mungu azid kukutumy kadili apendavyo ili tuzid kubalikiwa
Barikiwa Sana mzee wetu sema
Mungu azidi kukufunuli mtumish ubalikiwe sana
Amen mtu wa mungu
Thanks God bless me
Ameen mungu akubaliki sana mtumishi
napokea baraka namaombi hayakwa jina la Yesu
Asanteni baba!! Ila ningelipenda nijuwe habari hizo za yusufu kupitiya mashairi , kama iwezekanavyo
Amina baba,kunajambo kubwa sana nmepokea
BWANA YESU KRISTO akuhifadhi na kukutunza baba!
Ubarikiwe sana
Ee Mungu nakushukuru kwa mafunuo haya
Mungu tunaomba rehema
Amen man of God
Amina baba Mungu akutunze na mama na familia pia
Ee Mungu nisaidie nitofautishe na wengine kwa uwezo
Ameen napokea hili neno kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth, Ubarikiwe Mwl Mwakasege kwa ujumbe huu
Ee Mungu nakuomba nifanane na wewe ,nisafanane na Mtu yeyote
Najiungamanisha kwa jina la yesu.
Mungu azidi kukutunza baba kwa kweli moyo wang wamtukuza Mungu kwaajili yenu
Asante Baba...tunakupenda🙏🙏🙏
Mungu akutalie mbele kama musa
Amen ubarikiwe baba etu
Amina mwalim 💯🙏
Ameen Baba yetu uishi milele na amani ya kristo ikutawale Hata hauzeeki baba kweli kwa Yesu raha
Be blessed baba
Amen 🙏🙏🙏 Niko tiyari kufundishwa na wewe Mungu maana Mimi sio wa kawaida
Haleluyaa! Mimi si wa kawaida.
Holy spirit take control of my everything
Hakika Mungu aendelee kukutunza na kukubariki Mwalimu wa neno la Mungu
Ameen baba
Amen powerful man of God
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amina Amina🙏
Glory to God 🙏🏾
I feel blessed.... Mungu akubariki mtumishi wa Mungu🙏
Amen mwalimu
Hakika ni maomb yetu na machoz yetu Mungu azidi kuwatumia kama alivy kusudia nami kila ninapo waona nasikia machoz ya furaha kwaajili yenu🙏
Hakika Mungu ni mwema
Kuwa karibu na mung utasikia
Amen Amen Amen 🙏 🙏 🙏
Haleluya🙏
Mungu azidi kukutunza na timu yote ya mana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ee,Mungu naomba unisaidie nisifuate mkumbo wa wengine
Amen baba 🙏
Ameen ameen,
Ameen!
Amen amen amen amen ameeeeeeeennnnnn
Ameen
Ameeen
UBARIKIWE NA MUNGU ALIE KUWA HAI MTUMISHI WA BWANAA...
Amen Amen
ubarikiwe mwalimu 0:42
Oh mm niwatofauti
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Amen❤
Hapo kwenye kusikia sauti na maelekezo ya Mungu ndio napata shida. Nasikiaje?
Muonyeshe MUNGU kuwa una kiu naye zaid na zaid hawez nyamaza
Mungu anaongea na wewe kwa 1. Neno lake 2. Mawazo yako 3. Ushauri wa watu wanaokuzunguka 4. Ndoto
Onyesha kiu,pata utulivu halafu soma sana neno la Mungu hasa kwa habari ya kusikia sauti ya Mungu soma maandiko yanayohusu watu walisikiaje kutoka kwa Mungu,japokua kusikia ni kwa neno,ndoto maono na pia watu.
Mungu akufanikishe
Fuatilia hbr za Petro alipokosa Samaki, aliambiwa ....tweka kilindini
Yote hayo juu ni kweli ni majibu sahihi lkn cha msingi kabisa Mungu huongea na mtu kwa ndoto na maono ya wazi kupitia roho mtakatifu hvyo jitahidi kuchochea ujazo wa roho mtakatifu ndani yako ajae na kufurika ndipo utaanza kuona na kuskia Mungu akiongea nawewe
Amen baba😂❤
Mimi niwatofauti... 4:18
🤲
Amen
YESU asifiwe, semina inayofuata baada ya kahama ni wapi?
❤❤❤❤❤❤❤
Je utajuaje kama upo saa ya jaribu
Duu hii imekaa mhalipake
Mm natamn sana kuokoka😂jmani
Amua Sasa maana sa ya wokovu ni Sasa.
Rudia kwa sauti na kwa Imani maneno yafuatayo;
BWANA YESU, NINAAMINI YA KUWA WEWE NI MWANA WA MUNGU, NA YA KWAMBA ULIKUFA MSALABANI KWA AJILI YA DHAMBI ZANGU, UKAZIKWA, NA SIKU YA TATU MUNGU AKAKUFUFUA KUTOKA KATIKA WAFU, NA SASA U HAI MILELE. NA SASA NINAKUKIRI WEWE YESU KRISTO YA KUWA NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU.
Kwa sala hiyo fupi, kama umetamka kwa Imani, basi umeokoka kwa Jina la Yesu. Misingi wa sala hiyo ni WARUMI 10:9. Sasa unaweza kujiunga na Kanisa lolote la watu waliookoka lililopo jirani nawe ili upate kujifunza kuabudu hapo na kuukulia Wokovu.
Mungu akubariki sana
1
Chuo kiteule
Tusifuate mkumbo
Amina
Amen Amen
Ameen
Amen baba
Amen baba😂😂❤❤❤
Amen
Amina
Amen
Ameen
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen