Kassim Mganga - Samia Suluhu (Haiwezekani) (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- #KassimMganga #MamaSamia #Haiwezekani #Lyrics #SlideDigital
(C) Slide Digital
Kassim Mganga Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/kassimm...
Written & Performed by Kassim Mganga & Madee
Follow Kassim Mganga on:
Instagram; / kassimmganga
Twitter: / kassimmgangaa
Facebook: / kassim.mganga.3
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏.... Mazabee...💥.... Tajiri...
nyimbo nzulisana🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏💯
Kama unakubali ngoma gonga like Kenya Tanzania ⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡♥️💪💙💙
Mimi i like him he has got amazing voice kassim❤
Haya binti yake Suluhu wa Hassan - SAMIA
Kassim waeza kakangu tia bidii tutakuenua tena hata ikiwa game imechej
Mafia bleed My brother zayumbaa ❤❤❤❤❤
Chaajabu ngoma kali azipati ata 1 million viewers ila Akina flani wakicheka tu wanazioata nyingi
Noma inanzia apa kikweli ogopa
Hivyo viti vya Train itakuwa Train ya TAZARA tu ndio imechoka namna hiyo.
Wasanii wote wa tz wajifunze uandishi Kassim ni No1 sijawah kuwa na mashaka nae hata angekaa miaka 200.This is talent sio hao wasanii wenu wa Msimu.Manzabay stand up
Manza Bay Stand Up 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Mganga anajuwa sana Huyu jamaa na mond huwa wanajuwa kiswahili sna kwenye mashairi Yao kiswahili Cha pwani kimenyooka
Kaka nyimbo yako nzuri ila unaiharibu.
Kassim mganga Numero uno in Tanzania 🎉
Chaweeeeee umemaliza kila kitu...ni ya motoooo
Mganga🎉
Umeuwa kasim mganga ngoma kali
umeuwaa hum kaka nimerejee kuckiliz zaid ❤
Hii ndio muziki imetulia sio kelele
Samia oyeeeeeeee
Raha sana yaani
Since i know you in 2009 hujawahi niangusha❤
Kama vile huu wimbo unanishawishi kupiga kura
❤🎉🎉🎉unajua xanaa kaka
Kassim mganga ndio star wetu 🎉🎉🎉
Hii Ngoma ingekuwa Ngoma ya mwaka tatizo lako umeiweka kisiasa,umegawa mashabiki,njaa mbaya sana
Hii remix kama haujui, alishaitoa zamani
Koşa kubwa sana. Ma hawa Hawajielewi. Waache waende na warudi huko Zanzibar. Tanganyika ni muda wa kujikomboa sasa. Asiyetujali sisi Wamasai hatundaki pia. Anayetuuzia ardhi na raslimali zetu tümünüze yeye pia. Sisi si watu nusu. Tunajitambua sana. Kwa heri Samia
Ngoma kali sana yaani hata sijui nisemaje
Umetisha mwamba
2025 sio mbal nyie subirini
Kazi nzuri
Mitano Tena mama Samia ❤
Nakukubali xana kaka na hii nyimbo naipenda xanaa
Ila apa umezingua na umeniaribia nyimbo yangu pendwa ni Bora ungetunga nyengne 😡
Nyimbo hiyo unaiharibu Broo Ile nyimbo siyo kwa remix hizo haziendani
Unateseka ukiwa wapi
Haiendi kwako mwenzio anatengezeza ela 🔥🔥
Vumilia atakama inauma
Mbona ngoma ina tambaaaa vizr ❤
Wacha wivu.... wa Bongo nyiye kila kitu chenu lazima mtie ..........