MAKAME NI SHIDA TUPU - ANAMDANGANYA MJOMBA WAKE MAU MPEMBA
Вставка
- Опубліковано 13 жов 2024
- #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500
😂😂😂😂😂,mwanifurahisha sana kwakweli haswa hicho kiswahili chakipemba👌👌😘
Asante fundi mau
Kz mzr xna mau mpemba
Mnaniliwaza sana
Imekaa vizuri.
uhakikaaa mumetisha sana
Wamwanzo KU views na kucomment naomba like zenu
Ni Mimi sio ww
Sawa umepata ww
Kazi nzuri
Mm nataka nimjue mwalimu anayefundisha hilo somo la Mazingaumbe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Etiii mekiii
Hahahahaha mpaka njiwa 😂😂
makame analijua jina lake kw kizungu anaitwa meki 😀😀😁😁
Wa kwnza kukoment
🤣 🤣 🤣 Sasa anaenda kupika shule au
Ana ndevu kila pahala hahaaa
Io class duh
Haaaaa makame weeeee🤣🤣🤣
Makame kwa kizungu meki
Kwani njiwa huwa wanatekwa 🤣🤣🤣
Eti makame tawile😅😄🤣🤣😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣makame ww duuh umemkusudia kumchukulia vitu mau mpemba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Makame tawire😂😂😂😂
Fundi naona unazid kuchafukwa(elahapo unapopakuliwa nihatar usipakuliwe fundi)
💃💃😁😁😁
Safividume
Makame anaexperiment hhhhh
Makame tawireee
Glasi ya reborato🤣🤣🤣🤣🤣
Apiga kimombo😂😂😂😂
Mau haaaaaaaa
God San
😂😂😂SASA MAKAME IVO VITU ULIKUWA WENDA UZAAA AU WAHONGA MZE BABA 😂😂😂😂
Ankula ndimu
Makame taire
Makame nuhusi ulikua huendi shule
Ulikua unaenda kupika🤣
Eti viroboto sio leboreto
Tobawee🤣🤣🤣🤣😲🤣🤔🤔🤔😲😲
....
Experiment za viroboto 😂😂😂
Experiment ya viroboto makame hahaha
Mbavu zangu mie😆😆😆
Makame utauwa m2 mwaka huu
Makame kama mtoto 😂😂
Namuona Bob Marley hapo
Hahahaha hatar
Si leboreto niviroboto!!!
Hahahaha,,, zimeingia tu!
😂😂😂
🤣🤣🤣
😅
Ewe makubwa😂
hahaaaaa
Duh
Mko vizur
Hatar lakin salama
Kake mau