#AFYAPODCAST

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 36

  • @Lordrich-m7y
    @Lordrich-m7y 5 місяців тому +2

    Hingeren sana wataalamu wetu kwa elimu nzur sana..naitwa Mr nyadoo kutoka mbeya

  • @lillianmgonja7985
    @lillianmgonja7985 8 місяців тому +9

    Asante Dr. Minja kwa kukumbusha umuhimu wa kuokoa maisha ya mgonjwa kabla ya pesa. Wagonjwa wengi wanapata shida kwenye emergencies kama stroke, heart attack and accidents. Imagine hupati huduma unless you have cash or insurance. Hapa America healthcare ni expensive Lakini huduma ya dharura inatolewa bila kujali uwezo. Imagine uko na symptoms za stroke but you can’t go to the hospital Kwa sababu huna huna mamilioni. The window of survival uta expire ukitafuta pesa.

  • @sakapallaTV
    @sakapallaTV 8 місяців тому +5

    Salamu kutoka Cooksville Maryland na Mtoni Kijichi Temeke!!. Hongera sana Dr. Minja kwa kutumia ujuzi na elimu yako kusaidia jamii yetu ya Tanzania. Umedhirisha ule usemi...wa Mtu kwao.

  • @ednalugano2906
    @ednalugano2906 8 місяців тому +3

    Prof. Janabi, hongera sana na Mungu awabariki sana kwa uamuzi huu wa kutuelimisha kwa namna hii. Taarifa ni muhimu sana kuokoa maisha ya binadamu.

  • @odettevianney3026
    @odettevianney3026 8 місяців тому

    Asante sana Prof. Minja kweli mtu kwao! Tunajivuna watanzania kwa ajili yako. Wengi wataokoa maisha yao kupitia utaalam wako. Asante pia Prof. Janabi mafundisho yako yametusaidia sana sana

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 9 місяців тому +2

    Prof Minja bingwa kabisa mhitimu wa Harvard University be blessed prof.

  • @simonrusigwa3024
    @simonrusigwa3024 8 місяців тому +1

    Hongera serikali kwa hili la hizi mashine. Sasa tukaze mwendo. Ml 900 ni V8 mbili. Walau mmefanya. Tuongeze mwendo sasa tufike walau hospital zote za kanda

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 8 місяців тому

    Hongera sana Prof Janabi

  • @fainesKigahe
    @fainesKigahe 8 місяців тому

    Mungu awabariki sana aisee Kwa Kazi nzuri wanazofanya .

  • @isaacgara3528
    @isaacgara3528 9 місяців тому +8

    Maprofessa wamoto sana jamani
    MECHANICAL THROMBECTOMY

  • @renatusmathias1162
    @renatusmathias1162 9 місяців тому +1

    Hongera GoT Kwa kuendelea kuboresha huduma

  • @steynjohnr5930
    @steynjohnr5930 9 місяців тому +9

    Huduma za rufaa zirekebishwe, wagonjwa wenye dalili za kiharusi wapelekwe moja kwa moja hospitali inayoweza kutoa huduma stahiki. Mfano mgonjwa wa chanika atapelekwa kwanza Amana then atapewa rufaa nyingine kwenda MNH, hii system inachelewesha sana huduma. Na sio tu kwa kiharusi hata kwa heart attacks pia

  • @johnbahati478
    @johnbahati478 8 місяців тому

    Kipindi bora sana hiki, nataman hii elimu itolewe kwenye Tv zote Tz

  • @mwarikimwariki2653
    @mwarikimwariki2653 9 місяців тому

    Asante,kwa kutukumbusha

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 9 місяців тому +3

    THIS GUYS KWELI ANASAIDUA TAIFA ASANTE SANA PROFFESA

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 8 місяців тому

    sio kwa kitaaramu sema kwa rugha ya kingereza jueni sio.wote wanaozungumza ki gereza ni wataaramu wachina hawajui kingereza lakini ni wataaramu na warusi nao hacheniĺ kasumba za za.magharibi hizo ziripendwa poleni sana

  • @kesphaanyitike7751
    @kesphaanyitike7751 9 місяців тому

    🙏

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 8 місяців тому +1

    Ndo wanatakiwa waje wapige lecture kwenye chuo cha muhimbili

  • @DamasNyoka
    @DamasNyoka 6 місяців тому +1

    Professor kisukari kinatibika?

    • @ahz6907
      @ahz6907 5 місяців тому

      Ndio kwa kubadili mfumo wa ulaji....punguza ulaji wa wanga hususan usiku...
      Kula mbogamboga,matunda kama matango, na protini

  • @DamasNyoka
    @DamasNyoka 6 місяців тому

    Professor kisukari kunatibuka?

  • @nyambegamatoro6817
    @nyambegamatoro6817 8 місяців тому

    Kwa manufaa kwetu wasikilizaji, vipi huduma hii , ipo Hadi hosp za kanda au ni hapo hosp ya Taifa tu?

  • @rogathesarwatt
    @rogathesarwatt 8 місяців тому

    Msaidize mtoto mmoja anakuja Kila mara hapo na baba yake Toka 2017hajafanyiwa upasuaji please

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 8 місяців тому

    janabi ni mzalendo wa kutolea mfano !!
    watanzania wengine wamuige,kuwahudumia watanzania!

  • @sikitujuma4866
    @sikitujuma4866 8 місяців тому +2

    Sasa professor hali ya hapo kwetu mapokezi tu mgonjwa anakaka masaa kazaa hajapokeliwa

  • @georgekiruwa
    @georgekiruwa 6 місяців тому

    Bado tatizo hapa ni rufaa Zinatakiwa hapo Jakaya, naomba profesa atoe ufafanuzi kwa kua ukitakiwa kutafuta rufaa huwezi kuwahi masaa yanayotakiwa

  • @Mosses8
    @Mosses8 8 місяців тому

    Sasa mda wakati mnasema milion3

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 8 місяців тому

    Janab apewe miak 20 mingine itabadilika hyo hospital ya Taifa

    • @vickytorry100
      @vickytorry100 8 місяців тому

      Miaka ya kuongea na Tv badala ya kutibu wagonjwa? Daktaeri kazi yake ni vitendo siyo maneno

    • @rtp9010
      @rtp9010 8 місяців тому

      Huko ​ni kukariri ndugu yangu. Sijui kwa nini mnakuwa na fikra finyu sana kuhusu yu mzee wa watu Prof. JANABI. Elewa tu kuwa AFUA za afya zipo za aina kuu mbili, KINGA na TIBA. Prof. JANABI ametibu watu wengi sana na bado huwa anatibu kwa mikono yake. Ila ongezeko la wagonjwa linampa kuchukua hatua kwenye upande wa KINGA. Muda mfupi aliotumia kwenye hiki kipindi ameshasaidia watu wengi sana. So badilisha mtazamo ndugu.

    • @abuuramadhan8093
      @abuuramadhan8093 8 місяців тому

      Mm nimempongeza Prof janab hujanielewa tu nimesema aongezewe muda kua mkurugenz hapo muhimbili mana kaleta mapinduzi makubwa san muhimbili kama hospital ya Taifa

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 8 місяців тому

      ​@@vickytorry100
      Kazi ya Daktari ni Tiba kwa wagonjwa wake
      Acha Makasiriko ndugu au ndio wale wale wa Kanda ile

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 3 місяці тому

      ​@vickytorry100 wewe unaongea ujinga, hivi huoni wanachokiongea hapo ni muhimu, kwa hiyo unachotaka Dr awe anatibu masaa 24 asilale na wala asifanye kazi zingine.