Nipenda sana hii kushirikiana watu mawazo ili wote mfaidike nitwatafuta kinywaji kunywa nvhi ni kizuri kiweza kupatikana hapo tanzania mnaweza kuwa no one nikija nitakuja hicho kinywaji aunaeeza kutuma mjaribu ii muweza kufikiria nina imani msaada watu kufanya pamoja ndio maana mafanikio makubwa wengine wachoyo kutumia watu good det mind Mungu hawabariki sana sana tiumuhunge mkono watanzania wote
Watanzania wengi tunaogopa kufanya kitu kwa kuogopa kuanguka na ndio maana watu wengi wakitaka kufanya biashara wanaangalia mtu alofanikiwa kufanya biashara fulani kisha na yeye ndio ataanza kufanya hiyo . Mtu anaogopa kutumia kichwa chake kwa kuwanza kuanzisha kitu fulani anajiuliza huenda nikaanguka yani icho kitu kinatulemaza sana .
Mungu hana mubariki sana mulokozi na mati kwa sababu moyo safi kuwafikilia wengine sana na kuwasaidia wengi na juudi zaidi
Mungu akufanye kuwa tajiri zaid ya hapo MULOKOZI much respect brother 🙏
Have Learned alot from him at the age of 45 l'll do better from now,thank you soo much Mulokozi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mb hazijaenda bure aaiissee,Big up sana Mr Mulokozi
Mlokozi mm mama kutoka Mtwara,nafuatia sana mazungumzo yako nakuelewa sana mm Mungu yuko mikononii mwako,akupe maisha marefu,
Kinywaji mpaka huku mtwara kilo?
Tunashukuru kwa Elimu nzuri ya ujasiriamali
Mungu azidi kukubariki sana mkurugezi wetu
Nafurahi sana nikiona mtu anatumia mkono wa shoto.. Mulokozi ni Mashoto mwenzangu.
Nipenda sana hii kushirikiana watu mawazo ili wote mfaidike nitwatafuta kinywaji kunywa nvhi ni kizuri kiweza kupatikana hapo tanzania mnaweza kuwa no one nikija nitakuja hicho kinywaji aunaeeza kutuma mjaribu ii muweza kufikiria nina imani msaada watu kufanya pamoja ndio maana mafanikio makubwa wengine wachoyo kutumia watu good det mind Mungu hawabariki sana sana tiumuhunge mkono watanzania wote
Hongera sana Ubarikiwe sana
Mbarikiwe Sana niokota pointi kadhaa
Hongera kaka kwa kutuelimisha kibiashara
Uyu sawaa
Asante boss
Pigania uko vizuri MTU Wangu
David uko vzr, wish ufungue hospitali uwatibu watu afya zao kama ulivyowatibu kwenye vinywaji, Mungu akulinde ktk biashara yako
Daah ila ww jamaa umejaa majungu balaa 😂😂😂😂
Mulokozi ni genius
Hongera sana brother
Nimependa hiyo 🎉
Dada ana utulivuuu wakuulizwaa maswalii atafika mbaliii
Mbali wapi?
Namuelewa sana uyu mwamba
Naam safi
Zi is the best
Watanzania wengi tunaogopa kufanya kitu kwa kuogopa kuanguka na ndio maana watu wengi wakitaka kufanya biashara wanaangalia mtu alofanikiwa kufanya biashara fulani kisha na yeye ndio ataanza kufanya hiyo .
Mtu anaogopa kutumia kichwa chake kwa kuwanza kuanzisha kitu fulani anajiuliza huenda nikaanguka yani icho kitu kinatulemaza sana .
Tatizo kila mtu anakimbilia kwenye kufungua maduka ya nguo sijui viatu nawakati kuna fursa za ufugaji,kilimo mambo kibao
Huyu mtangazaji ni kichwa sana, ametulia na anauliza maswali yenye tija sana.
Kabisaaa mtangzajiii yupo vzurii mawswaliii
Hapo ndo ataonekana zaidi, kesho au keshokutwa atakuwa sehemu nzuri zaidi.
Kweli Mati ni pana
💪💪💪
Nimejifunza vingi kutoka kwa huyo braza
Mambo Ni moto
nakubari san
Hakika ni kweli
Niko na milon 50 sijui nifanye biashara gani
Asante
❤
Nikweli mkurugenzi
Mkurugenzi anatumia jiana gani kwenye mitandao ya kijamii
David mulokozi
Mimi Nina mipango lkn cna mtaji nimejiajiri nahitaji msaada wako
🙏🙏👍👍
Madini ya kutosha
Mati ni Pana
Point tupu