#1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @dodwiedwin3944
    @dodwiedwin3944 2 роки тому +11

    Mm ni mlokole lkn huyu mchungaji nampenda sana. Anafundisha vzr kabisa.

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 Рік тому +2

    Jameni Pastor Mbaga..
    Mafundisho yako hua unaieka vizuri sana hadi mtu anaelewa
    Asante kwa kunikuza kila mara kiimani....Barikiwa sana

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 2 роки тому +2

    Kweli hatuokolewi kwa kutii amri.amen tukiokolewa tunatii.aamen

  • @VioletOmandi-v1b
    @VioletOmandi-v1b 4 місяці тому

    May God bless you David for making me to grow spiritual

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 2 роки тому +2

    Pastor unaniconvice coz you're so really I wish to worship in your church

  • @zirhumanafiston6719
    @zirhumanafiston6719 2 роки тому +1

    Amina
    Mungu akubariki sana pr David Mmbaga na Watumishe wote Muhubiri tv

  • @estherkusaga9181
    @estherkusaga9181 2 роки тому +2

    Namtukuza Mungu anavokupa mafunuo ya kutupa mifaño inayoêndana namaisha yetu ya sasa nakuelewa Sana.

  • @shukranisiraji2566
    @shukranisiraji2566 2 роки тому +1

    Kwa kweli Mungu akubariki sana.

  • @marytamara1323
    @marytamara1323 2 роки тому

    Barikiwa sna mtumishi na mungu azidi kukutumia kma chombo na azidi kukufinyanga

  • @estherkusaga9181
    @estherkusaga9181 2 роки тому +1

    Mlefi namuona Mungu katika mafundisho haya,ila baba mchungaji hofu yangu ni kwamba wakristo wengi hatüna elimu hii,tunafikiri tunaokolewa kwa kushika amri bila Yesu..mmmh Mungu akupe mafunuo zaidi maana unatusaidiå ili tuokolewe.

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 2 роки тому

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu,Dorcah Bonareri Kenyan from Saudi Arabia you are always blessing unto me unainua imani yangu kila ujao jameni, May God’s grace be upon you

  • @ralgmtv5438
    @ralgmtv5438 2 роки тому +1

    Amen, be blessed pastor

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 2 роки тому

    Aminaa barikiwa sana pastor Mmbaga

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 2 роки тому

    Glory be to GOD ALMIGHTY for this awesome teaching. GOD bless you pastor for the good work done.

  • @jacquesmoninga9245
    @jacquesmoninga9245 2 роки тому

    Asante sana Mchungaji wangu Mungu awe nasi daima.

  • @happinessshilie4019
    @happinessshilie4019 2 роки тому

    Asante sana mtumishi kwa maarifa hayo mungu akubariki

  • @zenalzen8997
    @zenalzen8997 2 роки тому

    Amen be blessed soo much pastor because since i started following you, you have make me near to God be blessed soo much pastor

  • @hildapaul5422
    @hildapaul5422 2 роки тому

    Amen

  • @dedanimakaka7645
    @dedanimakaka7645 2 роки тому

    Nimebarikiwa sana na hili somo mtu wa Mngu..

  • @emmamedia8155
    @emmamedia8155 2 роки тому

    Kaka mm nakuelewa Sana mungu akubariki sana

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 2 роки тому

    Amina mchungaji

  • @itrosmgiliwa8830
    @itrosmgiliwa8830 2 роки тому +1

    Amina

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 2 роки тому

    Ni kweli ata mmi hapa naunga uyo mtoto mkono yani saitan akachomwe yeye mwenyewe, kuliko kusabishia watu wengine moto 🤣🤣🤣🤣 ila nimebarikiwa sana na ninaendelea kujifunza mengi kupitia mahubiri TV is the best 👌 my choice barikiwe sana mchungaji 🙏🙏🙏

  • @alicesidi9601
    @alicesidi9601 2 роки тому

    Amen 🙏

  • @josephnjiro3712
    @josephnjiro3712 2 роки тому

    Aminaaa

  • @paulinekisorio9098
    @paulinekisorio9098 2 роки тому +2

    Kwa nini hatuna Malika weusi 🤔🤔🤔🤔🤔🤔 kama Hanna mweuzi I don't want to go to that heaven 🤔🤔
    We have been lied to let the truth be told

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 2 роки тому

    GOD bless you pastor

  • @thepresenttruthlastdayeven3605

    😂😂😂 mchungaji ni psychologist nmekukibali "kwamba back ground yetu ni malaika watatu"

  • @samsonrobert3944
    @samsonrobert3944 2 роки тому

    AMINA

  • @zacharianyabayo7657
    @zacharianyabayo7657 2 роки тому +1

    Mchungaji nauliza swali hilo tu Daniel kauliza. Ikiwa ile sehemu ya sadaka yangu nimeamua kuwapa wasiojiweza, bado inahesabiwa ikiwa sadaka?

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 роки тому +2

      Kazi ya zaka hii hapa
      Hesabu 18:24 Kwa kuwa zaka ya wana wa Israeli, waisongezayo kuwa sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA, nimewapa Walawi kuwa urithi wao; kwa hiyo nimewaambia, ya kwamba, katika wana wa Israeli hawatakuwa na urithi uwao wote.
      Msaada kwa maskini huu hapa
      Kumbukumbu la Torati 15:11 Kwa maana maskini hawatakoma katika nchi milele; ndipo ninakuamuru na kukuambia, Mfumbulie kwa kweli mkono wako nduguyo, mhitaji wako, maskini wako, katika nchi yako.
      ZAKA UTOE NA MASKINI PIA UWASAIDIE

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 27 днів тому

    Ujumbe wa mwisho utaupata kwa Mjumbe wa agano pekee, wengine wote ni waongo na watendakazi wa shetani agalia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo.

    • @IsackSamson-yo5wg
      @IsackSamson-yo5wg 13 днів тому

      Mjumbe wa agano ndy mtu gan huyo

    • @MjumbeAgano
      @MjumbeAgano 11 днів тому

      @@IsackSamson-yo5wg Malaki 3 1-2. 4:1-6. Isaya 42:-9. Mathayo 17:11. Marko 9:12. Ufunuo wa Yohana 19:11-16. Daniel 2:44-45. Huyo ndiye mwalimu pekee wa mataifa yote, mfano kama Musa alivyopewa agano la mwilini. Huyu amepewa la rohoni. Kub Tor 18-19. Katika siku ya Bwana kuwa katika roho, ufunuo wa Yohana 1:10-20.

  • @eunicenyandiko1389
    @eunicenyandiko1389 2 роки тому

    Amen

  • @merysilvesta6969
    @merysilvesta6969 2 роки тому

    Amen