Mzee Yusuph: Zamani nilikuwa napata Milioni 2 kwa Wiki, Siku Hizi Mimi Najiunga Bando la Buku

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
    100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

КОМЕНТАРІ • 203

  • @bazilassey1227
    @bazilassey1227 4 роки тому +4

    Mzee kilichokusibu mpaka kurudi kwenye mziki kitu gani jamani yaa allah tupe mwisho mwema na vizazi vyetu

    • @jonhlocha4371
      @jonhlocha4371 4 роки тому

      Baba c hela.we mkubwa baba ela ndo m pango mzima

  • @khalimahonelo9667
    @khalimahonelo9667 4 роки тому +13

    Sijui anaikumbuka hii interview 😭

  • @assiamick9597
    @assiamick9597 7 років тому +18

    Ma shaa Allah Tabarakallah

  • @benedictsanga2560
    @benedictsanga2560 7 років тому +61

    Mzee Yusuph, Mwenyezi Mungu ndie Muumba naamini atakujaria kila lililojema kadiri ya kuamini kwako, Ishike Imani yako Utabarikiwa tu, Mie ni Mkristo ila namna ulivyosimama umenifurasha sana.

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 4 роки тому +1

    Kama mzee yusuf kawacha kila kitu na kuamua kufwata dini basi hata sisi wafwasi wa mziki inapaswa tuamke na turudi kwa mwenyezi Mungu tufanye Toba ya kisawa sawa molla atufanyie wepesi in sha Allah

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 7 років тому +2

    Mshukuru Allah kwa kukuwezesha kutubu, wenzio wanafikia kufa bado wanaimba wengine wanakufa wakiwa njiani kuendea ubaya, Allah akuongoze na azidi kukupa nguvu ya kufuata maamrisho yake na sisi pia tufe hali kuwa Allah ameturidhia

  • @sadamhussein6195
    @sadamhussein6195 3 роки тому

    Mzee yusuph ni mnafki uyoo ameingia kweny dini allah vizur lakn karudi tena kwa shetani

  • @hassanboi5906
    @hassanboi5906 7 років тому +20

    maashaallah mzeee yussuf
    mungu atupe wepesi waislamu wote duniani kote

  • @khairiyyaonline3616
    @khairiyyaonline3616 4 роки тому +2

    Gonga like nying sana hapa kwa mzee wetu Yusuphu Allah ampe kulla la kheyr

  • @AmCool_
    @AmCool_ 7 років тому +9

    Hawa jamaa wanahisi amefilisika au? naona maswali mengi yanahusu kipato. Mbele ya Mungu hakuna kisicho wezekana hasa ukiwa na imani thabit.
    kaa chini muombe Mungu, tegemea kwake utaona miujiza. Mzee Yussuf keep it up man, to Allah we trust. big up.

    • @mwanamisisaid8305
      @mwanamisisaid8305 5 років тому

      Imani ndio utakayo kwenda nayo kwa alha

    • @maulidisalumu6057
      @maulidisalumu6057 4 роки тому

      Kama kaka anarudi kwenye gm mungu atsmripa kutokana nakosa lake mungu hampunguzi MTU au hamzidishii

  • @naimarama5741
    @naimarama5741 7 років тому +9

    mashaallah 😍😍😍Allah akufanyie wepes mzee yusuphu

  • @queencashmadam8340
    @queencashmadam8340 7 років тому +8

    Mashaallh

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 4 роки тому

    Mwenye Ezi Mungu ata kusahilishia na ndie mpaji wa riziki so wewe weka tuu Imani yako tuu juu zaidi na zaidi na juhudi zako na utafanikiwa saana utafika utakapo kwa uwezo wake tuu Allaah

  • @saheelameir4313
    @saheelameir4313 7 років тому +18

    dah Allah akufishe ww na ss katika imani thabit ya uislam

  • @am12ghh37
    @am12ghh37 4 роки тому

    UshakuWa jizeee babuu kwa utubiyeeee kwa mungu

  • @bentahpreetie4497
    @bentahpreetie4497 2 роки тому

    That's because you gave God a cold shoulder 🤔go back to your old good ways...i love your songs and yah voice..plus those toxic stoppers💪💪

  • @abdulramadhan9928
    @abdulramadhan9928 7 років тому +6

    jazakallah kheira

    • @jumasalum1549
      @jumasalum1549 7 років тому +5

      mashallah mungu azid kutuongoza katka njia ilionyooka

  • @zulufkhan1949
    @zulufkhan1949 4 роки тому +1

    Kuwa nà subra mzee wangu

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 7 років тому +4

    Usikate tamaa Mzee Yussuf Allah yupo pamoja nasisi

  • @faizaomary2036
    @faizaomary2036 4 роки тому +2

    Mungu akuongoze akujaalie akupe rizki za halali InshAllah

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 роки тому

    Subhanallah, Diin anaijua
    lakini hatujui ya imekuaje huyu mzee Yusuf kurudi mjini kutifuka na wanawake, Allah yahdii man yashaa

  • @aguerowakujidai5275
    @aguerowakujidai5275 4 роки тому

    From Congo Kinshasa watching now 25/8/2020

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 6 років тому +2

    Ishaallah Allah atakufanyia wepes katika maisha yako mapya ya kumtumikia

  • @kibibiseif7930
    @kibibiseif7930 7 років тому +32

    maswali mengine wala ilikuwa usiyajibu kuhusu kipato chako kinawahusu nn.... Allah akuongoze kwenye njia njema

    • @drmsouthsmalltrader1138
      @drmsouthsmalltrader1138 7 років тому +2

      ALLAH AKUONGOZE NA AKUFISHE UKIWA KTK NJIA YA SAWA SAWA
      BAKI KTK ISTIMA
      SHIKAMANA NA SUNN NA ULINGANIE NDG ZAKO

  • @islammwatoa2990
    @islammwatoa2990 7 років тому +8

    mungu atakupa zaidi ya mwanzo inshaalah

  • @faadhilismaili3820
    @faadhilismaili3820 4 роки тому +1

    Ma sha Allah

  • @caabiali3606
    @caabiali3606 7 років тому +8

    mashaAllah mzee yusufu

  • @ramadhanially7060
    @ramadhanially7060 7 років тому +13

    mungu ampe wepes ktk suala la dini.

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 7 років тому +7

    mashallah brother

  • @ashuu7youz326
    @ashuu7youz326 6 років тому +2

    may Allah help you Mzee Yusuf and accept your toubah

    • @saidmohd1939
      @saidmohd1939 4 роки тому

      Ulivyo vipata kipitia mziki allah havitaki nandomana vinakutoka hadi vikimaliza ndo atakujaliavyengine

  • @iliasaliogopen6505
    @iliasaliogopen6505 4 роки тому +1

    Mzee Yusuf ukirudi ktk,mziki unamtafuta ugomvi mungu nahutaiweza vita vyake.

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 роки тому

    Kuna wa2 wanamcngixia Mungu! Mungu kaniambia Mungu kaniambia!

  • @hassansalum8496
    @hassansalum8496 7 років тому +4

    Tena wallah ra'adhim ungekufa takbiruuuu Allah Akbarrrrrrrrrrrrrr

  • @rehemaahmed1984
    @rehemaahmed1984 7 років тому +10

    mashallah

  • @enockseme2246
    @enockseme2246 6 років тому +2

    Waliokataa wito wa Muumba wameishia pabaya! Ww umechagua njia sahihi! Mungu akujalie

  • @swalainaletaamaninautulivu2239
    @swalainaletaamaninautulivu2239 7 років тому +14

    masha Allha mungu ndiy mpangaji wa kilakitu duniya aina faida andaa amalizako za ahela

  • @feruzihassan8387
    @feruzihassan8387 7 років тому +1

    maashAllah, Allah Akbar

  • @alwialhajialwi0012
    @alwialhajialwi0012 4 роки тому

    Usikate Tamaa na Rehma Ya Allah.
    Raha Ya maisha Ni mit-han
    Na Ya mit-han Ni Subra.
    Innallah maaswabiriin.

  • @saidi.s.lihondo3767
    @saidi.s.lihondo3767 4 роки тому

    mashaallah nimekuelewa vzr sana mzee yusufu.

  • @najmamuhsin5785
    @najmamuhsin5785 6 років тому

    Mashaallah mashaallah allah akuongezee imani zaidi akuzidishie ujasili

  • @zainabumatumbula5721
    @zainabumatumbula5721 4 роки тому +1

    Diamond uji funze kupitia mzee yusufu

  • @kingdeetv2712
    @kingdeetv2712 4 роки тому

    Hivi hii unaikumbuka????? Site tuna makosa lakini yote kwa yote yanazidia uzito lakin we shekh 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @mbarakapandu101
    @mbarakapandu101 7 років тому +11

    mungu akujalie kila lakheri usirudi tena wala habar za tarabu Ila apo patamu mmekatisha

  • @omand1761
    @omand1761 7 років тому +28

    Takbiiiiiiiir-Allahu akbaaaaaaarx3

    • @liiysaid4651
      @liiysaid4651 7 років тому

      m/mungu akujalie na moyo huwo huwo

    • @aminaabdallah5341
      @aminaabdallah5341 5 років тому

      Oman D mashallah Allah azidi kutuongoza nshallh

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 4 роки тому

    Allah akufanyie wepesi mzee Allahamdullillah

  • @luganomwankyoko2653
    @luganomwankyoko2653 7 років тому +6

    Duuuu safi

  • @nanaaalmazroynanaaalmazroy2785
    @nanaaalmazroynanaaalmazroy2785 7 років тому +2

    Allah akibar kaka mtoaji ni allah usimbe kwa sababu ukitaman birian unatoa mfukon bdo allah yupo na wewe utapata tu kwakila unachotaka bora kidogo anachokiriziya allah kuliko kikubwa anachokichukiya allah

  • @masoudomar5176
    @masoudomar5176 7 років тому +15

    khery inshaallah allah atuongozee wote kwa pamoja

    • @abdallahmandari6202
      @abdallahmandari6202 7 років тому +2

      inshaallah mwenyezi mungu atuongoze ktk njia iliyonyooka.

  • @alimranyusuf.6724
    @alimranyusuf.6724 4 роки тому

    Mash Allah

  • @clevazonlinetv4529
    @clevazonlinetv4529 7 років тому +4

    Alhmdhulillah

  • @hidayashaaban2625
    @hidayashaaban2625 7 років тому +1

    Bismillah Mashaa Allah hongera sana Alhaj mzee Yusuph Allah akuzidishie moyo huyo wa subra na atuongoze sote ktk njia iliyonyooka

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 7 років тому +2

    mashaallah

  • @mesalimbindo2809
    @mesalimbindo2809 5 років тому +1

    MashaAllah

  • @saheelameir4313
    @saheelameir4313 7 років тому +8

    Dah amakweli hujafa hujaumbika na ni kweli kua Allah ndie anaeongoa

  • @mohamedsemboga7256
    @mohamedsemboga7256 4 роки тому

    Mmh good point

  • @maimunakhamis6938
    @maimunakhamis6938 7 років тому +1

    maashaallah
    mzee yusuph Allah akuongoze
    lkn nakukumbusha tu jua kwamba ww ni mchunga na kila mtu ataulizwa kwa anavyo vichunga
    pili Allah anasema enyi mloamin jilinden nafsi zenu na watu wenu kutokana na moto ambao kuni zake ni watu na mawe(at-tahrim 6)
    vile vile Allah anasema tena
    ( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّ مِنْ أَزْوَاجِكُمْ وَأَوْلَادِكُمْ عَدُوًّا لَّكُمْ فَاحْذَرُوهُمْ ۚ وَإِن تَعْفُوا وَتَصْفَحُوا وَتَغْفِرُوا فَإِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ )
    التغابن (14) At-Taghaabun
    Enyi mlio amini! Hakika miongoni mwa wake zenu na watoto wenu wamo maadui zenu. Basi tahadharini nao. Na mkisamehe, na mkapuuza, na mkaghufiria basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira, Mwenye kurehemu.
    kwahiyo mzee yusuph kama umerud kwa Allah tengeneza wake na watoto wako kwa sbbu ww ndo masulia haiwezekan ww uwache mzik kisha mkeo awe bado anatikisa kiuno kwenye majukwaa huwon aibu ww au huna wivu?
    rasullah anasema asiyekuwa na wivu haingii pepon
    nanyi wanawake wenzangu kina dida na wengineo mchen Allah hakika maut yanakuja ghafra na mjue mtaulizwa siku ya qiyama kwa mnayo yatenda mchen Allah kwan ni mkali wa kuadhibu

  • @aminatahwamummy539
    @aminatahwamummy539 7 років тому

    MashaAllah tabarakaAllah Allah atuongoze sote

  • @jumaothman1427
    @jumaothman1427 4 роки тому

    Mzee wangu, Mungu akuongoze.

  • @annasaid5413
    @annasaid5413 7 років тому +1

    mzee mungu akuongoze

  • @asddsa5076
    @asddsa5076 4 роки тому

    Allah akuthibitishe hivo hivo kabisa
    Akuepushe na Ibilisi Na sisi pia

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 7 років тому +2

    BABA NAKUOMBEA SANA, MUNGU ATAKUPELEKA KATIKA VIWANGO VINGINE VYA JUU KABISA . ENDELEA KUMTUMIKIA MUNGU MZEE YUSUPH MAANA MUNGU PEKEE NDIE RAFIKI WA KWELI NA BABA WA KWELI

    • @mamavero4004
      @mamavero4004 4 роки тому

      Yaani wasanii wengi huwa wanajisahau sana kuna maisha yanaendelea wanavyokuwa na hela wanajisahau sana kuwa kuna kufilisika baadaye au kuumwa au kukosa mia mia zinazonipa kiburi wakizidiwa wanarudi kujitangaza na kuomba michango pumbavu kweli

  • @harunahassan7353
    @harunahassan7353 5 років тому

    allah akuwekeyee wepes yusufu InshaAllah

  • @hassansalum8496
    @hassansalum8496 7 років тому +2

    wallah a'alam

  • @saidikapite6260
    @saidikapite6260 6 років тому

    mashaallah allah akubaliki kk

  • @sharifukitimbwisi1291
    @sharifukitimbwisi1291 4 роки тому

    Je maneno hayo Leo yako wp

  • @maulidykhalipha5929
    @maulidykhalipha5929 4 роки тому

    Mwenyenzi mungu akubarik

  • @hatibamvungi8723
    @hatibamvungi8723 7 років тому

    Barakallah fik

  • @mbaracksaummbaracksaummbar8930
    @mbaracksaummbaracksaummbar8930 6 років тому

    mash Allah

  • @getrudangelangela4984
    @getrudangelangela4984 6 років тому

    Hongera sana mzee yusuphu

  • @swalhaali873
    @swalhaali873 4 роки тому

    Allah Kareem

  • @samirasamir7734
    @samirasamir7734 7 років тому

    allah ukbaruuuuu allah akuongoze mzee yusufu

  • @samgaya
    @samgaya 7 років тому +6

    mungu amuongoze inshaallah

  • @aminarashid1798
    @aminarashid1798 4 роки тому

    Allh akufanyie wepesi ao na wambea kila kitu wakijue khaa

  • @zubeeihamisi8439
    @zubeeihamisi8439 5 років тому +1

    Mzeyusufu nakuombea Allah akujalie gheri usirud nyuma allahakupe umri mrefu na wasaniiwengine wakiislamu waive kwako

  • @abubakaryomary3985
    @abubakaryomary3985 4 роки тому

    Mashaalah

  • @apangumombasa5265
    @apangumombasa5265 6 років тому

    Bro Allah akupe imani tena, na tena (in sha llaah )

  • @abrahamsnoopdog5929
    @abrahamsnoopdog5929 3 роки тому

    We mnafiki tu

  • @patelhanein6420
    @patelhanein6420 6 років тому

    Mashaallah

  • @zuhuraabdallah3377
    @zuhuraabdallah3377 4 роки тому

    Allah akufanyie wepesi

  • @yussufjuma4623
    @yussufjuma4623 7 років тому

    allah akbar Allah amsamehe na sisi pia

  • @mohamedhadad6008
    @mohamedhadad6008 4 роки тому +1

    Mzee Ysuf Allah azidi kukuhifadhi na akulinde na vishawishi vinavyotokana na iblis kamwe visikupelekee kurudi ulipokuwa. Kaa ujiuwa maamuzi ulioyafnya Allah lazma atakuonja hvyo basi kaza moyo.

  • @yusufsalum2851
    @yusufsalum2851 4 роки тому

    IshaAllah

  • @saidking4868
    @saidking4868 4 роки тому

    Allah akuongoze

  • @rahmaalu1402
    @rahmaalu1402 3 роки тому

    1

  • @marijanimohamed7619
    @marijanimohamed7619 5 років тому

    Hiyo ni mipango. Yamungu mungu yuko pamoja na wewe usirudi nyuma riziki zako zipo ulopangiwa namungu

  • @ahmedabry3508
    @ahmedabry3508 4 роки тому

    Laahaula wala quwwata illa billah

  • @rajabpembe7546
    @rajabpembe7546 4 роки тому

    Yn ukiambiw umekiuka maneno yako muogombe Mungu mzee

  • @wazirikhamisi4828
    @wazirikhamisi4828 4 роки тому +2

    MZEE KUWA MBALI NA MITANDAO YA HABARI PAMOJA NA WAANDISHI WA HABARI IKIWA UMEACHA MZIKI KWAAJILI YA KUMUOFIA ALLAH KWAKUWA HAO WATU WAPO KIDUNIA ZAIDI WATAKUONDOSHA KTK IKHILASWI

  • @winfridapeter4458
    @winfridapeter4458 4 роки тому

    Jamani moto upo duniani

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 4 роки тому

    Ukiamua kuacha maasia bas epuka hata vile vishawish mathalan media za muzik

  • @ismailchilonga2878
    @ismailchilonga2878 6 років тому

    Jazakha laukherii

  • @rahmaali4009
    @rahmaali4009 4 роки тому

    Ushakuwa mzee sasa

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 4 роки тому +1

    Mh ukiona mtu anaanza kulalamika hapo jua ndo anardia kuleeee

  • @mudyxhumedmudy5888
    @mudyxhumedmudy5888 4 роки тому +1

    Mzee Yusufu acha kuimba hizo qaswaida pia nimziki kwenye uslam hakuna mziki

  • @ainonlinetv8863
    @ainonlinetv8863 6 років тому +1

    saf Mzee yusufu

  • @jumaalhamid5242
    @jumaalhamid5242 3 роки тому

    Wewe ni mnafik,huna uvumilivu muongo tamaa za dunia huo uliopata w madeni ni mtihani w mungu wewe umeshndw kusem moyo wko

  • @albertojavier5931
    @albertojavier5931 3 роки тому

    Mnafiq Mkubwa wew

  • @fattu1980
    @fattu1980 7 років тому +2

    mahaala

    • @fattu1980
      @fattu1980 7 років тому

      👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @saidabubakari5196
    @saidabubakari5196 4 роки тому +1

    Alha ndo mwema kwakila jambo.

  • @aminakhamis2342
    @aminakhamis2342 4 роки тому

    Kwani jamani ww mtangazaje nikuulize swali hemu kwan ridhki anatoa nani enh chagueni bwana maswal ya kuuliza watu msiwe sababu ya kuwashusha watu imani jamani akaaah 😥 mtihan kwa kwl