HAKI SITA ZA MUME KWA MKE NA HAKI TATU ZA MKE KWA MUME. SH, OTHMAN KHAMIS .6\7\2019

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025
  • Description

КОМЕНТАРІ • 468

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 роки тому +4

    Mashallah ya sheykh
    Tunaomba hii mada ya ndoa iwe endelevu uwe ni ukumbusho wakawaida mpaka mwisho wa umri wetu mpaka kisimame kiama

  • @patrickkisaka4479
    @patrickkisaka4479 3 роки тому +6

    True sheikh I am Christian bt I love musilam teaching ndoa

  • @AsiaShaban-v9t
    @AsiaShaban-v9t Місяць тому

    Mashaallah jazaakallah khayr inshaallah ukumbusho umetufaa sie waumini allah azidi kukuhifadh inshaallah

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 4 роки тому +10

    MASHA Allah sheikh nakupenda saan kwaajili ya Allah

  • @mohamedmgwami5987
    @mohamedmgwami5987 4 роки тому +3

    Alhamdulillah sheikh othman khamis mawaidha haya ni muhimu sana na wengi kati ya waumini hawayafamu,inatakiwa mbinu na mkakati ili elimu hii iwafikie wanandoa na wanaotarajiwa kuingia ktk ibada hii,matatizo yaliyopo leo ktk ndoa haya ndio majibu yake, aksante sana sheikh othman khamis pamoja nawe sahib yangu kipenzi saimu gwao allah swt awalipeni badala insha allah,

  • @maryambweleo6860
    @maryambweleo6860 8 місяців тому

    Mashaalla mungu akuweke sheikh uzidi tukukumbusha katika majukumu yetu kina mama kwasababu tunajisahau sana

  • @rashidshamte-gj9tj
    @rashidshamte-gj9tj Рік тому +1

    Asante maalmu kwa ukumbusho Allah atakulipa

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 років тому +20

    Mm sisubir kuona kwenye mitandao mambo mazur kama haya ya kuelimisha kbs kila ijumaa nipo msjd mtororo napata mambo live kbs alhamdulillah masha Allah sheikh wetu Allah akupe afya njema.

  • @bihaamani1829
    @bihaamani1829 3 роки тому +3

    vzur sana shekh

  • @zainaba5605
    @zainaba5605 4 роки тому +5

    Masha Allah M/mungu anijalie mume mchamungu tuje tupeane haki hizi

  • @asmakhamis1406
    @asmakhamis1406 5 років тому +9

    Masha Allah sheikh very true ...Allah atulipe kheri kwa sote na atupe subra katik ndoa zetu inxhll

  • @abdullatifsalim8628
    @abdullatifsalim8628 5 років тому +13

    Ma sha Allah
    Ya Allah wajaalie wake zetu watutii
    Wasipate Lahna
    Shuqran sheikh wa ilmu
    Allah atakulipa jaza yako
    Waume nasi tutulie tuwatimizie haja zao wake zetu

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 5 років тому +15

    Tungeishi hivi kwa mke na mme hakuna ndoa ambayo ingevunjika ''asante kwa nasaha nzuri" ubarikiwe

  • @ShaibuKenga
    @ShaibuKenga Рік тому

    MashaaAllah kwa mawaitha mazuri sheik wetu

  • @slavianriziki8015
    @slavianriziki8015 5 років тому +32

    Am a Christian but I love this

  • @FettyAkida
    @FettyAkida 8 місяців тому

    Mashaallah mungu akutunze inshaallah

  • @joshuasamweli6139
    @joshuasamweli6139 2 роки тому

    Mashalla Allah azidi kukupa ufahamu zaidii

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 роки тому +1

    Shukraan Sana sheikh wetu Allah akulipe kher sheikh jazakallah khaira

  • @samiapemba
    @samiapemba 2 місяці тому

    Mungu akuweke maisha marefu

  • @shebbydou7636
    @shebbydou7636 4 роки тому +1

    Manshaallah, hua ninamkubari Sana huyu shekhe kwa mawaidha yake.

  • @BintHassan-o7o
    @BintHassan-o7o Рік тому +1

    MashaAllah jazakAllah ❤❤sheikh

  • @rashidsaidimhando-yq5eh
    @rashidsaidimhando-yq5eh Рік тому +1

    Allah akutangulie kwakila Jambo shekh mana wake kukaanao bila kuwakumbusha hakikanimtihani kwakizazi chasasa

  • @ahmedhooahmedhoo7524
    @ahmedhooahmedhoo7524 5 років тому +18

    MASHAALLAH TABARAKAALLAH MOLA AKUZIDISHIE ILMU SHUKRAN.ALLAH AKUBARIK

    • @abdallahalmas7511
      @abdallahalmas7511 5 років тому

      Mashekhe mnajitahidi saaaaana kuwaelimisha Hawa viumbe! Tatizo hawazingatii wamejawa na viburi!!!

  • @khadijaneka3117
    @khadijaneka3117 4 роки тому

    Asante kwa darasa zuri maana kuna waume wengine hawajui wajibu wake kwa mkeo yaan mke kutafuta riziki ya kula yeye anakwambia mm ni kusimamia masuala ypte msikitini yy muda msikitini

  • @omarykitua3843
    @omarykitua3843 2 роки тому

    Shukran kwa mawaidha mazur mungu akulinde uzid kutufundisha inshaalah

  • @muhidinalwideen8004
    @muhidinalwideen8004 5 років тому +5

    Vizuri sana sheykh Allah akubariki insha allah

  • @mussahamis3488
    @mussahamis3488 5 років тому +16

    Mashaallah somo zuri sana hakika nimejifunza zaidi

    • @tiffahbaibe795
      @tiffahbaibe795 5 років тому

      MashaAllah, tumejifunza sana Allah akubariki InshaAllah

    • @salimyunus6239
      @salimyunus6239 5 років тому

      Mashallah sheikh othman

  • @LajabuAbudala-hm1sc
    @LajabuAbudala-hm1sc Рік тому

    Alihamdulillah kwa mawaiza mazur🥰🥰

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 4 роки тому +1

    maashaallah maashaallah nimejifunza kitu 🙏🙏

  • @suleimanjuma9882
    @suleimanjuma9882 3 роки тому +1

    Amen kiukwel nimejifunza

  • @jamilanassoro8408
    @jamilanassoro8408 4 роки тому +5

    Jazzakkallah kheir😘😘🙏Allah akujaze kheir sheikh wetu🤲🤲

  • @musasabu6969
    @musasabu6969 4 роки тому

    Mm Ni mkristo lakn napenda mawaiza ya huyu shehe mwenyezi mungu akujalie

    • @yaskoboy3927
      @yaskoboy3927 4 роки тому

      Karibu sana kwenye nuru ya uislamu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 років тому +15

    mashallah
    1- othman maalim
    2-othman machiel
    3-othman khamis
    Mashallah mashallah mashallah

  • @elisantenjau4352
    @elisantenjau4352 4 роки тому +2

    Mimi ni mkristo lakini nimekuelewa sana sheikh wangu,,barikiwa sana

    • @fhyubhhh2881
      @fhyubhhh2881 3 роки тому

      Karibu sister

    • @3Ndela
      @3Ndela Рік тому

      Assalam alaykum shekh asante kwa mawaidha mazuri ubalikiwe na pia naomba namba yako nina maswali Zaid kuusu upande uo uo wahaki za msingi za mke

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому +1

    Nikweli kabisa Allah atupe kustaminli tufanyikiw duniani na akheira InshaAllah

  • @fozyafozya4060
    @fozyafozya4060 4 роки тому +1

    Allah unipe Mume Mwema ishaallah

  • @ayoubswed4626
    @ayoubswed4626 4 роки тому +4

    Shukran mwenyezi mungu akuzidishie Amina 🙏🙏

  • @jamilamasoud1216
    @jamilamasoud1216 4 роки тому +1

    Mashalaah ☪️ shukrani shekhe kwa mawaidha

  • @jamilaadan6840
    @jamilaadan6840 5 років тому +4

    Mashaallah tabarka...Allah akupe khery
    Swadakta Sheikh

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 5 років тому +24

    Maashaallah yaa rabby mjalie afya njema sheikh wetu na umjaalie mwisho mwema. from tanga.

  • @mohamadkitongoli4704
    @mohamadkitongoli4704 5 років тому +7

    Mashaallah Allah akupe afya njema uzidi kutukumbusha

  • @mwanahamisibeautyproducts7421
    @mwanahamisibeautyproducts7421 Місяць тому

    Masha Allah Sheikh

  • @aminalibondo7507
    @aminalibondo7507 5 років тому +10

    MashaAllah hutuba nzuri yenye mafunzo shukran xn

  • @nuruali9608
    @nuruali9608 5 років тому +26

    Allah Akujazi majaza mema sheikh wetu..na sisi Mungu atupe Hidaya!!!,Amiin..

  • @alal4699
    @alal4699 4 роки тому

    Mwenyezi mungu akupe umri mrefu shekhe

  • @mwanaishachank68
    @mwanaishachank68 3 роки тому +1

    Mashallah kutupatia elimu

  • @alifayadh9005
    @alifayadh9005 5 років тому +13

    Mashaa Allah very true, ahsante kwakutuelimisha.

  • @HappyPaulo-g6b
    @HappyPaulo-g6b 2 місяці тому

    Mashallh allh akinde

  • @EuniceOdegea
    @EuniceOdegea 8 місяців тому

    Sheikh...Allah akuzidishie umri...hotba imenifunza

  • @abdsllahmahenge2031
    @abdsllahmahenge2031 3 роки тому +1

    Allah akulipe

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 5 років тому +7

    Maneno yamenipa funzo kubwa sana, ALLAH akuifadhi shekh

  • @fat-hiyarashid2758
    @fat-hiyarashid2758 4 роки тому +1

    Ahsante sana sheikh baarakallaahu fiik

  • @abdoulshakurbinmakka4610
    @abdoulshakurbinmakka4610 5 років тому +3

    Sheikh mwenyezi mungu akuzidishiye umri

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 5 років тому +8

    Shukraan sana Sheikh Khamis

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +2

    Amani ya allah ikuteremkie sheykh

  • @saidabae7101
    @saidabae7101 5 років тому +9

    Elimu nzur kweli Allah akubariki shekhe

  • @yohanarunyirija7004
    @yohanarunyirija7004 4 роки тому +1

    Allah akujaliye pepo na sisi pia. Amina

  • @badrushikeli9899
    @badrushikeli9899 5 років тому +8

    Maa sha Allah... darsa nzuri

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 3 роки тому +3

    باركم الله فيكم
    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojl

  • @saidalii9073
    @saidalii9073 4 роки тому +1

    ما شاء الله ما شاء الله شكرا يا شيخ
    Hakika kweli kabisa

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW 2 роки тому

    Jazakhallah kheli

  • @ramadhanijumaa7229
    @ramadhanijumaa7229 5 років тому +1

    Mashanlaaaa njema shee

  • @khalfankhamis1389
    @khalfankhamis1389 4 роки тому +1

    Mungu akulipe kheri sheikh wetu.

  • @mustaphangombola7201
    @mustaphangombola7201 4 роки тому

    Nammmh shee wangu uko vizur

  • @muhsinrushaka8203
    @muhsinrushaka8203 5 років тому +3

    Ahsante kwa ujumbe murua.

  • @hadijakassimila5316
    @hadijakassimila5316 3 роки тому +1

    Allah akupe maisha marefu ili utupe dawa

  • @zumbaabiyah3184
    @zumbaabiyah3184 5 років тому +3

    😘🎓....asnt mzee kwa iilimu, umeeleweka kwa mapana...! 👏

  • @aminamganga4991
    @aminamganga4991 4 роки тому +3

    Takbri
    Allah akbru

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 5 років тому +1

    Mashaallah mawaidha mazuri sana ila mhhhh Allahu yaalam

  • @mwalimmgwisho9802
    @mwalimmgwisho9802 4 роки тому

    Mwenyezi MUNGU akujalie

  • @sharifamaulana747
    @sharifamaulana747 2 роки тому +1

    Jee ni lazima kwa mke kumpikia mumewe

  • @mariamsamuson8323
    @mariamsamuson8323 4 роки тому +1

    Shukran wajakaAllahu kheir sheikh rajab khamis

  • @faridaali6850
    @faridaali6850 4 роки тому +2

    MashaAllah jazakallahu lkheir

  • @rabiaallymshamumshamu9374
    @rabiaallymshamumshamu9374 3 роки тому

    Ivi sheikh uyo mwanaume kama haya yote anakufanyia ila ikawa akusikizi kwa mfano anarudi nyumbani ucku anakujibu ww mke una tatzo tatzo nin kma kula kulala kuvaa unakul ttzo nin tna unatak ivi kweli sheikh hapo kweli ni sheria

  • @nahyanhareb4053
    @nahyanhareb4053 5 років тому +2

    Shukran Sana .Aki nimejifunza mengi

  • @mavindimuhotwe4432
    @mavindimuhotwe4432 4 роки тому +2

    Ahsante shee. Ila wanawake wengi wameona penye kupewa pesa tu. Koment zimejieleza!

  • @johnelias7877
    @johnelias7877 5 років тому +1

    konki shekhe mungu akuzidixhie

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 2 роки тому

    Hiyo ya ine Na ya pili ni kweli kabsa.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 5 років тому +1

    Shekhe mimi msikilizaji wako sana naelimika sana na hasa sauti yako nzito na lafdhi yako inanifanya nisikilize hadi kesho. Mama zuu

  • @khalifmohamed7303
    @khalifmohamed7303 Рік тому

    Thanks sheki kwa mafunzo

  • @ZainabAli-x8v
    @ZainabAli-x8v 10 днів тому

    Amin amin amin amin

  • @famionlineapdates9371
    @famionlineapdates9371 5 років тому +18

    Allah akujaze nuru nataka kuona December nimejifunza vingi

  • @mwanaishamkazi3835
    @mwanaishamkazi3835 5 років тому +10

    Allah akupe jaza njema inshallah

  • @ramlataayat9999
    @ramlataayat9999 5 років тому +1

    Masha Allah swadakt sheikh

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 4 роки тому

    Nimekupenda bure

  • @sikujuakalomtana1653
    @sikujuakalomtana1653 4 роки тому +1

    Mashaallah swadakta

  • @khadijaamur6032
    @khadijaamur6032 5 років тому

    Yaani ni mtihani...Kuna wake za watu haki zote 3 hawazipati kutoka kwa waume zao...Mtihani baadhi ya wanaume sijui kesho watamtizama vipi Mola

    • @salimali7930
      @salimali7930 4 роки тому

      Tuombeeni lnshaallah tuta badilika na yeye pia muangalie pakuingia maana dunia ime fanya watu wawe na tamaa..

  • @RamadhanIddi-br7go
    @RamadhanIddi-br7go Рік тому

    Jazakallah khaira

  • @aminahamadi1140
    @aminahamadi1140 5 років тому +5

    mashaallah allah akujalie

  • @samiapemba
    @samiapemba 2 місяці тому

    Hayo ndio meng kwa wanaume wanadhurumu

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 2 роки тому

    Mashaallah sheikh

  • @salmamohammed6944
    @salmamohammed6944 5 років тому +6

    Asante Sana kutukumbusha

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW 2 роки тому

    Jazakh Allah khel

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 років тому +2

    Mungu akuongeze sheikh

  • @nehadong7946
    @nehadong7946 5 років тому +15

    Asante shukran umenijuza nisiyo yajua wallah

  • @gamarmberwa1860
    @gamarmberwa1860 5 років тому +3

    Mashallah

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 роки тому

    Tupe elimu sheikh wanawake na wanaume nao pia wasomeshe

  • @multipartsmercedes4293
    @multipartsmercedes4293 5 років тому +2

    Masha Allah, ina jibu ya sauli zote za haki ya wanandoa.
    Sikizeni hadi mwisho..

  • @NdayisabaCynthia-kw4zm
    @NdayisabaCynthia-kw4zm Рік тому

    Jazaka Allah kheir

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 4 роки тому +1

    Jazakaallahu khairan inshaallah