Mswalie Sana Mtume Muhammad S.A.W / tofauti ya kufikiri na kuwaza / Sheikh Walid Alhad
Вставка
- Опубліковано 12 січ 2025
- Mswalie Sana Mtume Muhammad S.A.W / tofauti ya kufikiri na kuwaza / Sheikh Walid Alhad
Subscribe NOW to (DARSA TV www.youtube.co...)
Sheikh Walid akifundisha Darsa la Tafsiri ya Quraan Ramadhani Mwaka 2020 Linalo fanyika Msikiti wa Kichangani Usisahau ku subscribe na kutu follow katika page zetu za insta na Facebook shukraan
Video by muba Production Magomeni
Subscribe
Comment
Like And share
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
Sheykh Walidi nakupenda mm kwa ajili ya Allah
Shaikh walid sina chakukupa illa kukuombea IKHLASW na umri twawil na ilmu yenye manufaa kwako na kwetu pia ...amiin
Sheikh nimekupenda na kupenda darasa zako kwaajili ya kuzungumzia fadhila za kumswalia mtume
Alhamdulillah ninanufuika na darsa zako shekh wangu Allah akuzidishie khery duniani na akhera
Ya Rabbi mzidishie umri sheikh Walid Alhad
Ya salamu mjaalie mujawako kila la kheri kwa Rehema zako Amin...
Napenda kusikiliza darsa zako, Mashallah Allah akubariki.
ALLAHU ASALLI WASALLIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD
Maashaallah akuzidishie umri na ilmu uzidi kutusomesha napenda darsa zako Allah akulinde na hasad za majini na watu Ameen
Mashallh shukurani jazakalau
Masha Allah darsa zuri
Allah akulinde na uzidi kutuelimisha.
Shukran Kwa Dawa
Allahuma swaliala saidinam Hammad wala aliisaudinam hammad.
Tumswalie mtume wetu muhammad S..A.W.
Alhamndulillah jazakalah shekhe Allah akuzidishie imani nakupenda kwa ajili ya mwenyezi Mungu napenda sana darasa zako🎉
Allah awalipe ujila mwema mashekh zetu tulio kua waislamu wenye Imani dhaifu tumekua naimani thabiti kuliko tuliko toka natunazidi kua na Imani thabiti yrnye nguvu tunacho kiomba Allah anatupa kwakumswalia mtume na kumtaja Allah kwa majina yake mazuri na uomba msamaha najivunia kumtegemea Allah kwa Kila jambo
Allah akuhifadhi sheikh wetu 🤲🤎
Masha Allah shukran kwa darsa zuri Sana jazakalahukheir
Islam is philosophy
Psychology
Biology
Chemistry
Physics
Mathematics
etc and this shekh is proving daily Maashallah 😊
Sheikh jazaka llahu lkheyr Mola akupe swiha ilo njema tuzidi kuelimika na yako mawaidhwa shukran.
Yaa rabbi tuwepesishie mambo yetu kwa baraka za mtume Muhammad
Allah akuzidishie shekh walid
Shukran shukran shekhe wetu ❤❤❤
Asalam alykum warahma tulahi i shukran mola zkujaze akulibde kwayote shukran
Shukran Wajazaukum Llah khayra
Mashallah
Jazakallah
Twataka hizo jazzz ...amo..
Maashallah
Mashaallah Allah akupe umri mrefu nikweli kabisa
Aslm alkm ww ... Masha Allah 🌹 shukran jazila. Jazakallah kheir 🙏
Jazakallah kheir sheikh walid
Jazaka kheir sheikh
Allaah akubark xn xhekh letu
Shukran sheikh
mashaalah allah akulipe shekh walid
شكرا جزيل
baarakallahu fiik
hizi darsa za sheikh walid ni siku gani zinakuwepo?
Tabaaraka llwahu
Maa shaa Allah
Allah ukupe afya na uzima
💚❤
Dhwaahiri
Mbozi mbeya nakupata mdili
Shukraaan.sn
*As/alykm warahmatullahi wabarakatuh*
Aliekuwa haja subscribe na kushare katika channel ya Al habib basi tafadhali fanya sasa hivi.
Kama Al habib Shariff Jaafar Swadiq anavyo tupenda na kushare alichonacho.
🟤 *Mada : Sampuli ya Binadamu* 🟤
🟤 *Ikielezwa na Alhabib Jaafar Swadiq Albeidh* 🟤b
📎 *Subscribe Kupata Mawalid,Hafla na Darasa zake zote Live kwa UA-cam.*📎
🔹️ *ua-cam.com/channels/oX8lonCxjeTby8Y-8s92xA.html* 🔹️
Mawahabi ndiowanao mdhalau bwanamtume
Thanks
Mungu akulipe kheri
subhanallah
Sheikh Walid jee hizo 1140 kikao kimoja au mradi ukamilishe hiyo idadi kwa siku nzima tupe ufafanuzi tafadhali
Mradi utimize tu ndan ya masaa 24 ko ni kujipangia wew tu ila ukiweza ndan ya kikao kimoja pia sawa,,,,, Allah mjuz zaid
Ni 1440 sio 1140 ndugu
Sheikh je ni kwa kikao kimoj 2 au at ukiwa unatembea
Karibu kutazama Qaswida mpya kbs SISI NA MTUME
ua-cam.com/video/l9jq7p33ZU8/v-deo.html
..
Tafadhali mwenye naomba ya huyo sheikh niko the ya Tanzania nipewe no ya whtsp
Sawa. +255 68 822 3133
Nnachokuomba tuu upunguze lugha ya stihizai km kusema... ADAM ASEMA WATAKA AKAKUMBUKE YULE BWANA...NA TUNAVO JUWA HAKIKA ALLAH HANA SIFA YA KUSAHAU KAMWE SO PLZ... LANGUAGE LANGUAGE LANGUAGE
Maashaallaah