DR.SULLE AFUNGUKA HAYA KUHUSU DINI YA UKRISTO//LAZIMA NIWAFUNDISHE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 57

  • @ImanikhatbMussa
    @ImanikhatbMussa 2 дні тому

    Ww kweli doctor mashallah

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 5 днів тому +2

    9:30 Quran ukisoma hiyo Aya sule anafata nyayo za allah wake kuwachukia wakristo allah anasema mwenyezi mungu hawaangamize wakristo na wayaudi

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 5 днів тому

      @prochesemest5439 wewe endelea kumzihaki Mwenyezi Mungu na Mtume wake utajuta siku ya kufa na itakuwa too late.

    • @Dingi-b1d
      @Dingi-b1d 2 дні тому

      😂😂Mbona sasa hatuangamizi tunazidi kuisha biblia inatwambia usihukumu utahukumiwa wote sisi ni wanadam hatujui lolote Tuishi kwa imani zetu

  • @theokivamba1743
    @theokivamba1743 5 днів тому +1

    Mm naomba kuuliza mwalim, kwann zimekuja dini tofauti tofauti hali ya kuwa wote hawa wamezaliwa na baba mmoja yani kizazi cha Ibrahimu

  • @UsseneAmisseAmisse-j4u
    @UsseneAmisseAmisse-j4u 5 днів тому +4

    Assalam alaikum dct sulle, usiankalia saana wale wanavyokukosoa, ila sisi tunaombea duaa, had a mtume walimwambia afute walivyo antika Muhammad rassullillah, na mtume amifuta, hada hivyo aliendea na utume, hawo hawajui wanajoengea

  • @Dingi-b1d
    @Dingi-b1d 2 дні тому

    Kwa mujibu wa Neno la Mungu,tunapaswa kuchukia uovu,na sio kumchukia mtu
    “ Enyi mmpendao Bwana, uchukieni uovu; Huwalinda nafsi zao watauwa wake, Na kuwaokoa na mkono wa wasio haki. ” Zab.97:10,Soma pia Zab.119:104,Waebrania 1:9 n.k .
    Uovu kama shina la ubaya,ndilo jambo pekee ambalo unaelekezwa uchukie. Ukiwa unampenda Bwana,huna budi kuchukia uovu wa aina yoyote ile. Wakati mwingine mtu anaweza akawa ni mtenda maovu,lakini bado hujaambiwa umchukie huyo mtenda maovu,bali chukia maovu ayatendayo na huyo mtu umpende.

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 5 днів тому +1

    Watu wapo kwenye kujifunza yanayopaswa kujifunza lkn kwa mshirikina unajifunza nn? Allah atuepushe na washirikina na ushirikina, amiin

  • @juvenalymwanalyela202
    @juvenalymwanalyela202 5 днів тому +3

    Dini ya mtu na shemeji yake

  • @abduljumaa4376
    @abduljumaa4376 5 днів тому +3

    Wewe mwamba wa chuma

  • @ChilangiJuma-xj2gc
    @ChilangiJuma-xj2gc 3 дні тому

    Mwalimu wangu naye kuamini naomba kupata elimu ya maryamu dume kwenye kila hatua ya kiislam kwenye kurithi kuzikwa kuoa au kuolewa

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 5 днів тому +1

    Wewe dk wa miti pori ufundishe Mkristo gani nenda kahangaike na mwezi wa kitaifa au kimataifa

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 5 днів тому +2

      Kaabudu MUNGU aliyetahiriwa..Sisi Tunaabudu MUNGU wa kweli na wa haki

    • @berry4726
      @berry4726 5 днів тому

      Huyu Paul amepotea mpaka amechangayikiwa.

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 5 днів тому +1

    Hakuna Mwislamu anayempenda Mkristo kwani mmeamrishwa kuwachukia Soma Qur'an Surat At-Towba 9: 29

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 5 днів тому +1

      Waislamu hawawezi kuwa na upendo ndiomaana kitabu Chao akifundiahi upendo Kwa watu wote ndiomaana vikundi vya ugaidi vinatokana na hiyo dini sasa dini imeishakuwa ya majini mapepo wachafu ndiomaana Yesu alituamulu tuwafukuze

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 5 днів тому

      ​@@prochesernest5439😂umeandika lugha gani kwani

    • @PacchaYassin
      @PacchaYassin 2 дні тому

      ​@@prochesernest5439ushaidi wa vikundi kutokana katika din hyo

    • @Dingi-b1d
      @Dingi-b1d 2 дні тому

      😂😂Hongereni nyie mnaotuchukia ila sisi Mungu etu ni waupendo Amani Hekima Busara na Maarifa nyie mwatuchukia laki maishi ni yaleyale twaishi

    • @Dingi-b1d
      @Dingi-b1d 2 дні тому +1

      Tukisema kwamba tunampenda Mungu, lakini tunawachukia wengine, sisi ni waongo. Kwa maana hatuwezi kumpenda Mungu ambaye hatujamwona, ikiwa hatuwapendi wengine ambao tumewaona. Amri ambayo Kristo ametupa ni hii: Yeyote anayempenda Mungu lazima awapende wengine pia." 1 Yohana 4:20-21.

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 5 днів тому +3

    Mashekh wameita majini yote wamuombee rais ni maajabu kwetu wakristo maana sisi wakristo majini ni mapepo wachafu mashetani je wanawezaje kumuombea rais wetu je tunashilikiana na mashetani ? Huyo sio rais WA mashetani

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 5 днів тому +2

      Wale mnaowakemea kila siku makanisani kwenu ni malaika???.Acha makasiriko na watu walioahidiwa pepo.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 5 днів тому +1

      @aishahazary4097 ushasema tunawakemea na kuyafukuza hiyo inamanisha hatuna undugu nao kama nyie waislamu mlivyo na undugu nao katka Imani yenu nyie na mashetani mapepo wachafu mnashirikiana Quran 6:128 na 46:29 na 72:1-3-14

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 5 днів тому +1

      ​@@prochesernest5439😂😂😂😂 Fact

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 5 днів тому +1

      @prochesernest5439 Kwa kawaida kitu kinachofukuzwa huwa kinaondoka na hakirudi tena....Vipi nyie mnawafukuza kila siku mpaka makoo yanakauka lakini mkinyamaza tu wanarudi tena nyumbani kwao.Wapi uliona msikitini tunajitoa ufaham wa kubweka kama wehu??

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 5 днів тому +1

      Sbbu wana viti vyao makanisani. Huoni wanavuoutetea ushoga?

  • @ShevernadzeLenga
    @ShevernadzeLenga 5 днів тому

    Dr sulle, mimi naswali hivi ikitokea mwanao wakike kapendwa na mwanaume wa upande wa pili yaani Maidstone na wote wakawa wanapendana. Je,utamruhusu binti yako kuolewa na huyo mwanaume Ambaye ni mkristo na kuifuata dini yake?

  • @EverywilliamMsafiri
    @EverywilliamMsafiri 2 дні тому

    Sasa wewe dini ya kikiristo inakuusu nini wewe we fanya dini yako Acha kuleta udini sawa

    • @PacchaYassin
      @PacchaYassin 2 дні тому

      Kwani ww ukristo umeuumba ww, au niwako, siumeukuta,😂 kuwa makin

    • @ImanikhatbMussa
      @ImanikhatbMussa 2 дні тому

      Uo.ndio ukweli ata ukiumia

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 5 днів тому

    Clip fupi jamani muwe mnaweka clip ndefu.

    • @Africaonetvjam
      @Africaonetvjam 5 днів тому

      Itakuja nyingine

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 5 днів тому

      Ndef clip za Nini?WE hauskiyi matusi yameanza Ku hawo makafiri.awo n'a weye unataka waweke clip ndefu upate matusi utatutukana