OOH! DR.SULLE SASA HALIWEKA WAZI BIFU LAKE NA SHEIKH NURDIN KISHIK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 216

  • @LeylathYahsin
    @LeylathYahsin 3 дні тому +9

    Sheikh umemtaja Anuary Jongo umenigusa sana
    Em nifikishie salam zangu kwake

  • @hassanmaganga1544
    @hassanmaganga1544 2 дні тому +4

    MAASHAALLAA

  • @MusaRajabu-rw7uz
    @MusaRajabu-rw7uz 2 дні тому +5

    Watu mnaokomenti doctor kafafanua vzuri klamtu amini anacho amini tatizo rko wapi amefkisha ujumbe kwa umma wakisilaam uspoelewa shauri yako ukielewa mwenyezimungu akurpe kheri tuseme inshallah

  • @Salsabiil12
    @Salsabiil12 3 дні тому +5

    Maashaallaah Maashaallaah Maashaallaah nimependa Maashaallaah

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 2 дні тому +3

    Mashallah Lea ma sheikh wetu tunamiombea duaa Mwz Mungu amifazi duniani na kesho hahera in shallah ❤

  • @MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz
    @MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz 2 дні тому +3

    May Allahu give you strength and faith not to despise people because of all his denominations we no Islam the success of the Hereafter Allahu himself knows,🇲🇿 From mocambique MOCIMBOA DA

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 День тому +1

    Allah atawalipa kwa mafundisho mema inshaallah

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 2 дні тому +1

    Yes haokoi mungu ndio anae okoa

  • @muzzammilarafat3330
    @muzzammilarafat3330 2 дні тому +1

    Mashaaallah! My sheikh Allah akulipe meema ya rabbi. Nakupenda saana sheikh. I DO NOT BELONG TO ANY SECT BUT A MUSLIM BECAUSE THE PROPHET WAS A MUSLIM, HIS DESCIPLES WERE MUSLIMS. NONE OF THEM WAS SALAFIYYA NOR ITIHAAD, NOR SO AND SO. THE PEOPLE THAT CREATED SECTS IN ISLAM ARE THOSE THAT NEVER WANTED MUSLIMS TO BE ONE.
    UNITY IS POWER!

  • @MwanahawaaJuma-g7n
    @MwanahawaaJuma-g7n 2 дні тому +2

    Allah ndo anajua kama unatoa kwa ajili ya Allah basi Allah akuzidishie na akuhifadhi na ana Allah atuhifadhi sote na Allah ndo anajua nani mwema na nani mbaya ushauri wangu tuache uchawa,UCHAWA is the source of underdevelopment in the society 😢

  • @NM-rq9dr
    @NM-rq9dr 2 дні тому +2

    Love you my Dr

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 3 дні тому +6

    Safi sana sule, unabusara

  • @abdallahmkali3251
    @abdallahmkali3251 3 дні тому +5

    Akida ya uwislam ni Moja tu Toka Allah aimbe dunia ila Sheria ndio zilitofautiana kulingana na nyumati tofauti

  • @salimumwenjuma6150
    @salimumwenjuma6150 3 дні тому +3

    Maashallah

  • @khamisathman7171
    @khamisathman7171 2 дні тому +1

    MashaAllah ❤

  • @IdrissGana-r1m
    @IdrissGana-r1m 2 дні тому +2

    Mi namoenda sana dokta sure yupo sahihi

  • @SuleimanMadaha
    @SuleimanMadaha 3 дні тому +3

    Mashallah

  • @inamxmdsheekh1978
    @inamxmdsheekh1978 День тому +2

    Inaonekana hujui maana ya aqiidah! Waislamu hawatofautiani katika aqiidah bali ka mas'ala kama fiqi na namna ya kufasiri sunnah ama namna ya kufuata na kadhalika!.. kawa ufupi aqiidah ni kuwa na yaqini na imaani thabit katika nguzo za imaan....

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 16 годин тому

      Hana Elimu huyu Kijana Mdogo. Anajisemea tuu.
      Hajui akida nini maskini

    • @HassanSadiki-l5c
      @HassanSadiki-l5c 15 годин тому

      Aqida .....Sio yakin Wacha ujuaji....
      Akida ni Tabia.....

  • @AjrasBarka-k3t
    @AjrasBarka-k3t 3 дні тому +3

    ❤❤

  • @OscarlucasKagombogombo
    @OscarlucasKagombogombo День тому +1

    Mm n mkristo lkn namuelewa sana dk sule ase uyu jamaa anakumbukmbu atar na kichwa yeke iko nazawad flan iv mana syo kawaida2

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 3 дні тому +1

    Akon pia kainvest vizuri sana kwao Senegal

  • @bijou5038
    @bijou5038 2 дні тому +1

    Wewe nimwizi toka ukaibiya watu pesa zao kibao hata mimi ukaniibiye ila Allah atatulipizia😢😢

    • @stanleymanya438
      @stanleymanya438 2 дні тому

      Ulikutana nae wapii tena😂😂

    • @bijou5038
      @bijou5038 2 дні тому

      @@stanleymanya438 nilimutumiya pesa kwenye number yake akisema atanitumiya muzigo

    • @yakububakari9875
      @yakububakari9875 День тому

      Aliiiba aje

    • @bijou5038
      @bijou5038 День тому

      @@yakububakari9875 alinambiya atanipa dawa ya maumivu ya mgongo nikamutumiya pesa kwa western,muzigo sijapata akaniblock

  • @AbdallaSuleiman-lf4zv
    @AbdallaSuleiman-lf4zv 2 дні тому +2

    Kama hujaacha ugaga bado huijui akida sahihi

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya 3 дні тому

    Doctor sulle nimefurashwa sana na maneno Yako ya kutoa namimi natamani kuwasaidia watu kwa sana baadaye nisaidie mtaji nitimize ndoto zangu wabillah taufiq namshukuru kama utausoma ujumbe huu

  • @YunussuHAkizimana
    @YunussuHAkizimana 3 дні тому +4

    Naaam

  • @mudrickahmed3178
    @mudrickahmed3178 3 дні тому +2

    Na chamwisho kwa mujibu wa swali lilivyo ulizwa ilitakiwa ujibu ili uwe umemaliza swali ila ayo maelezo ya umri mara madhehebu hata ayaingii kwenye swali la msingi

    • @hosnakamees5454
      @hosnakamees5454 2 дні тому

      Kauli zake tu Ana chuki kabisa na masemango

    • @BarekayoBilali
      @BarekayoBilali 2 дні тому

      Ubinadamu nimzigo mzitoapokakusea wapi?

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 2 дні тому

      Usimpangie cha kuongea kaka sikiliza unapopenda usipopenda tuachie wengine tusikilize

  • @AshuzaChirimwami
    @AshuzaChirimwami 23 години тому

    Fata mijadala za huko Congo egtv1

  • @TwahaYahyaShabani
    @TwahaYahyaShabani 2 дні тому

    Lugumi🔥

  • @SalmaMalikiMsikiti
    @SalmaMalikiMsikiti 2 дні тому

    Asalam alaykum dokta sule Mimi Nina shida na ww nakuomba unisaidi mtaji nifanye biashara kiasi chochote inshaallah

  • @hafizmubarakmussa1780
    @hafizmubarakmussa1780 2 дні тому

    Akida ya kiislamu ni moja

  • @SaidIsmail-w2w
    @SaidIsmail-w2w 3 дні тому

    vzuri nimekuelewa doktor

  • @MwanahawaaJuma-g7n
    @MwanahawaaJuma-g7n 2 дні тому

    Mi sitaki kusapoti kitu Allah ndo anajua nani mkweli na nani mlongo😢

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi День тому

    Huyuuu so shehee tokaa lin shehe akakata mapank na kunyoaa ndevu kihun huyu muhun kama wahun wenginee tuuu na kuibiaa watuuuu😅😅😅

  • @dzombadadon
    @dzombadadon 3 дні тому

    Mashindano ya quran kwa sheikh sule ni bidha’a lakini Maulidi sio bidhaa’a ? Kwa kweli ni uko kwa upotevu Allah akuongoze Doctor Sule.

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 2 дні тому

      Maana yake vyote ni bid'aa lkn kwa Nini mashindano ya Quran mnafanya lkn Maulid Mnakataa? Hiyo ndio Maana ya Dr Sule.

    • @mudysauko
      @mudysauko 2 дні тому

      Mtume alifanya mashindano na ni kipindi maswahaba walipoambiwa wasome quran washindane na atakae shinda atamuoa fatma,alliy alish, je hayo si mashindano???

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 2 дні тому

      ​@@mudysaukommmmh maneno hayo yapo katika kitabu gan kaka???

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja День тому

    Eti tunatofautiana kwenye aqida yeye answari mm ni mtu wa maulidi eti ndo aqida hiyo ndo ujue uchache wa elimu ni mzigo answari na maulidi ni aqida kweli.

  • @isayaWaziriisayawazir
    @isayaWaziriisayawazir 2 дні тому

    Unasema ni din nisawa hiyo ni din kama zinginezo za buza za baniani na katolik ni din za duniani tu haziwapelek popote mungu Hana mipango na dini zawatu

  • @ScentsationalHeven
    @ScentsationalHeven 3 дні тому +27

    Dini ya kweli mbele ya Allah ni uislamu tu zingine ni jaja jaja2

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 3 дні тому +2

    Mashindano ya Qur'an pia ni Bid'a

  • @HassanFundi-xy6nd
    @HassanFundi-xy6nd 2 дні тому +1

    Unanyowa kiwu tapeli

  • @SalimMumba
    @SalimMumba 2 дні тому +1

    Whenever you differ in aqeedah that's where mushkila comes in..... Being good in explaining things doesn't mean you're upon haqi..
    Let the light be known and the darkness as well l..
    ...when you differ in aqeedah then there is no difference na wakristo

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 2 дні тому

    Mawahabi dunia itaisha watakuwa bado ni wazito kuelewa,hivi ukisema maulid ni bidaa,na mashindano ya Quraan si bidaa,makongamano si bidaa,Quraan kukusanywa si bidaa,Quraan kutiwa irabu si bidaa,haya yote aliyafanya mtume,ukisema Mashindano ya Quraan ni jambo la dini,kwenye maulid kunasomwa Quraan,kunatolewa mawaidha,anasaliwa mtume,kuna kuamrishana mema na kukatazana mabaya,kunatolewa sira ya mtume,sasa baya ni lipi enyi pote la kiwahabi,au niufahamu finyu na kutopenda kusoma wala kuuliza nini bidaa,Waislamu wa kweli waongofu wana wasi wasi na pote hili la kiwahabi,linalofadhiliwa na mayahudi na marekani na washirika wao

  • @ShuwehaOmary
    @ShuwehaOmary 2 дні тому +1

    Mzee wa ramli na majini

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 дні тому

    Nakukubali Sanaa sule unamadini najifunza mengi kupitia ww

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 3 дні тому

    Neema y Allah kuhadithia sio kujitangaza kwa mdomo, ni kwa matendo mfano kutoa sadaka, Au kisaidia watu, mwenyewe kuvaa n kula vizuri au kutumia kipando kizuri, hivyo ndio kuhadithia ama kuishikuru neema, kiufupi kuitumia kama dini ilivyotaka.

  • @masoudabdallah9878
    @masoudabdallah9878 День тому

    ila huy jamaa kweny elim ya dini hamna kitu

  • @PacchaYassin
    @PacchaYassin 2 дні тому

    Swadakta, mitume hakufanya mashindano ya Qur'an watu wakapata zawadi,
    Ko Cha manufaa kifanyike, nami pia naona nisawa umeongea jambo zur.

  • @kasimubangu1875
    @kasimubangu1875 2 дні тому

    Sule fanya usome sheria ya uislam ili uijue dini walau kidogo maana unachanganya changanya sana mambo hata maneno yako unavyozungumza mtu mwenye ufahamu wadini japo kidgo anajua kuwa ww ni mbabaishaji

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 3 дні тому +1

    MASHINDANO YA QUR'AN PIA NI BID'A

    • @NM-rq9dr
      @NM-rq9dr 2 дні тому

      Bado sijaelewa, unaweza kunielewesha vizuri kwa ihsani yako

    • @AliMohamed-w3b
      @AliMohamed-w3b 2 дні тому

      @NM-rq9dr Bid'a ni uzushi, yaani vitu vilivyokua haviko wakati wa mtume S.A.W, kama maulid, mashindano ya Qur'an na vyenginevyo, hata Dr. Sule kaelezea hapa kwenye Clip hii isikilize vizuri

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 2 дні тому +1

    WAKRISTO WOTE WASENGEE TU MAKUMA, MWEZ 3 TUNAWACHINJA WOTE KUMANINA ZENU 😂

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 2 дні тому

    Mimi na penda tabia ya waislam mtu akija kinyume na Mutah yani mwenendo wa M tume wetu mpendwa swalah Allahu aleyhi wasalam mnamueleza ukweli c watu wadini zingine wandanganyika kwa jina la bin adam mwenzao Yesu mpaka wanaingia ktk madhala makubwa ya kutoa uhai wao kwa ushirikina wao. sasa huyu sule aache kuigiza na usanii ktk dini kwani al Islam huwa sunna wasunna hiya L islam

  • @MirajiHanza
    @MirajiHanza День тому

    Sule sio kwamba hutamani kua kama kishki,,unatamani ila huwezi kwasababu wewe ni mganga mpiga ramli na kuacha umeshindwa,,,maana huwezi kazi nyingine,,,umezoea uganga huwezi kua kama kishki

  • @DescentengineeringAbednego
    @DescentengineeringAbednego День тому

    Kumbe misikiti ni yenu😅😅

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 3 дні тому +1

    Weuna elimu ila una kipaji cha kuongea Sheikhe kishki msomi mwana wa zuoni mkubwa ana masters upo

    • @imba7352
      @imba7352 3 дні тому

      Elimu ni pana sana aliyonayo kshk Dr sule Hana na aliyonayo Dr sule kshk hana

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 дні тому

      @imba7352 labda elimu ya kusema anaweza kuamlisha majini yampe pesa na ya kusoma biblia sio wakushindanishwa na Sheikhe Nurdin Kishki labda kama na wewe umezoea kwenda kwake kundishwa mapete hapo sawa

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 День тому

      Labda ushirikina

    • @hafsamosi6628
      @hafsamosi6628 День тому

      Elimu gani kwanza? ​@@imba7352

  • @SaidSallum-q8t
    @SaidSallum-q8t 3 дні тому +1

    Ww ulie uliza kwamba mashindano ya qur,an ni bidaa ndio maana ya bidaa ni kitu ambacho mtume wetu muhammad (s a w) hajakifanya

    • @fadhilmandaliabdalla6736
      @fadhilmandaliabdalla6736 3 дні тому

      Mtume pia hajasomesha watoto shule ya dunia, havaa suti wala hajatumia cm , hajapanda ndege, wala hajapanda boat, hivo vyote ni Bidaaa?

    • @sashaamoha
      @sashaamoha 2 дні тому

      😂😂😂😂😂 kweli maisha y sasa hasilimia kubwa ni bid'a​@@fadhilmandaliabdalla6736

  • @HalimaHassan-b7h
    @HalimaHassan-b7h 3 дні тому +3

    Mashindano ya Qur'an ni bid'a ????...tuambie

    • @hamissnjumba302
      @hamissnjumba302 3 дні тому

      ndio bidaa lakini kuna two types of bida
      means bidaa hasana and bidah kabiha
      kwahyo unavo sema bidaa ujue maanayake ni jambo lilianzishwa baada ya kufariki mtume au jambo lililoanzishwa ambalo mtume hajalielekeza
      na jambo hilo linaonekana Lina maslah katika uislamu
      ............................ wallah aalam.................

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 3 дні тому

      Watk uwambiwe mara ngp?au hujaelewa Nini hpo?mashndni y aur'an ni bid'aa

    • @Sh_Taqee
      @Sh_Taqee 3 дні тому

      Ukijua maana ya bidaa Utajua kila bidaa

  • @ahmadamigeyo3929
    @ahmadamigeyo3929 2 дні тому

    Wasalimie wanao hassan na amina

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 2 дні тому

    Msigombane kwaajili ya dini wengine watajifunza nini

  • @mudrickahmed3178
    @mudrickahmed3178 3 дні тому +1

    Hapo kwenye kumpokea shekh kishiki ume mpokeaje hahahahaha wakat we ni bibilia unayodili nayo quran uko mbali sana hadithi pia ila shekh kishiki ye msomi mkubwa hilo slipingiki pia kwenye biblia ni mweupe ajabobea na atujaona kijistoria umpokee hapa umetupiga tuache ujanja ktk dini pia kipimo cha umri akina hoja ya ubora zaidi ya uchamungu na hikma ni muhimu sana😅😅😅😅😅😅

  • @Kaankaraz
    @Kaankaraz День тому

    tofauti ni wewe ni mshirikina

  • @MomadeNtambo-m8o
    @MomadeNtambo-m8o 3 дні тому

    Jibu ni lá kungahunga sheh

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 3 дні тому +1

    Sule fundi,,na usipomuelewa huelewi tena

  • @Manyanya8551
    @Manyanya8551 2 дні тому

    Hapo umedhihirisha ujinga eti mashindano bidaa Hauwezi fananisha maulidi na mashindano ya Qur,an

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 2 дні тому

    We limbikeni tapeli

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 2 дні тому

    Mashekhe nyote wa zama hii Muna mitihani mikubwa na utatuz hayupo Wala hautotokea labda mtu afe bc Kila mmoja aende mbele ya mola wake wengine wanaendelea mpk Dunia itakwisha

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 2 дні тому

    Nyie mawahabi hamujitambui hata kidogo,,sasa nyie musiojielewa munasema hata kizuri ambacho hakufanya mtume ni bidaa,sasa mtume alifanya mashindano ya Quraan,mbona hamna uwelewa mawahabi,bidaa ni kitu kinachopingana na dini,mawahabi ni watupu

  • @ibraheemqassim3018
    @ibraheemqassim3018 2 дні тому

    Unapenda majigambo kishki kala ubwabwa kwako umekuja kutangaza kwenye mitandao😅

    • @athumanhassani805
      @athumanhassani805 2 дні тому

      Alicho kisema kama wewe ni Islam utamuelewa ametoa istoria chache baina yao naurafiki wao siokosa ila ufafanuzi wako ndio afifu

    • @kamanahamisi2042
      @kamanahamisi2042 2 дні тому

      😂😂😅

  • @GraceWilliam-d1w
    @GraceWilliam-d1w 2 дні тому

    Pepo yenu ipo hapahapa duniani

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 День тому

      Upo swa, washirikina wote mpka na ww kafir km hamjaacha mkarudia Allah.

  • @medinaser9712
    @medinaser9712 3 дні тому +1

    Sule kanza yeye kuhubiri na sasa kazayeye ushirikina

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 3 дні тому

    Hata mm ni answali

  • @DishonestTz
    @DishonestTz 3 дні тому

    Kumbe maulid ni akida duuuuh Kuna haja ya kukaa darasani

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 3 дні тому

      Na ww pia Kuna hja ya kukaa darasn kuijua bid'aa

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 2 дні тому

    Ila mna mitihani km nyie mashekhe munakaa hamuongei na ndio mashekhe haya Hawa wengine watafanya vip

  • @fundimorisho8230
    @fundimorisho8230 2 дні тому

    Dr sule yuko apo kwa kucafuwa wi islam kwajili yanja subiri siku umauti utakapo kufikiya ndiyo utaona uyo ujanja wako hufayi sunajifanya weye nimjanja powa

  • @dasadremandad9208
    @dasadremandad9208 2 дні тому

    Tapeli

  • @OMARABDALA-w1i
    @OMARABDALA-w1i 2 дні тому

    Wee sule ni mshirikina kama washirikina wengine tu

  • @AbdulkarimNissa
    @AbdulkarimNissa 2 дні тому

    Ww ndo unajudanganya

  • @ASIAIDDIBAKARI
    @ASIAIDDIBAKARI День тому

    Namimi Leo mgeni wako takuja kula mchana

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 2 дні тому

    Waandishi acheni ujinga

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 2 дні тому

    ELIMU ELIMU ELIMU
    KAKA SULE UMEANZA ULINGANIZI MUDA MREFU LAKINI SIJUI UISLAM ULISOMEA MADRASA IPI ?????
    TATIZO KUBWA WALINGANIZI WETU HAMPENDI KUSOMA UISLAM
    MUMEZOEA UJANJA UJANJA

  • @thabitimkufi7388
    @thabitimkufi7388 2 дні тому

    Ila nyie wa maulidi jaman akida zenu hizo za kufuga majini dahh mnatia dosari

  • @bakarhemed342
    @bakarhemed342 День тому

    Sule ni mganga...na nyie hii tv kama kweli ya uislam msimpost huyu. Sheikh wa kweli hawez kujisifu hivi

  • @SheheSule
    @SheheSule 2 дні тому

    Mmetofautiana kwenye akida ww una akida gani sasa

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 3 дні тому +1

    Kisto tumaini letu

    • @NoorynMody
      @NoorynMody 3 дні тому

      Ssa uku amekuita nani?😂

    • @Maarifa_snr
      @Maarifa_snr 3 дні тому

      Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu mwenzie

    • @BouShakuri
      @BouShakuri 2 дні тому

      ​@@NoorynMody😂😂kisto nd nn?

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 День тому

      Ww na huyo Sule nyote washirikina. Ww mshirikina wa kumshirikisha Allah na Mtume wake na Yy wa kumshirikisha Allah na majini/mashaitwani. Hasbunallahu

  • @Tufay-5
    @Tufay-5 2 дні тому

    Sasa wewe mganga unasema unapishana akida na sheikh nurdin kishk mwenye kufanya hivyo ni mtu mwenye elimu sasa wewe dini ulisoma wapi? Wewe ni mtoto wa mjini janja janja tu na kutapeli watu ila elimu ya dini hauna sababu hujasoma usidanganye watu

  • @ShabaniRashidi-d2v
    @ShabaniRashidi-d2v 3 дні тому

    Kuna hadithi gani au aya gani inayowafanya msheherekee maulidi??

    • @salimjuma9837
      @salimjuma9837 3 дні тому

      Kuna hadith gani inayosema watu wasifanye mawlid

    • @ShabaniRashidi-d2v
      @ShabaniRashidi-d2v 3 дні тому

      @salimjuma9837 atufanyi maulidi sababu ni uzushi,hakuna aya wala hadithi inayotuamrisha kufanya hivyo hata masahaba hawajafanya huo uzushi ,kama unafanya kitu hakijafanywa na mtume wala masahaba huo ni uzushi,mngejua hiyo tafsiri ya kitabu chenu ballazanji ndo mngejua kweli ni bidaa

    • @MaisaraIbrahim-i9b
      @MaisaraIbrahim-i9b 2 дні тому

      Kabla ya kurukia Maulid ungeanza kwanza kutaja Aya gani au hadithi inayowafanya muandae mashindano ya Quran Tena kwenye viwanja vyenye najisi ya pombe, mikojo ya wacheza mpira

    • @MaisaraIbrahim-i9b
      @MaisaraIbrahim-i9b 2 дні тому

      Yaani mawahabi mna akili fupi sana,sasa mnapinga Maulid kwa hiyo Mtume hakuzaliwa? Yaani Mawahabi hamjui hata maana ya neno Maulid. Maulid maana yake ni mazazi. Sasa kuadhimisha mazazi kuna shida gani mbona watoto wenu mnarekodi wamezaliwa lini, basi acheni kwanza kuandikisha vyeti vya Kuzaliwa. Mna akili fupi sana, nyie sio waislam ni makafiri mnaovaa kanzu

    • @MaisaraIbrahim-i9b
      @MaisaraIbrahim-i9b 2 дні тому

      ​@@ShabaniRashidi-d2vkasome dini kwanza acha ukafiri, hujui hata maana ya neno Maulid, kwa hiyo Mtume hakuzaliwa? Wewe unatumia simu kuna Aya au hadithi ya Mtume unayempinga ya kukwambia utumie simu iliyotengenezwa na makafiri ambayo kuna mapicha ya uchi nk juha mkubwa wewe

  • @rev.pasteuraimablebaobabt.v.
    @rev.pasteuraimablebaobabt.v. 3 дні тому +5

    Njoo kwa Yesu Mwokozi❤❤📖🖐️

    • @FxL_87
      @FxL_87 3 дні тому +5

      Tafuta channel za Manabii FEKI 😂
      Waislam hatuna manabii kwa sasa hivi ila wakristo wako kama wote wazee wa maji na mafuta ya upako

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 3 дні тому

      Bila shaka wewe unaongozwa na roho mtakavitu​@@FxL_87

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 дні тому +2

      Yesu ni binadamu mwenzako acha kumuabudu

    • @SuleimanKhdija
      @SuleimanKhdija 2 дні тому

      Mtihani

    • @PacchaYassin
      @PacchaYassin 2 дні тому

      Mwokozi ni mungu pekee, acha kuwa mshilikina, wakumuabudu mtu kama ww yesu, binadam,

  • @khitamcaptainveca5045
    @khitamcaptainveca5045 3 дні тому +2

    Na mimi piya suali yangu ijibiwe tafadhali .
    Nimeona Sheikh Nurdin Kishki akishambulia Dr Sulle mara kadha online kwamba Sulle hana ilimu .
    Alafu baada ya Radi za Yussuf diwani na Muhamad mbachu .
    Nursing kishki alitowa clip burundi akionyesha .
    Mbona ma Shekhi anashambuliya na waki ambiya wangine hawana ilimu .
    Basi watu wapendane kama waislam.
    Sasa suali yangu hivy : 1 Nurdin kishki anajuwa kwamba yeye ndio wakwanza ama vipi ?
    2 Mbona watu watwarika wanenda
    Kwa msabakati Quran na Nurdin kishki aki halikwa Mawlidi Haji ? .
    Si atumie hishama na mapenzi yakislam kama wanzake

  • @bijou5038
    @bijou5038 2 дні тому +1

    Wewe nimuongo mwizi munafiki halafu unadeni kibao zawatu unawadanganya kua utawapa dawa halafu hauwapatiyi dawa unawaiibiya halafu unawa block aswa sisi wenye kuishi inchi za ulaya

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 2 дні тому

    Ila sule ni jaahil leo ndio nimejua hilo tumsamehe tu

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 3 дні тому

    Shee au mganga wa kienyeji

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 3 дні тому

    Kufanya mashindindo ya Qur-an bidaa?? Acha utapeli huo, Mtume hajavaa suti wala hajatumia simu, na wala hajawahi wapeleka watoto wake shule ya kidunia , wewe vyote unafanya hivo vipi ni Bidaa @Dr. Sule? Mtume hajawah kuvaa saa wala kutumia mtandao wa kijamii vipi ni bidaa hivo?

  • @mashachitumbo5488
    @mashachitumbo5488 3 дні тому

    Sadaka sio neema wewe

  • @PeterAdam-nw7lf
    @PeterAdam-nw7lf 3 дні тому +1

    Chiz kwl uyu

    • @LeylathYahsin
      @LeylathYahsin 3 дні тому

      @@PeterAdam-nw7lf wew Kafiri hizo akili umeztoa wap??

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 3 дні тому +2

    dini ya unafiki hii sijapata ona, hakika YESU ni njia, yani Muhamadi kawadanganya sana waislam

    • @hamissnjumba302
      @hamissnjumba302 3 дні тому +1

      wewe unasema ni dini ya kinafki basi angalau ni dini he wewe una dini? una kitabu una mungu ? nikiwa na uhakika vyote hivyo huna

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 3 дні тому

      Bila shaka wewe inaongozwa na roho mtakavitu

    • @NoorynMody
      @NoorynMody 3 дні тому

      Hyo yesu kakupa ukwel gani?😂

    • @DishonestTz
      @DishonestTz 3 дні тому +1

      Ukapimwe akili

    • @HasaniSasi
      @HasaniSasi 3 дні тому

      24:24 mathayo kasome inaonyesha ww haujui kitu

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 3 дні тому

    Na sheikh kishki amefanya makubwa kwenye kueneza Sunnah ya mtume salallahu alayhi wasalaam,aaaaaaah kumbe unajijua wewe ahlul bidaa

  • @hassanmaganga1544
    @hassanmaganga1544 2 дні тому

    MAASHAALLAA

  • @AsmasaidiTitu
    @AsmasaidiTitu 2 дні тому

    Mashallah

  • @Salsabiil12
    @Salsabiil12 3 дні тому +1

    ❤❤❤

  • @HassanFundi-xy6nd
    @HassanFundi-xy6nd 2 дні тому

    Tapeli

  • @hassanmaganga1544
    @hassanmaganga1544 2 дні тому

    MAASHAALLAA

  • @hamisi-d4p
    @hamisi-d4p 3 дні тому +1

    ❤❤❤❤❤