ONYO "MATAJIRI MNAOFUTURISHA KAMA HAMUWEZI ACHENI | KUNA ULAZIMA GANI HADI MUWAPIGE PICHA"SHK ZAIDI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • #ShkZaidiMakubuli #ZvpOnlineTv #Tabora

КОМЕНТАРІ • 34

  • @user-rv2gb2gi7q
    @user-rv2gb2gi7q 4 місяці тому +2

    SHEIKH ZAID,Allah allujalie mwisho mwema na udumu ktk msimamo wako huo wa kusema kweli

  • @amadtima9238
    @amadtima9238 12 днів тому +1

    Nice

  • @2003hintay
    @2003hintay 4 місяці тому +1

    Asante sana Sheikh uko. Vizur sana

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 4 місяці тому +1

    Allah akubaliki

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 4 місяці тому +3

    mungu akupe afya.nipo kenya

  • @mbwawafillingstation
    @mbwawafillingstation 4 місяці тому

    Shehe Zaidi unasemaga kweli kabisa duwa zako imenisaidia

  • @Mustakimuhudi
    @Mustakimuhudi 2 місяці тому

    Shukranishekhkaribukisakimorogorokusini

  • @ExecutiveHouseKeeperElewana
    @ExecutiveHouseKeeperElewana 4 місяці тому

    Sheikh hongera sn.Namba ya simu ya sheikh

  • @user-rf4yq9yj7u
    @user-rf4yq9yj7u 4 місяці тому +2

    Wapo wanaepiga picha kwa riya ambapo haifai na wapo wanaopiga picha kwa nia nzuri na safi kwamba aliotoa sadaka nae aone sadaka yake imefika awe na amani maaana watu wengi wanapoaminiwa kufikisha sadaka hawazifikishi sio kwamba wanawadhalilisha watu

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 4 місяці тому +1

    sheikh .asante sana.mdogo wangu aliuza figo yake.Akapewa gari.Nipo kenya.mungu akupe afya.

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 4 місяці тому +1

    Sheikh nashukuru kwa kujitoa MUHANGA kukemea hiyi dhihaka inayo endelea.
    Na haswa kuna hili kundi hatari jipya linaitwa machawa hili kundi ni hatari

  • @HusseinKarumna
    @HusseinKarumna 4 місяці тому

    Kk unatakiwa kusoma kwanza kabla ya kutoa mawaidha unamkosea sana Mtume wetu صلى الله عليه وسلم hadidhi haipo hivyo ulivyo isoma Allaah atuongoze

    • @zaidmakuburi5270
      @zaidmakuburi5270 4 місяці тому

      Safi bingwa wa kukosoa ifundishe wewe

    • @zaidmakuburi5270
      @zaidmakuburi5270 4 місяці тому

      Elim gani

    • @HusseinKarumna
      @HusseinKarumna 4 місяці тому

      @@zaidmakuburi5270
      أصول الدعوة Kauli ya kusema kuna makabila haifai kuoa Haina mashiko yoyote bali ni kueneza ubaguzi kuna vigezo kk Uislamu vilipatikana kwa mwanaume na mwanamke bc hapo halitazamwi kabila إن أكرمكم عند الله أتقى كم ndio maana kabla husema watakuwa kusoma

  • @user-xw7il4jd8h
    @user-xw7il4jd8h 4 місяці тому +1

    Shekh ni muda wa itikafu

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 4 місяці тому

    Kazi yao ria waonekane kama wanafutarisha

  • @twalibmavumba
    @twalibmavumba 4 місяці тому +1

    WAPE WAPE WAPE ALHABIBIIIII 😂😂😂

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 місяці тому

    Jamaaati wafurada

  • @kaidiSaid-ot9nl
    @kaidiSaid-ot9nl 4 місяці тому

    Ufuturishaji unatumika kamabiashara tajirikeni sijui kwa Allah ilamaneno ni matamu

  • @mussabuhe8881
    @mussabuhe8881 4 місяці тому +1

    nikweli shehe

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 4 місяці тому

    Wataonekana vipi kama wanafutarisha ikiwa hajawapiga picha watu wakati wakuwafutarisha

  • @user-pv4qj7dw6m
    @user-pv4qj7dw6m 4 місяці тому

    Shekhe mbona wanafunziwako kamera hawaonekani sasa unaonekana wewe na uyo mzee

  • @twalibmavumba
    @twalibmavumba 4 місяці тому

    WATU WANATOA ILI WAPATE VIEWERS 😂😂😂

    • @user-fc4vl8zi4r
      @user-fc4vl8zi4r 4 місяці тому

      Sio wote wengine wanatuhamasisha na sisi tutoe

    • @twalibmavumba
      @twalibmavumba 4 місяці тому

      Dini haipo ivyo kaka, Kama huamamisishwi na mawaidha ya kutoa hata uone aje malaika huwezi hamasika kutoa

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 4 місяці тому

      Dini haina kuhamasisha sio mpira.​@@user-fc4vl8zi4r