Nikosa kisheria Mtumishi wa Umma kujinasibisha na mrengo wa siasa - Mhe. Othman

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 48

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 2 місяці тому +1

    Hii inafanywa kwa makusudi kwa Serikali kutuchagulia vibwengo wasio na elimu,haya na hata maadili!kama huyu sheha!mwendawazimu,mjinga asiyejielewa!

  • @MakameAly
    @MakameAly 2 місяці тому +2

    Tatizo hatuwachaguwi wananchi

  • @hamadsobo304
    @hamadsobo304 2 місяці тому +2

    Kutojielewa nishida jamani wafundisheni majukumu yao.

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 2 місяці тому +2

    Viongozi baadhi ni mambumbumbu

  • @OmarAbdiOmar-q8u
    @OmarAbdiOmar-q8u 2 місяці тому +2

    Wasomeshe hawo mheshimiwa hawo

  • @rashidseif-i3b
    @rashidseif-i3b 2 місяці тому +3

    Ccm hata hizo sheria hawazijui wao kazi yao ni kuvaa mitambara ya kijan kama jenenza.
    Ccm kila sehemu wanajifanya wao ni wababe,masheha wengi wana viburi kwa baadhi ya raia wake,hasa wa upinzan

  • @ahmedhemed3983
    @ahmedhemed3983 2 місяці тому

    Hi

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 2 місяці тому

    Heeeee! Iyo apo shida, Hebu sameheaneni kwanza ili muwe ki2 kimoja nyote. Mtakuja uwana mukiwa nyote 1 family Zanzibar.

  • @SaidHassan-ot3un
    @SaidHassan-ot3un 2 місяці тому +2

    Waambie sababu hata vipengele vya katiba vyakujuwa wajibu wao hawavielewi shida tupu

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 місяці тому +1

    I think education is fondation

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 2 місяці тому

    Matusi hayo yamehalalishwa

  • @himidomy4077
    @himidomy4077 2 місяці тому +1

    Mm naona ww Omo hujielewi ww mbn ulionesha usiasa wako kweny bunge la katiba

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 2 місяці тому

      @@himidomy4077 mpumbavu sana omo ila wapumbavu zaidi wanaokaa na kumsikiliza bila kupima anacho kisema na anacho kitenda nina wasi wasi na usomi wake

    • @NassorRashid-g9y
      @NassorRashid-g9y 2 місяці тому

      Wewe ndie usiejielewa,Ile katiba kwani ilikuwa ni ya siasa au ni ya Tanzania?
      Na kama ulitaka aonyeshe usiasa wake unajua aliemteua alikuwa ni nani?
      Nijibu tuendelee kama hujui Kaa kimya

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 2 місяці тому

      @NassorRashid-g9y aliuteuliwa na nani nambie sijui

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 2 місяці тому

      Ila kiufupi kuna kuonyesha usiasa na kuwajibika elewa ivo vitu

    • @NassorRashid-g9y
      @NassorRashid-g9y 2 місяці тому

      Kumbe hujui kipindi hiko alikuwa ana cheo gani na aliteuliwa na nani?
      Aliteuliwa na Shein kuwa Mwanasheria mkuu wa ZANZIBAR na aliingia ktk bunge la katiba kama Mwanasheria mkuu wa ZANZIBAR ambae anaitetea Zanzibar. Je hapo aliingia kisiasa?

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 місяці тому +1

    Hayo maneno yako kwa ccm naona kama unapepea mwiku 😂

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 2 місяці тому

      Lkn emeshatimiza wajibu wake

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 2 місяці тому

      @@SaidHassan-ot3un wajibu gani kama kweli alitaka kutimiza wajibu alikuwa aikatae nafasi alo nayo aje benchi huku asote pamoja nasi halafu aonyeshe mapambano yake,serikali ya wizi,ushenzi ,wauwaji ,hawafanyi maendeleo,kumbe yeye analishwa anavishwa analindwa na anapata maslahi yake kwenye serikali iyoiyo ilokuwa haifai,kwa watu waliofika angalau darasa la saba wakaweza kufikiri kidogo basi watajua kuwa omo kumbe nae ...............

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j 2 місяці тому

    Nikiambiwa wee mwanasheria hasa napata wasi wasi watumishi wote wana vyama vya siasa na kwa mujibu wa katiba ili uweze kuendesha serikali lazima uwe na chama cha siasa kwaiyo kama wewe makamo unawakilisha chama chako cha siasa unavaa matambara ya mzimu yale na unatukana majukwaani ashindwe sheha kusema kama yeye nae wa kijani,😂 acha ufinyu wa akili

    • @AliAli-u7t4p
      @AliAli-u7t4p 2 місяці тому +1

      Duu, kumbe kuna watu ufahamu ni mdogo sana. Tatizo hujuwi kama hujuwi.
      Iko hivi Kwenye nchi kuna vyama na huongoza na huomba ridhaa kwa wananchi. Hao wanaweza kuninadi na kunadi sera, na mafanikio, kuvaa nguo na kujinasibisha na siasa openly.
      Wakishachaguliwa wanabaki kuwa wanasiaa na watumishi wa serikali. Wanatakiwa kutumikia vyama na Serikali. Kwa maana hio kutumikia serikali ni kutumikia wananchi wote, aliekuchaguwa au niseme wavyama vyote, Equal.
      Sasa Ukiacha wanasiasa kuna wstumishi waserikali. Walimu, madaktari, majaji, masheha, wakuu wa mikoa,na wilaya. N pia majeshi na mapolisi.
      Hawa hata kama wanavyama au wamechaguliwa kwa misingi na itikadi ya chama anachokishabikia hapaswi kujishughulsha na Siasa. Ndio sheria ilivyo. Kuona Mkuu wa mkoa, wilaya, police au sheha kwenye majukwaa ya kisiasa ni uhuni na uvunjifu wa sheria za nchi.
      Inatakiwa mtumishi mfano mwalimu wa school asitumie nafasi ya uwalimu hata kama ni ccm, kupiga kampeni au kutumia nafasi kisiasa. Wako wafanyakazi miaka ya Tisini, walifukuzwa kazi kwa kile kilichoitwa kujihusisha na siasa. Hao walikuwa Cuf wakati huo.
      Tatizo lako na nisema ndio Tatizo la nchi Nzima. Watu hawajuwi haki zao, lakini pia kazi zao, na ccm imewadumaza. Mtumishi wa watu anadhani ni wachama.

    • @YalkinAlkindy-nt2hf
      @YalkinAlkindy-nt2hf 2 місяці тому +1

      Chizi huwa hajijuu kuwa yeye ni chizi ,Yaan apo unajiona umeongea point vile😂

    • @YalkinAlkindy-nt2hf
      @YalkinAlkindy-nt2hf 2 місяці тому

      ​@@AliAli-u7t4p 🫡

    • @salyali7807
      @salyali7807 2 місяці тому

      😂😂😂😂​@@YalkinAlkindy-nt2hf

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j 2 місяці тому

    Omo acha umbumbumbu kwani makamo wa rais sio mtumishi wa serikali mbona unashabikia act haiwi rais ana cha ma chake ije iwe sheha

    • @husseindiaby5097
      @husseindiaby5097 2 місяці тому +1

      Lakini yeye Omo ni kiongozi wa kisiasa pamoja na muheshimiwa mwinyi na wakilishi wote wana haki ya kusema wao wako mrengo gani kisiasa Masheha hawachaguliwi kisiasa kama ilivyo bara hawatakiwi kuegemea mrengo wowote
      Wewe ndio mfinyu wa Elimu sio Omo

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 2 місяці тому

      @husseindiaby5097 kuna suala la utumishi na suala la siasa wanapotekeleza wajibu wao wa utumishi hawatakiwi kutekeleza kisiasa na ndo maana sheha hachagui mtu wa kumhudumia yeyote anampa huduma lakini si vibaya kusema kama yeye ni act au ccm au chadema,

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 2 місяці тому

      Hata kama sheha anateuliwa wee jiulize anateuliwa na nani na uyo anae mteua yupo upande gani kisiasa,viongozi wengi wa serikali ambao ni watumishi wa umma ambao ni mawaziri wakurugenz na wengineo wote wana vyama vyao vya siasa na vinajulikana mpaka rais ni kiongoz wa umma na ana chama chake haiwezekani sheha awe hana cha ma,hata ao wabunge wapo wamechaguliwa kwenye vyama vyao lakini wanawakilisha wananchi wote na wapo wengine wameteuliwa lakini wote wametoka kwenye vyama,hebu kuweni na akili ya kufikiri sheha yee katokea mbinguni hata awe hana chama

    • @SuolFat
      @SuolFat 2 місяці тому +1

      Na mwinyi je mbona anashabikia ccm mwambie aache umwehu

    • @AishaSalum-hq8zq
      @AishaSalum-hq8zq 2 місяці тому +1

      Wewe upelekwe tena darasani tena akuli ya dole