- 352
- 538 474
Makamu Wa Kwanza Wa Rais Zanzibar
Tanzania
Приєднався 8 січ 2021
Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Відео
Viongozi tusijisahau tutawajibishwa Mbele ya Mwenyezi Mungu -Mhe. Othman
Переглядів 1,5 тис.14 днів тому
Dua ya kuombea Viongozi Pandani Pemba.
Tuwekeze katika Malezi bora ya Watoto wetu - Mhe. Othman
Переглядів 39821 день тому
Tuwekeze katika Malezi bora ya Watoto wetu - Mhe. Othman
Mheshimiwa Othman awaombea Dua Wanazuoni na watu Mashuhuri, Makunduchi Kusini Unguja.
Переглядів 1,4 тис.21 день тому
Mheshimiwa Othman awaombea Dua Wanazuoni na watu Mashuhuri, Makunduchi Kusini Unguja.
Wakaazi wa Kiungoni Pemba wavutiwa na Uungwana wa Mhe. Othman
Переглядів 1,1 тис.21 день тому
Wakaazi wa Kiungoni Pemba wavutiwa na Uungwana wa Mhe. Othman
Mhe. Othman ashiriki kilele cha Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Переглядів 8 тис.28 днів тому
Mhe. Othman ashiriki kilele cha Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Tuifanye Misikiti kuwa pahala pa malezi ya Nafsi zetu - Mhe. Othman
Переглядів 2,5 тис.28 днів тому
Ufunguzi wa Msikiti Kijuki Pemba
Nawatakia Majukumu mema na Kuwaombea Kheri ya Mwaka Mpya wa 2025 wafanyakazi wenzangu.
Переглядів 3,2 тис.Місяць тому
Nawatakia Majukumu mema na Kuwaombea Kheri ya Mwaka Mpya wa 2025 wafanyakazi wenzangu.
Haya yanayofanyika fedha zake zilitokana na kazi yetu sisi [ACT Wazalendo].Mhe. Othman Masoud
Переглядів 1,9 тис.Місяць тому
Haya yanayofanyika fedha zake zilitokana na kazi yetu sisi [ACT Wazalendo].Mhe. Othman Masoud
Sumu ya kuiua Amani ni kukosekana Haki - Mhe. Othman Masoud
Переглядів 1,7 тис.Місяць тому
Sumu ya kuiua Amani ni kukosekana Haki - Mhe. Othman Masoud
Tendeni haki kujenga imani ya Wananchi. Mhe. Othman
Переглядів 3,1 тис.Місяць тому
Tendeni haki kujenga imani ya Wananchi. Mhe. Othman
Hakuna aliyepo juu ya sheria, lazima haki itendeke
Переглядів 4,1 тис.Місяць тому
Hakuna aliyepo juu ya sheria, lazima haki itendeke
Tunaboresha huduma za Afya kwakuwaweka madaktari karibu - Mhe. Othman
Переглядів 1,6 тис.Місяць тому
Tunaboresha huduma za Afya kwakuwaweka madaktari karibu - Mhe. Othman
Utitiri wa mifumo ya kodi, unaua Biashara - Mhe. Othman
Переглядів 1,7 тис.Місяць тому
Utitiri wa mifumo ya kodi, unaua Biashara - Mhe. Othman
Uwajibikaji , Utawala wa sheria na Uwazi ni chachu ya kujenga Demokrasia, Uchumi wa Soko huria
Переглядів 852Місяць тому
Uwajibikaji , Utawala wa sheria na Uwazi ni chachu ya kujenga Demokrasia, Uchumi wa Soko huria
Uchaguzi hausababishi Mfarakano, bali vurugu hupangwa na wenye Mamlaka - Mhe. Othman
Переглядів 564Місяць тому
Uchaguzi hausababishi Mfarakano, bali vurugu hupangwa na wenye Mamlaka - Mhe. Othman
Wajibu wangu namba Moja ni kuilinda Katiba ya Nchi hii, Hatutakubali kura ya siku mbili- Mhe. Othman
Переглядів 1,9 тис.2 місяці тому
Wajibu wangu namba Moja ni kuilinda Katiba ya Nchi hii, Hatutakubali kura ya siku mbili- Mhe. Othman
Msingi wa Mapambano yetu, ni Uzalendo wa Nchi yetu. Mhe. Othman
Переглядів 2,5 тис.2 місяці тому
Msingi wa Mapambano yetu, ni Uzalendo wa Nchi yetu. Mhe. Othman
Hatuwezi kuombea Amani tukasahau kuombea Haki, huko nikujidanganya.Mhe. Othman
Переглядів 7 тис.2 місяці тому
Hatuwezi kuombea Amani tukasahau kuombea Haki, huko nikujidanganya.Mhe. Othman
Uchaguzi wa siku mbili ni kinyume na Katiba, ni Batili Mhe. Othman
Переглядів 13 тис.2 місяці тому
Uchaguzi wa siku mbili ni kinyume na Katiba, ni Batili Mhe. Othman
Ni wajibu kwa kila mmoja wetu, kulinda Haki za Watu wenye Ulemavu.Mhe. Othman
Переглядів 2 тис.2 місяці тому
Ni wajibu kwa kila mmoja wetu, kulinda Haki za Watu wenye Ulemavu.Mhe. Othman
Nikosa kisheria Mtumishi wa Umma kujinasibisha na mrengo wa siasa - Mhe. Othman
Переглядів 5 тис.2 місяці тому
Nikosa kisheria Mtumishi wa Umma kujinasibisha na mrengo wa siasa - Mhe. Othman
Zingatia haki Tumalize UKIMWI - Mhe. Othman
Переглядів 1,7 тис.2 місяці тому
Zingatia haki Tumalize UKIMWI - Mhe. Othman
Ni wajibu wetu Viongozi kuwasaidia Wananchi wetu.Mhe. Othman
Переглядів 1,2 тис.2 місяці тому
Ni wajibu wetu Viongozi kuwasaidia Wananchi wetu.Mhe. Othman
Hitimisho la Ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Nchini Hispania.
Переглядів 1,4 тис.2 місяці тому
Hitimisho la Ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Nchini Hispania.
Ushiriki wa Mhe. Othman katika Mkutano wa Dunia wa huko Hispania, ni fursa muhimu kwa Nchi.
Переглядів 1,1 тис.2 місяці тому
Ushiriki wa Mhe. Othman katika Mkutano wa Dunia wa huko Hispania, ni fursa muhimu kwa Nchi.
Tupo tayar kupokea fursa kwaajili ya kukuza Utalii na Uchumi wa Zanzibar Mhe. Othman
Переглядів 1 тис.2 місяці тому
Tupo tayar kupokea fursa kwaajili ya kukuza Utalii na Uchumi wa Zanzibar Mhe. Othman
Mipango bora itaibua fursa nyingi za Kiuchumi Zanzibar
Переглядів 1,3 тис.2 місяці тому
Mipango bora itaibua fursa nyingi za Kiuchumi Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais akutana na viongozi na watu mashuhuri kutoka Mataifa mbali mbali Duniani
Переглядів 1,5 тис.2 місяці тому
Makamu wa Kwanza wa Rais akutana na viongozi na watu mashuhuri kutoka Mataifa mbali mbali Duniani
Zanzibar yetu ni Urithi, Tujifunze, Tuutunze na Tuuendeleze. Mhe. Othman
Переглядів 1,1 тис.2 місяці тому
Zanzibar yetu ni Urithi, Tujifunze, Tuutunze na Tuuendeleze. Mhe. Othman
Chanzo cha machafuko zanzibar ni uchavuzi mara mbili
Babu wa mkuranga kazoea dhulma.
Mungu ndio hakimu wa yote
Chama ni ccm tu ukikiona tu unashtuka lkn awa wengne chumia tumbo tu ccm oyeeeeeeeeeeeeee
Ovyooooo
Ovyooo wewe unaeunga mkono dhulma paka we
Dah mm kila niki muona babu duni nahisi km namuona Malim Seif
Haha mstaafu kaambiwa akate mate tu hio haha 😄 simchezo
Mansur yukowap
Haoni haya kujiita rais.tena rais wenyewe Kwa njia za dhulma.Ama kweli Dunia hadaa
TRUE POINT
Duwa kila mwezi zisomwe. Mwezi wa Ramadhani isometric alibadiri kubwa iunganishwe na mashekhe kutoka sehemu mbalimbali kwasababu atakayekusudua kuiendea kinyume Zanzibar duwa iyo imuangamize imsababishie maradhi casino na treatments ila(Kifo).
Omo usonge sn hao watitoa
omo kama ulivyo fanya katika bunge bc mara hiii usikubali tuu
act wazalendo sheme sote sio tumuachie mmja tuu
amekaa makamo wa kwnza miaka 5 hajafanya jmbo naende uko
Huyu mama yupo sw sana
Ccm ndio mwisho wao
Mutaisoma no , hatuwachien ngooo.
Nyimbo mbaya haichombezewi mtoto tumuombe Allah Taala aturuzuku Amani na Salama
Roho kwa Roho masheha wacheni upuuzi huo .CCM wingi ni wakuja tu Zanzibar tunataka Nchi yetu .Mwaka huu tukiwaachia hawa tumekwisha Lazima tusikubali mwaka huu .
Vikosi wanakuja kuandikisha huko
Hii inchi inaenda kifalme
Mkono kwa mkono hadi ikulu
Omooooo safisha baba
Champ dume oyee
Mimi sio MTU wa siasa but huyu jamaa omo ukimsikiliza yaani CCM unawaona wapumbavu wa kufungwa kiguzoni.
Huyu namuelewa sana wallsh
Mungu akupe Umri mrefu na afya njema
Omo❤
Mungu atusimamiye inshaa allah
Sahau kabisa haupati hata viti 2 si Unguja wala Pemba . Katika taka zilizokuwepo kumbuka pamoja nawewe kwamana ulikuwepo
Safi Sanaa ❤❤
Nakukubali muhesmiwa unaongea ukweli siku zote ukweli utabakikua ukweli t
Tunaomba kiwanda Cha maziwa Pemba muheshimiwa makam omo
Wanao coment humu wengi wabaguzi unaona tu maneno yao watanganyika wanahusika nini hichi si chama Maalim kaondoka na kilakitu😊
Ubaguzi upo wapi Wakati mnaoneshwa njia ya kuitafute Tanganyika yenu
Nimefurahi sana kurudishwa mwinyi kugombea mana tumapiga penalt zetu mapemaaa wana act than kma kuna mechi ndio tutaicheza ikulu na mh othman masoud
😂😂 Pimbi unachekesha
iko siku. yao. mungu halali.
@@mozakhamis7253 mungu ni wa viumbe vyote usiongee as if hamna mabaya mnayo fanya .... Mungu huweka baraka zake kwenye nia njema......... wengine wameficha nia zao mbaya ila usoni utaona kama wana nia njema ...... Ila Allah hapendi watu wanafiki Wanasiasa wengi ni wanafiki sana ......
ccm ni majibwa koko. tu.
sasa nvombo. vahaları ni vingi. hakuna haja. yakusibiri tume. yauchanguzi hilo ni muhimu mno
ndungu zangu. maneno kwenye kutangazwa siku zote tunashinda. ila. hapo ndio tatizo. sasa lazima. tukishinda. tujitangaze wenyewe. tusingojee. tume. ni yanyani. lazima ampe ngendere.
Kweli kabisa
Wewe ndio rais unaetufaa kabisa kutuongoza kwenye mamalaka kamili ya Zanzibar❤❤❤❤ kura kwa Act wazalendo❤❤
Wasiasa wetu du
Juzi wakazidi kujichanganya,eti deni la taifa kwa wao ni la ndani tu la nje bara ndio wahusika,kwa io wasiambiwe wana deni kubwa,raisi makamo wa pili na waziri wao wa fedha hawaelewani wanasema nini
Mungu atujaaliee atupee nusraa insha allah yakuichukuaa nchii hii kutokaa ktk ubeparii wa tanganyikaa
Ccm hawajawh jushindwa wala hutowashinda unawalaghai vijan mwisho wake utaenda kujiunga na serekali ivo unayoikosowa haijafanya maendeleo lkn ww unakula mishahara wafuas wako unawacha mataa
Sw kafirweeeeee
Katika jambo walilofanikiwa CCM kwa watanzania ni kuwatia ujinga na wewe ndio one of their products
@@salyali7807😂😂😂 mbona km umekasirika
Kamuulize Mh. Balozi Ali Karume kama unajitoa fahamu...
@@AloukAlriyaamy Muulize wewe 😅😅... Kwan kupayuka kuna VAT c unajiropokea tu na wewe jiropokee tuu km yeye
Acha unafk ccm haikup nch at iweje
Acha kupanic, unafki upi hapo ameongea? 😅
Sawa hawatoi ila kumbuka mwenye uwezo ni Allwah pekoe yake wew panic 2
Wanasiasa watu wa ajabu sana, sasa wewe mbona upo humo humo, kama kweli wewe ni msimamia wa haki usingekula kiapo ukawa Miongoni mwa hio serikali kipensi. 😂😂😂 Hivyo visiwa unavitaja kuna gap kubwa kati ya walionacho na wasio nacho. Sasa kama wewe una policy hio ya kuijenga nchi kwa matabaka sawa.
Kuwemo kwenye serekali kwa othman masoud kuwa makamo wa kwanza kwanza nataka ufahamu sio takwa lake ni takwa la katiba halfu pia sisi wanachama wa act wazalendo ndo tumemtaka awepo yeye kwenye hioo serekali kwahyo pilipili usoila yakuwashia nini
@aksamhisham9862 kujitoa au kukataa kwenye zulma hakumfanyi kuvunja katiba. Hata hivyo ni ndoto kuingia ndani ya * Bermuda Tangle "
@@aksamhisham9862😂😂😂 mbona utetezi wako ni wa kindeeeeezzzzzz sana .... Kwaiyo nyama ya nguruwe ni haramu ila mchuuzi anakunywa 😂😂😂 , hebu tumieni akili zenu vzr msiwe mazuzu kiasi chote icho 😂😂😂
@@aksamhisham9862 acha kujichanganya wewe .... Ni takwa la katiba au nyinyi wanachama 🤣🤣🤣.... Mwache anywe mchuuzi nyama ni haramu 🤣😂
@@mwanangusana mbona yule alieitwa na Muumba aligoma kuingia kwenye zulma ya mwaka 20015, na ni yeye nde aliyarithi makubadhi yake.
Kazi nzuri sana
Iitwe polisi ccm
Wambie baba