Nakubaliana na wewe 100% lakini muungano wa nchi sio kama ngoma kwamba ukiacha tu kuipiga inanyamaza hapo hapo. Hata muungano wa ndoa una eda, hii maana yangu ipi hatma ya wenye mali zao upande wa pili, vipi hatma ya ajira zao na zaidi malipo ya Wastaafu. Kwa sababu ulipovunjika muungano wa Afrika Mashariki Wafanyakazi hawakulipwa na hapakuwepo wa kudaiwa wakafa masikini wa kutupwa. Hii maana yangu Mzanzibar au Mtanganyika ambae ni Mstaafu wa Serikali ya Muungano, muungano ukivunjika akadai wapi? Hili jambo ni hatari sana pia linahitaji busara sana lakini kiukweli suluhisho ni kuvunja Muungano tujadili tu kivipi.
Baadhi ya wazanzibar wenyewe ndio wanafik hawaelewi nini uzalendo. Waamuzi ni wazanzibar wenyewe na wengi hatujui nini uzanzibari tupo 2 atahatujui tofauti ya mkaazi na mzanzibari. Waamuzi ni wazanzibar wenyewe. Viongozi unadhani watatuamualia wakati wao yanawaendea. Tuache kujiweka ujingani.
@@mosesjacksonkarashani2642 Umesahau marehemu Magufuli alisema ataulinda muungano kwa hali yeyote ile.Sasa leo wewe unasema Tanganyika inafaidika nini na Zanzibar? Faida kubwa zipo na ndio maana Tanganyika inahakikisha wanawaweka watawala Zanzibar wale ambao wanaamini kuwa watafuata amri zao.Usisahau nguvu za jeshi zilivotumika kuvuruga uchaguzi wa 2015 na hata huu wa 2020.wananchi wengi wamepoteza maisha,wamepewa vilema,wameibiwa na kunyanyaswa
Wezi wengine wafuatiliwe isije ikawa chuki ya kisiasa,rais awe Makini kwani mzee makamba ni mpiganaji wa chama tawala,Ila twataka ili kumuunga mkono samia,anaye tafuta fedha,walioiba Mali za imma wote wafilisiwe au warejeshe serikalini hawana adabu tusilipe visasi nchi yetu isonge mbele ,hao wezi wa chadema walio takes na cag warudishe fedha ya imma serikalini mbona wao hawajisemi walikula ruzuku
Huyu anatuchosha kila siku katiba mpya na nchi ya Zanzibar kujitenga. Haongeleagi maendeleo hata na hata watu walivyo na njaa Hanoi ila katiba tuu. Sasa katiba ya nini wakati watu wana njaa.
@@djfunk255 nakubaliana na wewe ukimuliza history y Makamo kabla kua Makamo haijuwi ubaya hamfatili ndio mana hajawahi kusikia hayo maendeleo anayoyasema
Katiba mpya kwa watanzània Mimi so kipaumbele iliyopo inafaa kwani imetuvusha kuwa na amani tele Hadi Leo twahitaji kukuza uchumi,ajira,ustawi wa taifa na maendeleo makubwa katika mapinduzi ya sayansi,kuendekeza siasa uchwara zisizo na tija hushusha uchumi,kwani sayansi huzalisha Mali Ila utawala hufilisi nchi,kwani mtawala hazalishi Ila huhitaji mafungu na rushwa no-no,katiba iliyopo inatufaa Sana,isimamiwe bila mchezo tuu,
@@jumakapilima7295 Akili zako ni tope tu mm wala huwa sibishani na ww shobo zako tu maana najua ww ni pumba watu wanaenda na wakati nchi nyingi zimebadilisha katiba zao kulingana na wakat. Enzi za Nyerere hakukua na wala rushwa la mafisadi sasa unataka tutumie katiba hiyo hiyo na saiv kuna mafisadi bila Shaka ww ni mnufaika wa katiba hii So tusibishane mm na ww maana huna hoja hata moja
Mnaweza ona muungano ni tatizo ila wenye kujielewa hatuon hivyo tunajua umoja n nguvu.kwan hujaona kitu ambacho Zanzibar imenufaika na muungano mpk ukaona tu madhaifu ya muungano
Haipo hivyo Aisha mbona kuna wazanzibar kibao wameajiriwa huku wanafanya biashara dar ni faida kuna maendeleo kibao zenji yanajengwa kwa pesa za muungano ukiona Bara tunakunyonya muungano ukivunjika utaona unguja inakunyonya mi ninaona kila mmoja atafute pesa zake hizi serikali tuziache ivyo tu.kuna ndugu zako kibao nipo nao hapa
Sasa nyie mnaochoshwa na katiba mpya nakupeni taarifa ... SHAKA HAMDU SAHAKA ANATAKA KATIBA MPYA ... Mtafuteni akuchosheni ... katiba mpya ni agenda rasmin ya CCM HAMENI BASI MWENDE JAHAZI ASILIA MORDEN TAARAB
chini ya kudra ya mungu. itawezekana ishaalla.
Nadhani kwa kutegemea chama tawsla na serikali yake kwa kupata katiba mpya inaweza kuwa ndoto
Apo chamsingi uvunjwe muungano Tanganyika kwake Zanzibar kwake muungano siyo lazima
Nakubaliana na wewe 100% lakini muungano wa nchi sio kama ngoma kwamba ukiacha tu kuipiga inanyamaza hapo hapo. Hata muungano wa ndoa una eda, hii maana yangu ipi hatma ya wenye mali zao upande wa pili, vipi hatma ya ajira zao na zaidi malipo ya Wastaafu. Kwa sababu ulipovunjika muungano wa Afrika Mashariki Wafanyakazi hawakulipwa na hapakuwepo wa kudaiwa wakafa masikini wa kutupwa. Hii maana yangu Mzanzibar au Mtanganyika ambae ni Mstaafu wa Serikali ya Muungano, muungano ukivunjika akadai wapi? Hili jambo ni hatari sana pia linahitaji busara sana lakini kiukweli suluhisho ni kuvunja Muungano tujadili tu kivipi.
Baadhi ya wazanzibar wenyewe ndio wanafik hawaelewi nini uzalendo. Waamuzi ni wazanzibar wenyewe na wengi hatujui nini uzanzibari tupo 2 atahatujui tofauti ya mkaazi na mzanzibari. Waamuzi ni wazanzibar wenyewe. Viongozi unadhani watatuamualia wakati wao yanawaendea. Tuache kujiweka ujingani.
President Of state of Zanzibar 2025..
Hapati hata Kwa dawa!!
Akiwa hajapata nakupa laki1 😊
Mm nampa laki 5
Mm milioni moja😂
Thanks
Siasa za uongo na udanganyifu zimetuchosha maisha ni magumu mtaani.
One day free Zanzibar insha Allah
What is that holding you? Unafikiri watanganyika wananufaika na nini kuwa na Zanzibar?! Pathetic
@@mosesjacksonkarashani2642 Umesahau marehemu Magufuli alisema ataulinda muungano kwa hali yeyote ile.Sasa leo wewe unasema Tanganyika inafaidika nini na Zanzibar?
Faida kubwa zipo na ndio maana Tanganyika inahakikisha wanawaweka watawala Zanzibar wale ambao wanaamini kuwa watafuata amri zao.Usisahau nguvu za jeshi zilivotumika kuvuruga uchaguzi wa 2015 na hata huu wa 2020.wananchi wengi wamepoteza maisha,wamepewa vilema,wameibiwa na kunyanyaswa
@@ahmedalbalooshi8518 mwambie uyo kama alikua hajui bs ndo ajue ukweli ndo upo hivyo yaani
Sultan will not be back in Zanzibar,,,
@@jumakapilima7295 unaijua Zanzibar?
Apo kwenye katiba Apo Apo wazanzibari tuwe makini
kila kitu kipo juu wazanzibari njaa tupu
👍✌️👊.
hiyo ni lazima katiba mpya kwani hakuna liwalo tumechoka
Has the vision on CT wazalendo case is the ground force is it going to be according CT wazalendo plan leader
January makamba arudishe fedha Kisha aachiwe ,hii ni kumpigia Dom light atajifunza
Zanzibar haiwezwekan kwa 7bu wote Walafi.
Awa ccm niwatuzaifu sana awanajema msilizike kwakukubali katiba mpya awani ngulumbili
Nikweli kabiza
hakuna atakae iweka katiba mpya
piya tumechoka na muafaka usio kuwa namaana yoyote kwa wazanzibari
kumbe chama cha act ni chama ila mm zito wenu simwelewi anatukana ad wafu
Wezi wengine wafuatiliwe isije ikawa chuki ya kisiasa,rais awe Makini kwani mzee makamba ni mpiganaji wa chama tawala,Ila twataka ili kumuunga mkono samia,anaye tafuta fedha,walioiba Mali za imma wote wafilisiwe au warejeshe serikalini hawana adabu tusilipe visasi nchi yetu isonge mbele ,hao wezi wa chadema walio takes na cag warudishe fedha ya imma serikalini mbona wao hawajisemi walikula ruzuku
Huyu anatuchosha kila siku katiba mpya na nchi ya Zanzibar kujitenga. Haongeleagi maendeleo hata na hata watu walivyo na njaa Hanoi ila katiba tuu. Sasa katiba ya nini wakati watu wana njaa.
Njaa ndio ilokuchosha sio yeye, na akili inakupotea wewe sio sisi.
Wewe anakuchosha unatka iyondoke njaa wakati watawala wanafanya dhulma kwa hiyo katiba ilokuwepo n dhulma hailetii maendeleo
Cyo kosa lako kusema Ivo kosa kua hujui unaongea Nini
@@djfunk255 nakubaliana na wewe ukimuliza history y Makamo kabla kua Makamo haijuwi ubaya hamfatili ndio mana hajawahi kusikia hayo maendeleo anayoyasema
@@oscarezekiel1826 😅😅😅
Katiba mpya kwa watanzània Mimi so kipaumbele iliyopo inafaa kwani imetuvusha kuwa na amani tele Hadi Leo twahitaji kukuza uchumi,ajira,ustawi wa taifa na maendeleo makubwa katika mapinduzi ya sayansi,kuendekeza siasa uchwara zisizo na tija hushusha uchumi,kwani sayansi huzalisha Mali Ila utawala hufilisi nchi,kwani mtawala hazalishi Ila huhitaji mafungu na rushwa no-no,katiba iliyopo inatufaa Sana,isimamiwe bila mchezo tuu,
Kwani kuna katiba inayoleta fujo? Uchumi gani unataka kukuza? Miaka 50 iliyopita mulikuza nn? Usiongee utumbo ww tz tunahitaji katiba ambayo itawashughulikia watawala sisi tunahitaji viongozi sio watawala
Exactly
@@suleimansalym7537 siku ukiwa mtawala utaikumbuka katiba ya 1977
@@jumakapilima7295 Akili zako ni tope tu mm wala huwa sibishani na ww shobo zako tu maana najua ww ni pumba watu wanaenda na wakati nchi nyingi zimebadilisha katiba zao kulingana na wakat.
Enzi za Nyerere hakukua na wala rushwa la mafisadi sasa unataka tutumie katiba hiyo hiyo na saiv kuna mafisadi bila Shaka ww ni mnufaika wa katiba hii
So tusibishane mm na ww maana huna hoja hata moja
@@suleimansalym7537 najua kuwa akili yako haina akili,,,kwahiyo huwezi kujua!!
Acheni Kero ileteni lakini hakuna katiba ya binaadamu iliokamilika, na hio pia baada ya muda mfupi itakuwa haifai haswa ikiwa haitowaingiza uongozini.
Exactly!!
Mnaweza ona muungano ni tatizo ila wenye kujielewa hatuon hivyo tunajua umoja n nguvu.kwan hujaona kitu ambacho Zanzibar imenufaika na muungano mpk ukaona tu madhaifu ya muungano
Nataka uniambie Zanzibar imenufaika na nn nahuo muungano balaya kunyonywa Tu hiozanzibar
Zanzibar ciomaskini ilamuungano ndio unaotitia umasikini maanapesa yazanzibar yote unakuja dar mbona hizozadar haziji zenji tukanufaika nao
Haipo hivyo Aisha mbona kuna wazanzibar kibao wameajiriwa huku wanafanya biashara dar ni faida kuna maendeleo kibao zenji yanajengwa kwa pesa za muungano ukiona Bara tunakunyonya muungano ukivunjika utaona unguja inakunyonya mi ninaona kila mmoja atafute pesa zake hizi serikali tuziache ivyo tu.kuna ndugu zako kibao nipo nao hapa
Ipitishwe sheria hakuna kujiita mbara wa mzazibar ibaki tunajiita watanzania maana baadae wanetu watagombana siye tukiwa mbele za khaki,
Sasa nyie mnaochoshwa na katiba mpya nakupeni taarifa ... SHAKA HAMDU SAHAKA ANATAKA KATIBA MPYA ... Mtafuteni akuchosheni ... katiba mpya ni agenda rasmin ya CCM HAMENI BASI MWENDE JAHAZI ASILIA MORDEN TAARAB
Ukhty
Acha khabari zako hizo muungano gani huu unaonyonya upande mmoja km kunguni?
Baba wacha hizo piga kazi wacha domo kaya
Kweli kabisa afanye kazi