Hamisa Mobetto: Mimi sio‘single mother’, Diamond akioa simpi mwanangu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 511

  • @faboge
    @faboge 6 років тому +5

    I love Tanzanians, just listen to the maturity and how natural the interviewer is, no sideshows kama ya Nairobi! This is serious interview!

  • @maimamassalay3981
    @maimamassalay3981 6 років тому +37

    Hamisa u have to except the fact that u are a single mother of 2 kids and u are not yet married.

    • @FarhatYummy
      @FarhatYummy 6 років тому +1

      kabisa true

    • @nuurinkluge7584
      @nuurinkluge7584 5 років тому +1

      👍💗she don't Understand englisch..she is are sigle mother

  • @carolnjeri6876
    @carolnjeri6876 6 років тому +116

    Hamisa find out the meaning of single mother. Labda kizungu ndio hauelewi.

    • @linahkadasia5679
      @linahkadasia5679 6 років тому +3

      Carol Njeri,hajui Kama Ata U.N ikusaidie kulea watoto and u are not married that qualifies her as a single mother

    • @swahiliuniverse9328
      @swahiliuniverse9328 6 років тому

      filamu ya Cookie Mama iliyofanyiwa uzinduzi jana usiku sasa inapatikana kwenye channel yangu subscribe share na wengine. bofya channel yangu

    • @judydota4242
      @judydota4242 6 років тому +4

      Carol Njeri true mydear so being a single mumy u must have kids with different fathers aki hamisa I think tz iweke English kua lazima so that this problems of understanding iishe😂😂😂😂

    • @FarhatYummy
      @FarhatYummy 6 років тому

      hahahaha

    • @petrinemengot3327
      @petrinemengot3327 6 років тому +1

      Linah Kadasia nop,she is single but not a single mother. What English do u all understand ,Swahili English?damm it.

  • @blueeyes5952
    @blueeyes5952 6 років тому +18

    Hamisa, you have to understand the meaning of being called a single mother! A single mom is only one person who living with kids without a husband or partner in the way of living together!!! So Hamisa you are living the same way, to be help with them doesn’t mean you are married with both! Not all. Even gouvernement can support you to feed your kids but as longer you are not married , you will remain a single mom. Nawaomba wasanii wa Tz wa jifunze lugha ya kiingereza itawasaidiya kupata umaarufu zaidi ndani ya Tz na kimataifa, because we don’t know what comes tomorrow, bonne chance à vous.

    • @FarhatYummy
      @FarhatYummy 6 років тому +1

      well explained, very true

    • @petrinemengot3327
      @petrinemengot3327 6 років тому

      Désiré M. Mfele A big nop,l will keep saying this; u are a single mom when u parent the child without the support of the other parent. U are the only parent the child knows,responsible for all the child needs. That's why government steps in to assist those type of women. Hamisa has all the support for her kids and the fathers are in their life in totality.

    • @teachingdigitalschool7198
      @teachingdigitalschool7198 6 років тому +1

      kingereza came by boat, as long as you can communicate, the rest is nonsense, give us a break...and your explanation is wrong..she is whatever she believes she is.

    • @petrinemengot3327
      @petrinemengot3327 6 років тому +1

      teaching digitalSchool dull east Africans, never ready to learn.

    • @blueeyes5952
      @blueeyes5952 6 років тому

      teaching digitalSchool , I wonder when you say English is no sense!!!!! When I was school in Congo we said English is no sense because we believe in French language. But when the war came in our country we went abroad , then we discovered that French was not enough to live !! As longer you live in ignorance you will never learn

  • @daniskiprosho
    @daniskiprosho 6 років тому +1

    Hamisa is so beautiful.

  • @josephinekanaiza2945
    @josephinekanaiza2945 6 років тому

    Hapo sawa mami nakupendanga bure you look good

  • @tinahswillert7346
    @tinahswillert7346 6 років тому

    For sure.. Trust me or not look at zari.. And that Chinese doll zari is better. You just dont want to accept the bitter truth,comment at ur own risk. Team zari we dont care if your mad get arope o come beat me. Teamzari more fireeeee nuh care. We work hard never give up

  • @minabw7301
    @minabw7301 6 років тому

    Very smart answers Hamisa, let the fathers be in their children's lives.... I like that. You don't have to tell people everything, God bless you baby girl.

  • @mellisajill7598
    @mellisajill7598 6 років тому

    Smart and wise love you hamisa

    • @FarhatYummy
      @FarhatYummy 6 років тому

      not that smart dear, she can't even understand the meaning of single mother lol

  • @barthazarbarthazar3564
    @barthazarbarthazar3564 6 років тому +2

    Hamissa umpendeza Mnooo ManshaAllahu ❤️🌹🌹🌹🌹🌹🌹💕💋💋💋💋💋💐💕🌹🌹🌹

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 6 років тому +26

    Hizo mic jamani uwiii🤣🤣🤣🤣🤣hamisa you kill me hahahhaha du hakyanani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 років тому +1

      Mama Franjo VLOGS 😂😂😂😂

    • @akimmbwego797
      @akimmbwego797 6 років тому

      sio wewe mi nilishakufaga

    • @swahiliuniverse9328
      @swahiliuniverse9328 6 років тому

      MAMA FULL MOVIE BOFYA HAPA ua-cam.com/video/ntI490iqBIE/v-deo.html ile filamu ya MAMA iliyofanywa na AUNTY EZEKIEL na mwanae COOKIE IYOBO itazame sasa bonyeza link kuitazama FULL movie bure kabisa. Happy mothers day. Share na wengine iwafikie asante

    • @FarhatYummy
      @FarhatYummy 6 років тому

      she made me laugh too

  • @frankmalimba5539
    @frankmalimba5539 5 років тому

    Hamisa is good woman

  • @swahiliuniverse9328
    @swahiliuniverse9328 6 років тому

    MAMA FULL MOVIE BOFYA HAPA ua-cam.com/video/ntI490iqBIE/v-deo.html ile filamu ya MAMA iliyofanywa na AUNTY EZEKIEL na mwanae COOKIE IYOBO itazame sasa bonyeza link kuitazama FULL movie bure kabisa. Happy mothers day. Share na wengine iwafikie asante

  • @carolinembuba1823
    @carolinembuba1823 6 років тому

    Love you misa

  • @andrwrddawiz2898
    @andrwrddawiz2898 6 років тому

    Yan mwanamke jamaniiiii

  • @seciliawilliam5056
    @seciliawilliam5056 6 років тому

    Cecilia william

  • @veronicahjuma2948
    @veronicahjuma2948 6 років тому

    Napenda sauti yako hamisa

  • @sallykanze
    @sallykanze 6 років тому +18

    Hamisa mobeto you are a single mother, I think you don't know the meaning of single,,, if you were married then we could count u as a married woman bt as for now you are a single mother

  • @peaceruth336
    @peaceruth336 6 років тому +11

    Are you married by both.....?

  • @sofiaahmed8880
    @sofiaahmed8880 6 років тому

    HAHAHAHAHAHA WATAKUTOA LIPSTICK !kumbe si kidogo hamisa'umewakomesa wambea.

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому +9

    Mashallah, mtanitolea mtu lipstick kha😂😂😂😂 love you *Mobetto* much, inshallah kwa uwezo wa Allah utaolewa wewe my dear👏, nipo nakuombea dua.

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 6 років тому

    Uzur blaa shulee..n sawa na kununuaa gazetii jionii

  • @taschlyx6143
    @taschlyx6143 6 років тому

    This lady ni fala sana .. tu

  • @tatianatataa1489
    @tatianatataa1489 6 років тому

    Good gal

  • @frujamesfrighton742
    @frujamesfrighton742 3 роки тому

    Am the #SNS’s Best #MVS

  • @zuriathkajwangya1724
    @zuriathkajwangya1724 6 років тому +9

    Ohoo dear she doesn't know what is the meaning of single mother.single mother it means you have kids but you're not living with father of your kids or unmarried

  • @lilybaro9724
    @lilybaro9724 6 років тому +18

    BT still u are single mother bcoz u don't hav hubby

  • @milliahachenya2749
    @milliahachenya2749 4 роки тому +1

    You're officially a single mother kizungu ndio shida ama Nini gosh

  • @francescmanasseh4129
    @francescmanasseh4129 6 років тому

    Daaa mshikaji una vijimaswal flan flan balaaa aaaam😁😁 mpka hamis ameshindwa kujibu

  • @modestermrogosho4219
    @modestermrogosho4219 6 років тому

    Mhuuuu

  • @afsa8591
    @afsa8591 6 років тому

    Kujishaua chefuuu

  • @kamamadrew1777
    @kamamadrew1777 6 років тому

    mmmmmmh waaaaaah hata mm nitakuwa na wanaume wawili iko nn

  • @madusatvonline3452
    @madusatvonline3452 6 років тому +1

    OK subscribe

  • @eliasmusa2757
    @eliasmusa2757 6 років тому

    Aaaah kanarnga

  • @eliasmisiko2941
    @eliasmisiko2941 6 років тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂 kizungu jamani

  • @alisaalis9218
    @alisaalis9218 6 років тому

    Kwani Hamisa watoto wawili baba wawili dah,noma sana

  • @bettymasitsa4425
    @bettymasitsa4425 6 років тому

    Nakupenda bure tu

  • @furahayamoyo9193
    @furahayamoyo9193 6 років тому

    Hamisa my darling lemme correct you there - A Single mother is a woman who has a dependent child or dependent children and who is UNMARRIED, DIVORCED OR WIDOWED.
    So in your case you are UNMARRIED and by the definition this makes you a SINGLE MOTHER (Ouch!!!)
    With the situation of your BABIES DADDIES it's called COPARENTING where two parents share the duties of bringing up a child or children together even though they are not together as in unmarried, divorced or separated.
    Therefore, stop trying sugar coating the fact that you are single mother. You did that by choice thus, embrace the title 😎

  • @elizabethrobert6024
    @elizabethrobert6024 6 років тому

    😀😀waambie mwaya mic zitakutoa 💄

  • @radhyahjumah4242
    @radhyahjumah4242 6 років тому

    Huyo nae kila siku ata tolewa lipstick kheee 😂😂😂😂

  • @dinahlwambi1734
    @dinahlwambi1734 6 років тому +10

    Hahaha kashamba kweli

  • @johnhempstone4633
    @johnhempstone4633 6 років тому

    this girl is intelligent,she is not dumb as you think

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 6 років тому +5

    😂😂😂😂 mtamtoa lip stick 😂😂😂😂

  • @chaxysimon664
    @chaxysimon664 6 років тому

    aaaaii with two kids from different fathers!!!!!!!!

  • @vumiliaobety9076
    @vumiliaobety9076 5 років тому

    Mmemsha mbulia

  • @lindasophia1288
    @lindasophia1288 6 років тому +32

    Nampenda sana uyu dada 😂❤️💯 mtanitowa lipstick 💄 kah 😂😂😂🙈

  • @aminahassan9878
    @aminahassan9878 6 років тому

    Hamisa my sister chanuka mtu wangu.

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 6 років тому

    🙄🙄🙄

  • @nasramuhammad7593
    @nasramuhammad7593 6 років тому

    Hivi hamissa mpakaa uchanganyee kingerezaa jamanii au kiswahil hujuii😂😂😂😓 uwiii😂😂

  • @greatthinker370
    @greatthinker370 6 років тому +16

    Hafaham maana ya Single mother ndio mana anajikanyaga kujibu huwez kujibu siyo single mother wakati huishi pamoja na mzazi mwenzio zaid ya kupewa matunzo ya mtoto tu

    • @jumashabani5840
      @jumashabani5840 6 років тому

      great thinker kwani wewe unafahamu vipi mkuu.... yeye kakataa kuwa analea mtoto peke yake ikiwa baba wa watoto zake wanawajibika day and night. Single mothers ni waliotelekezewa watoto wanapambana peke yao.

    • @jumashabani5840
      @jumashabani5840 6 років тому +1

      Being single sio tatizo ila kuachwa na watoto ndio tatizo. Kwahiyo kuwa single mother without a help from a father ndio tatizo lilipo.

    • @FarhatYummy
      @FarhatYummy 6 років тому

      well said

    • @omanioman8952
      @omanioman8952 6 років тому

      great thinker nyinyi wa nnjee uki ndio munamuona anaishi pekeyake lakini yeye ndio anajua usiri wake nampenda sana uyu dada msili sana na ndio maana did anampenda miaka kumi na ya penzi lao bila mtu kujua ni siri kubwaa

    • @omanioman8952
      @omanioman8952 6 років тому

      Walianzana yeye na diamonds tokea diamonds yupo na wema kabra yeye hamisa ajawa na majizo
      Adi akaamua kuwa na majizo wakazaa wakaachana yeye akarudi tena kwa diamonds leo munamtukanaaa kisa zari tatizo sisi watanzania washamba

  • @simp1eone
    @simp1eone 2 роки тому

    I'm an American and this is how most people or at least define single mom , I tend to define "single parent" pretty strictly (and yes, as a "sole, custodial parent with no co-parenting assistance,") because in reality raising kids entirely solo is radical. So I agree with HAMISSA shes not a single mom. Francis and Diamond are both active. I mean I know Francis is for sure not sure about Diamond

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 6 років тому

    Mhm

  • @veronicahjuma2948
    @veronicahjuma2948 6 років тому

    Zongesheni mic bana hata apumui

  • @sandrasofia6597
    @sandrasofia6597 6 років тому

    Mta mtowa lipstick jameni

  • @lolakhady5216
    @lolakhady5216 6 років тому

    Hizi camera jamani 😆😆😆😂😂 zaitwa mic hehehe

  • @MariamsLifestyle
    @MariamsLifestyle 6 років тому

    Kapendeza Mama wawili

  • @greatthinker370
    @greatthinker370 6 років тому

    Some one being a single maza haimaanishi kama mtu hapewi mahitaj ya mtoto hapana ni Big No single mother ni Unmarried or divorced woman japo kazalishwa

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 6 років тому

    Watanzania wenzangu Nimewaletea Kitabu cha DAMU YANGU DYLAN Kitabu hiki Kinapatikana mtandao wa Amazon Wold Wide ORDER URE copy now kutumia link hii hapa chini
    www.amazon.com/gp/aw/d/9976527500/ref=mp_s_a_1_1?ie=UTF8&qid=1526812375&sr=1-1&pi=AC_SX236_SY340_FMwebp_QL65&keywords=DAMU+YANGU+DYLAN&dpPl=1&dpID=41ALBTappsL&ref=plSrch

  • @gaudencemaumba7594
    @gaudencemaumba7594 3 роки тому

    Vingereza vingiii... upuuuuziii

  • @kuluthummbegakulu7564
    @kuluthummbegakulu7564 6 років тому

    ❤❤❤❤❤❤love sns

  • @dignachami7382
    @dignachami7382 5 років тому

    Hiyo Co sababu ya kutoitwa single mama. Jidanganye!

  • @asnathkitanto3259
    @asnathkitanto3259 6 років тому

    Am very pic😆

  • @madinakipingu4252
    @madinakipingu4252 6 років тому

    Wewe ni single mother bhana Hamisa hujaolewa na wanaume wote ulozaa nao

  • @princespider5854
    @princespider5854 5 років тому

    Kweli ustaa ni mzigo wa kujitweka.. Hamisa apenda saaana media sio kwa kujishaua hahahaha am not a single mother geraree here

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 років тому

    She really single mother's neither yes or not bcoz she is not get MrrG .....yeah 😅😅😅😅😅😅💔💔💔💔💔💔👈🤔

  • @keziaodongo3555
    @keziaodongo3555 6 років тому

    Umejilet down Hamisa can you define single mother hujakamilisha ndoa hahahahaha na usizirai uje upate ulikuwa wa tumiwa

  • @entertainmentplace3460
    @entertainmentplace3460 6 років тому

    Pwipwiiiiiii🇯🇴🇰🇪👑am not a single mother hahahahaha nani amesikia ivo .....nmeenda jamani

  • @nairahtamara3694
    @nairahtamara3694 6 років тому

    You're dreaming my dear,, you not single...

  • @celinejulius7875
    @celinejulius7875 5 років тому

    😂😂😂😂 et mtanitoa lipstick

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 роки тому

    Kumbe hujui maana ya singo mother😂😂😂

  • @scolasticasiyara4497
    @scolasticasiyara4497 6 років тому

    Ni shida aaaa

  • @naoromulumbilwa1270
    @naoromulumbilwa1270 6 років тому

    Du huyu mwanamke ahana ata haibu anajali lipstick aajali maneno nenda kaishi tu vijijini ujifunze minners

  • @nasreenmnenge5440
    @nasreenmnenge5440 6 років тому

    Huyu kweli hoemisa hana akili hata kidogo.Mashauzi tuu lakini kichwani empty

  • @magefundi2209
    @magefundi2209 6 років тому

    mbona kama mzee

  • @preccypressy2226
    @preccypressy2226 6 років тому

    Mimi sio team yeyote, lakini Hamissa ungetulizana mungu akujalie mume wa heshima zake huyu diamond anakutumia wewe sio spare part yake. Inaumiza kama mwanamke wakati wako bure mwisho wa siku anajua penye roho yake ipo.

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому

    😀😀

  • @AmosGuzman
    @AmosGuzman 6 років тому

    haha tanzania journalist which school exactly did you go to....????mkona ufala sana.... the mic only captures the voice in bit irrespective of how close it is to the interviewee...

  • @marrykikafu4690
    @marrykikafu4690 6 років тому

    sijaelewaaaaaaaaaa

  • @ratifasimba605
    @ratifasimba605 6 років тому

    mvungi kwani imekuaje hapo mbele jamaniiii

  • @petermomanyi3335
    @petermomanyi3335 6 років тому

    Usijipee moyo ati unasaidiwa ur a single mother....na tusibishane niko na headache

  • @Mcsceo
    @Mcsceo 6 років тому

    Watu msami kukosea kitu walishupalia weeeh mbona Mobeto kasema "na akiwa anataka atoke out na mtoto wake then i was freely give out the kid"👈 ni kiingereza gani hicho hili hamlioni wa tanzania 😁😁

  • @nigeriacultureandtradition8527
    @nigeriacultureandtradition8527 6 років тому

    KUITAZAMA FILAMU/MOVIE YA "MAMA" TAFADHALI PITIA CHANNEL YANGU YA BONGO SINEMA HAPA UA-cam PIA NAOMBA MSISAHAU KUSHARE.

  • @conchesapaul4746
    @conchesapaul4746 6 років тому

    at wewe sio

  • @sofienahimana4788
    @sofienahimana4788 6 років тому

    Wewe ni single sawa .... single parent not married

  • @uwimanaraoul6824
    @uwimanaraoul6824 6 років тому

    Nakapenda haka kadada mpaka naumwa

  • @lucasdominick7197
    @lucasdominick7197 6 років тому

    Unazalau SNA mobeto .ckupend maishaa

  • @BriefSpectacle
    @BriefSpectacle 6 років тому

    #11 Trending in Kenya.

  • @maimunamohamed8370
    @maimunamohamed8370 5 років тому

    Kusaidiwa Lea haibafilishi we we kua single,unaishi na Watoto bila baba karibu japo msaada wanatuma ur still a single mother my dear,hujaolewa unazalishwa tu,utasemaje sio single mother?..plz go back to school

  • @kaSelina
    @kaSelina 6 років тому +1

    Single mother means ... not with a husband , whether married mkaachana or separately raising children or by death..that titles you as single 😂😂😂jamani Hamisa kubali status yako.. unless you get married basi wabaki kua single coz nobody is claiming you.

    • @FarhatYummy
      @FarhatYummy 6 років тому +1

      well said dear

    • @kaSelina
      @kaSelina 6 років тому

      Farhat Yummy it's a fact she don't want to accept

    • @rahmaabid447
      @rahmaabid447 4 роки тому

      Hajielewi

  • @shantelshanty4061
    @shantelshanty4061 6 років тому +22

    Jamani msimtowe lipstick ...hizo mic watakulisha haya 🤣🤣🤣😂😂🤸🤸

  • @annayona3194
    @annayona3194 6 років тому

    Wewe ni single mother

  • @betynam6548
    @betynam6548 6 років тому

    Mtanitoa lipstick 😂😂😂😂

  • @Stellakayr8j
    @Stellakayr8j 6 років тому

    Single mother bn ww

  • @harrietimbosa2742
    @harrietimbosa2742 6 років тому

    U not single mum my love

  • @alizikinamuli2517
    @alizikinamuli2517 6 років тому

    Speak swahili

  • @elifurahamsuya435
    @elifurahamsuya435 6 років тому

    DNA

  • @winfridahafancy5039
    @winfridahafancy5039 6 років тому

    Ai nobody is talking about the mics kwani wanataka akule...

  • @miriamkafwila98
    @miriamkafwila98 6 років тому

    Hahaha Hamisa you are single mother even the help you... 😂😂😂😂😂😂

  • @mwasitihatibu9691
    @mwasitihatibu9691 6 років тому

    hujielewi kweli ww, ww ni single

  • @shazasimba9275
    @shazasimba9275 6 років тому +2

    Hamisa you are single mother accept it is true.