Misa be great...like unavyojibu..kpe it up..usiingie kwenye kona..ok be the way ur....ndio tutakavyokupenda jibu jawabu zuri sio jazba wasijupeleke hukoo
Wanawake wote walienda usiku wa Zuchu sababu ya Diamond na wengine walitoka nchi za nje Diamond anazo pesa bwana ndiyo maana wanawake wanampenda sana alivyokuja Denmark ingawa nilipewa tiketi ya bure lakini sikwenda na mimi naishi karibu sana na Denmark
Jamani HAMISA ni Mungwana ni Mstarabu , kweli na kubali kama hajali na kukataliwa NA FAMILIA ila ni Mungwana zaidi na zaidi sana . Amekubali kumvika BABA DILAN ? HAAA
Ila hamisa ukirudi kwa mond utajishushaa saman yako san tu mana mond hana mapenz ya kweli mwanzo atakupenda kwa zati sana akishakup mimba tu mapenzi yamekwesha
It's a shame tanzanian youth are now mixing languages...they can't finish a Swahili sentence without mixing in English. Why do you do that? Please stop it. Swahili is a beautiful language and should be kept intact. Love from Rwanda.
I agree with you on that and I am Tanzanian...We will soon be like Kenyans...Ariko se, narumvise n'urubyiruko rw'abanyarwanda buravanga icyongereza n'ikinyarwanda cyane cyane mumijyi minini? Ngirango iyi myifato iragenda mu bihugu byinshi muri Africa. Birababaje cyane mutama....Kinyarwanda changu si kizuri sana lakini nadhani umenielewa!!
@@swahiliwithdavid5910 oh wow, actually your written kinyarwanda is better than many Rwandans' writing skills. To your point, yes, urban dwellers in rwanda really butcher kinyarwanda, they mix it with English a lot. It's shame because this mentality can only derive from colonized mindset. Ironically banyarwanda in the diaspora speak clean/neat kinyarwanda than their counterparts in Rwanda. Just out of curiosity, where did you learn to write good kinyarwanda? Are you a Tanzanian living in Rwanda?
@@vyuguruzumwangumwereka Thanks for encouragement! I live in Tanzania, Mwanza region specifically. I have not lived in Rwanda but just visited twice and stayed for 3 days on each occasion. I follow the BBC Kinyarwanda/Kirundi service and read news online. I also read the Bibles of Kinyarwanda and Kirundi to try and build my proficiency - the Bible and BBC are the resources from which I learn proper Kinyarwanda, esp the written form. It's a very long way to go but I have made some progress. I have love and curiosity for languages and Kinyarwanda appeals to me a lot!.
Woyoooooooooo👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏nimependa diamond kumpa kazi hamisa...ayo ndo mambo...sio chuki za kipuuzi
😗
Hamisaa mashallah beautiful umependeza sanaaaaaaaa wow....stunning........glory wow look the face the hair........love you missaaa
Hongera Hamisa mobetto Umekuwa mama D😘
Misa be great...like unavyojibu..kpe it up..usiingie kwenye kona..ok be the way ur....ndio tutakavyokupenda jibu jawabu zuri sio jazba wasijupeleke hukoo
I love hamisa mabeto..she is always my mentor...hope one day I will see you physically
Are you for real? Your mentor, a cursed woman who is sleeping in others women's beds waow, you need your God ASAP. Eti my mentor 🏃🏃🏃🏃
You don't need to believe in every rumour that comes by.....I respect her
Hamisa mobetto 🔥🔥🔥🌸 mama deee mwenyewe
M nakupenda sn hamisa mtanzania mwenzang
😘😘😘hamisa
Hamisa the cute❤❤❤👌
Hamisa wangu 🌹 🇫🇮 🇫🇮 🇫🇮 Hongera you take care of monde mashallah
Like nimekupa coz misa
😍😍😍
@@kulthummohamed8626 ua-cam.com/video/_8h9QWGu4Jo/v-deo.html
Natamani sanaaaaaaa '''' Hamisa ndio uwe unalipiwa mahariiii na day....
Hamissa nakupenda sana MUNGU akufanyie wepesi katika kz zako
Amiin
Like yako iyo love misa to
Allah akufanyie wepesi inshaallah😘💕💕
Amiin yarabi leo amekua mtu kwenye watu
That's why I love you my lovely sister 💞🌹🌹
Hamiss nampendag sana
Jana kwasababu kuna diamond ndio kila mtu ajipendekeza kwa diamond
Kwakweli one thing I have noticed in the whole of east Africa Tanzanian are best when it comes to dressing.
Sina uhakika na hilo ngoja nitafatilia
Go check DRC
Yves Masirika no way, maybe vitenge dressing
Big no
@@Ahmed-fm5fr ua-cam.com/video/_8h9QWGu4Jo/v-deo.html
Baba Dee alipendeza ajab🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥
Hamisa ana sauti kali sana...😍😍✊✊
I wish I knew kiswahili 😊 much love Hami😍🇺🇬
Me too
Love u misa
love is the greatest! Well done doll.
Umejibu vzur Hamisaa😍😍
Iko gud napnda Sana hela#
Masha Allah Hamisa 😍😘
Hamisa nw umekuwa mwanwmke sasa mwanzo ulikuwa dem tulia mama ufanye kaz kwa bidii watakueshimu tu
Hamisa huy dada Ni mzungu wa roho hatar❤️
Mashaa Allah penda misa 😍😍😍😍
Big up misa.👏👏
noma sasa himisamobeto ukweli huo
Mashaallah 🥰 kazi njema
Love u much hamisa ake💋💋
Ulimpatia sana mobeto mana simba jana alipendeza
Sana Mondi alipendeza sna jana
Liki kwako fuli raha
Sina uhakika la hilo ngoja nitafatilia
Hamissa ako sawa na mondi. Na wewe mondi mwaje yule mzee zari isn't your perfect March
Salamaleko hamisa Baku penda sana I'm Mozambique
Mashaallah
Beautiful 🙏🙏👑
Nakupenda sana hamissa wangu
Big up Micha😘
Zile picha anatuma insta ni mweupe sana kama mzungu lakini live ni mweusi sana hata mimi ni mweupe kuliko yeye bila mkorogo
Apana huyu dame ni mrembo Kwanza apa kwa hii interview ako👌👌👌👌👅🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nice ma d, oneshaa upendo kwa ba d,coz nyie ni wazaziii,so maneno ya watu tupiliaa mbalii
Missa tkcre of ur mum best friend of ours and baby Dylan na ur girl.........
Madam hero
Wanawake wote walienda usiku wa Zuchu sababu ya Diamond na wengine walitoka nchi za nje Diamond anazo pesa bwana ndiyo maana wanawake wanampenda sana alivyokuja Denmark ingawa nilipewa tiketi ya bure lakini sikwenda na mimi naishi karibu sana na Denmark
Nice
Hakuna mtu amekuuliza
Awesome
Hamisa nakupenda tulia mama
Mbona zuchu na diamond wanakaa wapenzi
Miss a mzuri Jama ni
Napenda ukimya wako wa sasa upo busy kufanya mambo yko umeachana na mambo ya ile familia ya kiki bg ap💪
love u amygal
Nimekuoenda bule unajibu vizuri maswari
I m there nice
Hongera lovie huna ubaya na mtu🌹
Love you misa
Love you so much Mobeto
Good 👍
Ni🔥🔥🔥🔥
Nakubali hamisa
Wapi wa congomani jaman?🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kumbe Hamisa ni mweusi live
Simu huwa😂
Koo ww dada unamanisha umesoma sana kuliko magufuri unavunga kujua sana lugha za ma beberu hao watanzania tujitambue mabeberu wanaturudisha nyuma
Wahuni mpooo
😁😁😜
😂😂😂
Tupooooo
OK vizur
Ichi kipindi akiongezeka kalipso kitakuwa 🔥🔥 sana.
Inapendz
Dahh kweli ila ashaondoka
The baby mama mwenye anajua kukulia na akili
❤️❤️❤️👏👏👏👏👏👏
Good
Hamisa diamond father abraham niloverboy atakuchezeya tu
Waooooo
😍😍😍😍😍
Am dying to know what Hamisa said
Hahahhhaa
Ivi diamond asha wapa nini mbona mnampenda kichizi
☺😊hiv nikusema kiswahili kinakupa tabu au nisifa tu zakijinga?
Ana uhuru wa kuzungumza lugha yoyote anayoitaka. Sioni ubaya wowote akizungumza kizungu
Hamisa nimeanza kukupenda mama
Masha Allah kaza mm
Nc
Hamisa umetulia sana hivyo ndivyo tunataka uwe nfano kwa watoto wako chapa kazi my
Hamisa na Zare ndio wanawake wanamfaaa Diamond Simba Babalawo
Zari arudi Ug akaangalie kaburi la mmewe
@@leahjoram7693 hehee
Na Zuchu pia
@@leahjoram7693 Zare the Bosslady upende usipende diamond watarudiyana na utabakia ukinungunika na kusononeka🤣🤣
@@yirgayemyirgah7820 haposawa kabisa 🤣👍
Jamani HAMISA ni Mungwana ni Mstarabu , kweli na kubali kama hajali na kukataliwa NA FAMILIA ila ni Mungwana zaidi na zaidi sana . Amekubali kumvika BABA DILAN ? HAAA
Angalia wachawi wanavyotumia paka kukutia mikosi na namna ya kujilinda
ua-cam.com/video/vMDaPNToarI/v-deo.html
ua-cam.com/video/vMDaPNToarI/v-deo.html
Can someone please tag Zari🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂
🤣🤣🤣
Karembo kweli mola akupee mume mwema na ww dada
Majibu yako yapo vizur sana
Na ww diamond acha ushamb uck w2 wanava miwana nyny class nyeupee 😩😩😩😩😩😩😩😩😁😁😁
Love misa mobenga
😍
Ulichelewa makusud ili uonekane mama😀😀😀
Umeona eeeeeh
Mbona ww hukuenda
Hamisa kukupend ndokitu najuwg mungu akutunze my
Halafu wote kabila moja wanyamwezi
Kukupend ndo kt najuag tu dadaetu wa taifa
Hamisha wewe ndio une mfundisha zuchu kuvaa ile nguo ya green maana zuch hajui kuvaa
Ila hamisa ukirudi kwa mond utajishushaa saman yako san tu mana mond hana mapenz ya kweli mwanzo atakupenda kwa zati sana akishakup mimba tu mapenzi yamekwesha
Ametajwa hasntone ndio msanii mpya wa wcb
Sidhani anaeza kuwa abby cham
@@hassanmapenzi6188 hanstone ndio yuko katika mipango muda tu bro
She looks black but anakaa beautiful kuliko siku zingine
Mmh
Mbona hapa uko mweusi jee make UP ziko wapi
Ongea kiswahir we mzung upendez
Mimi huwa nawashangaa sana so so so nyingii.
Kuna ubaya gani akizungumza kizungu. Let her express herself in the language that she prefers
@@saudamohamed5410 kama yeye anakijua asichanganye achague moja sio kutuchanganyia mafaili.
Sasa hatakama umesoma jaman kingereza kinamapoz ya mtu achana na hz habl bwana
Yakweli hayoo mbona alipoojiw mond alisema kwenye mavazi yeye mwenyee
It's a shame tanzanian youth are now mixing languages...they can't finish a Swahili sentence without mixing in English. Why do you do that? Please stop it. Swahili is a beautiful language and should be kept intact. Love from Rwanda.
True
I agree with you on that and I am Tanzanian...We will soon be like Kenyans...Ariko se, narumvise n'urubyiruko rw'abanyarwanda buravanga icyongereza n'ikinyarwanda cyane cyane mumijyi minini? Ngirango iyi myifato iragenda mu bihugu byinshi muri Africa. Birababaje cyane mutama....Kinyarwanda changu si kizuri sana lakini nadhani umenielewa!!
@@swahiliwithdavid5910 oh wow, actually your written kinyarwanda is better than many Rwandans' writing skills. To your point, yes, urban dwellers in rwanda really butcher kinyarwanda, they mix it with English a lot. It's shame because this mentality can only derive from colonized mindset. Ironically banyarwanda in the diaspora speak clean/neat kinyarwanda than their counterparts in Rwanda. Just out of curiosity, where did you learn to write good kinyarwanda? Are you a Tanzanian living in Rwanda?
@@vyuguruzumwangumwereka
Thanks for encouragement!
I live in Tanzania, Mwanza region specifically. I have not lived in Rwanda but just visited twice and stayed for 3 days on each occasion.
I follow the BBC Kinyarwanda/Kirundi service and read news online. I also read the Bibles of Kinyarwanda and Kirundi to try and build my proficiency - the Bible and BBC are the resources from which I learn proper Kinyarwanda, esp the written form. It's a very long way to go but I have made some progress.
I have love and curiosity for languages and Kinyarwanda appeals to me a lot!.
Hii ni kweli . Bora mtu kiongea achague lugha moja kufuatana na audience. Lakini sio kuchanganya.
Hhh
Iyo kaz ya kumvalisha nguo si angeifanya mkewake au?
Yupo single
amisamulembo
Kama unaamn hanstone ndio msaniii anaekuja kutamblishwa soon gonga like twende sawa🤗
ww nae unasema lugha zamabeberu chocho unachoona hadi ss nihao mabe utafanyaje
Wazazi hawajawahi kuachana