Asante sheikh Khalifa Hamisi ni wewe peke yako katika masheikh unaowahimiza waislamu kuwaombea ndugu zao wanaodhulimiwa huko Ghaza Allah akubariki na upo tiyari kuongea na kupinga dhulma mahali popote tulitegemea kuwaona masheikh wengi wa Tanzania wakiongozwa na Mufti wakikemea hichi walichofanyiwa Ndugu zetu wa chama cha CHADEMA na jeshi la police.
Tuone tunaowaamini Wazungu na Wamarekani wao maisha Wana chuki na sisi eti tunaowaamini Kama ni wenzetu na wanajificha mgongo nje na hao waIsrail lengo lao hasa ni kuwa wawaondoshe wapalestina wote ili wake wao eti wanajiita taifa teule na ni Mungu gani aliyewateua wawe madhalim kwa binaau
Ajabu kubwa na aibu kwa nchi za Ulaya zinazojidai kuwa zinayo demokrasia na zinafuata na kuheshimu haki za binadamu. Ingekuwa ni zetu za kiafrika yametokea hayo basi Ulaya yote na nchi za magharibi zingefungua midomo yao kugomba na Kulaani vurugu hizo na kusema hayo ni kwa sababu ya uongozi mbaya wa kidekteta. Sasa vipi wao tuseme nini, Ana kuhusu Mayahudi kushindwa kwako kwa vita pamoja na mauwaji wanayoyafanya ya holela ya kinyama wanaona hakuna mafanikio ya malengo yao. Allah azidi kuwapa nguvu ushujaa na ujasiri wapalestina wote na wote wanaopigana nao dhidi ya Mayahudi. Yaa Allah nusra yako kwa wanaopigania haki ndiyo ombi letu, wewe ni muweza mwenye nguvu
@@SwedyMohamed-vt5zm duuuuuuuu kazi mnayo waislamu juzi tu kiongozi WA hamas wamemuua na mlizi wake Tena ugenini Kwa watu na mwingine WA hizziblah na rais rais na wakuu WA majeshi WA Iran nchini siry na hoko Gaza ni magofu ya magolofa na Kila siku wanaomba waulumiwe kweli nyie ni vipofu na viziwi
Dunia nzimà wameungana kwenda Palestine kuchukua mateka je wamewapata? Je wameimaliza Hamas kwa vile Israel wameshindwa vita wameishia kuuuwa viumbe wasio na hatia engelikua Israel jeshi kweli wangepigana na Hamas mbona wanapigna na raia hawapigani na Hamas?
@@اللهأكبر-ذ7ث3س mnafiki wewe nimekwambia hamas ni kikundi Cha kigaidi kinajikinga Kwa wananchi na kinawalazimisha wananchi wasitoke kinawatishia nyie wateteeni hao magaidi ndio wamesababisha kuuwawa wasiokuwa na hatia kama watoto wanawake wazee hii Sio sawa ndiomaana hata huku kwetu serikali ikishawashutukia inawafulumsha mapema hawafai na wananchi hatutakiwi kuwakumbatia hata kama ni wadini zetu tuwatangaze mapema tusijekipata hasala
Asante shekhe muungu awape nguvu jeshi la mtumee mohmd
Asante sana kwa taarifa sheikh.Natamani na masheikh wengine wangekuwa (active)Kama wewe huku misikitini mwetu tungekuwa tunapata faida kubwa.
Shukran sheikh❤
Ishaallah Allah hayuko pamoja nao maana wao sio waagawa Riziki Iko siku Allah atawatia mikononi
Asante sheikh Khalifa Hamisi ni wewe peke yako katika masheikh unaowahimiza waislamu kuwaombea ndugu zao wanaodhulimiwa huko Ghaza Allah akubariki na upo tiyari kuongea na kupinga dhulma mahali popote tulitegemea kuwaona masheikh wengi wa Tanzania wakiongozwa na Mufti wakikemea hichi walichofanyiwa Ndugu zetu wa chama cha CHADEMA na jeshi la police.
Chadema wanataka kuvuluga amani
Ya nchi mabebelu watuvamie.
Tuone tunaowaamini Wazungu na Wamarekani wao maisha Wana chuki na sisi eti tunaowaamini Kama ni wenzetu na wanajificha mgongo nje na hao waIsrail lengo lao hasa ni kuwa wawaondoshe wapalestina wote ili wake wao eti wanajiita taifa teule na ni Mungu gani aliyewateua wawe madhalim kwa binaau
@@SalamaBakari-eh1mz panya akivamia makazi ya watu anafukuzwa WA Israel ni kwao
Ajabu kubwa na aibu kwa nchi za Ulaya zinazojidai kuwa zinayo demokrasia na zinafuata na kuheshimu haki za binadamu. Ingekuwa ni zetu za kiafrika yametokea hayo basi Ulaya yote na nchi za magharibi zingefungua midomo yao kugomba na Kulaani vurugu hizo na kusema hayo ni kwa sababu ya uongozi mbaya wa kidekteta. Sasa vipi wao tuseme nini, Ana kuhusu Mayahudi kushindwa kwako kwa vita pamoja na mauwaji wanayoyafanya ya holela ya kinyama wanaona hakuna mafanikio ya malengo yao. Allah azidi kuwapa nguvu ushujaa na ujasiri wapalestina wote na wote wanaopigana nao dhidi ya Mayahudi. Yaa Allah nusra yako kwa wanaopigania haki ndiyo ombi letu, wewe ni muweza mwenye nguvu
Wewe shekhe uongo unakusaidia nini ulishasema Israel imeshindwa vita kwa Hamas lakini mpaka Leo wanaendelea kutoa dozi kwa magaidi kawasaidi
Wewe ndio huelewi TU.Tatizo umeegemeza masikio Yako kwenye mainstream media ambazo haziwezi eleza dozi wanayoitoa Hamas dhidi ya wazayuni.
@@SwedyMohamed-vt5zm duuuuuuuu kazi mnayo waislamu juzi tu kiongozi WA hamas wamemuua na mlizi wake Tena ugenini Kwa watu na mwingine WA hizziblah na rais rais na wakuu WA majeshi WA Iran nchini siry na hoko Gaza ni magofu ya magolofa na Kila siku wanaomba waulumiwe kweli nyie ni vipofu na viziwi
Dunia nzimà wameungana kwenda Palestine kuchukua mateka je wamewapata? Je wameimaliza Hamas kwa vile Israel wameshindwa vita wameishia kuuuwa viumbe wasio na hatia engelikua Israel jeshi kweli wangepigana na Hamas mbona wanapigna na raia hawapigani na Hamas?
@@اللهأكبر-ذ7ث3س mnafiki wewe nimekwambia hamas ni kikundi Cha kigaidi kinajikinga Kwa wananchi na kinawalazimisha wananchi wasitoke kinawatishia nyie wateteeni hao magaidi ndio wamesababisha kuuwawa wasiokuwa na hatia kama watoto wanawake wazee hii Sio sawa ndiomaana hata huku kwetu serikali ikishawashutukia inawafulumsha mapema hawafai na wananchi hatutakiwi kuwakumbatia hata kama ni wadini zetu tuwatangaze mapema tusijekipata hasala
@@prochesernest5439Ninyi sio watu mbwa au ngurue Bali n washenzi waadabu kupitiliza