Upauaji mzuri na wa kisasa wa nyumba unavyofanyika | Fundi anakupitisha hatua kwa hatua

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 8

  • @emmanuelmadinda9680
    @emmanuelmadinda9680 3 роки тому +1

    Ni elimu nzuri sana unayotoa Basilisa. ila ingependeza zaidi ukivaa uhusika zaidi na kuwa na mwonekano wa mtu aliye site. Mavazi yako yaendane na mahali, ikiwa pamoja na kuhamasisha kuvaa kofia na viatu vya usalama wakati wa ujenzi. nadhani itaongeza kitu kidogo katika mwonekano wa kipindi.
    pia napendekeza kuwe na muda zaidi wa kuzunguka ndani ya jengo, kufanya kama "ukaguzi" wa jengo na huo ndio wakati mzuri zaidi wa kutoa maelezo kutoka kwa fundi. kusimama muda wote kama unauliza maoni tu, sidhani kama ni wazo zuri. ni mtazamo wangu tu, yote ni katika kuboresha kipindi hiki kizuri.

  • @KingukuMuharrami
    @KingukuMuharrami 5 місяців тому

    Masha allah

  • @mwajumaherman9114
    @mwajumaherman9114 3 роки тому +1

    Ni nzuri sana hata vijijini mkiitwa mnakuja.

  • @kabuladeogratis6553
    @kabuladeogratis6553 2 роки тому

    Hongera sana nitakutafuta

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 роки тому +1

    Lakin mbao nyingi sanaaa muna tumia NA izo mbao ghali sanaaaaaa

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 4 роки тому +1

    Nimevutiwa na kazi yenu, natamani siku 1 niwape kazi.

  • @costantenokobelo7197
    @costantenokobelo7197 8 місяців тому

    Nyumba ina mita 12kwa 10 mbao ngapi bati ngapi

  • @sumatanjunior231
    @sumatanjunior231 3 роки тому +1

    Kuta za ukutani haha