Ukianza kuongea natabasabu lakini akili yangu inarejea nakuniambia haupo tena nabaki kulia 😭😭😭Pumzika kwa amani Baba yangu hakika ulikuwa ni mfano wa kuigwa daah baba ulikuwa unaumwa bila kutuambia angalau tukafunga na kuomba kwaajiri yako aaaa kizuri hakidumu
We ndugu kumbe siko pekeangu yani mie mpka nilikonda mawazo yalikuwa yako utawala moyo wangu nilihisi kama nimepotelewa na ndugu wa karibu kabisa si wa mbali jamni kulia 😭😭😭
😭😭😭 daaa jamani🙆 hakika kitu kizuri hakidumu hakika umetuacha yatima sidhani kama tutapata mwingine kama wewe.R.I.P baba yetu tulikupenda sana lkn Mungu kakupenda zaidi🙏🙏
😭😭😭😭😭😭😭tutakwenda wapi tukapate ushauri hatutasikia tena sauti yako live Baba tumebaki na majonzi tu 😭😭😭😭😭😭😭 tutayaenzi yote mema uliyotuhusia Mungu akupumzishe kwa amani shujaa wetu 🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Best president ever,hofu yake ya Mwenyezi MUNGU ni sifa yake bora zaidi,Mwenyezi MUNGU ailaze roho yake katika amani ya milele kwenye mkono wake wa kuume.
RIP Dr Magufuri and we will miss you, I can't believe that you have gone and we shall not hear from you again, but you have done your work and going for another work somewhere where you needed too 🙏🙏🙏🙏
Jaman amka basi baba, amka Rais wetu weeeeee😭😭😭😭😭😭😭. Kweli jaman unatuacha jaman uwiiii. Amka baba, amka John, tukuone tena ukituhutubia wanao jaman amka😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mtetezi wa wanyonge, mtetezi wa kinamama wanaoonewa,mpangusa machozi ya wamama wasiyo na uwezo, mtetezi wa mtanzania nikweli ulijitoa kwenye nchi yako kwakila namna, buriani rais magufuli,milele tutakukumbuka😭😭😭😭😭😭🤲🙌
Adui wa Africa ni mu afrika mwenyew. mlishindwa kumlinda na inchi ya Tanzania unashindwa kuzugumza ukweli kwamba ki fu cha Raisi Magufuli kimetokana na ambao waitwa wazungu du
@@sifatiiman alikua akiimba nyimbo moja isiji ikatokea ikawa Libya na Khaddafi, nadicho kilicho kwa sasa Government ya Tanzania inaficha na uku inajuwa ukweli
Baba wamekusaliti wamekusaliti MUNGU akuweke panapo stahiki jembe letu inauma yani dah MAGUFULI nalia nalia,baba washahalalisha sindano kujifukuzia hawakuamini tena jamanii,ila mimi nimuumini wa magufuli nation.
Umetuachia mtihani baba 😭💔 Yaani wewe ni Mtumishi tusipo fuata ushauri wako tutajuta Mungu atusaidie sana
Upo sahh tusipoyafata n shida
Kweli kabisa tusipofuata ushauri wa huyu mzee tutaisha kwa kweli ! Ni huruma ya MUNGU tu
Baba wewe Ni muungwana Mungu akupumzishe kwa Amani.
Tunakupenda Sana sana
R.I.P raisi wetu tulikupenda mungu kakupenda zaidi pimzika kwa hamani
Hii clip sio Magufuli baali ni Roho wa Mungu alikuwa anasema na Taifa.
Uko sawa rafik
Ukianza kuongea natabasabu lakini akili yangu inarejea nakuniambia haupo tena nabaki kulia 😭😭😭Pumzika kwa amani Baba yangu hakika ulikuwa ni mfano wa kuigwa daah baba ulikuwa unaumwa bila kutuambia angalau tukafunga na kuomba kwaajiri yako aaaa kizuri hakidumu
We ndugu kumbe siko pekeangu yani mie mpka nilikonda mawazo yalikuwa yako utawala moyo wangu nilihisi kama nimepotelewa na ndugu wa karibu kabisa si wa mbali jamni kulia 😭😭😭
We love you so much in Uganda ntoroko district RIP baba
Mungu aiweke roho ya raisi wetu mahali pema peponi pumzika kwa aman Baba yetu mbele yako nyuma yetu
😭😭😭 daaa jamani🙆 hakika kitu kizuri hakidumu hakika umetuacha yatima sidhani kama tutapata mwingine kama wewe.R.I.P baba yetu tulikupenda sana lkn Mungu kakupenda zaidi🙏🙏
Kifo kipo lakin hakizoeleki jaman staki kuamini mimi leoooo😭😭😭😭 tz yetu ss 🇹🇿😭 mzee wetu jaman 😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔
R I P Raisi wetu Doctor Jonh pombe magufuri tutakukumbuka sana baba mungu akusamehe madhambi yako na ulale kwa amani😭😭😭
😭😭😭😭mungu akupumzishe kwa salama n amn. Hakika mann yk 2tabk nayo daima mileleeee😭😭😭🙏. Nendaaa salamaaa kwaher y kuonanaaa tena legend we2 kipenzi😭😭😭🙏
Kweri Raisi wetu a naiman abawajua saana wabaya wetu daaa Tunakupenda Raisi wetu daima😭😭😭😭😭😭hatutokusahau
Vita Umevipiga na Mwendo Umeumaliza Salama, Mwanga wa Milele Ukuangazie Kipenzi Cha Watanzania.
Hakika kwake tutarejea 💔💔 R.I.P JPM 😭😭😭
😭😭😭😭😭💔
Kwakweli mpaka sasa siamini 😢😢😢 naona km naota. Sijui nitalipokea lini hili . Mungu tutie nguvu,wewe ndiye ujuaye yote.
Aise inauma kwakwel polen sana watanzania mungu awape nguvu kwakweli nilimpend uyu baba mpaka nikataman nibadili injii allah ampe kauli dhabiti 😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭tutakwenda wapi tukapate ushauri hatutasikia tena sauti yako live Baba tumebaki na majonzi tu 😭😭😭😭😭😭😭 tutayaenzi yote mema uliyotuhusia Mungu akupumzishe kwa amani shujaa wetu 🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Innallillahi wainna illahi rajiun shujaa pumzika kwa amani kazi ya Allah haina makosa @john pombe magufuli
Innalilah waina lilahi la juun Allah akupe kauli thabiti 😭😭Allah alifanye kabuli lako liwe kati ya bustani za peponi Inshaallah😭😭😭 Amiin🙏🙏
Magufuli hatuna la kusema zaidi ya kumshukuru Mungu,ok R.I.P
Pumzika kwa amani baba nabii wa kweli uliezima ghafla will ever miss you
Best president ever,hofu yake ya Mwenyezi MUNGU ni sifa yake bora zaidi,Mwenyezi MUNGU ailaze roho yake katika amani ya milele kwenye mkono wake wa kuume.
Saffi Sana baba umekufa ukiwa na imani na mungu
Mtumishi wa Mungu asiyetahayari.Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Oo Lord Let Your Love Not depart from us
INNA LILLAH WA INNA ILAYHI RAJIUN
We kjn upo kweli
@@filbertmethusela1407 nìpo kakaaaa
@@filbertmethusela1407 uko salama wewe.......!?
Pumzika kwa amni shujaaa wetu jpm
Ahsante MUNGU kwa mussa wetu ambaye ndie Rais magufuli,tunaomba utupe joshua wetu atuongoze vyema sawasawa na mapenzi yako.
Amen mtumishi. Joshua yupo
Amina
RIP Dr Magufuri and we will miss you, I can't believe that you have gone and we shall not hear from you again, but you have done your work and going for another work somewhere where you needed too 🙏🙏🙏🙏
R.i.p rais wetu tangulia xie tupo nyuma yk
Huyu mzee kwakweli nilikuwa nampenda Sana. Maana kila kitu kila Hatuwa yeye anamtanguliza mungu.
Daaaah 😭😭😭😭😭 kumbe huu ulikuwa USIA wako wa mwsho kwe2 Baba weeeeee ume2achia majonzi makubwa sana pumzka kwa aman
Hakika iman uliyokuwa nayo n kubwa sana mungu akubarik
Mungu akupokee kwa amani baba
Raisi wetu tunakuombea Mungu kakupenda zaidi tunalia baba tumeumia sanaa😭😭😭😭😭
R.I.P Our President 💔💔
Jaman amka basi baba, amka Rais wetu weeeeee😭😭😭😭😭😭😭. Kweli jaman unatuacha jaman uwiiii. Amka baba, amka John, tukuone tena ukituhutubia wanao jaman amka😭😭😭😭😭😭😭😭😭
kweli kabisa, You spoke the truth , Barakoa zina matatizo,
Que bom para vocês aí a pandemia já passou !!Nos aqui no Brasil estamos sofrendo com a pandemia!!😭😭😭😔😔😔
We have lost ahero,not only in Tanzania but in the African,rest in peace daddy.ilack words to say .
Wakat huu ndo wakat wa kumuomba mungu kisawasawa
Mungu akupumuzishe kwa Amani baba tumekumiss umetuachia ukiwa hatujui kinachoendea sasaivi 😭😭😭
R. I. P our president JPM we loved u so much
R I P rais wetu tulikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi tutakukumbuka milele 😭😭😭
Mtetezi wa wanyonge, mtetezi wa kinamama wanaoonewa,mpangusa machozi ya wamama wasiyo na uwezo, mtetezi wa mtanzania nikweli ulijitoa kwenye nchi yako kwakila namna, buriani rais magufuli,milele tutakukumbuka😭😭😭😭😭😭🤲🙌
R. I.P Mr President R.I.P Jembe Nenda JPM Nenda JPM Nenda JPM Nenda JPM Nenda JPM Ukagone Malafyale
Dada acha tu , Tuombe Mungu sana
Hapa duniani tunapita baba mungu akulaze mahali pema peponi tulikupenda lakini mungu kakupenda zaidi yatu
tumtangulize Mungu
jamanii magu nenda baba uwende salama tulikupenda sana wa kenya
Mungu akupe mpumziko la milele daima
Jaman wewe baba mie mbona nashindwa kukusahau 😭😭😭 pumzika kwa amani Rais wangu 🙏
Mzee umejua kutuliza wew mwenyezi mung akupe fildahusii
Pumzika kwamani shujaa wetu
Magufuli eeeee 😭😭😭umeondoka baba Lakin nashindwa kukuita malehemu maneno yako yananiliza mno yaan kama ulijua utaondoka shujaaa 😭😭🙏
Duuuu mwenyezimungu akulaze mahala pema pema pepon yaani mimi mpaka leo siamin😭😭😭
MUNGU hashindwi kitu ! Tumtangulize MUNGU ! Dah sitakusahau mwamba my best president ! Yaani dah nalia tu
Pumzika kwa aman
Upokelewe Mbinguni kwenye makao ya milele baba.pumzika kwa Amani
Mm kama naota 😭😭😭😭😭😭😭 tutafuata ushauri Mungu yupo baba pumzika 😭😭😭💔
Tutakukumbuka sana JPM
Jamanii nalia mimi dah yaniiiii tumeumbuka Tanzania tumeumbuka heeeeee,innalillahi wainnalillah rajiun.
Rest easy hero💔
Yaaan President kaongea ukweli chonde chonde tufuate ushauri wake watanzania balakoa barakoa vaen za kutengeneza tafadhalu 😭😭😭😭
Pumzika kwaaa Aman baba wataifaa😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭bado kidonda hakijapona
Raisi wetu jamani pumzika kwa Amani tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi Baba😭😭😭😭😭🙏
Innalilahi wainailahi rajiun
Sisi sote ni wa mungu na kwake tutarudi
Hata kama wakikupa sumu utakwenda kwani uwongo baba 😭😭😭
rest in peace JPM
Baba ulkuwa unatupa maneno manzur ya kutujenga sasa baba Kama umeondoka nan atatpa maneno manzur pumzk kwa amani maguful
Shujaa kweli. Mwangi wa milele umwangazie ee bwana.
Innaa Lillahi wa innaa Ilayhi raajiuun
Tutakukumbuka sana baba yetu
Adui wa Africa ni mu afrika mwenyew. mlishindwa kumlinda na inchi ya Tanzania unashindwa kuzugumza ukweli kwamba ki fu cha Raisi Magufuli kimetokana na ambao waitwa wazungu du
😃😄 Kumbe hebu nifumbue macho na mimi nijue
@@sifatiiman alikua akiimba nyimbo moja isiji ikatokea ikawa Libya na Khaddafi, nadicho kilicho kwa sasa Government ya Tanzania inaficha na uku inajuwa ukweli
Maendeleo Ya Tanzania watu wa Est, Ouest na North ya Africa awakupendezwa kwao ilifika kwa uwakati wa korona waka tafuta ki kwazo
@@hassanussein1817 doooh yaan ni sianzi tupu kuondokewa na rais akiwa madarakan 😥😥😥😢
Shujaa Wangu
"Mimi ni kiongozi wenu ninajua mengi" MWALIMU.
Rest in peace our dear president John Pombe Magufuli
Huyu ndiye NABII na MTUME wa kweli
Pumzika kwa Armani baba wataifa 😭😭😭😭
Umetuacha yatima baba, pumzika kwa amani
Dear father😭😭😭😭😭😭😭
Baba yangu umejua kuniliza jamanii
Kwanini mapema hivi daaaah
Inalilah wainalilah rajiun
Mpk sas bad siamin
Umelala yooooo 😭
Daaaaa!!! As if he still alive.
Mungu jamani tuhurumie tuu
Mtihani mkubwa sana
Kabisa
Sasa tutampata wapi jamani Raising WA hivi jamani
Ulitupa ujasiri mno katikati ya hili tatizo ujue baba.
Baba wamekusaliti wamekusaliti MUNGU akuweke panapo stahiki jembe letu inauma yani dah MAGUFULI nalia nalia,baba washahalalisha sindano kujifukuzia hawakuamini tena jamanii,ila mimi nimuumini wa magufuli nation.
Hama hakika ulitutaka tujitegemee tuwe wabunifu.nk .
Nenda baba tutakukumbuka.
Yaani kifo chako kimestusha bora tungeckia umeugua kdg baba nakumiss sn
Bado siaminii
R.I.P baba JPM
RIP Mr President.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Umetuaja baba manano yako yanaonekana leo
Rip Dady
Rip Magu
Umeondoka mapema hivi hicho kiti unamwachia Nani sasaaa???
Rest in peace anko
😭😭😭😭😭💔💔💔💔
Hakika tutakukumbuka