| SHAJARA | Angeline Kalunda anawatafuta wanawe wawili [Part 1]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 вер 2024
  • Alipotelewa na pacha wake akiwa hospitalini
    Angeline anawatafuta wanawe wawili

КОМЕНТАРІ • 52

  • @colletamunyao2369
    @colletamunyao2369 4 місяці тому +6

    So painful kama kuna mwenye ashaiwaona tafadhali ajitokeze.

  • @felistusmutinda2388
    @felistusmutinda2388 4 місяці тому +2

    Angesema hospitali ni gani ili watu wengine wajue wasiende huko na pia mkono wa sheria utumike. Pole mama. Tunamtakia kurudishiwa watoto wake.

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 4 місяці тому

      Lately, hiki si kipindi cha kwanza, ambapo nimeona hawataji majina km hivi hospitali.
      Zamani nilikua naona sipitali ya Pumwani Nairobi ikitajwa Taiwan sana.
      Labda sikuhizi hairuhusiwi. Ikiwa bado yakubaliwa, hopefully, host au mama na huyu kijana wake, wataitaja to anyone asking. Plus, simila info somewhere at the top or bottom, kutaja hiyo sipitali.
      'Mtoto singuo, utampa mtu..... Geogi Mwamba, simba wangu...'
      Hopefully, hata watoto wenyewe wataona hii story. Na *Just* somehow, wamtafute huyu mom thro this prog/host. Na wakutane tena, sakama salamini.

  • @LeahKano
    @LeahKano 4 місяці тому +1

    Inama sana ata nimelia mungu akutete mum

  • @Trizah-254-e
    @Trizah-254-e 4 місяці тому +2

    Kwa hivo huyo sister yetu ako around hapo Mwingi,so kueni mkimngojea hapo kwa stage.

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh 4 місяці тому +1

    Waliuza hao watoto nurses sometimes what you do it will affect your generations. Remember there is God who sees

  • @Sylvia-sd4mf
    @Sylvia-sd4mf 4 місяці тому +4

    If you do these stories that are supposed to help others,how do they help if you do not mention the facility?

    • @hannahrhodah2018
      @hannahrhodah2018 4 місяці тому +1

      Sometimes I wonder whats the essence off some interviews, they hide the most vital information

  • @hannahrhodah2018
    @hannahrhodah2018 4 місяці тому +1

    Eish ati nursery hakuingiangwi na nguo? 😳😳😳🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️ said who? Mimi ni daktari na sijawahi skia kitu kama hio, kwani hao nurse wenyewe wa hio hospitali walikua uchi? Haki medics wengine are evil than the devil himself

  • @bonita329
    @bonita329 3 місяці тому

    Hivi wafrica tunamatatizo gani 😢kwanini unaiba watoto wa watu kisa pesa jamani mbona dhambi kubwa hii jamani ... Inasikitisha dunia hii inamashetani wakali 😩

  • @annengumbi5551
    @annengumbi5551 4 місяці тому

    Mama you are right. Ufisafi ni mbaya.

  • @JudyMawia-ci3mr
    @JudyMawia-ci3mr 4 місяці тому +1

    Huyo ni mcungaji wangu wa kanisa la ushago sijui kwanini amlikataa kusema hospital....but ilikua pumwani.

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 4 місяці тому

      Thank you. Pumwani ndio nilikua nasikia visanga vingi km hivi.
      Kwani hii sipitali ya Pumwani, Nairobi ni Jinamizi Kubwa aje?
      Imeengaisha watu SANAAAA.
      Kwani inakua somehow connected na "Kingping" Mkubwa wa Syndicate ya uibaji watoto.
      I mean "Mafiosa Style" BIG TIME !!!!
      Maybe one day atatambulika na kufanywe Senema/True Movie Kubwa WORLD WIDE.
      My God. It's time.

  • @erickithuka6997
    @erickithuka6997 4 місяці тому +1

    Sad which hospital

  • @irineadisa7289
    @irineadisa7289 4 місяці тому

    Hao Madaktari siwakue wakitombana na wao wapate watoto wauze...pthoooo....walaaniwe wote....let's share and get the other kids,how old is miracle???

  • @editholoo6180
    @editholoo6180 3 місяці тому

    Huyo daktari .... wewe Doc Mungu alikuona ...Ulijenga nyumba ngapi ?

  • @zaitunisagwa2082
    @zaitunisagwa2082 4 місяці тому

    Hata kama, hii Familia ndio ilikuwa na makosa. Hawangekubali kutoka hospitali from day one mpaka kieleweke. Eti, natoka hosi hivo tu eti ningefanya nini???? A! Which kind of mother does that.

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 4 місяці тому

    inauma sana

  • @munichkin
    @munichkin 4 місяці тому

    Wish them the best

  • @mwituamweene9850
    @mwituamweene9850 4 місяці тому

    Unyama. The dates of the incidence could help relatives and families where those 2 kids were put/sold with recall .

  • @drsmith1596
    @drsmith1596 4 місяці тому

    Very painful...... indeed

  • @lydiapeter8156
    @lydiapeter8156 4 місяці тому

    Painful pole..bt I also to give out mine kwa wenye wamama wanaitaji watoto

  • @gww-px8vc
    @gww-px8vc 4 місяці тому

    Wangeona mwenda wazimu singekubali kutoka huko

  • @maryfridahndunge5616
    @maryfridahndunge5616 4 місяці тому

    So painful 😢

  • @JosephGachiniMuchiri
    @JosephGachiniMuchiri 4 місяці тому

    So painful

  • @annengumbi5551
    @annengumbi5551 4 місяці тому

    Huyo msichana aliyekuwa anatumia boda anngeambia mwenye boda amuonyeshe huyo msichana mwengine aliyekuwa ana muona.

  • @georgegg1079
    @georgegg1079 4 місяці тому

    Aah makosa kweli

  • @wanjiruolive
    @wanjiruolive 4 місяці тому

    Whaat aki God what is this??? What kind inhumane injustice is this?

  • @Wakopessssa
    @Wakopessssa 4 місяці тому +1

    What if she picked a different son again? 😮😮😮😮

    • @hannahrhodah2018
      @hannahrhodah2018 4 місяці тому +1

      My goodness 🥺🥺😱😱🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️ don't say that cos inaweza complicat the whole situation, wah

  • @hannahrhodah2018
    @hannahrhodah2018 4 місяці тому

    Hao watoto wako huko Mwangi

  • @munichkin
    @munichkin 4 місяці тому

    Watu wanakufanana ni wengi nduniani

  • @bendetermbesa702
    @bendetermbesa702 4 місяці тому

    Makosa ni ya mzee hapa siku 4 zote bila kuona mtoto how

  • @munichkin
    @munichkin 4 місяці тому +1

    Hospitali gani agesema

  • @jacklinemuli8651
    @jacklinemuli8651 4 місяці тому

    Ni hospitali gani hio

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 4 місяці тому

    jmn rudisheni ao wwtoto

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 4 місяці тому

    Duuuu

  • @MERCYmercy-rl3lu
    @MERCYmercy-rl3lu 4 місяці тому

    Sai wanauza watoto it's so painful kwa huyu mama

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 4 місяці тому

    uchi

  • @catherinenamachanja4670
    @catherinenamachanja4670 4 місяці тому +1

    Name and shame.Why hide name of facility?

    • @robloxtripplets1243
      @robloxtripplets1243 4 місяці тому +3

      You can be sued for defamation if you have no proof

    • @samjuniorofficial4552
      @samjuniorofficial4552 4 місяці тому +1

      Exact,,,most important thing I believe wataonekana na through this wengine watasaidika🙏🙏🙏🙏

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh 4 місяці тому

    If I here this case it takes me back to pumwani where demons are operating how come unaambia mtu umepea yeye mtoto na ni uongo

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 4 місяці тому +1

    Singetoka hapo walahi

    • @samjuniorofficial4552
      @samjuniorofficial4552 4 місяці тому

      Sometimes ubidi na pia kama hauna uwezo wafinyiliwa lakini najua jambo Moja mungu atabaki kuwa mungu my prayer wapatikane🙏🙏🙏🙏inaumiza

    • @gww-px8vc
      @gww-px8vc 4 місяці тому

      Me too singetoka

  • @lazarusmusili8145
    @lazarusmusili8145 4 місяці тому

    Kwanini alikua hosii pekee??

    • @samjuniorofficial4552
      @samjuniorofficial4552 4 місяці тому

      ukiambiwa watoto wako nursery na hauwezi ingia waeza Fanya anje kama mama lazima atembee uchi all that distance? Inaumiza ila mungu ni mwema

  • @roselinekaari
    @roselinekaari 4 місяці тому

    So painful 😢