Chege Feat. Diamond Platnumz | Waache Waoane | Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 5 тис.

  • @ChegeChigundatz
    @ChegeChigundatz  6 років тому +1155

    watch the #Chege's latest song #MamaJ ► bit.ly/2IOzl8C

  • @Lacopabinsimba
    @Lacopabinsimba 10 місяців тому +228

    Wangapi tuna skia hu wimbo 2024?❤😅

  • @ongashdancan2
    @ongashdancan2 Рік тому +277

    2023 bado nani anakumbuka hili doba mpe diamond wetu likes zake he deserves 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍👍👍

  • @SamwelAbsalum
    @SamwelAbsalum 8 днів тому +9

    Hii ngoma 2025 bado naikubari tu........cjui mwenzangu unaikumbuka

  • @Ibrahimkhamis005
    @Ibrahimkhamis005 Рік тому +904

    Tunao tazama hii nyimbo mwaka 2024 like

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Рік тому +283

    Kam Umerudiya Huu Wimbo 2024 Tujuwane Hapa🎉🎉🎉

  • @AhazyStanley
    @AhazyStanley 10 місяців тому +402

    Kama Umekuja Kuangalia Tena huu wimbo 2024❤Like hapa😊

  • @majehshadrack4826
    @majehshadrack4826 Рік тому +98

    gonga like kama umerudi kusikiliza huu wimbo 2024

  • @MacAndrew-gd5jb
    @MacAndrew-gd5jb 9 місяців тому +19

    Waache waoane ,,,,, yaishe,,,,akikumbuka atakurudia , haina haja umpende asiyekupenda

  • @leahjustus2192
    @leahjustus2192 Рік тому +66

    2024 i get to use this song. All the best Mo🙏. We are better off apart than together.

  • @hashinacandice87
    @hashinacandice87 10 місяців тому +122

    Jaman watu wa 2024 Mpo wap?❤❤😊

  • @rosemusyoka4315
    @rosemusyoka4315 2 роки тому +782

    Kama 2023 umerudia kutazama hii song wapi like😍😋😁🤩😍😋😜😛😝

  • @JohnOnyango-x5g
    @JohnOnyango-x5g 9 днів тому +1

    Moyo umekata kweli❤❤❤..nikamwaga

  • @RodgersKipyegon-rg7cp
    @RodgersKipyegon-rg7cp Рік тому +50

    Kama wa huu mwaka wa 2024 yupo apige like hapa....tussidiane na tuwaache waoane😢😢

  • @Babilonmovies
    @Babilonmovies 5 місяців тому +66

    Kama umekuja hapa baada ya chege kuimba na king kiba gonga like😂

    • @HeranaBaachana-eu2ew
      @HeranaBaachana-eu2ew 5 місяців тому +3

      😂

    • @edwardokumu8453
      @edwardokumu8453 5 місяців тому +7

      Nimekuja kufanya comparison..😂😂😂😂😂

    • @بشاراحمد-ل5م
      @بشاراحمد-ل5م 5 місяців тому +2

      😂😂

    • @KedmonistMaconfidance
      @KedmonistMaconfidance 5 місяців тому

      ​@@edwardokumu8453 Ipi Kali Sasa hii au ile

    • @NasibSam
      @NasibSam 5 місяців тому +3

      Adi mimi niko huku😂lakini lemme tell you maina ngoma zote ni moto lakini hii waache waone ni moto wakuotea mbali❤

  • @lenniekim
    @lenniekim 2 роки тому +22

    Nipe like kama umesalitiwa umeamua 'acha waone tu ' 😭💔💔

  • @Nasi.B-g7u
    @Nasi.B-g7u 11 днів тому +3

    Wanao tazama hii Nyimbo 2025 much love from Kenya Guys like ❤❤❤❤

  • @daudially-ky6zn
    @daudially-ky6zn Місяць тому +6

    huu wimbo huwa unanipa isia kali saana😢 2024

  • @godnhohenry7779
    @godnhohenry7779 Місяць тому +12

    Kama umekuja kusikiliza huu wimbo 2025 gonga like

  • @caraallimited7562
    @caraallimited7562 4 роки тому +362

    Nani anawatch hii video Kwa hii wakati wa covid19?2020.finya like tukisonga

  • @NoviaRaphael
    @NoviaRaphael 9 днів тому +2

    Wangapi tunerudi kusikiliza huu wimbo 2025 tujuane hapa 😊❤❤🎉🎉

  • @sulleymernmannarah7930
    @sulleymernmannarah7930 5 місяців тому +19

    Wangapi wko hapa baada ya Chege na Kiba kutoa nyimbo yao

  • @MansoorAthuman
    @MansoorAthuman Місяць тому +8

    Tunaosikiliza hii nyimbo mwez wa kumi na mbili

  • @josephchege1905
    @josephchege1905 Рік тому +40

    Wapy likes za Mwaka mpya wa 2024🎉

  • @Lacopabinsimba
    @Lacopabinsimba 11 місяців тому +32

    Kama humerudia hii song 2024 gonga like hapa ❤❤😂

  • @ibradaigayo9779
    @ibradaigayo9779 3 роки тому +95

    2021 FEB bado tuko 🇰🇪🔥🔥🔥

  • @HelenKerubo-xt8gz
    @HelenKerubo-xt8gz Місяць тому +6

    Sisi tuliochelewa kuview hii wimbo tuko bado hapa 2025 gonga like tukisonga💞💞💞💞😂😂😂😂

  • @calebkiptoo2207
    @calebkiptoo2207 2 роки тому +35

    Laizer must be the top producer in the world...nataka likes za producer laizer 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FestoRichards
    @FestoRichards 9 місяців тому +1

    ngoma kalixana❤❤❤❤❤❤❤❤ chenge mbona kapotea vibaya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @noelyrajabu105
    @noelyrajabu105 5 місяців тому +22

    Waliokuja kurudia kusiliza verse ya DIAMOND baada ya kusikia ya ALIKIBA like hapa twende sawa🔥

  • @issabaraka2404
    @issabaraka2404 5 місяців тому +42

    Tunao tazama huu wimbo baada ya Chege ft Alikiba tujuane 2024😂😂😂😂😂😂❤🎉

    • @RM_perfect..
      @RM_perfect.. 5 місяців тому

      Uhakika baba😂

    • @Vidawetu-ny4wo
      @Vidawetu-ny4wo 4 місяці тому +1

      waongo et diamond kazidiwa apana diamond fundi nyie

    • @Reginah-x6v
      @Reginah-x6v 4 місяці тому

      Hii ni kali​@@Vidawetu-ny4wo

    • @bravinloka8959
      @bravinloka8959 4 місяці тому

      Alikiba na Chege nyimbo tamu sana kuliko hii,kama unajuwa unajuwa!!

  • @kwizerakhalidissa6994
    @kwizerakhalidissa6994 Рік тому +16

    Kama 2024 umerudia hii song...nipe like

  • @JP-lx1le
    @JP-lx1le Рік тому +4

    Siku moja ntarudi kuingalia comment yangu nikimake it

  • @vincentgweth5991
    @vincentgweth5991 5 років тому +180

    I love Tanzania just because of those guys, Diamond, Harmonise and Rayvanny, they are so talented. And also the fact that they go out of Tanzania and look for some featuring with some famous musicians in africa makes the Tanzanian flag fly high. One love from Cameroon

  • @daudibrandMakeseni
    @daudibrandMakeseni 7 днів тому +5

    Tulio Rudi apa 2025 tujuane apa malejend 🎉❤

  • @josephnguma3386
    @josephnguma3386 3 роки тому +371

    I still love this in 2022. The dance, vibes, rhythm, all Top notch🔥🔥🔥🇰🇪

  • @zoeyscott-t8v
    @zoeyscott-t8v Місяць тому +2

    ❤❤ napenda sana

  • @faidamanoni2285
    @faidamanoni2285 8 років тому +147

    At least now the world is recognizing our music. I'm proud and happy being Tanzanian.

    • @keikeikiplimo2902
      @keikeikiplimo2902 2 роки тому

      Much love from kenya.

    • @V-thv
      @V-thv 10 місяців тому

      Hi this comment has 7yrs ago omg 😊❤❤❤❤

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 4 роки тому +21

    Diamond Platnumz kapamba Sana hii ngoma Sana Sana Sana,,ni ngoma ambayo inapendwa Sana hadi leo,,#Diamond Platnumz ndio King of Bongo Flavour 👑 👑 bila kupinga ila Watanzania hmna fadhila kwa juhudi alizozifanya Diamond Platnumz

  • @deborahelspetha9869
    @deborahelspetha9869 Рік тому +17

    The song still hits in 2024 ❤❤

  • @bosconjoroge8985
    @bosconjoroge8985 20 днів тому +1

    48hrs to 2025,,,come on guys,,,tunakubaliana hii nyimbo haizeeki sasa wala baadae,,,From Dubai,,nipeeni hizo likes wadau,,,,😅

  • @chumkhamis8924
    @chumkhamis8924 Рік тому +5

    Wale tulio rudia tena 2023. Wapi like zenu from Tz🇹🇿 to Zurich Switzerland 🇨🇭

  • @dindamediaentertainmentclub
    @dindamediaentertainmentclub 4 роки тому +32

    Kama bado waipenda hii ngoma huu mwaka tafadhali naomba like zenu juu inaweza sana

  • @millie2547
    @millie2547 4 роки тому +761

    Kama 2021 umerudia hii song wapi like😍😍😜😜😜

  • @SimonZelloth
    @SimonZelloth 27 днів тому +2

    🎉🎉🎉tupo ila mimi uu wimbo mwanyoni ulipo toka Siku uelewa mana nilikuwa sinja wayi salitiwa na mtu ninaye mwamini,uu mwaka2024ndyo Nîme uelewa

  • @kassimkandulu2573
    @kassimkandulu2573 5 місяців тому +6

    Km umekuja kuangalia tena baada ya nyimbo ya chege na Kiba kutoka ili uone tena Simba avyo ugigawa wingi like hapa nione km ww kweli team WCB4LIFE

  • @DaglasMakewa-r5o
    @DaglasMakewa-r5o 6 місяців тому +7

    Kama we ni mkenya mwenzangu na wamkubali diamond nipe like...Tz kama mkenya hataki kunipa like nipe

  • @ongusuongusu9456
    @ongusuongusu9456 2 роки тому +10

    Whoever is listening or watching this song in 2023 after a breakup from that one you love, i can tell press on and God will send you a better replacement

  • @ndikumanaemanuel-o7c
    @ndikumanaemanuel-o7c Місяць тому +2

    ❤ napenda iyi nyimbo kbs

  • @rajabually8659
    @rajabually8659 6 місяців тому +30

    Tunao tazama huu wembo mwezi huu wa jalay 2024 like hapa

  • @kenserem946
    @kenserem946 4 роки тому +42

    Wangapi twapenda Diamond jamenii nipee tafadhalii ❤❤... Gonga like

  • @hassanmassawa1107
    @hassanmassawa1107 6 років тому +87

    Diamond is the real killer when it comes to collabo, prooved 100%

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 місяців тому +3

    Imemchukua Kiba miaka 8 kujibu na bado kafunikwa, Simba is a time traveler. 🎉🎉🎉

  • @matumbifaustine244
    @matumbifaustine244 4 роки тому +78

    Kama ukohapa during this pandemic like tujuane"

  • @brendangomale9349
    @brendangomale9349 5 років тому +555

    kama nawe umerud tena kuinjoi hii ngoma 2019 like tujuane😍😍😍

    • @erickjack4277
      @erickjack4277 5 років тому +1

      Brenda Ngomaley

    • @husseinhassan3421
      @husseinhassan3421 5 років тому +1

      🔥🔥🔥

    • @atienojayne3336
      @atienojayne3336 5 років тому +4

      I came here because of my ex, he left me for My friend, but I don't care they can also go to hell. No one is fucking with my freedom 😒😒😋🤗

    • @shaharisalum3340
      @shaharisalum3340 5 років тому +1

      Brenda Ngomale

    • @ruthmwaura3710
      @ruthmwaura3710 5 років тому

      💔 bana do yamefanya nkam do nimsahau

  • @LongututiTajiri
    @LongututiTajiri 18 днів тому +2

    WATU wamekuwa waminifu Sana 2025 gonga likes hapa tujuane 😃😃

  • @missqueeneve8163
    @missqueeneve8163 11 місяців тому +5

    When I listen to this song there's a certain nostalgia that comes along, it's almost saddens me. Reminding me of when I lived a happy life as a young teen. Life has really changed, the world has changed in so many ways that are not good. Thank you Chameleon for the memories ❤

  • @sweetyfaridahsweety8700
    @sweetyfaridahsweety8700 7 років тому +69

    Point taken. Boyfriend yangu alichukua rafiki yangu. Waache waoane

  • @albertandole3711
    @albertandole3711 3 роки тому +5

    Aki mondi analianga na sauti nzuri kw ngoma,penda sana sauti yake from 254

  • @segeru127zablon6
    @segeru127zablon6 9 днів тому +3

    2025 nani bado anaikubali hii ngoma

  • @Dianachacha-r3e
    @Dianachacha-r3e 12 днів тому +5

    2025 mko wapi🎉😂

  • @simoreVEVO
    @simoreVEVO 3 місяці тому +9

    Nani ako hapa 2024
    Nipeeni likes jameni ❤❤❤
    Wee zombie 🇹🇿

  • @caetanoluisremedio1696
    @caetanoluisremedio1696 4 роки тому +39

    Here during quarantine days.
    "Destroy your repeat button" if you believe that in the end everything will be ok.

  • @SydneyMunanga
    @SydneyMunanga Місяць тому +1

    ❤❤❤❤acha waoane

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 5 років тому +9

    Nikiangalia hii ngoma #Diamond alivyomsukuma #Chege kwenye soko la kimataifa basi Chege asinge mletea unafiki Simba hila ndo hivyo binadamu hafadhiriki.

    • @josboy5384
      @josboy5384 4 роки тому +1

      Kweli kabx ndg yng

    • @winniefrida5092
      @winniefrida5092 4 роки тому +1

      Alifanyaje baby

    • @chiefkaitaba.m.9466
      @chiefkaitaba.m.9466 4 роки тому

      @@winniefrida5092 alimuingizia maneno ya sumu Mbosso hili asiingie WCB,hila mbosso akaona huo ni unafiki akaenda na Leo hii mbosso yuko juu ya Chege Mara 10 zaidi,yaani alimnenea mabaya sana Diamond hadi leo haziivi.

    • @winniefrida5092
      @winniefrida5092 4 роки тому +1

      @@chiefkaitaba.m.9466 kumbe jmn wanasema tenda mema nenda zako ety

  • @elphasochieng8615
    @elphasochieng8615 Рік тому +8

    Kama umerudia hii song recently like hapa

  • @Eve-wc3mw
    @Eve-wc3mw 3 роки тому +52

    I love this song 💕💕 almost 2022 still listening to this jam 🤗🤗

  • @MusicLyrics-gf8oy
    @MusicLyrics-gf8oy Місяць тому +1

    I love Diamond Platnumz, love from Zambia ❤️❤️❤️❤️

  • @CiscaRecaps2015
    @CiscaRecaps2015 3 роки тому +152

    2021...the song is still the best

  • @rayyyamutunga3882
    @rayyyamutunga3882 8 років тому +27

    nitachezwa harusin mwangu inshaa Allah

  • @jumasharon8896
    @jumasharon8896 2 роки тому +22

    After a heartbreak then boom this song was released ,it was my healer .I will never forget it's my ringtone

  • @KhadijaSimbapigauyoooooooooooo
    @KhadijaSimbapigauyoooooooooooo 11 місяців тому +1

    Kahadija Simba nyimbo hatali Sana hii

  • @GALADIYETA
    @GALADIYETA 2 роки тому +43

    The more I watch Trace mziki TV the more I realise that Tanzania music is so dope
    Let's be honest these musicians provide music of excellent quality 🔥🔥🔥🇹🇿❤️🇷🇼

    • @alexissangali8650
      @alexissangali8650 2 роки тому +2

      Oooh thanks,welcome Tz we love u,you can check also these ladies are on fire NANDY,LADY JDEE,MAUA SAMA,ROSA LEE,ZUCHU,

    • @GALADIYETA
      @GALADIYETA 2 роки тому +2

      @@alexissangali8650 thanks alot I have had some tracks of Rosa. Shiz so dope bt in fact all Tanzania musicians provide good music

  • @junypounds1416
    @junypounds1416 8 років тому +16

    hollaa to my soldier CHEGE, one man standing representing the TMK , Wengine wako wapi au pia nao aliwaacha wakaolewa.... HOL UP!! , DIAMOND shika msikani wa burudani, twende zetu aiseeee

  • @mandisamasango9078
    @mandisamasango9078 3 роки тому +78

    This other dude from Tanzania we were staying together in Durban South Africa 🇿🇦 on 2017 he introduced this song to us and translated every single lyrics and I still love this song even today❤😩🔥 his name was Onyeka shout out dude where ever you are we are still family❤

    • @benardbanda2777
      @benardbanda2777 Рік тому

      I need to know the lyrics meaning in English though

    • @hassanesaide8469
      @hassanesaide8469 Рік тому

      Bh

    • @marymwangi6788
      @marymwangi6788 Рік тому +2

      ​@@benardbanda2777 some guy gave all to his girlfriend but was later heartbroken , sees his girlfriend being married to someone else n just decides to wish them well.....(the meaning in summary)

    • @benardbanda2777
      @benardbanda2777 Рік тому

      @@marymwangi6788 thanks for making me understand

  • @brastonkashipaloMusonda
    @brastonkashipaloMusonda 13 днів тому

    Am a Zambian but I love Tanzanian music more especially diamond platinumz in 2025❤

  • @mustafauledi6687
    @mustafauledi6687 6 років тому +151

    kiukwe huu wimbo ni mzuri unafundisha kusamehe usulazimishe mapnz.Ila daimond sio mtu mzuri kwakweli ukimshirikisha

  • @GreatName644
    @GreatName644 6 місяців тому +4

    Played my 2024 wedding in Runda. If you are also sure this is the 25Th Century songs gonga like🔥🔥🔥

  • @castoljmwalyego3778
    @castoljmwalyego3778 5 років тому +16

    All of yuuu you killed it...
    Vichwa vichwa.....
    Kwa pamojaaa....
    Swahili to the world...
    Tanzania flag to the world.....
    Watching from Lusaka Zambia..
    April 2019
    LIKE

  • @TIGERSHROFFTHIAGOMUKAHER-tc6bm
    @TIGERSHROFFTHIAGOMUKAHER-tc6bm 10 місяців тому +1

    Tuko wengi kwauu wingi , mi natokea congo 🇨🇩 vipi nyinyi

  • @abdallahahmed2431
    @abdallahahmed2431 4 роки тому +15

    Maji ya Moto yamekuwa baridi🕺✊

  • @zach4068-c9e
    @zach4068-c9e 4 роки тому +57

    Daah nakukubali sana broo chege kama na ww upo unaitazama ngoma hii may 2020 pita hapa tujuane

  • @stevenfabian2208
    @stevenfabian2208 5 років тому +686

    Kama unaitazama ngoma hii 2020 tujuane hapaa like yako tafadhali

  • @faisalal-miskry4669
    @faisalal-miskry4669 Рік тому

    Chibu! This is your best ever verse.
    Chibu hutokuja na verse kali kama hii.

  • @charlesAkimana-tc5il
    @charlesAkimana-tc5il 6 місяців тому +14

    Wantu wa 2024 nipatie like 🔥🔥🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @waregamaurine7310
    @waregamaurine7310 7 років тому +65

    I love the song....can't stop replaying it over n over again👌

  • @alicewanjiku1293
    @alicewanjiku1293 8 років тому +57

    nice one ata kuliko ya diamond na psquare

  • @realdrkiratu
    @realdrkiratu 2 роки тому +24

    Kama bado uko hapa 2023 gonga like tukisonga🔥🔥🔥

  • @ashleyhartford6048
    @ashleyhartford6048 6 років тому +274

    Omg east African girls very beautiful I have Somali-american and Tanzanian-American friends they all look like supermodels.👏👏👏👏👏👏

  • @watatintin7185
    @watatintin7185 3 роки тому +5

    Nimeamini kikulacho niyule unaona anaekufaa... The lyrics to this song are too deep😥 Who's still here 2021

  • @BruceMujinga-x1v
    @BruceMujinga-x1v 12 днів тому +2

    Qui es là en 2025🎉🎉?

  • @mbisetumaini429
    @mbisetumaini429 3 роки тому +9

    Anaskiliza hii nyimbo Kama Mimi like hapa itufariji kuvumilia machungu ya mapenzi

  • @halisihalisi5629
    @halisihalisi5629 5 років тому +126

    Every time you have a heartbreak listen to this song and see you'll move on like nothing happened😂💯

  • @salehebwangala215
    @salehebwangala215 5 років тому +35

    Tunaongalia hii nyimbo mpaka mwezi huu decemba 24 tujuaje 2019

  • @JoyceFelixMwakisu
    @JoyceFelixMwakisu 4 місяці тому +1

    Ali kiba na Diamond ni majini 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mosesmswahili5925
    @mosesmswahili5925 5 років тому +30

    jaman wangap tunamalzia mwaka 2019 kwakuxkilza nyimbo hi kama tupo pamoja gonga like

  • @harrietawuor7851
    @harrietawuor7851 8 років тому +20

    i cant get enough of this song...i looooooooooove the dancers plus Diamond...just awesome

  • @gilbertomondi7283
    @gilbertomondi7283 5 років тому +31

    This song always reminds me of my late wife, mama Whitney just passed away when it was launched in August 2016.

  • @GraceMasegese-e2b
    @GraceMasegese-e2b Рік тому

    Daaaaaah!!!! Huu wimbo Mungu ndio anajua ulitoka kipindi naachwa na mtu niliyempenda na niliyemuamini mnoo, naachwa after 3 months bwana anaoa😢😢😢😢 labda SIKUMRIDHISHA kweli.... Haki mapenzi kumanyoko hadi leo 2023 nausikiliza na unanifariji mnoooo😢😢😢😅😅😅😅

  • @chrisenzialwanga9420
    @chrisenzialwanga9420 3 роки тому +12

    My boyfriend just married my best friend...damn wacha waoane ndio nitawaimbia siku ya harusi...2021 am still listening it's on🔥🔥🔥..likes tukisonga