Huyu dogo kweli nimeamini maneno aliyoongea Mzee yaani alivyoongea nyuma na alivyoongea ya mwezi huu Wasafi dhahiri kabisa wamepanga kumchafua Mzee na Dida ndy aliyeyapanga kweli loh kweli kucheka na watu wanafki ni mbaya sana
@@sikudhanimohammad7692Muongo huyu mama yake atakuwa yupo maana kule alisema kakulia Mafia kaja huku alivyomaliza shule na mama yake kafa miaka mingi ht picha yake hana huoni hii ni ya mwaka jana na anaishi hapo na mama yake kweli inaingia akilini hapo aah wamepanga kweli wamchafue
Sishabiki mziki nabsisemi km baba yake lakin dogo talent ya kuzungumza dogo mashaa Allahh Allah amuhifazi
Hoger mtto wa mzee yussuf umiris baba
Km get
DSS
💚💖💖👍💋
Una hekima sana kijana,Mungu akupe haja ya moyo wako!
Amiin yarabi
Mtegemee mungu
Imeniuma sana dogo huyo Mungu amufunguliye jua zuli na mimi pia nimekutana namukasahuo
Mzee yusuph ayupo sawa amecyangantikiwa
duh! kimtindo wanafanana but labda atafutwe mzee yusuph afafanue kuhusu hili swala
Mmefanana sanaa inauma Mimi nimekataliwa na babs najua msumivu yake
Pole sana
Poule mwaya
Pole sana 😢
Safi dogo
Huyu kafanana mzee Yusuf
Jamaani hata kama hatujui kusoma napicha Kweli!!!
Mama njo anajuwa baba mutoto
Huyu dogo kweli nimeamini maneno aliyoongea Mzee yaani alivyoongea nyuma na alivyoongea ya mwezi huu Wasafi dhahiri kabisa wamepanga kumchafua Mzee na Dida ndy aliyeyapanga kweli loh kweli kucheka na watu wanafki ni mbaya sana
Sura tupu s8ku zote mtoto wa nje hakwepeki sura mpaka kuzungumza wamefanana sana atunge Wimborne ( nimekataliwa) na mzazi
🤣🤣
Kule wasafi kijana mama kaaga apa mama yupo .
Imagine nimeshangaa
Wanawake wabayaa sana mzee usufu kafanyiwa ubaya sana na mama yake uyo dogo ndiyo mana adi Leo ana machungu sana
Mwenyewe Mzee anakataa hamjui huyo mwanamke sasa ubaya kamfanyia vp?
Dogo kama amekukataa achana naeee
Daa kaza kijana utaa tusuwa Tena uta wakanyaga kaza sanaaaaaaa
Kuna kusingiziwa lakini si hivyo jamani.wayamalize tu kwanza kijana ameshajitambua
Copy yake jamani tena mtoto ana talent huyo mashallah tusikatae watoto watatufaa uzeeni
Watawafaeni uzeeni bila kuwatunza? ?aibu.
Hakuna haja ya DNA ni mwanae bwana
Kabsaaa hadi sauti kufanana
Kwani Mma Yake Kafufuka Au Maana Alisema Mmayake Kafaa Au
Damu nzito kuliko maji mna fanan
Kilichomponza baba diamondi kitakutokeawewe
Duh
Sasa sasaivi unafafanua kama ww baba yako yupo morogoro 😅😅😅
Aki Na Mtto WA Nje Ya Ndoa Uwa Ako Na Aibu Kweli Maana Uwa Anafanana Na Bbake Kweli
Ndiyo mahana umelaniwa na mzaziwako
Kwaiyo kwa Sasa mama yako kafufu Tena 😄😄😄😄⛹️
Dogo dege dege ili muathir akili hana kumbu kumbu mana mama kafa akiwa hajaanza shule mara alikua shule leo mama anasema yupo au kukusudia mama mdogo
Mtoto wako unamkataa uwoni ahi bu unawanawake wangapi acha zalau wewe yusuph
Huyo ni Baba yake ,copy haijifichi.
Mbona unasema kafariki
Kiukweli ww ni mtt wa mzee yusufu lakini mbona ulisema wasafi kama mama yako amefariki
🤣🤣🤣
Sasa hii interview Ina mwaka Ile ya wasafi ni ya week Tatu nyuma😢😢😢
Wemtoto muongo ulisema mama ako kashafariki leo unasema unaka namama ako sasa tukuwelewe vipi
Mmhh ilaaa hii post ni ya mwaka mmoja uliopitia dadaa angaliaa vzr
Ukitakakujua niwako nyusi lazimazifanane
D'ami zito
Apa unasema mama yupo kule ulisema mama yako kafa
Hii ni ya mwaka jana
@@sikudhanimohammad7692Muongo huyu mama yake atakuwa yupo maana kule alisema kakulia Mafia kaja huku alivyomaliza shule na mama yake kafa miaka mingi ht picha yake hana huoni hii ni ya mwaka jana na anaishi hapo na mama yake kweli inaingia akilini hapo aah wamepanga kweli wamchafue
Mtt wke huyu roho inamuuma
Kopi
Ukitakakujua nimtoto wake angalia nyusi utajua
Wake. Zake wawili ashaoa tena kumbe
Dogo kanigusa aliposema hafat urisi sawasawa
Naww mtoto munafiki