Ttz lilianzia siku ya msiba wa rais Mzee mwinyi waandish wa habar walipoacha kuripot habari ya msiba na kuanza kumripot yeye na miwani yake dunia nzima ndo ilipoanza kumjua ila yy hapendi maisha ya mitandaoni alikua anakuja kusali mara kwa mara masjid hiyo na watu walikua hawamsumbui kwakua hawamjui
Allah Amuhifadhi mzee wetu... Hapa ndo utaona tofauti kubwa ya Zanzibar na kwengine.... Duniani maana sio Bara tuu.. Yaani huyu mtu wanakuwa nae wanakula nae Misikitini au KWENYE maulid kisha kila mtu anashika lake... 😅
Hamuwezi mshobokea mana utajiri wake ameutoa huku, huku tunamthamini Kwa kuwa Ni mlipa Kodi mzuri, mtu akiwa maarufu kumshobokea sio ushamba , Dunia nzima inafanya
Tatizo la wabongo hawana aibu, halaf wanapenda kuombaomba kuliko kujituma na imekuwa kama utamaduni wao ndio maana hata hapa kwetu zanzibar wapo kwa ajili hiyo kututia aibu tu halaf watuchafulie majina tuonekane wazanzibari nao wamekuwa ombaomba wabongo wengi hawajitambui
Othman chuki za nini wanzazibar wakati wote ni watanzania? Mbona mnaubaguzi sana wandugu kujiona ninyi ndo wazuri kuliko wakristo hamtakaa mfanikiwe kwa ubaguzi huo
Nimejifunza kitu kupitia hili tukio hawa WAZANZIBAR ni watu wenye roho mbaya sana watu wenye chuki sana wana husda Allah atunusuru nao lkn ni hatari kwa usalama wa machoni
Mambo ya uzanzibar na ubara sasa hapa yanaingiaje?mbona sisi wazanzibar ni wabaguzi sana kiasi ya kuwa mtu kama huyu ni tunu kumuona wakti tajiri kama huyu akija pemba na unguja mbona hvyo ni kidogo kuzongea waunguja munakua na ulimbukeni munafanya ubaguzi afu wanaotajika kuwa wabaguzi ni wapembaa
We pia mshamba kama washamba wenhine,wabara tjkimsjojokea we waumwa wapi,rohombaya hatuna,tuna mahaba nae,wamdharau kwa nini?acha aheshimiwe ni wakati wake ziba jua na ungo basi kama waweza.
Hakuna mmbora mbele ya zaidi yayule anaetekeleza maamrisho yke nakuacha makatazo yke.....huyo nimfanya biashara maarufu Mzee Said Salim Bakhresa......namdhamini mkuu wa msikiti wa mtoro.....but Mali Haina THAMANI mbele ya Sala....kwani Kuna watu Leo nimatajiri but haswali........ Zanzibar nahawa wabongo msimseme Mzee Said Bakhresa
si kila kitu lazima uongee, wazanzibar wengi mnatabia za walivyokua watu wa makka, walimpuuza mtume na hawakuona thamani yeke ila watu wamadina walimuhitaji na walikua na kile mnachoita(kushoboka).kuna ubaya watu wa bara kuonesha upendo kwa bakhresa na kutaka msaada?. au ndio ule msemo masikini jeuri kujifanya unacho kumbe huna. nabii hakubaliki kwao
Allah awalinde masheik wetu Islam kweli raha najivunia kuzalia kwenye uslam
Namshauri bakhresa awe anaswali misikiti mingine kimya kimya hatopata kuzongwa kama hivi
kwa bara tu Zanzibar ata aje nani hashobokewi ata uwe vipi
Ttz lilianzia siku ya msiba wa rais Mzee mwinyi waandish wa habar walipoacha kuripot habari ya msiba na kuanza kumripot yeye na miwani yake dunia nzima ndo ilipoanza kumjua ila yy hapendi maisha ya mitandaoni alikua anakuja kusali mara kwa mara masjid hiyo na watu walikua hawamsumbui kwakua hawamjui
@@msabahaali758 Zanzibar ni nchi ya watumwa, ebu taja makabila matano ya Zan zibar
Zanzbar Respect tupeni maua yetu tujitawale wenyewe musituletee vurugu
Dunia imegawa vipaji kwa usawa Lakini fursa hazina mgawanyo sawa
Allah Amuhifadhi mzee wetu... Hapa ndo utaona tofauti kubwa ya Zanzibar na kwengine.... Duniani maana sio Bara tuu.. Yaani huyu mtu wanakuwa nae wanakula nae Misikitini au KWENYE maulid kisha kila mtu anashika lake... 😅
Kweli
hakika yani
Wanzanzibar wana hela wanaondoka na kijiji lakini wale wengine zogo tu
Mtihani huo ivi hapo ataakisema asaidiye atamsaidiya nani ni vigumu kumsaidiya mtu hapo mana hapo huwezi kumpatiya mtu muhusika msaada
Tajir wa kizanzibar anatoka hyo wale Akina Diamond wako wanopiga zogo na kujisifu mmoja ati Jesh
Wabongo njaa tupu dah viongoz wanayaona haya au wanakula wao tu
Mmmmh.mshenzi kweli wewe Zanzibar na Tanganyika wapi kuna njaa.
Basi akili huna hata macho na masikio yako pia vimezibwa?
MashaAIIah
Tujitafakar hata huko znz skukuu pale malindi kwake watu hujazana kutaka mkono wa eid sida ipo kila mahali
Akija zaziba hakuna anae mshobokea ila nyinyi wabongo washamba sana
Acha ushamba ww kima
Umeonaaee
Ww acha kusema hivyo mm mwenyew mznzbar lkn sijapenda maneno yak
Zaziba ndio wapi
Hamuwezi mshobokea mana utajiri wake ameutoa huku, huku tunamthamini Kwa kuwa Ni mlipa Kodi mzuri, mtu akiwa maarufu kumshobokea sio ushamba , Dunia nzima inafanya
Tatizo la wabongo hawana aibu, halaf wanapenda kuombaomba kuliko kujituma na imekuwa kama utamaduni wao ndio maana hata hapa kwetu zanzibar wapo kwa ajili hiyo kututia aibu tu halaf watuchafulie majina tuonekane wazanzibari nao wamekuwa ombaomba wabongo wengi hawajitambui
Mbn roho zimewauma sana daah viumbe mna roho mbaya mpaka mnashindwa kujizuia
Othman chuki za nini wanzazibar wakati wote ni watanzania? Mbona mnaubaguzi sana wandugu kujiona ninyi ndo wazuri kuliko wakristo hamtakaa mfanikiwe kwa ubaguzi huo
ACHENI CHUKI,,,MTU KAMA BAKHRESA HAWEZ KUWA HIVYO MNAVYOTAKA,,,KWA MFANO HAPO ASINGEPATA SUPPORTER YA KUSINDIKIZWA MNADHAN KINGETOKEA NINI??
Watu kma wako Oman 🇴🇲 na Dubai
Nimejifunza kitu kupitia hili tukio hawa WAZANZIBAR ni watu wenye roho mbaya sana watu wenye chuki sana wana husda Allah atunusuru nao lkn ni hatari kwa usalama wa machoni
Sisi Zanzbar hata akija Bilgate huwa hatuna hbar nae
Kwani mnanini sasa wakati mjini kwenu ni daressalam
Mambo ya uzanzibar na ubara sasa hapa yanaingiaje?mbona sisi wazanzibar ni wabaguzi sana kiasi ya kuwa mtu kama huyu ni tunu kumuona wakti tajiri kama huyu akija pemba na unguja mbona hvyo ni kidogo kuzongea waunguja munakua na ulimbukeni munafanya ubaguzi afu wanaotajika kuwa wabaguzi ni wapembaa
Hawa wabongo lkn siwachawi hawa sasa izo shida zao mpaka walie lie jmn eh ujinga huuu
Athuman amir watu hawafanani usiseme wazanzibar muhukumu aliyekuudhi usichanganye.
Uyo mnzazibal anae leta mdomo juu ya bala ajitambui maan nchi yake imemezwa na nchi yetu sisi ndo kila kitu kwao
5:17
We pia mshamba kama washamba wenhine,wabara tjkimsjojokea we waumwa wapi,rohombaya hatuna,tuna mahaba nae,wamdharau kwa nini?acha aheshimiwe ni wakati wake ziba jua na ungo basi kama waweza.
sio kuheshimisha hamjakinai mnapenda kujidhalilisha kwa matajir acheni
Tafuten pesa zakwenu nnatia fujo
Wewe ni hasidi ndio maana huendelei allah amempa neema na anaidia watu
Wallah hakuna kitu kibaya kama ubaguzi
Hao wanzabar wana utajiri gani angalia vijumba vyao asiliamia nyingi ukiingia mpaka uiname liwaasumbie jina hakuna lolote
Nyie asili yenu vijumba vya nyasi tu , AFRIKA mashrik nzima hakuna kama znzbar kama hujui uliza usiionee leo
Ivi nikisema wabongo wana roho mbaya nitakuwa sawa kweli?
Njaa mbaya
Hakuna mmbora mbele ya zaidi yayule anaetekeleza maamrisho yke nakuacha makatazo yke.....huyo nimfanya biashara maarufu Mzee Said Salim Bakhresa......namdhamini mkuu wa msikiti wa mtoro.....but Mali Haina THAMANI mbele ya Sala....kwani Kuna watu Leo nimatajiri but haswali........ Zanzibar nahawa wabongo msimseme Mzee Said Bakhresa
Ushamba na kuishiwa
akija huku kwao Zanzibar haulizwi na mtu yani ila wenzetu heee
Kwan Kuna shida gani watu kuonesha upendo Wao Kwa Bakhresa..??,
si kila kitu lazima uongee, wazanzibar wengi mnatabia za walivyokua watu wa makka, walimpuuza mtume na hawakuona thamani yeke ila watu wamadina walimuhitaji na walikua na kile mnachoita(kushoboka).kuna ubaya watu wa bara kuonesha upendo kwa bakhresa na kutaka msaada?. au ndio ule msemo masikini jeuri kujifanya unacho kumbe huna. nabii hakubaliki kwao
Kama Zanzibar humunthamini sisi huku tuacheni na Bakhresa wetu.
wanachukia sababu amewekeza sana huku
Ww kima tu hujielewi
Kwan anagawa Kila hapo nyii roho kubwa naubaguz wenu wabong penda mimi
Jamani Nawaomba kwenye dini musilete mijadala isiyokua ya msingi
Hata hajasalimia????
Ina maana mzee wa kusaidiwa pekee yake au uchawa
Tuonyeshe na MO akitoka msikitini
😊😊p😊
Ila sm hizi Ni fitna kubwa saaaana tena saaana
Nachokiona ni husda tu,kweli angefanyiwa babaako ungeongea hayo?
Kushokewa kwa mtu kama huyu ni kawaida ata ingekuwa wewe usingeacha kama mtu tu wakida kumbuka huyo ni tajili
Sasa mtu akitoka kuswali pia video mbona akinya mavi hamtuoneshi
Waambie waje wakurikodi wew ukinya mavi yako.
Wabongo njaa zenu mnaziendekeza mtu hana raka kufanya ibada anasali anafikiria njia ya kupita duu
Wewe unaesema wabongo wanamshobokea ingekua Mambo haya kafanyiwa baba yako ungesema hivi?Bas wewe ndo mshamba zaidi iii
Kwli kabisa huyu mzee kwanza mtu wa maana kabisa
Ww kima tu hujielewi