UTEKELEZAJI WA AHADI ZA RAIS MWINYI _ ( Full Documentary )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Hii ni makala iliyoandaliwa na AFISI YA RAIS IKULU PEMBA kupitia Idara ya Mawasiliano na Habari Ikulu Pemba na kutengenezwa na JUFE FILM PRODUCTION yenye kuonesha miradi ya kimaendeleo na utekelezaji wa ahadi za Mh. Rais Hussein Ali Mwinyi kwa upande wa Kisiwa cha Pemba.

КОМЕНТАРІ • 13

  • @Shdy2569
    @Shdy2569 Рік тому +1

    I salute Mheshimiwa Dr Hussein Ali Mwinyi Mungu akulinde uzidi kuiendeleza zanzibar yetu

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Рік тому +4

    Pemba kunahitajika madaraja kwa wingi sana ili kupunguza mzungumko na kufupisha, safari,mda,garama.sababu Pemba tumezungukwa na vilima vilima na mabonde kila kona.

  • @rashidmohammed9875
    @rashidmohammed9875 Рік тому +1

    MashaAllah 🥰Alhamdulillah. Allah ipariki Zanzibar ❤❤

  • @hamadfakhi3195
    @hamadfakhi3195 10 місяців тому

    Inshaallah jitahidini

  • @adamally6
    @adamally6 Рік тому

    mashallah kazi mzur

  • @SuleimanMussa-x5i
    @SuleimanMussa-x5i Місяць тому

    Uyo somo mwinyi mpeku mwezio hamuna lolot mwaka huu muta ondoka tuuu

  • @hamadmaliki0029
    @hamadmaliki0029 Рік тому +3

    Makala ni mazuri kwa mpaka nilipoangalia lkn siwezi kuyaskiliza yote maisha ni magumu ata MB zinanishinda, kwahivo dk 5 zinatosha, au kama vp Mwinyi mpeku nitumie MB nimalizie kuskiliza makala haya mazuri

  • @OmarOmar-te3kt
    @OmarOmar-te3kt Рік тому

    Ss wadogo jee

  • @rasheedsaeed5241
    @rasheedsaeed5241 Рік тому

    Vipi barabara ya shungu -Tundauwa ?