MKOSEFU _ Kachara / Naomba
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Director of Photography: Said Negro
Editors: Eddy Best/Said Negro
Ast.Director Said Negro
Director: EddyBest
Tafadhali SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT ili uwe wa kwanza kupata video zetu mpya.
#jufefilmproduction#Comedy#Pemba@jufefilmtz
Mashaallah huyu dada yetu naomba ajua sana kuekt mungu amjaali kila hitaji la moya wake kwa pamoja ❤
Tunawashukuru sana kwa sapot zenu tuendelee kuangalia,share,comments,like, mambo mazur yanakuja InshaAllah.
Insha Allah tuko tunasbria❤❤
Nakukubali sana Kachara 😅😅😅
Naomba hunabaya popote kambi ukopoa sna
Naomba fayaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂
Jaman mashelisheli nayamiss 😋😋 pemba oyeee❤❤🎉🎉 ila naomba 😂😂😂
Somo na mie nimelimisi sheli sheli Tena la kuchemsha na kombe😅
Naomba unajua sana,Sanaa yako bado haikutendei hai ila Allah atakupa unachostahil kwa Sanaa yako nzur dada yangu❤❤❤
Niletee mie shelisheli nakitamani. Hongereni kazi nzuri wapendwa.
Jmn naomba nakupenda san unajuwa haswa jmn hhhhhhhhh
Sanaa moja nzuri sana munahitaji support kubwa sana
Hahaha ni shida aloo
Mashallh amazing naomba vip ushaolew
Naomba unanifurahisha uñajuwa asa tena unajuwa sana😊
Mwanamke hana shukurani huyu amba ulikua mweupe pemba kuna mtu mweupe mkosefu mmoja wee shukuru bas😂😂😂😂
Naomba hayana gas ayo .yana Afya hayo😂
Nakubali jufe film
Nice mmy naomb na kake kachara ❤
Kachara ❤❤❤❤ akili ya kijitu kizimaa
Masheri sheri❤❤❤❤napenda balaa🤤
Nimeipenda 😂
Kwamaisha Haya mbna na mmi nyumba naitia maringi 😂😂😂😂
Hahaha naomba weeee
We naomba wee ukatafute mtu mwengine 😂
Nawapenda sana Wana jufe
Yaani uyoo kuku golira sijui yulojee dah
Kichwa cha utosi hhhhhhh
Tuko pamoja jamani rahaaaa
Mengine ehee mengine nkinehe😅😂😂
Kuku gorilaa😅😅😅
Naona choyo mbaya iyo 😮😮😮😮😮
Kachara unajuwa had unakera
Tafadhali habibty niletee mm hayo mashelisheli aliokuletea huyo mjomba wangu na mm roho inanitoka kwa hayo
Ila sisi wanawake 😂😂😂😂😂😂😂
Mambo ya kwe2 kikwe2 kwe2
Naomba naomba naomba 😅
Aaaaa shaumiaaa😂😂😂😂
Kachara nakubali kazi ww ni namba 1 kwa pemba
Ngoja taujeushike kifudu😂😂😂
Nipo morogoro nawazoom😂😂😂
Nnyatie nazii😂😂😂
Niacha nsijekupiga kichwa cha utosii😂😂😂
Jaman naomba unachekesha ww😂😂😂😂
mitolilo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nenda choooni😂😂😂😂😂
🎉🎉
Naomba unafurahisha
Niyapike ya nazii? For me😂😂😂😂
😂😂😂❤❤
Hongera
Hahaha kachara nakukubali sanaaaa 🎉🎉
Yakheeee dahh 😢😢😢
Nayataman hayo mashelisheli naomba niletee mm huku
Huyu dada wallah nikijakufanikiwa NITAMTAFUTA nimpe tunzo
Kwakwel tumepata bikidecha mtoto
Minaah utsniuwa by salbe
Huyu mwanamke yaan anajua mpk anakera tz nzima hamn anaemfikia sema ni kwa vile mpemba tu
Pika ya nazi😂😂
❤❤❤❤❤
Jaman maisha magumu
Am besto from Korea nawakubali sana
Pemba raha sana jamani..tuko pomoja JUFE na team yakoo
Wee acha 2 nimecheka kweli kweli
Mikuku migorila typing.............
D J zima mice
😂😂❤
Dada achekesha huyu
Mm kwanza nipongeze kachara kurudi tena
Mpilau
❤
Naomba dada yang Mungu akufanyie wepesi nakukubali sana, natamani ata uchukuliwe Bongo movie uzidi kufanikiwa
Ndio unavyojidanganya kama bongo movie wamefanikiwa?
😂❤❤😂😂😂
Hongera naomba huja wahi niangusha😂😂🎉🎉🎉🎉
Halina nzizi iloo
Yaan naomba nakupenda bure kwa kupata hijabu nimboga ya kisamvu na dagaa ilo❤❤❤❤❤❤
Hahaha
❤😊😊😊😊😊
Bukutano unalo utachekea hanjifu
hii imetuliaa sana kazi nzuri
Pika ponde
Akaaa mengine enhee mengine nkineheeee😂😂😂😂😂😂😂
MashaaAllah dada anastahili pongezi
😂😂Wee kachara acha kujihumuza mtu mke hataki masheli huyo, ww unamuuliza nani kaleta gas. 😂😂
Kazi mzury sanaaa
Yachemshe na Nguru 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 kachara ni mtu na nusu
Naomba 😂😂😂😂unanifurahish
Ohoh chama chama gani chama cha wana nchi cuf
😂😂😂😂😂
Nimesha umia 😂😂😂😂😂 jamani raha sana
Mashaaaallqh
Pmb
Wakwnz leo.......nasemj natak lik zanguuu
Mwanamke anajua ku act sijapata kuona
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Si kwa ubaya lkni simuoni kama mwanamke NI hodari kwa acting
@@abdab8466 ulitaka afanyeje? Ili awe hodari
@@mwanahawamohammed8540 hayuko natural,let her be natural ,Hana hisia za Ku act,ukimchunguza kachara is soo natural ,Siri ya Ku act ni kujifanya kama ambao hakuna camera
@@abdab8466hi tena ww umezidi hta hyo mwalimu anaefundisha bs hyu anajua tena anajua sna maana kila sehemu anaendana nayo
Nice
Nishaumia
😂😂😂Mdomo wote kumbe mume Bado wamtaka
Mambo hy yazungunzika 😂😂😂😂😂 vituko jmn
😂😂😂 niyapike ya nazi ,? Yachome kwa magubi
shukran
Maigizo yenu yanawakilisha uhalisia wa maisha yetu.
Mikuku migorila😂😂😂
Hio kanga naomba ndio ulonayo tu uko kwenu?