Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лип 2022
  • 🔴#Live: MZEE YUSUPH AFUNGUKA KUFUNGA NDOA NA DIDA, ATUPA KIJEMBE KWA KUMBI LAMOTO| KATAMBUGA
    karibu utazame kipindi cha 'KATAMBUGA' kutoka +255 Global Radio, upate uhondo wa yale yanayoendelea mtaani kwako..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 61

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 2 роки тому +3

    Hovyooo! Huyu Mzee Yussuf ana shida kubwa. Hajielewi kabisa.

  • @hashemsaef1516
    @hashemsaef1516 2 роки тому

    Tatizo mzee yussuf nyimbo zako za sasa ni nyepesi sana kabisaa zikomaze zinogeshe kama zamani kisha achia

  • @ablashaffy2860
    @ablashaffy2860 Рік тому +1

    Mi naona ckuhzi kama akil zake zinashda kidgo hiv! Tusiwe tunajiingza kweny mambo ya Mungu kabla hatujajiandaa jaman.

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 2 роки тому

    Baba mtoto allah akusaidie inshaallah

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 Рік тому

    Mzee yussuf anasema kuna kiki na kuku😅😅😅😅

  • @blandinamayemba5883
    @blandinamayemba5883 2 роки тому

    Nakukubali sana mzee kaza buti baba achana na hawo wafa maji hawaishi kutapatapa

  • @fatmaabdallaali9393
    @fatmaabdallaali9393 2 роки тому

    Sema inshaallah maana hizo siku si zako

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 2 роки тому +1

    SHEYTAAAN MKUBWA LAANA TULLAAAH

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +2

    Hi Dunia Allah atujaalie mwisho mwema huyo kwa alichokifanya atachukiwa mpaka na ss mizi

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 2 роки тому +1

    DAAAH UMEMSHINDA HATA IBILISS YAANI ULIYVYO KUWA UNALIA NA KUKUTIA NA ULIVYO REJEAA UMEMSHINDA HATA IBILISS MKUBWA WA MASHETAAN

  • @zoharimohammed2942
    @zoharimohammed2942 2 роки тому

    Hahahaaaaaa mzeee saluuuuute

  • @hashemsaef1516
    @hashemsaef1516 2 роки тому

    Kwa ufalme wa taarab una kustahili
    Sababu hapajaja anaye funika nyimbo zako za zamani

  • @zoozzoz9879
    @zoozzoz9879 2 роки тому +4

    Mtu anaongea huku anatafuna bigijii Yaani hajielewi kabisa

  • @kudragwingi7259
    @kudragwingi7259 2 роки тому

    Natamani. Unitungie nyimbo. Mzeemimi napendasana bendiyako

  • @boubabizo246
    @boubabizo246 2 роки тому +2

    Wewe si ulikimbia kutoa ilmu kwa Jamani eti unamadeni? Leo una pesa tena eti maduka na manyumba?? Daaa! Allah tusamehe sisi viumbe vyako..

  • @zoab2699
    @zoab2699 2 роки тому

    Mpunga wa kwa mwanzo mpe ndege ale 🤣🤣🤣

  • @eshaleemar5555
    @eshaleemar5555 2 роки тому

    Heeee

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 роки тому +1

    No Coment

  • @salmaedwin9845
    @salmaedwin9845 2 роки тому +2

    🤣 🤣 🤣

  • @bettyngala8518
    @bettyngala8518 2 роки тому +1

    Hata huku Kenya tunamfagilia Mzee

  • @haidarijuma9023
    @haidarijuma9023 2 роки тому +1

    Kwa hiyo ulikuwa una leta dhihaka Kwa watu ,dini na mwenyezimungu?

  • @yunusabrahmanomar6068
    @yunusabrahmanomar6068 2 роки тому

    MKO POA SANA WADADA MMEPENDEZA SANA

  • @allymarijani6869
    @allymarijani6869 2 роки тому

    laana tullah

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 Рік тому

    Kweli kashawafunika saivi mzee

  • @ummohammed8380
    @ummohammed8380 2 роки тому +4

    Dunia ni Mapito akhera ndio kwetu

  • @hashemsaef1516
    @hashemsaef1516 2 роки тому

    Hitaweza kupiga nyimbo kwa sasa kuzidi zile nyimbo zako za zamani zile ni nyimbo nzito saana kubwa hasaa wala haita tikeyaga mtu ayakaye zifunika zile

  • @nimubonainnocent2183
    @nimubonainnocent2183 Рік тому

    Eti Hadj hovyo

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 11 місяців тому

    Eti unalamba ubani km dada flani duh....hatuna mzee hapa

  • @salamaabdalah4779
    @salamaabdalah4779 2 роки тому +1

    Kwa payment gani anayotoa kwa wafanyakazi gani aache uongo wafanyakazi wananjaa tuu

  • @hashemsaef1516
    @hashemsaef1516 2 роки тому

    Kweli hajarudi mjini vile alakini hajapata wakumzidi

  • @joypot3730
    @joypot3730 2 роки тому +1

    Heeee makubwa jamani kwani kanza ushoga lini huyo babu

    • @nassirmasoud2545
      @nassirmasoud2545 11 місяців тому

      Haaa..haaa...ameamuwa mwenyewe.ameona hyo ndo njia sahihi?

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 2 роки тому +1

    Muonekano wa mzee hatari

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 11 місяців тому

    Kumbe umerudi kwa taarabu sbbu ya kununua magari hya tutakuona mwisho wako lkn usiongelee dini kwa jambo usolijua

  • @hamadihamisi9164
    @hamadihamisi9164 2 роки тому +1

    mzee yusufu dini kwanza. yale machozi yalitoka mwilini kwako

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 Рік тому

    Lakni mfalme anaongea kweli vo,uyo anatafuta riziki

  • @franklinassey6600
    @franklinassey6600 2 роки тому +2

    Mashoga wengi wanaoa sana kufucha maovu yao

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 2 роки тому

    We kokotoa tu alaf TRA wakufuate waseme una hujum uchumi🤣🤣🤣🥺

  • @salmaally8243
    @salmaally8243 2 роки тому

    Mzee Yusuph kaza Buti utapiga mwingi

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 11 місяців тому

    Kumbe ww mzee mpuzi sana.ninekuelewa unaongea usicho kielewa.huna elimu ya kutosha ktk dini ucjifanye mtaalamu.sie ww ulokua hta waandishi wa habari wa kike hutaki kuwaangalia ?

  • @christinaalloyce5316
    @christinaalloyce5316 2 роки тому

    Utopolo mtupu

  • @yassinsalum1864
    @yassinsalum1864 2 роки тому

    We motoni tu

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 11 місяців тому

    Huo ndo ukweli na huutaki ukweli.madeni ndo yamekurudisha nyimboni.ww licha kuimba hta kaingie kanisani si khiari yko?lkn uache kujionyeshaonyesha mitandaoni eti mtu wa dini blaa blaaa na mengibe.

  • @sumaiyaalihaji2026
    @sumaiyaalihaji2026 Рік тому

    Hadi aibu kukusikiliza dahh ulidhihak uislam na porojo zako

  • @salamaabdalah4779
    @salamaabdalah4779 2 роки тому

    Aachee uongo nyumba ya mbagala kokoto kauza na hilo ghorofa analokaa anajitapa nalo hicho chumba na sitingroom juu aache kuaongea mambo yake mtandaon

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 11 місяців тому

    Mzee yusuf umeanza tabia za udada flani?😊tumeanza kukushuku na tabia zaki LGBTQ

  • @shamilambezi9644
    @shamilambezi9644 Рік тому

    Z

  • @zoozzoz9879
    @zoozzoz9879 2 роки тому +1

    Huyu aliaapa viapo vya kuacha na Nyimbo zake zikipigwa hahusiki na dhambi leo amerejea mjini,,uwiii dini na pepponi tutaingia wachache

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 11 місяців тому

    Kwani ww ndo mume saana?kwa lipi unaloonyesha?wewe bure o8a huna lolote.una shida mzee yusuf unyumba.ngoja ulaliwe na lela Rashid ndo utajua kweli

  • @swabrisoud7307
    @swabrisoud7307 2 роки тому +1

    very arogant man stupid

  • @yunusabrahmanomar6068
    @yunusabrahmanomar6068 2 роки тому

    MZEE YUSUFU UPO TOWN SASA

  • @fatumahussein6399
    @fatumahussein6399 2 роки тому +2

    Inabidi ufike wakati mtu ukubaliane na hali. Mzee Yusuf umri umeenda hayo jambo ya kubadilisha maumbile waachie vijana. Japo haipendezi Allah hata kwa vijana. Kwani mtu huwezi kuwa maarufu mpaka ufanye mambo ya kijinga? Hata nyimbo zake sasa ivi za hivyo kabisa tofauti na alivyo kuwa Zanzibar morden na jahazi ile ya mwanzo. Hata kama mna enda na wakati lkn sio kiivyo.