CALISAH AFUNGUKA A-Z KILICHOFANYA WAZICHAPE NA NEY WA MITEGO, MWANAMKE ATAJWA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лип 2022
  • CALISAH AFUNGUKA A-Z KILICHOFANYA WAZICHAPE NA NEY WA MITEGO, MWANAMKE ATAJWA!
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 408

  • @johnandrew8491
    @johnandrew8491 2 роки тому +39

    Ney aliamulia ugomvi, ndio maana hakukupiga ila alikusukuma ili usiendelee kumpiga mwenzio. Lkn usilolijua ni kwamba hata huyo uliyempiga ulichukua sheria mkononi, ni kosa kisheria😂😂

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 2 роки тому +25

    Mnafeli sana, Ney alikuwa sahihi alichokifanya ni mjinga tu kama Calisah hawawezi kuelewa, wewe ndiye ilikuwa unapiga mtu, ulitaka asukumwe nani? Haya polisi ulienda kufanya nini wakati umepiga mtu, fala sana wewe!!

    • @rahelkiteka
      @rahelkiteka 2 роки тому

      We nawe umekurupuka😅
      Sikiliza chanzo kwanza ilikwaje ad mtu akapigwa!!

    • @franktoneskorosov.4217
      @franktoneskorosov.4217 2 роки тому

      Calisah ni chocha tu,, nguvu Gani .. ama tumuscle tunamdanganya...

    • @marcoenock4596
      @marcoenock4596 2 роки тому

      @@rahelkiteka wew ndio umekurupuka calisa kavunja sheria mtu hata akikuchokoza fuata sheria sasa yeye kwanza anampga mlevi unaona nisahii?

    • @jafetikhalidi4433
      @jafetikhalidi4433 2 роки тому

      We mchumba eti wanakujua we mkorofi hujierewi

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 2 роки тому +9

    Sisi tunafaida sana naney kuliko wewe muziki wake unahamasisha anatetea watu wake wa kitaa carlisa wewe hauna faida kweny nchi hii TRUE BOY HAUMUWEZ

  • @amanmwinuka6653
    @amanmwinuka6653 2 роки тому +23

    Huyu jamaa anazingua Mda wote anajisifia tu mkorofi kila wakati muongo tu

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 роки тому +20

    Mbona unaanza uongo, ney aiogope serikali kivipi? Serikali inaheshimiwa na sio kuogopwa, na kumpiga ney wewe huwezi

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 2 роки тому +27

    Anasifu kujua Sheria wakati katika story yake ndio wakwanza kuvunja Sheria... Boya Sana mpaka poda.

  • @nurdinshehoza4854
    @nurdinshehoza4854 2 роки тому +26

    Right to be heard,,, so hii ni story ya upande mmoj so tuckie story ya upande wa pili piah

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 2 роки тому +7

    The true boy in the building cheza mbali ngoma ngumu kijana

  • @romakoko2292
    @romakoko2292 2 роки тому +14

    Nay true boy wanted him to know he is the building 😂😂😂

  • @salhanassor5201
    @salhanassor5201 2 роки тому +14

    Calisah nakwita mara3 achana na ney utauponza..tunaomjua ney nisisi tuliosoma nae toka shule msingi ukombozi manzese..yule uhuni kauanza toka mtoto hajajifunza ukubwani.yani kwenye suala la ugomvi kiukweli ney humuwezi bora upotezee tu

    • @abisaimuhanji3687
      @abisaimuhanji3687 2 роки тому +1

      Ushauri mzuri sana huo umemsaidia aliyewahi kupita ukombozi kwa mzee Kijaji anakielewa hiko kichwa 😂😂

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 2 роки тому

      @@abisaimuhanji3687 hahaha umeona eeh daah umenikumbusha mbali sana mwalimu kijaji na mwalimu chambo 😀😀

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 2 роки тому +15

    Jingasana! Kwa urembo huo ukimbiwe na Nani!????

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 2 роки тому +12

    Humuwezi ney wa mitego wewe potezea asije akakuuwa yule mwenzio ni chizi kichizi... Huyo unaemzungumzia ni ney wa mabua sio ney ninaemjua mimi true boy.

  • @ayshamuhammad2247
    @ayshamuhammad2247 2 роки тому +12

    Callisa anajionaga sana huyu mtu, alifikiri ni jux anaemchokonoa kila mara na haijibiwi, huyo ni Ney babu😀😀

  • @whitexstudio
    @whitexstudio 2 роки тому +14

    Mramba lips anataka kwenda kupasuka😅😅 unamjua mnyama ney true boy

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 2 роки тому +1

      Kwani Ney ana mwili wa chuma??

  • @charlesmentod7314
    @charlesmentod7314 2 роки тому +10

    Kwahyo hamjui kama NEY ni Rais wa Kitaa? Rais hawez kuwajua watu wote, na Calisah wew ni Bodybuilder cyo Boxer, Ney atakuua😂😂😂

  • @edgartz3367
    @edgartz3367 2 роки тому +12

    Ney troubley forever

  • @amani7071
    @amani7071 2 роки тому +14

    Calis tumia akili acha ujinga, hakuna Mwanaume wakujisifiya eti mkorofi na muhuni.
    Kama Babu Tale anakuambia 2x eti wewe ni mkorofi, wewe hauoni kitu na sura unao kwenye jamii? Badilisha tabia we kijana @calis

  • @abdallakhatib3898
    @abdallakhatib3898 2 роки тому +11

    Huyu mtoto mzuri awache kusumbua mitandaoni

  • @babanahbabanah4004
    @babanahbabanah4004 2 роки тому +10

    Hahahaaa uyu kuku hamuwezi ney, ney lijitu limoja likuubwa linalojikubali sana kwake hufui dafu panya weee

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 2 роки тому +15

    Watangazaji wa Wasafi jifunzeni namna Kelvin Shayo anavyohoji. Kelvin ni hodari wa kusikiliza.Kelvin hamkatishi maneno mgeni wake.Kelvin anatumia Kiswahili sana sio nyinyi munaongea Kiingereza kibosh ( broken English).

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 2 роки тому +1

      entertainment news lazima uweke swaga, tofauti na taarifa au habari ya MTU kakatwakatwa mapanga,kabomokewa na nyumba, kakosa ada,anahitaji msaada wa matibabu (entertainment mtangazaji unatakiwa uwe na swaga nyingi sana, angalia watangazaji wa marekani wanavyotangaza entertainment news, (hata efm na clouds muda wa entertainment news wanaswaga za hivi hivi)

    • @herrysonk.edward609
      @herrysonk.edward609 2 роки тому

      @@emariusrush3285 kwahy wasaf wanaiga clouds?

    • @simonsonelo1467
      @simonsonelo1467 2 роки тому

      Sahihi sana jamaa wanazingua sana

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 2 роки тому +9

    Acheni ushamba wezenu wanapigana ulingoni andaeni pambano mpiganie pesa watu watakuja kuangalia watalipia pesa mtapata kipato kikubwa sana🤣🤣🤣

  • @abiollashayo5698
    @abiollashayo5698 2 роки тому +5

    hizo nyama kijana zisikudanganye,ney mtoto wa manzese kitaa ..wana watakutia nyembe na sura yako ya mauzo ndio niwe bas tena modoling...haachana na muhuni yule

  • @salumsalum2500
    @salumsalum2500 2 роки тому +13

    Mbn mtu mwenyewe mrembo sana kwa ney wa mitego

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 роки тому +3

      Ney hana nguvu muoga sana2

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza 2 роки тому +1

      @@binaljabirmshihirzanzibar8369 hahaha mara nyingi watu wa mdomo hua wanaogopa sana 😂😂

  • @jumannerajabu1356
    @jumannerajabu1356 2 роки тому +6

    mh huyu mjinga sana mtu huja panch nae unasema unamueza wewe unapigwa vizuli2 nei mtoto wakitaa mhuni nasisi wahuni ugomvi tunaujua dk 2 unakaa

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 2 роки тому +4

    Kalisa kalisa kalisa nakuheshim nakupenda ndio maana Hata mm nakushauri heshim sheria ukiivunja Sheria ney anauwezo wa kuivunja sheria mara duf... Napenda kazi iendelee ila siyo bif na ney pls utapasuka... Puuza hili uvunjike guu

  • @franktoneskorosov.4217
    @franktoneskorosov.4217 2 роки тому +1

    Idon't wasafi media, because the don't do their interviews in both sides, usually on one side...juu ney alitoka wasafi...from Kenya..

  • @johnandrew8491
    @johnandrew8491 2 роки тому +8

    Kumbe hakukupiga, ila alikusukuma ili kuamua ugomvi na akaondoka!! 😂😂.

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 2 роки тому +4

    Wewe sio mtoto wa kiume mtoto wa kiume hua anazichapa weka 2 weke na mwanaume hua haongei sana hua anafanya vitendo

  • @rahimkomba3149
    @rahimkomba3149 2 роки тому +2

    Una jichubuaaa kama demu wa congo bar hrf umpige ney

  • @geofreysomi5915
    @geofreysomi5915 2 роки тому +6

    Samtoto wa kiume unaenda studio kuongea hayo.usiwe kama kina mange kima ww mama tu

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 роки тому +1

    Bas sawa

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 2 роки тому +5

    Ney kama ni kweli ashikishwe adabu ujanja wa kizamani nguvu huna unategemea mikwara na washkaji.. Dogo anawagusa wastaarabu akamguse ganstar yeyote kama hajafirwa

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 2 роки тому

      Huyo ney mwenyewe gangstar we unamjua sawasawa ney? tuulize sisi tuliosoma nae shule ya msingi yani yule ukorofi kauanza utotoni hajajifunza ukubwani. nikazi sana kushindana nahuyu kiumbe kwenye suala lauhuni nibora aachane nae tu

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 2 роки тому +1

      @@salhanassor5201 Basi Mafara ndio wanamuogopa lkn si kwa watoto wa Mjini wa kisawaswa ngumi hajui n'a pengine jela hakujui n'a hata kuua hajawahi ganstar kwa washamba wenzake

    • @tonnywrld
      @tonnywrld 2 роки тому

      @@salhanassor5201 uhuni wa shule ya msingi
      😂😂😂😂

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 2 роки тому

      @@tonnywrld kweli vo.. yani ukimuona mtu ukorofi kaanza utotoni mpka ukubwa hajaacha ujue uhuni upo kwenye damu.. Ney nimkorofi sana tena sana kwanza hana nidhamu yawoga kwa kitu chochote kile humo polis station yeye nikama nyumbani kwao tena toka bdo mdogo mpka saiv

    • @abdoulyousoufsaloom8601
      @abdoulyousoufsaloom8601 2 роки тому

      Kwa dareslam ney ndo gangster wao maana wanaume WA dar ni mabua ili nje ya dar mbona ney mrembo sana huyo kukaba watu usiku sio ubabe ni wizi mwambie aje huku mikoani atukabe kama hajarudi Hana viungo

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 роки тому +6

    Uwezo wa kuzinguana na Ney unao wewe usijisifu kwenye media hapo

  • @semenitheclassic
    @semenitheclassic 2 роки тому

    Mleteni true boy! Atuambie kwanza
    Maana naye mgomvii sana! The true boy

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 2 роки тому +11

    Weeh Kalisah Utauponza! Usijijaze uwezo usiokua nao wewe ni mbeba vitu vizito ilasio fight sasa utaumia, hacha ujinga kutiwa kichwa.

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 2 роки тому +1

      Kashakwambia mwanaume Kuna vitu vitatu huwezi kukaa kimya anyanyashwe mama mke/girfriend au mtoto wako hata kama huna nguvu unatakiwa kusimma sio kuogopa.. Je wewe ungekubali?

    • @goldtvtz2739
      @goldtvtz2739 2 роки тому +1

      Tatizo mnawajua watu kwa umaarufu hamuwajui watu kwa uwezo wa ndani ,,, kwa maana ,,,me Nay namjua afu tushakuwa wanna afu Calisa namjua pia ila kwenye hi ligi binafsi naamini Nay hawezi kusimama siyo Mambo ya vyuma ,zikipigwa True boy hatoboy ,nishashuhudia maisha ya awa jamaa nje ya umaarufu na kubeba vyuma ila kwa ngumi za live calissa number nyingine ,sema tatizo ni kwa kuwa mchizi anajiwekaga kibishoo Sana so anachukuliwa ka mtoto wa mama

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza 2 роки тому +1

      @@goldtvtz2739 calisa anaonekana ananguvu sana

    • @tofaboy6549
      @tofaboy6549 2 роки тому +1

      Sana2

  • @afredyohana356
    @afredyohana356 2 роки тому +8

    Huyu jamaa akii yake inashida kidogo

  • @sheddywhite5020
    @sheddywhite5020 2 роки тому +2

    Brother Nakubali hakuna kuchukulia kinyonge au lah! Ney akili yeye , Ney hakutumia hekima Wala busara Tena sio kana kwamba hakujui na hata kama angekua hakujui kwanza alitakiwa kujua tatizo ni Nini sio kukurupuka ... Ukitaka kuwa raisi wa watu lazima uwasikilize watu hekima kwanza kama mtu mzima ,Hizo ni dharau😡😡😡 sipendagi dharau Mimi , Brother lazima kieleweke hapo

  • @sknapoleonshoo3145
    @sknapoleonshoo3145 2 роки тому +7

    Calisah ni mchumba kwa Ney wa mitego!

  • @salaita2829
    @salaita2829 Рік тому +1

    Mabishoo kama nyinyi mnatakiwa mpigwe sana na watu kama nay,wewe kwanini umpige mtu sababu tuu kamuongelesha mwanamke wako,mapenzi yatakuua kenge wewe wahuni wanalinda wahuni wenzao thats y nay aliamua kumdefend mtu asiyemjua.

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 2 роки тому +2

    Jamaa boya sana

  • @awardbillboard
    @awardbillboard 2 роки тому +4

    🏋️🏋️

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 2 роки тому +5

    WANAUME WA DAR ES SALAAM 😁😁

  • @jumannerajabu1356
    @jumannerajabu1356 2 роки тому +3

    unaweza ukawa mkolofi rakini ugomvi haujui nei atakuchesha boya ww alaf usione kila mtu unamuweza utakufa bro

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 2 роки тому +1

    Anae mwongelea hyu boya ni ney wa buza syo the true boy

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 2 роки тому +2

    Miongon mwa msenge huyo jamaa ni msenge sanaa sasa unajitapa kwamba hakuwezi wakati ashakudunda?? Unadhan kwa TZ hii kuna gang unaweza kuanzisha za kihuni huni ukatoboa?? Ww choko kweli yaani

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 роки тому +1

    Sawa mzee

  • @godlema6104
    @godlema6104 2 роки тому +4

    Uyo dada amesuka vizur mdawote mdomo umepinda sijui ndio ulemavu au

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 2 роки тому +8

    Nay wa mitego ni mwamba sanaaaaa

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 2 роки тому +6

    Hiki kichoka ndoo CHA kumzingua Ney hahaaa ukimzingua Ney hata mimi nitaingilia nikutwange kitaa pumbavu kabisa, harafu usijione wewe mbabe sanaa kisa unaambiwa mkorofi wewe chunga sanaa huna ukorofi wewe

  • @SikiolaJamii
    @SikiolaJamii 2 роки тому +1

    Boya wew

  • @hastatz
    @hastatz 2 роки тому

    Eyoooo true boy

  • @allandavid752
    @allandavid752 2 роки тому +1

    Sasa kama huez kuliacha umeenda kulalamika huko kwenye redio ili nn??

  • @festonyhilary1129
    @festonyhilary1129 2 роки тому +3

    Umekosea kuongea kwenyekipindi ungemtafuta kimyakimya hapo utapambana na watu wengi Tena usiowajua.

  • @mohamedkitundu6690
    @mohamedkitundu6690 2 роки тому +1

    Kapigwa uyoooooooo

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 2 роки тому +1

    Mtt mchele uyo yani izo simu kuita kutoka Kwa wakubwa ili umuache Ney yani unataka kutuaminisha Ney anawatu selikalini arafu unataka kuwachafua watu eti FA amewazuia Askali wasimkamate Ney , yani wewe mtt kichuna sana Sasa jikanyage ubadilike uso upoteze mvuto coz unaishi dar kama king'ast kupitia mkologo wako.

  • @rahmanassoro1759
    @rahmanassoro1759 2 роки тому +1

    Uyu mwamba namjua vzr ney kwa uyu awezi,, yan uyu wauni wale wa bastola ni kambi lake, ney hamuwez calisa wallah, ndo maana anakimbia anajua chuma kitalia muda wowote.

  • @alfarnb9923
    @alfarnb9923 2 роки тому +3

    Ney msengeee

  • @simpleboytz255
    @simpleboytz255 2 роки тому +1

    Huyu jamaa ni type ya akina LOKOLE, ISSA AZAM na ALISTOTE acheni kuwahoji wanaume mademu huyo hana akili. Wewe ni mkolofi kwa nini umfuate mtu acha upigwe na utaendelea kupigwa. Mtafuteni na NAY WA MITEGO tujue ukweli

  • @patrickmfundiri8669
    @patrickmfundiri8669 2 роки тому

    Mkorofi sana

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому +5

    Sema ujue ukizinguliwa na mwana ambae unamuweza inauma kishenzi yani.

  • @kalebyhennry6598
    @kalebyhennry6598 2 роки тому +1

    Calisah mtafute niva super Mario akwambie ney ni Nani mtoto wa tandale kwanza alikua mkabaji kakabawatu sanaaa kabla hajawa msanii kqziyake ilikuwa kukaba atakuua muache ukfata ney utapigwa na wahuni nkuelekeze sinza hotel anayopatkana mdawote wahun wakupasue

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper 2 роки тому +3

    Calisah humuwezi Ney achana nae

  • @geejuneartz165
    @geejuneartz165 2 роки тому +1

    😂😂 @calisah tulia mchumb wew unajisifu muun af unakimblia police

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому +3

    Sisi tunamjua Calisah vzr tu. Nay ni usela tu mwingi vurugu la mob ila mmoja mmoja ney hana ubavu wa kupigana na Calisah.

    • @lama6310
      @lama6310 2 роки тому

      Weeeee🙌 unauhakika

    • @stn4873
      @stn4873 2 роки тому +1

      @@lama6310 boya tu ney anajikuta kila mtu anamuweza hana lolote.

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 2 роки тому

      Nataka niandae pambano kama promoter wa ngumi,hawa wawili
      Wapande ulingoni

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 2 роки тому

      Kumjua Calisah kumekusaidia nini?

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 2 роки тому

      @@victorsanga2229 haha anajuana na mtu maarufu bongo

  • @alphonsimwaya7822
    @alphonsimwaya7822 2 роки тому +11

    Huyu jamaa anajijaza sana upepo, hajui ney ni mtoto wa kitaa!!?? Asijisifu sana mana yanaweza kumkuta ambayo hata ney mwenyewe asijue.

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 2 роки тому +2

      Hajui anajiona sana anajiona yeye ndo kila kitu yaan

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 2 роки тому +2

      Hajui kuwa ney kasoma ukombozi primary school shule inayoongoza kutoa wasanii wengi na magangwe kama ney😀😀muache ajizimishe data aone kitachomkuta kutoka andkwa true boy

  • @mwanaidijiran3296
    @mwanaidijiran3296 2 роки тому

    We boya sana

  • @wilsonmakuu8717
    @wilsonmakuu8717 2 роки тому +3

    This wasafi guys are always one sided sio poa for press guys kama nyinyi

  • @sululuzungu9587
    @sululuzungu9587 2 роки тому +1

    Nilichona mm kwmba ww ndo ulimuonea jamaa alomgusa demu wenu ndoman nay kakuzingua kwa uonevu wako pia nay ww hukuwez kivyvyt usitafute kuuliw

  • @bkibona6703
    @bkibona6703 2 роки тому +2

    Fala kweli huyo

  • @babalad983
    @babalad983 2 роки тому +1

    Balance story msikilizeni ney hapo kuna kitu

  • @vandymelody3748
    @vandymelody3748 2 роки тому +1

    Tuko pamoja sana

  • @shukulusonza6079
    @shukulusonza6079 2 роки тому +2

    Nay alikuwa sahihi kabisa kwasababu hawez kumuacha Lisa unayempiga sio staa

  • @deevon3364
    @deevon3364 2 роки тому +1

    Wew alikuamulia ulikua unampeleka mtu kwenye Giza kufanya nini huoni alikusadia ,,sasa ukaanza shali ukamfata akkukanyaga akaondoka sasa endelea kumfatilia Acha kujitetea
    Hee kumbe unatabia zakike KO maswala ya Samia hapo yankujaje KO ilimama ndo amkamate Acha ushoga

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 роки тому +2

    Njoeni mbeya huku kuna ulingo "amazon ring"

  • @kamalissabig4631
    @kamalissabig4631 2 роки тому +1

    Apo Sasa Ney anakosa gan amekukuta unafanya Ugomvi amekusukuma ili umuachie jamaa usiendelee kumpiga Sasa ww umeamulia bado unaendelea kumfata ata mm ningekukanyaga tu

  • @Yubyplanet
    @Yubyplanet 2 роки тому

    Namchukia karisa

  • @festusjchunya7246
    @festusjchunya7246 2 роки тому +1

    We sio mwanaume we mrembo tu calisah aka sharifa na ulivyosuka nywele bado dera itapendeza!!

  • @yunussale602
    @yunussale602 2 роки тому +2

    Anajiita mkorofi mbele zawatu mafate tuone usijitie mkorofi kwenye midya

  • @johnmgalla7377
    @johnmgalla7377 2 роки тому +1

    Kama unaijua sheria mbona ukampiga mwamba huna ukorofi wowote unatafta kiki wewe kwanza embu tuambie unafanya sanaa gani maana hujulikani

  • @sideboyndende9781
    @sideboyndende9781 2 роки тому

    choko uyoooo

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 2 роки тому +1

    Ujui Shelia ata ungekuwa unajua sheriia usingempiga mlevi ungeita polisi

  • @lama6310
    @lama6310 2 роки тому +4

    Mlamba Lips😂😂😂.. Leo anabifu na Ney

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 роки тому +1

      Ney bonge moja la shoga muoga sana2

    • @lama6310
      @lama6310 2 роки тому

      @@binaljabirmshihirzanzibar8369 unauhakika kallisa anasema Ukweli kwa sabab Kuna interview alisema kwamba alipigwa Kofi, aalaf saiv anasema alisukumwa

  • @evancesway3184
    @evancesway3184 2 роки тому +1

    Uyo jamaaa boya hamuwezi true boy

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 2 роки тому +1

    Mwaume Mzima et unasema ata madem anao chukua si type Dah Bongo bhna kwa Maneno ya Kuambiwa Ovyo...ney is best Sio ww kwa ney kaushia Mzee yan unatafta KiKi kupitia Ney fala kwl

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 2 роки тому +1

    Huyu jamaa kajisikiliza kweli maana ana kosa la kumpiga mtu kisha anajiona ana haki,

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 2 роки тому +3

    Bongo bana 😂😂 Kwanza naanza na uyo jamaa mwenye kichupi cheusi Ayo mapaja kajibandika ngozi ya chatu ama watoto wa magomeni na sinza Nina wasiwasi nao Sasa wewe sijui karisahy sijuii Nan wewe true boy sio type yako atakupasua pasua mwisho uozee Hospital 😁😁 type zako Ni akina lokole isa azm aristote ndo type zako walegevu wenzio oooh wafa kalisah

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 2 роки тому +1

    Mana kwanza ncheke, sasa apo mama Samia anahusika nn

  • @elizakovaga12
    @elizakovaga12 2 роки тому

    Callisa achana na chuma kile (ney) we endelea kuramba lipsi ukijichanganya yule mjomba atakuchenga mbwa wew

  • @alnodageorge4961
    @alnodageorge4961 2 роки тому +2

    Me nna swali kwahio demu wako ukamuacha wapi kama mwanaume 🤷🏽‍♀️? Ungeenza kumlinda yeye kwanza Ndo mengine yafate.

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 2 роки тому +2

    huyu jamaa mtoto sana yani fala sana

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 роки тому +1

    Baba shelia hujuwi nimekubali Alikiba na mwana fa wakikwambia kituu kwasili unakeka mtandaoni nikosa mfano kuna interview ushaona ya Ney au kiba wanakuzungumuzia

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 2 роки тому

    Nimesoma comment nimejuwa watu mnapenda ney wote mmemsemea

  • @kungurukingunge2761
    @kungurukingunge2761 2 роки тому

    Ney anakutaka huyo like binti

  • @didasstanley3769
    @didasstanley3769 2 роки тому

    Msaidieni CAROLINE HAWA hali yake mbaya pleasee 😭😭🙏🙏

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 2 роки тому +1

    Mbabe na mbabe mwenzake🤣🤣ney

  • @alkebulanb5929
    @alkebulanb5929 2 роки тому +1

    Achana na nay otherwise utauponza , kwanini hujiulizi kwanini alikupiga jinga sana.

  • @nanaritho6850
    @nanaritho6850 2 роки тому +1

    Huyo aliyekaa nyuma kavaa pensi anatia kulinyaa kwani lazima uvae pensiiiiii

  • @bonnysure8706
    @bonnysure8706 2 роки тому +2

    Calisah Unavowaambia hao sisi wanaume hua🤣🤣🤣 kwani wao ni wanawake 🤣🤣🤣

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 2 роки тому +1

    Yani mtu boya kama huyu ndo anaongea ujinga na mpo mnamsikiliza huyo haweza kupiga na mtu nalbda kama wanamwacha tu

  • @frankmganda2424
    @frankmganda2424 2 роки тому

    Broo uyo nay mimi simpendi sana