MAFUTA UKIAMBIWA HUJUI USIONE SIFA KWANINI UMERUKA MANENO KWENYE KITABU || Muhammad Bachu.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025
  • Ігри

КОМЕНТАРІ • 312

  • @AlbanSaifullah-w1y
    @AlbanSaifullah-w1y День тому +9

    Masha Allah yani ninapomskiliza sheikh Muhammad bachu Nahisi Raha sana na kutulia wallahi ❤❤❤😢😊😊 Duuuh Hadi Nataman basi nipate fursa ya kumuona live 🫶🥰🥰🥰 Wallah Nayatangaza mapenzi yangu kwako kwa ajili ya Allah ❤❤❤

  • @iddimuatafa
    @iddimuatafa День тому +7

    ALLAH amrehem sheikh wetu Nasor bachu na amjaalie muhamad bachu awe nimiongoni mwa watoto wema wanao muombea na ampenguvu azidi kubainisha haqqi ulimwenguni kote

  • @AliAhmed-b5z8l
    @AliAhmed-b5z8l 21 годину тому +3

    Ustadh Bachu umenifurahisha, sina la kusema MashaAllah

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 16 годин тому +2

    Wallahi shekhe bachu allah akuzidishie elimu na akupe kila lakheri, nakupenda saana shekhe kwaajili ya allah❤❤❤❤

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud День тому +9

    Maashallah Sheikh Muhammad Bachu allah akulipe kheri na akulinde na maadui na vitimbi vyao,,,,
    Sheikh Muhammad Bachu nakuusia kwa ajili ya Allah usije kuwacha hizi raddi zinamanufaa makubwa katika jamii na individually,,,,,
    May Allah grant us great and beneficial knowledge in it.

  • @Abdulmajid-xs7gk
    @Abdulmajid-xs7gk День тому +9

    Sheikh bachu Allah akuhifadh kwa hakika tunapat faida kubwa sana kweny ruduud hizi unatufunza mengi ktk dini yetu

  • @ismailowino2866
    @ismailowino2866 День тому +7

    Masha'allah tabarakallah,darsa tosha hapa Sheikh wetu!Allah azza wa jal akuhifadhi!

  • @NassorMohammed-kd2of
    @NassorMohammed-kd2of 15 годин тому +2

    Mashallah sheikh wangu Allah akuhifadh

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s День тому +7

    Maashaallahu muhamad bachu maashaallahu baba kazaa Allahu akuhifasdh

  • @allysaid5800
    @allysaid5800 День тому +7

    Shukran muhammad bachu Allaah akuhifadh

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 День тому +8

    Maashaa Allah. Allah akuhifadhi uzidi kuubainisha ukweli na walokua hawajui wafuate wap watapata majibu sahihi watakuelewa tu labda wawe na chuki vifuani mwao wanafunzi wa hawa walim mufanye maamuzi sahihi kwaajili ya Dini ya Allah nyinyi ndio mnotegemewa kuipeleka Dini ya Allah mbele cio kushika mahala ambapo hakuna vidhibit sahihi Allah atuongoze sote ktk njia ya sawa na atupambe kwa Afya njema na atujaalie mwisho mwema

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn День тому +2

      Ameen

    • @BinSarai-f2v
      @BinSarai-f2v День тому +1

      Aslm alaykm ndugu ktk imaani mm nawanasihi maduati ambayo wanalingania manhaj salaf wawe na kauli za sawa wasiwe na maneno machafu mpaka kutoa heshima za watu kwani hilo silo agizo la Allah na mtume wake swalallahu alayihi wasalaam kwni hii ni daawa ya rahma
      ALLAHUL MUSTAANU

  • @ahmedbyser
    @ahmedbyser 3 години тому +1

    Mashllh sheikh

  • @ayubumasudi8380
    @ayubumasudi8380 День тому +7

    ALLAH akulipe kila lakheiri tunafaidika saana kwenye madarasa yako kwakweli MAASHALLAH

  • @IdrisaAli-g5b
    @IdrisaAli-g5b День тому +5

    Allah akuhifadhi sheikh Mohammad bachu wewe ni jeshi la mtu mmoja

  • @ShabaniIbrahim-u3y
    @ShabaniIbrahim-u3y 5 годин тому +1

    Allah akujaze kila kheri mwalimu wangu. Mimi nipo Congo D R C nafatilia darsa Yako

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot День тому +4

    Maashaa Allaah, hapa nikichapo tu kwenda mbele, kwa wale wote walio haribu Da'wa na kuingiza fitna kubwaaaa.
    Na wakajifanya wao peke yao ndio wenye maarifa, wasiokua wao, hao hawafai hata kuskilizwa, mahizbi hao

  • @muhamadkhalid4976
    @muhamadkhalid4976 День тому +3

    Allah akuhifadhi sheikh Muhammad dhidi ya madhalim

  • @MohammedSalmin-f3l
    @MohammedSalmin-f3l 16 годин тому +1

    Sheikh bachu yupo vema mashallah..

  • @aboumuhammad-o9l
    @aboumuhammad-o9l День тому +5

    "Na sema haki itokayo kwa mola wako anaetaka atafata na anaetaka ataacha" surat alkahfi.endelea kuieleza haki shekh wetu na Allah akulipe

  • @SheikhHassanMussa
    @SheikhHassanMussa День тому +3

    Safi Sana Kiboko Ya Muhammad Mafuta Jaaheel

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 День тому +5

    ALLAHU akuzidishie elimu tuna pata faida sana kupitia ww.

  • @KuradusengeAbdurahman
    @KuradusengeAbdurahman День тому +5

    Sheikh nasor bachu allah amurehmu

  • @NoorAli-vj4gn
    @NoorAli-vj4gn День тому +13

    Alhamdulillah nimejaaliwa kutangulia comment

  • @IbraahJuma-dl2rd
    @IbraahJuma-dl2rd День тому +8

    Katk hali za namna hiyooo 😂😂😂 mafuta anajikaanga na mafuta yake😂😂😂😂

  • @IsmailabinuseniAl-sudais
    @IsmailabinuseniAl-sudais День тому +6

    Mimi naku kubali saana Mwamba Toka DRC 🇨🇩🇨🇩 Allâh Aku Hifadhi Popote Upatikanapo Habiib wangu💝💝💖
    Na katika ndoto zangu, Ni kuku Ona uso kwa uso siku modja inchallah💖🙏

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d День тому +5

    Safi sanaaaaaaaa muhammad allaah akuhifadhi

  • @JumaJuma-z3d
    @JumaJuma-z3d 10 годин тому +1

    Alla akulipe kheri

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 День тому +3

    بارك الله فيك وجزاك الله خيرا اخي الكريم استمر وشكرا

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 Годину тому

    MAASHAA ALLAH barakallah feek sheikh ,,,,

  • @rajabTaratibu
    @rajabTaratibu День тому +6

    Mti wenyematu lazima watu waupige magongo ndio maana kila mtu anameona bachu kamdomo kumbe aitetea haki majadida kimyaaa😊😊😊😊

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 20 годин тому

      😂😂😂😂 baraamika hoi na uhizbi wao

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d День тому +3

    Allaah akubaarik akujaalie elimu zaid yenye manufaaa❤❤ Aaamiin

  • @JumaRashidRamadhan
    @JumaRashidRamadhan 16 годин тому +1

    Bahariya Mafutaaaaaa, maradhi ya kurukwa na akili unayoo ww kwa ushahidi,wa maneno ya sheikh huyu unampa sheikh mwengine, sio sheikh Nassor Bachu mungu amrehemu.

  • @YussufYussuf-w9m
    @YussufYussuf-w9m День тому +11

    Mafuta kama hukufunzika hapa Wewe kibur bachu kafunguka vakutosha mashaallah allah amlinde na husda zenu za waz na za sir aamiin

    • @AbdallahAlly-b5m
      @AbdallahAlly-b5m День тому +2

      Wengi wenu mnafananisha sauti ya sheikh qassim na Muhammad mafuta,akhy hao ni ndugu sasa mafuta unaemzungumzia wew ni mafuta yupi? Hapo Sheikh qassim hausiki na hiyo radd hapo kaka

    • @AbdallahAlly-b5m
      @AbdallahAlly-b5m День тому +3

      Halafu katika watu wasiopaswa kumshabikia bachu ni nyie masufi,maana kutwa anawachapa huku mitandaoni,leo unamshabikia kesho atakuwatandika na bidaa zenu 😅

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g День тому

      @@AbdallahAlly-b5m 😁😁😁Bachu ni mjinga sana shida inakuja anapotka kushindana na Salafy huku hawezi kabisa.

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 День тому +1

      ​@@AlmasAbdallah-r3g😂😂aisee huu ushabk kwny din mpk kuit mjinga mtu, iv hamuogop siku ya mwisho siku ya hukum, daah sie waislam wallah tuna mtihan, mim katk kitu naogop nikukuita mtu wa dini mjinga, mshenz na mengne kam hayo, hiv nyie mnapat wap ujasir??

    • @IsmailGavara-do4wi
      @IsmailGavara-do4wi День тому

      @@YussufYussuf-w9m hakuna mafunzo alio funza huyu kijana. Nimjinga.ameambiwa na sheikh alete usahih wa ile hadith alipoambiwa ni dhaifu mpaka sasa ni usanii tu. Sisi tuna hadith sahih ktk kwa mtume s.a.w. alikua wakti wakula anataja bismilla takbani miaka8. Yani bachu kashindwa tu kutoa hadith angalau moja tu??? Mtihani navile yuazungumza karibu dakika 30 aaahhh!!! Ilimu ina wenye

  • @KimmomMssem
    @KimmomMssem День тому +4

    Mashekhe kama hawa wakiwekana sawa Sisi wengine tunafaidika wala hakuna kwamba tunarudi nyuma rududi au kukosoana nikatika dini tunafahamu ukweli NI upi uongo NI upi.

  • @ashekhajabir2469
    @ashekhajabir2469 День тому +5

    Ahsante. mwalimu wangu

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 7 годин тому +1

    Shukran ❤

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 День тому +8

    Yaani huyu mafuta anakiburi kibaya sana.huko kusoma kidogo TU amekua hadi ibni taymiyah anamuona kama mwanafunzi wa pongwe huyu afaa viboko na bakora.huenda karogwa na watu wamaulid maana anaropoka kama mtu mirungi

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 16 годин тому +1

    DAH INAUMA SANA SHEKHE MWENYE KUAMINIWA NAWANAFUNZI HASA WAMTIMKAVU ALAFU UNASIFA YA UONGO. NA KWANINI UNAMSINGIZIA SHEKHE BACHU ILHALI HAYUPO DUNIANI?😭😭😭

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 3 години тому

      Nihatari hilikundi la masufi wa kijadida nilahovyo

  • @ShamsudeenOmary
    @ShamsudeenOmary День тому +8

    Jazakallahu khyran Shaykh kuna clip fupi nimekaa nayo sana kwenye sim angu nashindwa kukutumia maake whatsapp yako iko busy sana hujibu messages.
    Hii clip ina shub-ha chache tu za sufi mmoja zinaleta mkanhanyiko kidogo na kutia doa kwa wanachuoni wa sunnah. Naomba uniruhusu nikutumie uishughulikie ndani ya madakika machache tu tufaidike kisha uendelee na ratiba zako nyingine inshallah nakuomba kwa ajili ya Allah

    • @Mkombozi-j3p
      @Mkombozi-j3p День тому

      Mwambie ajaribu aone motoo

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary День тому

      @Mkombozi-j3p We umekaa kiushindani sio?

    • @seifsaid9905
      @seifsaid9905 21 годину тому

      Shekh mtumie tu inshallah ataiyona

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 20 годин тому

      Heee leyo ndo nimejuwa Muhammad bacho simtu wautani wamezidi kumsema sema marhum shekh Nasour nadhani hii itatosha kuwanyamazisha

  • @MohamedHassan-kk5te
    @MohamedHassan-kk5te День тому +4

    POINT KIELIM BACHU ANAWAZID HAWA MASALAFI WAHOVYHOVYO WOTE HAWAMUWEZ PILI PICHA YAKE KUKAA PALE NDIO KUONESHE HAWA NIWATU MJIRM MASALAFI HAWA WALIOZALIKIANA NAKINAMAFUTA NIWATU WAMOTON BILA SHAKA NIWAONGO NIWATU WAFITNA WANAFARAKANISHA WATU NAKUWAINGIZA MOTON HILI WW NDIO WAOVU😊

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 День тому +2

    أسأل الله أن يحبكم محبة يطيل بها أعماركم ويكثر بها أرزاقكم ويزكي بها أعمالكم فيحبكم الخلق أينما إتجهتم ..
    جعله الله يوم سـعــيد تنشرح فيه صدوركم وتتفتح لوجوهكم السعادة حفظكم الله وحفظ أهليكم و بيوتكم اللهم أسألك لأحبتي إيماناً كاملاً ويقيناً صادقاً ورزقاً واسعاً . وصل اللهم وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم تسليما كثيرا .

  • @IsmailabinuseniAl-sudais
    @IsmailabinuseniAl-sudais День тому +3

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    Allâh aku Hifadhi Saaaaaaaaaaaa💜

  • @KimmomMssem
    @KimmomMssem День тому +4

    Bila kuwekana wazi watu watabeba vya uongo endeleeni ukweli utabainika Tu

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 День тому +11

    Mmi kama salafy naona huyu mafuta anatuaibisha

    • @IsmailGavara-do4wi
      @IsmailGavara-do4wi День тому

      @@bacteria5184 wewe ndio unatuaibisha kwakuji koroga akili iko kwa bacho masikio iko kwa sheikh mafuta.jumuisha akili na maskio pahali pamoja. Sasa hata ukiulizwa tu je bachu kuna hadith alioitoa hata moja???muhammad mafuta ana subiri hadithi.alafu aitetee ile hadidh alioitoa usahihi wake only that wallahi hana...kajichanganya sijui mara tuletee kitabu mwana chuoni yeyote alio sema sijui wewe ni mjinga sijui khain..sasa hio ndio nini?? Jibu hoja acha ujinga ww bachu

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 20 годин тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 17 годин тому +1

      Ni kwel sheikh😂

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 16 годин тому +1

    Dah natamani uendelee kuongea shekhe, alla azidi kukupa afya uzidi kuzindua watu katka elimu

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 День тому +3

    Muhammad mafuta 😂😂😂😂 jamaa anafurahisha sana

  • @ShabanKindinda
    @ShabanKindinda 9 годин тому +1

    M-bainishaji

  • @aooshosho4255
    @aooshosho4255 День тому +2

    Wazazi muwaeke kando kila mzazi hupeleka mtoto kusoma kwajili ya Allah sasa huko mbele alichovuna mtoto ni yeye na mola wake.....

  • @mbwanahussen2950
    @mbwanahussen2950 День тому +2

    Awa majadida wanafana hakili mbaya Sauti jeuri kibri zarau kujiona wanajua kilakitu katika dini wasipo tubiya Allaha Allaha imani na elimu

  • @AbdallaSultan-pg6pv
    @AbdallaSultan-pg6pv 9 годин тому +1

    bachu eee huyu mafuta hana tofauti na kidawa wa kaskazini istimbaat ni bidaa😂😂😂

  • @AbbasMwakichui-db9tn
    @AbbasMwakichui-db9tn 19 годин тому +1

    Muhammad bachu hapo kwa Muhammad mafuta ni sababu tu umeipata. Lkn chuki yko kubwa ni kwa kassim mafuta kakaake. Hapo unazunguka tu na kujikweza. Una chuki sana na sheikh kassim na umefanikiwa kumfedhehesha kama ulivyoahidi utamfedhehi na kuikejeli markaz ibintaymiya. Hongera sana

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 19 годин тому

      Bado hujaongea mpaka unye mavi ndio hasira zako zitaisha,mijitu ya hovyo nani asiewajuwa,

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 17 годин тому +1

      Tulia wewee tunamtaka murjifu qassimu mafuta atoe Bayani kuhusiana na lipicha lake

    • @zainabrashid768
      @zainabrashid768 11 годин тому +1

      Sikiliza ww ndo unachuki

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 День тому +2

    Waalaykum salam warahmatullah
    wabarakatuh

  • @aluse9293
    @aluse9293 День тому +3

    Mashaallah.

  • @Abdulmajid-xs7gk
    @Abdulmajid-xs7gk День тому +3

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh

  • @abdirashanaemia8795
    @abdirashanaemia8795 День тому +2

    Mafuta amekwepa walae nilikuwa napenda kumskiza lakini sahii 😂😂😂😂 apote mbali

  • @MasoudChoum-pp1ob
    @MasoudChoum-pp1ob 23 години тому +4

    Baharia ameshapanda ndinga yupo zake mti mkavu kajichimbia

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 День тому +7

    Ustadh malemba baado hajajibu swali hata moja mpaka leo, kimyaaaaa

    • @omarsal3266
      @omarsal3266 19 годин тому +1

      Katika hali ya namna hiyo......😂😂😂😂😂😂😂

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 17 годин тому

      ​@@omarsal3266😂😂🎉

    • @abuujamsheed2345
      @abuujamsheed2345 5 годин тому

      Amna jinsi lazima akimbie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anadhani amesoma peke yake

  • @salimuhashimu1529
    @salimuhashimu1529 18 годин тому

    SHEKH MUHAMMAD UPO SAHIHI.Ningeomba tubadili mwelekeo kwa sababu wasomi wako wengi lakini idadi kubwa ya vijana wa KIISLAMU wameikimbia dini badala yake wamekuwa waislam wa majina tu.Tupange mikakati ya kuwaelimisha hatimaye wafanye A-AMALI NJEMA.

  • @husseinmbarouk
    @husseinmbarouk День тому +2

    mashaallah

  • @hameidseif7083
    @hameidseif7083 День тому +2

    Good

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir День тому +3

    الحمد لله

  • @mohammedaliabdallah5508
    @mohammedaliabdallah5508 День тому +3

    Asalam Alekum

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 День тому +1

    اللهم آمين يارب العالمين

  • @AbdallaNassor-q7u
    @AbdallaNassor-q7u 17 годин тому +2

    Sisi ni masalafy lakini tunaunga mkono nondo za bachu

  • @ABUU_SAAD-ut4fd
    @ABUU_SAAD-ut4fd 6 годин тому +1

    BAHARIYA.. 😂😂😂😂

  • @rajabTaratibu
    @rajabTaratibu День тому +3

    Malemba katokomea na muhammadi mafuta alisema bachu akitoa radi mda huohuo nae atamjibu vip mbona kimyaaaa

  • @hassanhussein896
    @hassanhussein896 День тому +3

    ua-cam.com/video/xih4MYTb5jY/v-deo.htmlsi=LTdXJgiXTGqOKOS3 sheikh Muhammad naomba utuelimishe msingi ya kuamiliana na masufi na mashia

  • @NaduuAbdilah-uj5vj
    @NaduuAbdilah-uj5vj День тому +3

    Wana jikutaga waoo ndio wasomii peke yao mpaka wana fanya khiyanaa

  • @MahmoodAlhusary
    @MahmoodAlhusary 22 години тому +2

    Assalamu alaykum warahmtullah nomba sheikh usisahau kuendeleza duruusi za lugha
    Na kama itawezekana tunaomba tengeza channel TELEGRAM NI MUHIMU SANA AHKY MUHAMMAD BACHU

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 20 годин тому +2

    majadida macho ya mewatoka wallah 😂😂😂

  • @RamadhanAbdul-l1h
    @RamadhanAbdul-l1h 20 годин тому +1

    HIZBI MUHAMMAD BACHU UNA WALINGANIA WATU KATIKA UHIZBIA
    HIZBIIIIIIII MUHAMMAD BACHU

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 19 годин тому

      Umejipiga radi mwenyewe hizbi jadida,na Bado mpaka unye mavi ndio hasira zako zitaisha,allaah amewafichuwa na uhizbiya wenu

    • @HusseinHassan-p7g
      @HusseinHassan-p7g 19 годин тому +2

      Muogope allah ndugu acha taasubi uhzìbi uko wapi apo mbona hoja zake sipo wazi mbona unaonekana kama watu wabidaa?wanakataa haki wakati ipo wazi?

    • @amirimshaali9872
      @amirimshaali9872 18 годин тому

      YAONYESHA WEWE HUKUENDA MADRASA HATA DARASA LA KWANZA NDIO MAANA HUELEWI MASIKINI MPAKA ILIPOFIKA WASEMA BACHO AJIPINGA MWENYEWE, KUMBE MAFUTA NIMPTUPU PAMOJA NA WANAFUNZI WAKE PIA HAWAELEWI KABISAA WALLAHI​@@HassanIddy-v1b

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 17 годин тому

      Hizbi ni mwehu baharia Muhammad mafuta aliekuwa na kadi ya ccm

    • @Muktazitv
      @Muktazitv 16 годин тому +1

      Wewe mwenyewe hizbi mkubwa na mafuta wako pia hizbi😂😂😂😂

  • @MR_GROUZER
    @MR_GROUZER День тому +2

    TUMREJESHE TENA KWENYE TASWIRA/PICHA SHK😆😆😆😆 ASTUFANYE WATOTO😂😂😂😂

  • @Aakhar-z3c
    @Aakhar-z3c День тому +1

    Pongwe majitakasa sana na kujiona mupo sawa kuliko wengine.

  • @Abdulmajid-xs7gk
    @Abdulmajid-xs7gk День тому +4

    Jaman nimekuw mtu wa saba leo kuiangalia hii

  • @AdanHassan-g7w
    @AdanHassan-g7w День тому +3

    Wallahi BACHU UNAFAIDISHA WATU WENGI.
    Na kina m.mafuta na genge lake ni majaahil tu

  • @AliAhmed-b5z8l
    @AliAhmed-b5z8l 21 годину тому +1

    Mafuta baharia usijiaibishe, wewe mwepesi kiilmi, sisemi kiushabik, msikilize Ustadh akisherehesha

  • @saidhalfan3452
    @saidhalfan3452 День тому +1

    Nilikuwa naisubiri. Maliza turudi kwenye Picha.

  • @AliAhmed-b5z8l
    @AliAhmed-b5z8l 21 годину тому +1

    Baharia amgaragaza ulamaa Abu Zaid😂 na Ibn Taymmiyya😂

  • @maulidisaidimuhani6859
    @maulidisaidimuhani6859 22 години тому +1

    Kwahiyo, kwa msimamo wa Mafuta IBN TAYMIYYAH ji JAAHIL MURAKKAB Sio maana anamdai dalili😢😢😢

  • @abusalmadangaadam708
    @abusalmadangaadam708 День тому +1

    Ingekua sio viburi vya hawa majadida ungeachana naye tu lkn mpe soma kwa faida yetu sote

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 День тому +2

    Sasa mbona mafuta akikamatwa vibaya analeta uwongo wa waz😂😂

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s День тому +2

    Ah kijana mwamba mafuta acha kuharakia mambooo

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 17 годин тому +1

    Huyu mafuta vp kwan!?

  • @KhalfanAlawi
    @KhalfanAlawi День тому +1

    Hassan wazir soloko alikimbia na mafuta hayupo mbal kukimbia au ameshakimbia hawamuez bachu

  • @MaMa-gp1pw
    @MaMa-gp1pw 5 хвилин тому

    Mbona mnaegemea kqenye hadithi.hizi hadithi kaandikwa na makafiri kuvuruga uislamu.hizi mikono ya binasamu lete ishara kwenye qurani

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 19 годин тому +1

    Kinachowasumbua Hasadi ewe Muhammad mafuta taka hifadhi kwa Allah kutokana na Hasadi shekh bachu amejaaliwa na Allah ni kipawa chake manani hamumuezi huyu ni mtoto wa shekh nyinyi ni watoto wa nani?

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 19 годин тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rajabTaratibu
    @rajabTaratibu День тому +1

    Mafuta kama yusuph diwan wanekosa hoja kazi matusi tuuu

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 18 годин тому

    Yani utacheka😂😂ukizisoma coments za hawa masufi wa kijadida,wameshikwa kooni wamebaki kuropokwa tu,wanamipasho kama ya dilele na kasm mafuta allaa awaongoze pamoja nasi,

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 21 годину тому +1

    😂😂KWA HII RADI MASARAFI UCHWARA WAMEKOSA PA KUKOMENT😂

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 19 годин тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 20 годин тому

    NAMNA MAWAHABI WANAVYO LAWITI WATOTO WA MADRASA NA MATIKITI MAJI (WATERMELON )ua-cam.com/video/_DIjAFnzIyA/v-deo.htmlsi=9zr0MzkXozI8PV7a

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 День тому +1

    Hawa akina ma futa na yule mganga diwani kazi yao kubwa ni jazba na utukanaji ni watusi wakubwa sijui wanawafundisha nini wanafunzi wao na watoto wao

  • @ABUU_SAAD-ut4fd
    @ABUU_SAAD-ut4fd 6 годин тому

    Akasome aacha kuongea . Tatizo huko aliko hakuna wasomi kapewa asalishe ndo kashakua shehena mbeba mizigo.. wakitokea wasomi atajitambua kua ni kijijitu tuuu 😂😂😂 mbele yao . Ila saivi anajiona pekeyake kama sheeehe kubwaa tena. 😂😂 huyu ni mjinga alokosa mwerevu msikitini pake.🤪

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp День тому +3

    Tupo pamoja

  • @maulidisaidimuhani6859
    @maulidisaidimuhani6859 22 години тому +1

    Kwahiyo, kwa msimamo wa Mafuta IBN TAYMIYYAH ni JAAHIL MURAKKAB Sio? Kwa maana anamdai dalili😢😢😢 na mashekh wote wanao Ona inafaa kukamilisha Bismillah ni MAJAAHIL MURAKKAB????

  • @IbrahimuMgeni-gz5vx
    @IbrahimuMgeni-gz5vx День тому +1

    Jino kwa jino

  • @MohamedHassan-kk5te
    @MohamedHassan-kk5te День тому +1

    Yaan mafuta umefilisika

  • @alitano6769
    @alitano6769 День тому +1

  • @AllyJuma-q8g
    @AllyJuma-q8g День тому +1

    ينتفع هنا طالب الحق بس

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 День тому +1

    Muhammed mafuta ana Uwezo mdogo wa akili maana ata maelezo yake tu Yanajizonga .. akili ndogo Sana

  • @mohammedaliabdallah5508
    @mohammedaliabdallah5508 День тому +1

    Waalekum salaam warahmatullahi wabarakatu sheikh 😊

    • @jechasuleiman5532
      @jechasuleiman5532 День тому

      Shekh asalamu alaykum warahmatullahi wabarakatu akhy nafurahishwa sana na faida kwa mjadala huo