Hadithi hiya pia ameipokea ahman c abudaud kama anavylodai kiboko ya mawahabi halafu kwa kauli ya imaam Abu daudi ni swaalih kwa mujib majibu ya imaam Abu dad kwa watch wa makah kwa maana hi maneno ya kiboko ya mawahabi hayana maana yoyote Abu saami alghaafry
Maashaa Allah ❤❤❤
MASHALAH
ALLAH ALIJAALIYE KABURI LAKO LIWE BUSTANI MIONGONI MWA MABUSTANI YA PEPONI AMIN
21:51
Hadithi hiya pia ameipokea ahman c abudaud kama anavylodai kiboko ya mawahabi halafu kwa kauli ya imaam Abu daudi ni swaalih kwa mujib majibu ya imaam Abu dad kwa watch wa makah kwa maana hi maneno ya kiboko ya mawahabi hayana maana yoyote Abu saami alghaafry
اللهم ارحمه 🤲🏽
Mashallah ALLAH akulipe kannatil firdaus na atunufaishe sisi na ilimu yako tuipate AMIM!
Amiiiiin Ya Rwabiiii sooote
Hawa kila kukicha wananyoa ndevu hawa sunna ya ndevu wanaipigavita
Allah amurehemu
🎉
Huyu sheikh alikua hajui umuhimu wa ndevu? #Allah_amrehemu
we nawe em kafie mbele huko
@ Hhh, #Uncle kusoma na kuijua dini muhimu
Huo ndio upumbavu wenu maadui wa Allah na Waislamu. Hemu jibu hizo hoja
Ndevu ni faradhi kwani?
@ #Exactly
Huyo Sheikh alikuwa anaitwa nani ?!
Si mwaona jamaa mawahabi Yao ni ufidhuli na kutukana wanazuoni hawana jengone!!!
😂Huyu bwana nampenda sanna, natamani arudi hai nikapinde goti anifundishe. Yaani anakremuka sio mchezo 😂
Mrudishie uhai we jaahili, tangu lini Sufi akaufahamu Uislam?
@MaulidRamadhani-t8b kinachonishangaza ni wewe MUWAHAB mwenye ITIKADI ya kuwa Mimi sufi NDIO narudisha uhai kama usemavyo!!!!