EXCLUSIVE!! SIMBA YAWEKA REKODI AFRIKA!! ELIE MPANZU KUTUA SIMBA DAY!! WEEE ULISIKIA WAPI...?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 2 місяці тому +26

    Kama unakubali simba ndio timu yenye mvoto na mashabiki bora hapa Africa goga like hapa chini

    • @Mtamaboy
      @Mtamaboy 2 місяці тому +1

      Mvuto wa uchwala hamna team hapo simba mavi mtupu tutawanyosha sana mbaka muelewe tukutane tarehe 8

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 2 місяці тому +3

    SIMBA wakifanya vizur zaidi kwenye mpira, watavunja record kujaza mpka uwanja wa Uhuru.
    Simba wana mashabiki wengi kuliko team yoyote, uo ndio ukweli.🎉🎉

    • @SangaliPower
      @SangaliPower 2 місяці тому

      Mashabiki wa Simba ni Gen Z na mashabiki wa uto ni Majuvee 😂😂

  • @BarakaPatrick-qe6se
    @BarakaPatrick-qe6se 2 місяці тому +7

    Oya we Simba nguvu moja

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 2 місяці тому +3

    KWANINI SIMBA ISIWEKE BIG SCREEN UWANJA WA UHURU ILI MASHABIKI WAINGIE UWANJA WA UHURU KWA MUDA HUU ULIO BAKI?

  • @richardvallerian1003
    @richardvallerian1003 2 місяці тому +2

    Channel inakaribia subscribers 100000 na mnafanya clickbait, ndo maana watu wanaojiheshimu kama Mbwaduke hawaji tena. Block

  • @lazaroaloyce6649
    @lazaroaloyce6649 2 місяці тому +2

    Wanasimba cc tunaimani na tundaman wetu yule mnyama kweli na tunataka aimbe na kiba labda.

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu 2 місяці тому +1

    Simba hatuna baya ila akituzingua tunamzingua mwaka huu UBAYA UBWELA💥

  • @davidmlima7808
    @davidmlima7808 2 місяці тому

    HATUKUTAKI KUJA KTK SIMBA
    YETU, USIJEE SIMBA DAY,
    NA NYINYI WATANGAZA JI
    MSIMTEE AU NYIEEE NI YANGA

  • @JohnMbogo-c1n
    @JohnMbogo-c1n 2 місяці тому

    Tiketi zimeisha wapi??? mbona bado zinauzwa na mawakala na watu kibao mtaani...hata online unapata au mnamaanisha zimeuzwa kwa mkupuo kwa madalali ili nao wakauze?

  • @davidmlima7808
    @davidmlima7808 2 місяці тому

    HATUUUMTAAKI DULLA MAKABILAA KTK SIMBA DAY YETU AENDEE YANGA ,
    TUMET0A HELLA ZETU
    TENA AK0MEEE, KUJA KTK
    SIMBA DAY Z0TEEE

  • @rufinermwamdanga4946
    @rufinermwamdanga4946 2 місяці тому

    hivi crown ni alikina ndiyo maana kila ukifungua ni Simba tu

  • @FelixisaacKalembo
    @FelixisaacKalembo 2 місяці тому

    Acha tumsamehe dula mkl, nae ni binadamu wana simba wenzangu tumuunge mkono, yakale yamepita simba oyeeeeeee❤❤❤❤❤

  • @ShafiiMawere
    @ShafiiMawere 2 місяці тому

    Ubaya ubwela

  • @kelvinefuronielisha4039
    @kelvinefuronielisha4039 2 місяці тому +2

    Yaaan dula ukija tunakubonda na chupa

  • @YunussefuNagawa
    @YunussefuNagawa 2 місяці тому +3

    Dula akija tunamzomea atumtakiiii

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 2 місяці тому

    Dula asije

  • @yasini6027
    @yasini6027 2 місяці тому

    Leo ubaya ubwela

  • @JoshuaPanini
    @JoshuaPanini 2 місяці тому

    Simba ndio kubwa wengene wanatakiwa wajifunze kwetu hasa 🐸🐸🐸fc

  • @MasudyMasudyMasoudy01
    @MasudyMasudyMasoudy01 2 місяці тому

    Ubaya ubwela bd awajasema

  • @makamelila
    @makamelila 2 місяці тому

    Wasiojaza uwanja ndio wanaohaja ya kuchukua wasanii wakubwa kwa Simba aje yoyote tunajaza uwanja

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 2 місяці тому

    Simba hatari ubaya ubwele ndiyo maana tiketi zimeisha

  • @MgetaYohana
    @MgetaYohana 2 місяці тому +4

    Simba baba lao

  • @GeorgeSagumo
    @GeorgeSagumo 2 місяці тому +1

    Pamoja saana

  • @FaustinoBuyaga
    @FaustinoBuyaga 2 місяці тому

    Simba nguvu moja simba yamwaka huu nicmba yaainayake yapekee

  • @juma.mikidad
    @juma.mikidad 2 місяці тому +1

    Nguvu moja

  • @MojaHaruna-b5w
    @MojaHaruna-b5w 2 місяці тому

    Simba baba Lao Tanzania

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 місяці тому +1

    utoporo waje wasome kutoka simba

    • @JohnMbogo-c1n
      @JohnMbogo-c1n 2 місяці тому

      Utopolo wa mo dewji muende Yanga mkajifunze wanafanyaje mambo yao pasipo janjajanja na wanafanikiwa

  • @BabaNasritz
    @BabaNasritz 2 місяці тому

    Kwani makabila alifanyaje?

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 2 місяці тому

    Tushasema Makabila hatumtaki mctuseti

  • @yoshuapaul8300
    @yoshuapaul8300 2 місяці тому

    Yan Simba tunakiwasha

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 2 місяці тому

    Mashabiki wa simba niwengi mkubali mkatae

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 2 місяці тому +1

    Ss ndo wakali wa hizi kazi

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 2 місяці тому

    Simba Nguvu Moja

  • @ALIYUMASOUD
    @ALIYUMASOUD 2 місяці тому

    Vp Elia mpanzu

    • @SalumAuka
      @SalumAuka 2 місяці тому

      Huna ela yakumpata mchezaji mweny viwango kama elia mpanzu utapata hao hao wachezaji wachimba unye.

  • @DengaAlly-x5b
    @DengaAlly-x5b 2 місяці тому +1

    SIMBA BABA LAO

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 2 місяці тому

    Tickets hazijaisha watu wa Simba nendeni kanunueni

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 2 місяці тому

    Kwani huyo mpanzu ana kitu gani cha ajabu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 місяці тому

    utoporo waje wasome kutoka simba