Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 17/07/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ • 11

  • @GABRIELNGERECHA-jn2fi
    @GABRIELNGERECHA-jn2fi Місяць тому

    Yuko sahihi Kwa mtazamo wake big up comuredy

  • @lilianpuka218
    @lilianpuka218 Місяць тому +1

    Nape hamna utani apo mungu ata angaza😢😢😢

  • @kabangulubaba2055
    @kabangulubaba2055 Місяць тому

    Poa sana , na mimi jina langu Eliezerd Lubaba!

  • @tumainiamani111
    @tumainiamani111 Місяць тому

    Unajuwa ukiwa unafanya kitu sio sahihi na ukajificha kwa muda mrefu sana kunasiku utajikuta mwenyewe unasema ukweli pasipo kujua ndio kilichotokea kwa kada wa chama tawala

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 Місяць тому +1

    Nape ulikusudia nandivyo alivyo

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 Місяць тому

    Tukishindwaa hapa tunakupeleka Arusha hatutaniii😮

  • @mwamakaassely2260
    @mwamakaassely2260 Місяць тому

    Tunatamani yule jamaa wa Bastola angefanya jambo lake kwa huyu jamaa

  • @user-fh9nx9xq8u
    @user-fh9nx9xq8u Місяць тому

    Na,wanamalizia kuchukua no ya vitambulisho vyakura kukamilisha ushindi njee ya sanduku la kura

  • @user-fh9nx9xq8u
    @user-fh9nx9xq8u Місяць тому

    Waandishi wa habari hawajawahi kuwa salaama katka kutoa habari za nchi na vita yao kuu nijuu ya wanasiasa hawaupendi ukweli kabisaa

  • @user-fh9nx9xq8u
    @user-fh9nx9xq8u Місяць тому

    bbc nawapata mubashara nikiwa dar es salaam tzania

  • @hassanm.5291
    @hassanm.5291 Місяць тому +1

    Ujinga 😮