JIMWAGE NDANI YA TUMBATU ~ HII HAIJAWAHI TOKEA | UKHTY MWANACHA x ADILA x ASHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Ma Ukhty watatu nikimaanisha Ukhty Mwanaacha,Ukhty Asha na Ukhty Adila wakiwa ndani ya kisiwa cha Tumbatu wakisherehesha harusi kwa wanandoa na wana kijiji jicho kwa kusoma qaswida inayokwenda kwa jina la JIMWAGE, ambayo imesomwa live na Ukhty Mwanacha kisiwani hapo.

КОМЕНТАРІ • 347

  • @umakramzahor4836
    @umakramzahor4836 5 років тому +10

    Mashaallah Watu Watumbatu mnajistiri Uzuri kama laiti watu WA mjini hapo ningeona tu

    • @ayshahams7373
      @ayshahams7373 5 років тому

      Um Akram Zahor ila mikon inaoneka mwish wa uchi wa mwanamk wap wangevaa majalbab wakaziba mikono

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 4 роки тому +3

    Mashallah mashallah tuko vizur watumbatu mashallah

  • @saraneema6679
    @saraneema6679 5 років тому +8

    Safi sana...lazma one day nirudi nyumbani insha’Allah

  • @neemasaimoni9902
    @neemasaimoni9902 Рік тому +1

    Jamani hongera Dua zenu na mm nipate wangu niwaiti

  • @omarmoroa5243
    @omarmoroa5243 5 років тому +5

    Inna Lillahi wainna Ilayhi Raajiun,, sasa hii nasheed au taarab.. Punguzeni hizi n fitna tu

    • @professorabdullah2300
      @professorabdullah2300 5 років тому

      Hivi nasheed unaijua au unasema tuu

    • @omarmoroa5243
      @omarmoroa5243 5 років тому

      @@professorabdullah2300 sasa ww kivyako waona hii n nasheed kweli

    • @habyalmary8132
      @habyalmary8132 5 років тому +1

      Ni fitna kweli.
      Nyimbo ni mzuri lakini sauti ya mwanamke kusikiwa ni haramu. Mashekh kila siku watuambia mwanamke anatakikana ajisitiri miwili wake mpaka na sauti yake pia haifai kusikika. Tuiwekeni dini mbele na Dunia nyuma jamani. SubhannaAllah

  • @mainaabuu8931
    @mainaabuu8931 5 років тому +9

    Bac haya. Safar njema in shaa Allah kwa walengwa

  • @alishabbe7932
    @alishabbe7932 5 років тому +6

    From somali🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @lamymmwasango4101
    @lamymmwasango4101 5 років тому +8

    Ya Illahi nletea wa kheri namie mamangu ajimwage

  • @fatmakhalfan2561
    @fatmakhalfan2561 3 роки тому +3

    Nzr sn nimeipenda walai

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 5 років тому +4

    Mashallah watumbatu hongera mmejipanga

  • @laleinemirjangi1930
    @laleinemirjangi1930 5 років тому +9

    Salam from Mombasa Kenya
    Nyimbo safi sana sauti mzuri MASHAALLAH bravo

  • @wardahassan9714
    @wardahassan9714 5 років тому +4

    Extremely nice baby mwana mbna atajimwaga c biti ilo fadherlee big up

  • @EnockLothi-ct1pe
    @EnockLothi-ct1pe 4 місяці тому

    Jaman ❤❤❤ mnaimb vizuri wimbo huu nimeu pend🎉🎉

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 років тому +3

    maa Shaa allh ww wa katikat unaimba kama ukhty Dida

  • @sierabravo848
    @sierabravo848 5 років тому +4

    Subhana llah tumekua hatuoni hata haya waume na wake kuchanganyika.hivyo.allah atusamehe.na atuongoze

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 роки тому +4

    Mashallah big job

  • @abdulnasirjuma7547
    @abdulnasirjuma7547 5 років тому +3

    Wash motooooooooo nawakubali mika 1000000000

  • @zuwaynaissa894
    @zuwaynaissa894 4 роки тому +2

    Mko gud sana dadazangu love it

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 5 років тому +8

    Atufuati sheria ya dini yetu, wanawake tutakua wengi motoni🔥🔥🔥🔥🔥

    • @zaitunikweka979
      @zaitunikweka979 5 років тому

      Hi ni harusi jamani sio msiba

    • @swalehmudhihir6612
      @swalehmudhihir6612 4 роки тому +3

      Zaituni kinachokatazwa ni kuimba mbele za wanaume au mnaimba wanawake pekee yenu ila mnasema utube ndio yale yale tu.
      Hamna makatazo kuimba ila mkiwa pekee yenu na msirekodi mavideo baadae yakaonwa na wanaume ambao wanafaa kuwaoa

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 4 роки тому

      @@zaitunikweka979 acha kushabikia uovu

  • @mahmoudnjopeka860
    @mahmoudnjopeka860 5 років тому +4

    WAZANZIBARI SIE TUNAWAJUA DINI YAO MAGUMASHI TU NDIO MAANA WANAOWANA WAO TU SASA HIYO MTAITA DINI UWO NI USHETANI WEHU NYIE

    • @professorabdullah2300
      @professorabdullah2300 5 років тому

      Mwehu ni wewe na familia yako kenge wewe. Kwani walio imba ni wanzanzibar au ni wao pekeao kima wewe? Halafu ulitaka tukaoane na panya

    • @abdulnasirjuma7547
      @abdulnasirjuma7547 5 років тому

      Ahaaa tunaoana wenyewe au tunafatasheria umuoe umpendae na mwenye dini nenda huko huna loloote

    • @abdulnasirjuma7547
      @abdulnasirjuma7547 5 років тому

      Nawaona nyie wenye dini munakaa hata miaka kumi ndio mwaoana

    • @zuwenahamad6178
      @zuwenahamad6178 5 років тому

      Mr A..hhhhhh mwambie mbara huy antk tuoe wao wa kukaa miak 1000 kusomana hhhhhhhhh... Mahmoud pol

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 4 роки тому +2

    Mkipata maradhi mumlilie Mungu japo hamumjuwi in Mungu

  • @abdulhamis2393
    @abdulhamis2393 4 роки тому +2

    Zawad yangu kwenu ambayo inaweza kuwafkia mapema mungu awenanyi mdawote. ila mngewa karibu ngewapa hata chochote cha duniani .

  • @zuhuramwawimo997
    @zuhuramwawimo997 5 років тому +2

    mashallaah dada hongera sanaaa🙌🙌🙌

  • @ahmadhamad7647
    @ahmadhamad7647 2 роки тому

    Thats good song all madaw we are joycfull

  • @mimaally7617
    @mimaally7617 4 роки тому +4

    Mashallah mwenye nao naomba anitumie jmn wtsp 😘😘

  • @madinamoh6754
    @madinamoh6754 2 роки тому +3

    Mashallah i love is song 😘😘😘😘😘😘

  • @salehhamadi6070
    @salehhamadi6070 5 років тому +6

    Mbona wanaopiga ala za muziki hamtuoneshiiiii

  • @abdallahsaidi3756
    @abdallahsaidi3756 4 роки тому +3

    Maaaaaaaaha-----allah. Nikweli Mamaa kharusi yatakiwa Ajimwage kwa furaha na shangwe isiyo na kifani ndani Moyo wako.

  • @faidakadewele2859
    @faidakadewele2859 5 років тому +1

    Zanzibar masharh hii nyimbo ya tumbatu ipo vizuri

  • @hendrickjeseph4629
    @hendrickjeseph4629 4 роки тому +6

    Nyooh nyie mnaojifany mnajua din san ndo waov wakutupa nyimbo nzur san

  • @mdungimakame2373
    @mdungimakame2373 4 роки тому +3

    Mko vizuriiiiii!!

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 5 років тому +4

    Sauti yako Mashallah inahonga kwenyemoyo

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 роки тому +2

    Ni nasheed nzuri pia ina muelekeo wa harusi ya holi

  • @sofiaahmed8880
    @sofiaahmed8880 5 років тому +3

    Mashallah! Ujumbe maridhawa!

  • @user-kt4kk4cs5s
    @user-kt4kk4cs5s 11 місяців тому

    Uko vzr dada mwanacha

  • @ashalol6045
    @ashalol6045 4 роки тому +5

    Ukisema kila kitu kinacho fanyiwa tukijie kasoro Ata sisi binaadamu tuna mengi tuna muuzi mungu acheni ujinga mtume kasema ulimskia akisema wangapi Wana zini na kusema uwongo nakuiba kwani siyo zambi choyo tuu binaadam kwendeni na roho zenu mbaya

  • @farajihassani4016
    @farajihassani4016 4 роки тому +2

    Hongereni sana

  • @shazmaabdul6333
    @shazmaabdul6333 3 роки тому +3

    Mashallah

  • @jokhagadafy2144
    @jokhagadafy2144 4 роки тому +3

    Maa shaa Allah

  • @fashionkilla155
    @fashionkilla155 Рік тому

    I love this song ❤

  • @hafidhmohd2980
    @hafidhmohd2980 2 роки тому

    Heeeeeeeee dada umetisha wawili wakipenda adui Hana nafas🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀

  • @zainamussa4696
    @zainamussa4696 4 роки тому +1

    Mashaalah Qaswida nzur san

  • @fadhilunashabani1239
    @fadhilunashabani1239 5 років тому +2

    Ntawapata wap mashalla

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 років тому +5

    Tumbatu nawapenda

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 років тому +6

    jaman nimependa ukht nitafute mm bwana mtarajiwa

  • @fatmaali6505
    @fatmaali6505 5 років тому +24

    Nashanga wanapakazia mitandaoni watu wapo kwnye shereh zao hamjalazimishwa kutizama

  • @zabibumasika4616
    @zabibumasika4616 4 роки тому +1

    Asante na qaswida

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 4 роки тому +2

    Tumbatu tumbatu tumbatu oyeeeeeeeeee

  • @fatumabakaribindo1820
    @fatumabakaribindo1820 4 роки тому

    Ukhty nakupenda sana CD zako pl' maelekezo pl's..

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 5 років тому +3

    Umati Muhammad 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @hassanthabit9824
      @hassanthabit9824 5 років тому

      Waoooo mashallah allah awafanyie kilalakhery

  • @aa.6437
    @aa.6437 5 років тому +1

    Masha Allah nimependa sanaaa

  • @khamismussa6308
    @khamismussa6308 5 років тому +4

    Aah! Inna lillah wainna ilaihi, Wanyamwezi wa kibara washafanikiwa kuiwa zanzibar, muungano oyeee

    • @habibakwelikbsbigupmuheshi1473
      @habibakwelikbsbigupmuheshi1473 5 років тому

      Usitukane kabila za watu kwani hao umesikia wanyamwez

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 5 років тому

      Khamisi Mussa we ndio mbaguzi mkubwa eti umeona wanyamwezi ndio wasiojijua? Hao waarabu unaowathamini wewe kama mtumwa huwajui wanayoyafanya funga mdomo wako wewe kila baya unarukia wabara ujinga unakusumbua tu. Hata hao waliotangulia harusi walishangilia Acha kuleta Sheria zako za kijinga hapa.

    • @khamismussa6308
      @khamismussa6308 5 років тому

      Ali wacha ushoga wewe

  • @swalehissa7434
    @swalehissa7434 4 роки тому +2

    Maashaallh

  • @ahmadhamad7647
    @ahmadhamad7647 2 роки тому

    Mashalah hatari hyaa mashairi haiwez kuchuja hii kitu

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 5 років тому +3

    Naomba mnisamehe kama nitakuwa nimewakwaza🙏🙏🙏

  • @KipnziChawatu
    @KipnziChawatu 2 місяці тому

    Mashaallah

  • @kasafyakasafya6758
    @kasafyakasafya6758 5 років тому +4

    Mashallah. Dada zng mmeimba vzr

  • @veronicanemesi2686
    @veronicanemesi2686 5 років тому +2

    Wimbo mzuri sana nimeupenda

  • @eddamwinzi8663
    @eddamwinzi8663 4 роки тому +5

    Mashallah 😍😍😍😍😍

  • @mwanatumujuma4973
    @mwanatumujuma4973 5 років тому +14

    Ni harus c msiba acheni watu washangirie binadamu hamkosi la kusema

    • @abdallahsaidi3756
      @abdallahsaidi3756 4 роки тому

      MWANATUMU JUMA. Maaaaaaaaha-----allah. Mama uko vizuri. Ni kweli kharusi sii"" Msiba na wacheni watu washangilie kwa shangwe na vigelegele

    • @mwanatumujuma4973
      @mwanatumujuma4973 4 роки тому

      @@abdallahsaidi3756 Haswaa

    • @abdallahsaidi3756
      @abdallahsaidi3756 4 роки тому

      MWANATUMU JUMA . pamoya sanaaa

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 3 роки тому +2

    Nzuri saana. MashaAllah.

  • @aminayahya789
    @aminayahya789 5 років тому +4

    Hongeren

  • @tumsharif5796
    @tumsharif5796 5 років тому +1

    Hongereni maukhty

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 років тому +4

    kwakweli mupo vzr maana mmeweka saut 3 Qaswida, Tarab na kigoma

  • @mbwanadadiabdallah652
    @mbwanadadiabdallah652 5 років тому +3

    nyimbo kabisa hyo upuuziii tu

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 роки тому +1

    Sio zurii 😁😁😁

  • @AminaAmina-rg4oc
    @AminaAmina-rg4oc 5 років тому +6

    😷😷😷😷bora nisiseme ajuwe Allah..

  • @saalimmlawa6299
    @saalimmlawa6299 4 роки тому +4

    Taarabu imetulia

  • @inrinavajoanaanquiba8681
    @inrinavajoanaanquiba8681 Рік тому

    Gosto de vocês bons cantos

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 5 років тому +1

    Ulimwengu wa mwisho huu subhana llah kila tunapo katazwa yanayo muudhi Allah ndio tunadi Allahu Akbar Allah tuongoze njia ya Sawa

    • @shabanmuhammad4286
      @shabanmuhammad4286 5 років тому

      Hii si qasida hii taarab kama taarab nyengine waislam tuzinduke tusiwe wajinga

  • @habibajumanne8630
    @habibajumanne8630 4 роки тому +1

    Masha,Allah Allah awape ufaham zaid

  • @hamzaomar9731
    @hamzaomar9731 4 роки тому +7

    Haya sio mafunz ya Mtume bali ni ujinga tu

    • @shadyaadam8919
      @shadyaadam8919 3 роки тому

      Nyimbo ni nzur ila kosa hapo ni kuchanganyika na wanaume

  • @hassankombo8373
    @hassankombo8373 5 років тому +11

    Nyinyi watu wengine hamukerwi nayenu watu wapo kwenye sherehe zao yanini kuwapakazia mitandaoni mukitaka angalieni hamutaki acheni ujinga pumbavuuuu

  • @swaumathuman4602
    @swaumathuman4602 3 роки тому +1

    Mashallh

  • @sharifuhamadi1273
    @sharifuhamadi1273 3 роки тому +1

    Nakubani

  • @zuhurasaleh8620
    @zuhurasaleh8620 4 роки тому +2

    Maashalah

  • @hemedmkubwa1961
    @hemedmkubwa1961 4 роки тому +1

    Hongora madada

  • @zuhuraadinani8819
    @zuhuraadinani8819 4 роки тому +2

    nawapenda atali

  • @HasnuuSaeed
    @HasnuuSaeed 4 роки тому +3

    Naomba hii qaswida jamni ntumie plz

  • @hassanomarhassan4734
    @hassanomarhassan4734 4 роки тому +5

    Sijaona andiko lililosema watu washereheke hiv kwenye harusi

  • @asmabintikiwa1826
    @asmabintikiwa1826 4 роки тому +1

    Mupo vizur

  • @sulemohd4812
    @sulemohd4812 4 роки тому +2

    Lkn kibaya mnachanganika nawanaume

  • @fashionkilla155
    @fashionkilla155 Рік тому

    Can someone tell me what this song is talking about, I know it’s a wedding song

  • @fatumaosman8146
    @fatumaosman8146 8 місяців тому

    ❤❤❤

  • @salimally9296
    @salimally9296 4 роки тому +2

    Inapendeza

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 5 років тому +13

    Wanawake wa kiislam si tumekatazwa kuimba jamani, na kuchanganyika na wanaume 🙄🙄🙄,

    • @zaitunikweka979
      @zaitunikweka979 5 років тому +1

      Kwaiyo harusini tulie

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 4 роки тому

      Ni mtihani mkubwa

    • @fahmirashid5667
      @fahmirashid5667 4 роки тому

      Ukisikia choyo nd ulicho kua nacho ww fanya yako uko

    • @ashuraharuna1206
      @ashuraharuna1206 4 роки тому

      Achilia mbali swala la kiiba hizo stara walizovaa hapo nistara ya kushera au aya inasema mwanamke anekane viganja vya mkono na uso tu nyie wanawake nyie tumuogopeni ALLAH.mwenyez mungu kukupa neema kakuumba mwanamke ktk umbolililobola kabsa lakini cha ajabu unamuasi ALLAH kpitia neema alokupa huu ni msiba mkubwa sn.

    • @asiakinia9344
      @asiakinia9344 4 роки тому

      @@ashuraharuna1206 musinifokee umenena my ukweli unauma😂😂

  • @mahatakitengewamuninga1260
    @mahatakitengewamuninga1260 5 років тому +2

    Mmmmhhh.Kazi Ipo

  • @mussachande2499
    @mussachande2499 5 років тому +2

    Safi

  • @jasminhassan4626
    @jasminhassan4626 5 років тому +1

    Allahu Akbarrr Hatujazuiliwa Kusheherehekea Kharusi Zetu Ila Uharamu Tunauleta Sisi Wnyewe Hatujaruhusiwa Mchanganyiko Wa Wake Kwa Waume Tujitambui Waislamu Wenzangu

  • @leilabuisha1952
    @leilabuisha1952 5 років тому +2

    Kupenda kuvamia miji ya watu ambao wamekaa kwa amani, leo wamekuja kuvamia na kuleta mambo ma baya ya ajabu' uwizi, uhuni utapeli ufyoko nyoko bass'

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 5 років тому

      Hao ni wa kwenu huko huko acheni kutukana wabara hawana muda huo wanahangaika maendeleo ya maisha yao sio kucheza ngoma hovyo hayo ni madhehebu yenu ndio maana maendeleo ni zero huko.

    • @ashajuma1991
      @ashajuma1991 5 років тому

      Mh kuvamia unajuwa wewe

    • @ayshasalum3464
      @ayshasalum3464 4 роки тому

      Leila Buisha hawajajipeleka wameitwa kama umekerkwa kunya boga 😏😏😏

  • @habibatalib6694
    @habibatalib6694 4 роки тому +1

    Msshalla

  • @abubakarkhamis3187
    @abubakarkhamis3187 3 роки тому +1

    Nice

  • @aminajuma9417
    @aminajuma9417 4 роки тому

    Huuhuuuu mmmh mwanacha unaimba taarabu sio qasda

  • @omarmohammed6452
    @omarmohammed6452 4 роки тому +2

    Wamedamsh

  • @omarkhamis9514
    @omarkhamis9514 4 роки тому +5

    Mwanacha nikuulize, ushaolewa? Kama upo tayari nikuoe.

  • @HasnuuSaeed
    @HasnuuSaeed 4 роки тому +2

    Maa shaa Allaah naomba untumie whatspp hii qaswida plz

    • @HasnuuSaeed
      @HasnuuSaeed 4 роки тому +1

      Naomba mnitumie whatspp jmani plzz

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 4 роки тому +1

    Hiyo si qasida no nyimbo na kuchezea na wanaume

  • @hassanik4268
    @hassanik4268 5 років тому +6

    Tumekwisha.taaarabu tupuu

  • @joharikefa5788
    @joharikefa5788 3 роки тому +2

    Nawapenda bure 🙏🙏

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 років тому +6

    Daa mashungi yamekaa ila mnamtihani .iyo taarab sasa😂😂