Zitto Kabwe VS Waziri Lukuvi Bungeni
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Hii inatokea Bungeni Dodoma wakati wa kuhitimisha hoja katika Bajeti ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira iliyowasilishwa na Waziri wake January Makamba, zikaibuka hoja za Serikali kutokuwa na pesa za kutosha kujenga Mradi wa umeme wa mto Rufiji (Stiegler's Gorge) na majibizano yakatokea kati ya Waziri wa Ardhi Willium Lukuvi na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe
Zito kabwe mungu akujalie sana
Bunge linapendeza sana likiwa na hoja kutoka pande zote. Tusidhoofishe upinzani kama kweli tunaipenda Tanzania. Tushindane na kupingana kwa hoja, hoja yenye mashiko ndiyo ipite. Kwa pamoja tuijenge Tz. Tuache siasa za kujipendekeza, tuwe wakweli. Na wapinzani mnapoona chama tawala kimefanya vizuri wapongezeni siyo dhambi. Tufikiri na kuamua kwa makini siku zote.
Sio kwamba hawana hela Bali in wezi na mag is a different wa Mali zetu Tanzania
😂
Ivi kuna watu zito bado mnamsikiliza
Wape minondo baba zito
Nasasaivi wanazuia michango ya Nssf lsichukuliwe nazani nisababu ya iro
Zito wape makavu.
Ndio maana nssf mpaka ufike miaka 50
Zitto anaongea ukweli. nchi haina pesa ingekuwa nyo mafuta yangeshuka na sukari ingeshuka
Katiba ibadilike mawaziri watoke nje ya bunge mbona wapo sasa hawa mawaziri wa ccm ni bure kabisa
hawana pesa wasitudanganye hawa mafisadi
hawana hela hawaaaaaaa
Hawana hela wasituchanganye
Sawa mh zitto
yani mbunge mmoja wa upinzani ni wabunge miamoja wa ccm yani sijawahi ona wabunge vilaza kama wachama chakavu
uyu zito kichwachake kibovu
hh manyamba
Jina lako ukikosea kidogo tu kulitamka, ni shida.
Achana na ZItto wewe, this guy is from another planet
hawana hela hawaaaaaaa