SIRI YA KUFUNGA NA KUOMBA SEHEMU YA I
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Kufunga na kuomba ni masomo mawili tofauti ambayo kila Mkristo anapaswa kujua. Hata hivyo masomo haya yamekuwa na changamoto ya kutoeleweka na watu wengi, hususan somo la kufunga. Ni muhimu kutambua kuwa hatufungi ili kumshawishi Mungu au kujionyesha mbele za Mungu au wanadamu. Bwana Yesu katika kitabu cha Matayo 6:16-18, anataadharisha kuwa unapofunga hata wanaokuzunguka wasijue kuwa umefunga, wakijua tu umekwisha haribu funga yako! Tunafunga sio kumshawishi Mungu au kujionyesha bali kwa ajilli ya sisi kuingia katika roho. Mwanadamu ana maisha ya aina mbili, ya kimwili na kiroho. Ili kuweza kuzama zaidi rohoni ni muhimu kufunga kulingana na Isaya 58:3-9 ambayo imeeleza kwa undani aina gani ya kufunga Mungu anapenda. Hakuna klima unaoweza kusimama kama tukifunga kulingana na maandiko na kumwomba Mungu
Ubarikiwe Sanaa mtumishi wa mungu
Amen
Bwana akufunike mtumsh
Zoom zur xana !ubalikiwe mtumish😊😊
Ameen nimeelewa ubarikiwe mtumishi
Nimebarikiwa na mafundisho...be blessed 🙏
Barikiwa sana
Asante Sana Kwa somo nzuri, Nashukuru
Emen Emen
Asante sana mtumishi wa Mungu,pia punguzeni music iko juu sana
Asante sana, tutalifanyia kazi! Ubarikiwe na Bwana!
Asante Kwa mafunzo umenipa .barikiwa
Amen🙏Utukufu na apewe Bwana!
@@rev.dr.sakomayrick4464 amen mungu akizidishie baraka
Ubarikiwe sanaa mtumishi wa mungu