JINO KWA JINO - 3 season II SIMULIZI YA UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 28

  • @halimamunga1681
    @halimamunga1681 3 місяці тому +5

    Namba moja sekunde ya 34 leo nipeni like zangu

  • @evalineedwardsuzanne9862
    @evalineedwardsuzanne9862 3 місяці тому +2

    kitu cha 🔥🔥🔥

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh 2 місяці тому +1

    🔥🔥🔥

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Місяць тому

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @atuganilemwakasangam2018
    @atuganilemwakasangam2018 28 днів тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 3 місяці тому

    Asate sana simlizi mix d oen Mbalikiwe sana kwa mwendelezo 🙏🙏🔥🔥🥰

  • @user-ez6cy4pj8z
    @user-ez6cy4pj8z 3 місяці тому

    Kai hongera ..asante Director

  • @hidayaothumani7056
    @hidayaothumani7056 3 місяці тому

    Mambo ni moto

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 3 місяці тому

    0:40 Wawooooooo💋💋💋💋💋Njooooooni muyare Oen mutamboni🎤wengini Mila kwa Oen💐💐💐💐💐Kaiiiiiiii hakawizi

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 Місяць тому

    🔥🔥🔥👌

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 місяці тому

    ❤❤🎉shukrani 😊

  • @babukundya8450
    @babukundya8450 3 місяці тому

    Imepooza Sana na maongezi ni mengi kuliko vitendo

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 3 місяці тому +1

    Mm nimekuja na mkeka mwengine aje na karanga mwengine maji na wa mwisho aje na ramani tuanze kazi

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 3 місяці тому

    Yanis komando kwakilakitu uuuuuuuiiiiii😂😂😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому

    Bi khai anasahau mume alimwambia kaxi anayoo fanya anajisahau wezake waliolewaa wakashindwaa naaliambiwaa sasa nn tena kupangia mtu kazi ndomana amekudanganyaa

  • @babukundya8450
    @babukundya8450 3 місяці тому

    Mimi nasogeza tu mbele haina mzuka mpaka sasa kuanzia season 2 Epsod 1

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 3 місяці тому

    Simulizi Ndio ina minutes 57 tu .sasa najiuliza mnacoment mnakuwa mmeisikiliza saa ngap na mkaielewa😂😂😂😂😂😂😂😂au Ndio mbele kwambele

  • @user-lq6kr2gl7n
    @user-lq6kr2gl7n 3 місяці тому

    Woyoooooooooooooo😂wadauuuuuuuu amkeniiii kuna habr mpyaaaa kai kashafanya yake😅 wif yenu anakula ndimu huku😝😝hongera shufania

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂sema kweli keshaanza kutema mateeeeee😊😊

    • @user-lq6kr2gl7n
      @user-lq6kr2gl7n 3 місяці тому

      😁ww andaa besen la mtoto

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 3 місяці тому

      @@user-lq6kr2gl7n 😂😂😂 kwakwel shangazi zake inabidi tujiandae kabisa .

    • @user-lq6kr2gl7n
      @user-lq6kr2gl7n 3 місяці тому

      😆😆😆umeonaaaa visoks kofia jmn msisahau pempars 😝😝😝

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 3 місяці тому

      @@user-lq6kr2gl7n Na nguo tunataka zile Nzuri . Ziwe zanatokea campuny ya Gucci si mnajua ni mtt wa mtu mkubwa huyo 😂😂😂😂😂 hakuna kununua ronya ronya za karume 🤣🤣🤣🤣🤣🤣