JINO KWA JINO - 1 season III SIMULIZI YA UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO.

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 38

  • @ndutakangarua
    @ndutakangarua 2 місяці тому +3

    AlhamduliLLah at long last Jino Kwa Jino
    Shukran Sana Simulizi Mix Msimulizi Director Oen na Mwandishi wetu Kaichi M Mussa be blessed

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 2 місяці тому +2

    Waauuh director Oen ametukumbuka njooni wadau

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 2 місяці тому +1

    Wawoooooo Cuma mutamboni Wadauuuuuu mukuyeeeeeeD'Oen katukumbuka Ongela Baba Ilatuomba Mawindo jizani isimuliwe n'a Oen awo Felx niombi kama shambikitu nisamehewe kama ntakua nimekoseya mutufulahishe kama kawayida yenu🤲🤲🤲🤲🤲twende kazi n'a Jino kwa Jino kaziyenu Fulaha yetu💪💪💪💪💪Courge💐💐💐💐

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 2 місяці тому +2

    Waooooo leo mmetufulaisha mashallah

  • @chantalmavandu4950
    @chantalmavandu4950 2 місяці тому +2

    Wow asanti kwa ngoma

  • @user-jy6bk8yu6x
    @user-jy6bk8yu6x 2 місяці тому +2

    Wooouuw ♥️♥️♥️🎉🎉🎉 hatimae .

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 2 місяці тому +2

    Simulizi yangu pendwa kabisa ❤❤Nilimmiss sana Ajent Kai ndani ya simulizi hii🤸🤸

  • @SabrinaThebosslady
    @SabrinaThebosslady 2 місяці тому +2

    Asante jmn 🙏🙏🎉🎉🎉🎉 maan tulimic balaaa🔥🔥🔥🔥

  • @user-uk9he5zx6b
    @user-uk9he5zx6b 2 місяці тому +1

    Waau hatimae tumeletewa kitu roho inapenda🙏

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 2 місяці тому +1

    Director Oen tumalizie the last three please 🙏

  • @aminasuleiman4972
    @aminasuleiman4972 2 місяці тому +2

    Ndani ya muda weweee

  • @msimhassan
    @msimhassan 2 місяці тому +1

    🔥👍

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Місяць тому

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @user-lq6kr2gl7n
    @user-lq6kr2gl7n 2 місяці тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂piga keleleeeeeeeeeee weweeeeeeeeeeeee kila sik mi nasema hakuna kama Smix hii ndio namb moja africa sio bongo tu hapn director nyuma ya mic 🎤 mim nyuma ya kiti chako🚶‍♀️mdogo mdogo tunasonga

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 2 місяці тому +1

    Tunaomba mawindo gizani isimuliwe na sauti nzito ya kiume itanoga sana please

  • @richiefortune3363
    @richiefortune3363 2 місяці тому

    Kiukweli wadada watusimilie love strories izi kazi felix mwenda na mzee D Oen

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 2 місяці тому

    Tupe basi mbirimbiri jamani ifanye gukawiya upe mojamoja?kazinjema💪💪💪💪💚💛💚💛💚💛

  • @user-ez6cy4pj8z
    @user-ez6cy4pj8z 2 місяці тому

    Thanks director for not disappointing us ..pia watatu wa mwisho naisubiri tu..

  • @rehemakawia2828
    @rehemakawia2828 2 місяці тому

    Waoooooh🥰🥰🥰

  • @msafirimwenetombwe8819
    @msafirimwenetombwe8819 2 місяці тому

    Naipenda Sana

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 Місяць тому

    🔥🔥🔥👌

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 14 годин тому

    Ikulu ya 'Parashio veredi,'
    Mh sio Kwa majina hayo jamani!!!

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh Місяць тому

    ❤❤❤

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 2 місяці тому

    Jamani leo siku njema kwangu kusikiya simulizi yangu pendwa ❤❤❤❤bado asali nayo na hisubiri kwa hamu kubwa

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 2 місяці тому

    Hote ni watu wetu ila kuwe na anaye zidi mwenzake tu anjenti ni kichwa nyayo za paka apana kuchezea🎉🎉

  • @tabiachangale7976
    @tabiachangale7976 2 місяці тому

    Habari vipi kuhusu asali haitiwi kidole msimu wa pili

  • @angeldavid4720
    @angeldavid4720 2 місяці тому

    Niliisahau hii SIMULIZ jamn

  • @user-mj2ge3wr3r
    @user-mj2ge3wr3r 2 місяці тому +1

    Km hii nishasahau ht ilikuaje

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 місяці тому

    Aduni changa lamachoo dadek zao ...khai mathayo wotewako sawa halafu wamezaa mtoto anaitwaa ngesa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hatari Huyu jamaa

  • @atuganilemwakasangam2018
    @atuganilemwakasangam2018 26 днів тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @juliusmatiku3955
    @juliusmatiku3955 2 місяці тому +4

    Hii simulizi ni nzuri sana Ila nimeapa mpaka nimalize kusikiliza watatu wa mwisho ndio nitaendelea nayo muwe na usikivu mwema wapendwa katika simulizi mix jambo lingine mawindo gizani isimuliwe na Felix Mwenda FM au D Oen màmbo ya pori kwa pori kuchinjana kupigana utampaje mwanamke asimlie

  • @user-mj2ge3wr3r
    @user-mj2ge3wr3r 2 місяці тому +3

    Mm sitak unafiki leo oen anajua kusmlia ila hamalizagi smliz zake na akimaliza kwa binde sasa hivi ht nikiona smliz zake naogopa kusikiliza maana pk uanze kusahau utam wa simliz ndio anakumalizia

    • @angeldavid4720
      @angeldavid4720 2 місяці тому

      Shida sio Oen maan yey analetew kazi anasimulia shida ipo kwa wenye SIMULIZ zao wanaweka huko kweny SMIXAPP watu wanunue sisi amabo hatuna pesa tuwe wapole tu tunaletewa ila kwa kusuasua

    • @user-lq6kr2gl7n
      @user-lq6kr2gl7n 2 місяці тому

      🤔🤔Hapn makosa si ya oen ila wandish wenyew wa story ndio wanachelewesha oen yy haandiki story yy ni msimuliaj so ukiona story haikumaliziwa jua aloandika huwenda ana mambo mengn anafanya au bado anaandika na tukumbuke kuandika story hd watu waikubali si jambo jepes my dear kwa hiyo kuna muda tunatakiwa tuwe wavumilivu unaona kam asali haitiw kidole huwenda edgar bado anaandika au ishaandikwa na inaandaliwa ili ww uipate na ulambe asali😋😋😋

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 2 місяці тому +1

    Kuna simulizi zinaachwa njiani sijui kwa nn asali haitiwi kidole the last three gobole la urithi tunaomba mwendelezo tafadhali 😢😢

    • @angeldavid4720
      @angeldavid4720 2 місяці тому

      Zishatok mam ni pesa Yako tu 😅😅sisi wa huku tuwe tu wapole Hadi watakapo tukumbuka😢😢