UWT WAIVAA VIKALI CHADEMA/ NI BAADA YA BAWACHA KUCHOMA VITENGE VYENYE PICHA YA SAMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @humphreymwankemwa
    @humphreymwankemwa Місяць тому +5

    Nimesikiliza kwa makini sana nikidhani kuna la maana hapa, kumbe ni UCHAWA tu. Ikumbukwe kwamba Shetani ili kumpata ADAMU katika Bustani ya EDENI alipitia kwa Mwanke hata Samsoni maadui walipitia kwa DELILA. MUNGU awasaidie sana AWAKUMBUKE.

  • @ORG960
    @ORG960 Місяць тому +2

    Yaani wewe unaposimama na kutetea uovu ili uonekane mwema machoni pa mtu , unatakiwa kujua unajiletea laana maishani mwako na uzao wako , Mungu hazihakiwi kila apandacho mtu ni lazima atakivuna .

  • @eliasmedutieki7578
    @eliasmedutieki7578 Місяць тому +4

    Hizo ni kodi zetu na kanga haitufaidi chote chote hivyo hata wakichoma zote wacha wachome tu na vituo vya afya ni kodi zetu hivyo kila mmoja ana haki nayo

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 Місяць тому +2

    Mimi nikisoma coment nabaki kucheka tu. Hii nchi inavimbwanga balaa.

  • @DataICT-n8s
    @DataICT-n8s Місяць тому +2

    Alisema mzee warioba kuwa shida siku hiz kusifia kumekuwa kwingi sana ,na professor Assad ashawahi kusema mtu anaacha kuweka profile picha ya mama au baba ake au mtu wake wa muhimu sana ila anaweka picha ya kiongoz fulan kama yeye alivyovaa hapo c ajabu hajawahi hata kumposti mama akee kisa uchawaaa

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 Місяць тому

    Vibaka hawa ccm ni wezi lazima wateteane mbona hawataki kuruhusu Katiba Mpya! Mbona Hawaruhusu UCHUNGUZI huru wa Mauwaji yanatendwa chini ya Rais Samia

  • @ramadhanijawas3204
    @ramadhanijawas3204 Місяць тому +1

    Na hiyo ulio ivaa ukiiyanika nje kwenye kamba watapita nayo na kwenda kuichoma

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Місяць тому

    KUMBE WANAWAKE WAO PIA NI WAHUNI SIO WANASIASA 😢😢😢😢😢😢😢😢SACCOOS WAMECHEMSHA

  • @godwinshoo5032
    @godwinshoo5032 Місяць тому

    Wameshindwa siasa! hivyo wanatafuta vya kuokoteza kama kuharibu mali, kushinda mabarabarani,kutukana Kusema ukweli wengi wanapenda upinzani imara, lakini siyo wa aina hii(hakuna sera yoyote hapo-Kuchoma mali kunasaidia nini?) Tuachane na siasa za kitoto hizi hazina manufaa kwa taifa letu zuri!

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Місяць тому +1

    Njaa kali jmn

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 Місяць тому

    Tuna mfumo wa vyama vingi. Tuvumiliane. Hata nyinyi mkija kuwa wapinzani mtafanya hivyohivyo.
    Zahanati na vyote hivyo sio mali ya ccm.

  • @StephanoGwelino
    @StephanoGwelino Місяць тому +1

    Wewe mama hauoni vijana hawana kazi au na wewe umeshakuwa chawa

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Місяць тому

    ILA TUACHE UNAFIKI KWENYE HILI HAO WAKINA MAMA WA CHADEMA WALIZINGUA SANA HIZO N SIASA ZA UCHONGANISHI NA ZA KIPUUZ NA KAMA MNATAKA KUINGIA MADARAKAN KWA KUFANYA UPUUZ KAMA HUO HAMUWEZ KAMWE KUTOBOA

  • @zeelamipango
    @zeelamipango Місяць тому +1

    Ikikupendeza hata ulizovaa

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 Місяць тому

    Kama kuchoma nikosa watekeni hayo n mawazo yao kinawauma nini hvyo vitenge sio binadam km sio uchawa

  • @mavinyaalloyce5502
    @mavinyaalloyce5502 Місяць тому

    Kwani vitenge no tofauti na gazeti mbona mnatafuta ugomvi usio na maana kabsa

  • @HurumaeldaudMakala
    @HurumaeldaudMakala Місяць тому

    Mimama mizima haina hata akili inakua michawa kweli umackini mubaya, mngekua kipaombele kukemea na kulaani mauaji na utekaji unaoendelea ningewaona wa maana sio kwa huo upuuzi,,,mavi yenu.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Місяць тому

    Je afande aliyewatuma vijana kumulawiti binti mbona hakushitakiwa? Tuna Rais Mwanamke Tuna umoja wakina mama, jambo hilo la Afande, mama Mwenye madaraka makubwa polisi, kutumia vijana kumulawiti binti, nyinyi munazungumuza mambo ya vitenge, jamani oneni aibu. . Serikali itawezaje kuwafunga walio lawiti na kumuacha Afande? HAKI IKO WAPI? .

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 Місяць тому

    Yule alichoma pcha akakamatwa Hawa je?tusubir mtor nyama zko chn,ndan ya miaka Saba hii nchi tutaona meng sana

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 Місяць тому

    Wapen,uhuru,wa,mawazo,,tatizo,ni,kuchoma,vitenge,si,vyao,jamani,kama,nguo,huipendi,kuichoma,ni,shida,gan

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 Місяць тому

    Toka toka hapo njaa inakuhangaika tu

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai Місяць тому +1

    Wajinga sana uwt mbona hakuna hoja yeyote uliyojibu zaidi umejaa mihemko tu mpuuzi wewe jibu hoja na huyo unaemtetea ajibu hoja kwa nini watu wanatekwa na wanauawa? Bichwa kubwa kichwani akili zilo,hovyo sana wewe tatizo shule chadema wanayo shule na akili.

  • @HarsonNjau
    @HarsonNjau Місяць тому

    Nyie hamna akili ni maziro asilimia 100 ,hizo zahanati Samia alizijenga kwa hela zake? Hizo ni kodi zetu wacha ujinga mmeishiwa cha kuwaambia wananchi nyie

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 Місяць тому

    Ukiwa chawa hata utumie nguvu vp kuongea watu wanaona unapga t kelele 😂😂😂

  • @HurumaeldaudMakala
    @HurumaeldaudMakala Місяць тому

    Ningekua karibu ningetandika viboko wote hamna akili nyie mnadhani ni nani wakumrubuni shenzi zenu...na olewenu mrudie tena upuuzi wenu.....

  • @starlily07
    @starlily07 Місяць тому +2

    Wamama wazima hovyoooo kazi uchawa tu na nyie mnateseka kama wengine pamoja na uchawa wenu wajinga kabisa

  • @ThomasErro
    @ThomasErro Місяць тому

    hongera mama yetu kwakujuza ukweli huo

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 Місяць тому

    Nyie,mliwahi,kuvaa,vitenge

  • @HurumaeldaudMakala
    @HurumaeldaudMakala Місяць тому

    Mijitu mizima ovyooooo.....

  • @lindajohansen9220
    @lindajohansen9220 Місяць тому

    Hata mngefikia milioni 10, eti mnaenda site! ya kuiba kura 😂😂hamna hata haya ng'ombe wa maziwa nyie. Diwani wa Longido na Nape walishamaliza yote! Bila serekali na polisi kuiba kura hakuna wa kuwapa kura! Mambo hadharani kima nyie. Wizi wa kura ndio mnakubalika? Nyoo! mataahira bwana!

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 Місяць тому

    Chawa wakienjoy uchafu wa watawala 😂😂😂😂😂

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g Місяць тому

    Kwani ivyo vitenge mliombwa Mbona wananchi hayo tunayona tunataka Katiba Katibaaaaa pia vituo Mchukue Takwimu ya wakeleketwa wanao Vitumia ikibidi Mbolea Ya Ruzuku Futeni!!

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 Місяць тому

      Hovyo sana unayekataa ruzuku ya mbolea!utakuwa mzururaji hujawahi kulima wewe!

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Місяць тому

    Kwani ni mbaya kuchoma siwamepewa anahuru nacho nguvu yote ya kujibu si kafanye kazi

  • @karenstephen8738
    @karenstephen8738 Місяць тому

    Zahanati mmetoa kwenye tigo zenu nyamf

  • @SamuelLainzar
    @SamuelLainzar Місяць тому

    Ikiwezekana wachome ofisi ya ccm maana akuna alicho kifanya 🤔🤔

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 Місяць тому

    Kwenda zako punguani mkubwa wacha wachome ni vyao wamenunua kwa pesa zao acha ujinga

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 Місяць тому

    Wachumia Tumbo

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke Місяць тому

    Ukimaliza chukuwa posho odoka

  • @johnalexandermushi6720
    @johnalexandermushi6720 Місяць тому

    Siasa zimefika mahali pake!

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute Місяць тому

    Muogope mungu chatanda

  • @isayachawinga1005
    @isayachawinga1005 Місяць тому

    Uwt mmepataaa mbabe wenuu

  • @Josephzacharia-k5f
    @Josephzacharia-k5f Місяць тому

    we chawa tu hizo ni kodi 😅

  • @IbrahimTovagonza
    @IbrahimTovagonza Місяць тому

    Kwani hizo hela anatoa mufukoni😅😅😅

  • @georgemahenge
    @georgemahenge Місяць тому

    Hatutaki kuturubuni na 4R zenu.nchi inaendeshwa na machawa.tumekwisha.

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute Місяць тому

    Sasa wewe unaongea mkundu gani hapo kweli nimeamini CCM hawana akili kabisa

  • @TIMOTHEOALFREDI-zf2te
    @TIMOTHEOALFREDI-zf2te Місяць тому

    Wewe ni mjinga Sana Tena wewe huwenda ni tasa nyojo wewe

  • @bazilmateru915
    @bazilmateru915 Місяць тому

    Nyie ni wapumbqvu tuu

  • @Gilbertnyanda
    @Gilbertnyanda Місяць тому

    Kumbe ni maccm yote

  • @saidmabanga388
    @saidmabanga388 Місяць тому

    Usenge tuu umekujaa

  • @AlfaSaa-j4h
    @AlfaSaa-j4h Місяць тому

    Chawa

  • @bobostreka7606
    @bobostreka7606 Місяць тому

    Mmmmm ushuzi mtupu

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke Місяць тому

    Mama uko mwezini

  • @AloisMosha-uv2fu
    @AloisMosha-uv2fu Місяць тому

    Choma nahiyo

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Місяць тому

    Comments tuu zinatisha jamani

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 Місяць тому

      Comments nyingi sana ni matusi yasiyo na tija!Tutoke huko tutoe mawazo ya kuijenga nchi yetu!

  • @BahatiRamadhani-i8f
    @BahatiRamadhani-i8f Місяць тому

    Anamvuto?

  • @PeterAlphonce-uh2mc
    @PeterAlphonce-uh2mc Місяць тому

    Ngo,mbe

  • @reginas1832
    @reginas1832 Місяць тому +1

    Hamna hata aibu hivi mmezaaaa. Hivi mna watoto???? Mnasimamaje na muuwaji??? Wapuuzi ni nyie .
    Vituo vya afya mi kodi zetu. Acha ujinga

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 Місяць тому

      Kodi zetu zilizopata ukusanyaji na msimamizi wa uhakika! Siyo wale waliopata ruzuku 350m.kila mwezi kwa miaka mitano na kisionekane chochote cha maana! wameshindwa kusimamia 350m wataweza kusimamia 45T.Tutafakari sana hili!