Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Sifa na utukufu zimrudie Mungu wa mbinguni
Mnatubariki sana. Mungu azidi kuwalinda kwa ubunifu wenu mzuri mnaimba kwa utulivu wa Halifax ya juu barikiwa walim wote
Hongereni sana kwa kazi yenye utukufu kwa bwana
Utukufu kwa Bwana kaniaa la kirumba.
Mbarikiwe sana KirumbaNaomba project yenu ijayo muimbe JE NANGA YAKOMtanibariki sana mkileta mbaraka huo kwa sauti zenu
Uyo Mtumishi anaepiga dram huwa napenda kumuona maana kazi yake anafanya vzuri sana
Ninabarikiwa Sana 👏👏👏
Always mko juu hongereni ❤
Hallelujah Hallelujah❤️🙌🏻
Kuimba kwa akili❤❤
Amen mtakatifu ni MUNGU mwenyezi tu mbalikiwe sana MUNGU awatumie zaidi
Amen Amen Taji mvikeniNi Mtakatifu Tanzu ya Yese
Nyimbo zenu hazichoshi kuangalia na kuckiliza,Hadi nachelewa kulala kwa ajili ya kurudia rudia kuangalia.Nyie watu Mungu awanyenyekeze mfike wengi❤❤❤❤❤
Amen .sifa na utukufu ni kwa Bwana kwa kuwawezesha kubariki watu wake❤
Haleluya
Amina! Mungu wa vyote hata milele.Mibaraka iwafikie wanaKirumba kwa sauti za kupendeza na kusifu Mungu
Amen 🙏🙏
Mbarikiwe
Mungu aendelee kuwabariki
Ewaaaaaaa!Nyie watu nyie!Au bac,Mungu awalinde na kuwatunza.Mnajua hadi mnajua tena🥰🥰🥰🥰
Beautiful singing
Amen
Being blessed from Kenya 💖💖💖💯❤️ can you do soon #174 tukimngojea I'll really appreciate
Just stay tuned😊
Amen sana Bwana azidi kuwatumia kwa kadri ya wingi wa fadhili zake Wanapenda KAC ❤
Tunabarikiwa sana Kwa huduma yenu,tuanzidi kuwaombea sana,zaidi BWANA akaitunze hii kazi na wafanyo ili kuzidi kubariki watoto wake
Waimbaji wa hii choir wote waingie peponi
Ameni
Amen, Bwana aendelee kuwabariki
MUNGU awabariki sana mnatugusa sana
Amen be blessed much KAC for every nice songs
Great
What a beautiful way to praise God! Well arranged, controlled and rendered. Praise be to God
Taji mviken ni balaaa
Gory to our God
Amina Amina 🙏
Kama kanisa la wa Adventist wasabato tungeimba hivo katika kila kanisa naimani malaika wa MUNGU wasingekosa kujihudhulisha. Pamoja nasi mbele za Mungu
Bwana apewe sifa.
❤❤❤❤
❤
Amen Amen
Barikiwa sana kwa kuwa wakwanza kuufuatilia wimbo Huu
Amen! kuna namna mnagusa pale nipendapo mnanibariki sana
Mbarikiwe sana wapenzi Ilibidi nisikilize tu ata kama na usingizi 🤣 Endeleeni kutubarili
@@NeemaWillison-tn2oy ubunifu wao uko mbali sana
@@NeemaWillison-tn2oy na wewe pia ubarikiwe
Holy holy🙏
Sifa na utukufu zimrudie Mungu wa mbinguni
Mnatubariki sana. Mungu azidi kuwalinda kwa ubunifu wenu mzuri mnaimba kwa utulivu wa Halifax ya juu barikiwa walim wote
Hongereni sana kwa kazi yenye utukufu kwa bwana
Utukufu kwa Bwana kaniaa la kirumba.
Mbarikiwe sana Kirumba
Naomba project yenu ijayo muimbe JE NANGA YAKO
Mtanibariki sana mkileta mbaraka huo kwa sauti zenu
Uyo Mtumishi anaepiga dram huwa napenda kumuona maana kazi yake anafanya vzuri sana
Ninabarikiwa Sana 👏👏👏
Always mko juu hongereni ❤
Hallelujah Hallelujah❤️🙌🏻
Kuimba kwa akili❤❤
Amen mtakatifu ni MUNGU mwenyezi tu mbalikiwe sana MUNGU awatumie zaidi
Amen Amen
Taji mvikeni
Ni Mtakatifu
Tanzu ya Yese
Nyimbo zenu hazichoshi kuangalia na kuckiliza,Hadi nachelewa kulala kwa ajili ya kurudia rudia kuangalia.
Nyie watu Mungu awanyenyekeze mfike wengi❤❤❤❤❤
Amen .sifa na utukufu ni kwa Bwana kwa kuwawezesha kubariki watu wake❤
Haleluya
Amina! Mungu wa vyote hata milele.
Mibaraka iwafikie wanaKirumba kwa sauti za kupendeza na kusifu Mungu
Amen 🙏🙏
Mbarikiwe
Mungu aendelee kuwabariki
Ewaaaaaaa!
Nyie watu nyie!
Au bac,Mungu awalinde na kuwatunza.
Mnajua hadi mnajua tena🥰🥰🥰🥰
Beautiful singing
Amen
Being blessed from Kenya 💖💖💖💯❤️ can you do soon #174 tukimngojea I'll really appreciate
Just stay tuned😊
Amen sana Bwana azidi kuwatumia kwa kadri ya wingi wa fadhili zake
Wanapenda KAC ❤
Tunabarikiwa sana Kwa huduma yenu,tuanzidi kuwaombea sana,zaidi BWANA akaitunze hii kazi na wafanyo ili kuzidi kubariki watoto wake
Waimbaji wa hii choir wote waingie peponi
Ameni
Amen, Bwana aendelee kuwabariki
MUNGU awabariki sana mnatugusa sana
Amen be blessed much KAC for every nice songs
Great
What a beautiful way to praise God! Well arranged, controlled and rendered. Praise be to God
Taji mviken ni balaaa
Gory to our God
Amina Amina 🙏
Kama kanisa la wa Adventist wasabato tungeimba hivo katika kila kanisa naimani malaika wa MUNGU wasingekosa kujihudhulisha. Pamoja nasi mbele za Mungu
Bwana apewe sifa.
❤❤❤❤
❤
Amen Amen
Barikiwa sana kwa kuwa wakwanza kuufuatilia wimbo Huu
Amen! kuna namna mnagusa pale nipendapo mnanibariki sana
Mbarikiwe sana wapenzi
Ilibidi nisikilize tu ata kama na usingizi 🤣
Endeleeni kutubarili
@@NeemaWillison-tn2oy ubunifu wao uko mbali sana
@@NeemaWillison-tn2oy na wewe pia ubarikiwe
Holy holy🙏
Amen
Amen
Amen
Amen