Kwakweli hii hymn ni nzuri, na ni ujumbe mahsusi hasa kwa nyakati hizi ambazo watu tumesahau wito wetu kama masalio. Lakini pia unatupa nguvu kua imani thabiti ni ndio silaha itakayoweza kutupitisha katika mazito yote tunayopitia, maana msingi imara umewekwa na Yesu mwenyewe. Tutashindaaa, maana ametuhakikishia kua nasi, na kutokutishwa na yanayotupata. Keep the faith Saints. Amen na amen, what a song.. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huu wimbo nimejinza kutoka kwenu ni mzuli sana endeleeni kuuburudisha moyo wangu sa izi na me naimba kama vile niuzulia mazoezi 😂 Bwana azidi kuwatumia vyema wapenzi nawapenda sana 🙏😍

Bwana awabariki jaman nabarikiwa na aina ya uimbaji wenuu mpka najihisi kristo mwenye matumaini katika safar ya kwenda kanani ya mbinguni 🎷🎷🎷🙏🙏🙏
Amen,Kuna Ile sehemu huyo Binti ana solo then anapata backup kutoka Kwa mafundi Misso mawenzake pananibariki sana,l.
My all time people
KAC Bwana awabariki sana. Wimbo unatia moyo katika safari ya kiroho. Sauti na vyombo vimepangiliwa vizuri
Wimbo wenye kuleta matumaini katika safari ya kiroho jina la Bwana litukuzwe❤❤
Leo nimechelewa kidogo 😞
Mbarikiwe sana wapenzi wangu 🙏🙏
Mbona cna maneno ya kusema nyie watu?
Mungu awabariki na kuwapatia maisha marefu🥰🥰🥰🥰
I love the hymn
nabarikiwa Sana na nyimbo Kama hizi good music alive
Balanced voices.Kudos to all and especially the vigour of the choir conductor👍👏👏
Mbarikiwe sana mnazidi kuliinua jina la bwana barikiweni sana wana kac
Ameni nimebarikiwa na wimbo huu🙏🙏
Brothers and sisters, may God bless you all.
Msingi imara ni wa Bwana ,ni ule uliowekwa kwa Neno lake..
Amina! Mungu Atukuzwe🥰
Amen. Amen kutoka Kisumu, Kenya
Mbarikiwe
Amen
❤