Nakipenda Sana tZ yangu Ila ubaguzi umetawala nilitamani Sana kuwa mlinzi wa haki hapa Ila uwenyeji unasumbua sikupata nafac ilhali vigezo vyote ninavyo
Sio peke yako mwenye vigezo mpo wengi na kunaidadi inayotakiwa hata hivyo tambue wameenda wenzio wenye vigezo kama wewe usikate tamaa lakini MUNGU ndo hupanga ukafanye kazi gani.
Ebwana nyie msituekee maonesho ya kijeshi ya karne ya 3! Saivi tuekeeni supersonic fighters jet, atomic bombs, advance air difence systems, modern tanks, anti tanks, artilleries, ivo ndo vitu kutuonesha tukajua yes tupo vzr. Lkn mnatuekea watu wanaruka ruka km vichale hakuna jeshi ilo duniani saivi watu wapo kwenye arms race. Sio kukusanya watu wakaruka ruka
@@clementiddi5708 nani kakudanganya nchi zote duniani zinafanya military parede wanaonsha vifaa nilivyokutajia hapo. Ww unasema jeshi sio promotion unaishi dunia gani ndugi yangu?
@@clementiddi5708 huangalii hata TV nchi kama Iran, north Korea juzi tu Urusi kafanya military parede wanaita siku ya ushindi kaonesha nilivokutajia hapo. North Korea Japan na US deli wanafanya military drill wanatumia vifaa vya kijeshi vikubwa sana, sasa ww unasema jeshi sio promotion?
Yesa amani yetu mungu awape nguvu daima🇹🇿🙏🙏🙏👏👏👏
Vijana wameiva ❤️🇹🇿
Much respect RTS KIHANGAIKO 💪
Tanzania damu yangu bendera ndio moyo wangu salute
JWTZ pekee ndiyo huwa wananifanya nisikie raha kulipa kodi. Naona kabisa kodi yangu inavyotumika vizuri. Safi sana kwa hii chaneli
Hujui unachokiongea bora ukae kimya tu kuliko kuknekana mropokaji tu
Heshima kwenu napenda sana mungu ibarik tz
Tanzania is number one
Mungu awape nguvu yakutisha
Nafasi za kujitolea zinakuja lini jamani Mana natamani kutumikia TAIFA langu damu yangu inarangi ya jeshi
Ukiwa hujasemeehwa ebu jaribu kukaa kimya vitu vingine havikuhusu hata kidogo so fanya yako
Mungu awatie nguvu
Naipenda nchi yangu jeshi imara🇹🇿🇹🇿
Aseee bg up sanaaa
It wsnt easy hongeren asee
kweli ila inatakiwa wawe wakakamavu mda wote kwaajili ya nchi yetu ongera sana vijana wetu
Wanatakiwa kuwa wakakamavu hivyo wakati wote,,,,,,tatizo wakishapata ajira wengi wao tunaona wanapata vitambi na kutokwa na ukakamavu
Safi Sana Tanzania tialala
Nilitamani sana jeshi ila mkono wangu kovu kubwa sana
Natamani Sana kuilinda tZ Ila ubaguzi umetawala na mwenye uwenyeji ndio ataefanikiwa
God bless all soldiers
Kongo wajifunze kitu hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
VIVA TANZANIA 🇹🇿💪🇹🇿VIVA WAZALENDO 🖤💪🖤
TANZANIA IS A STRONG COUNTRY IN AFRICA ❤🌹
Najivunia Jeshi Letu
Fine
Safi makamanda
Dahhh kumbe hapo mtu anaweza kufa aisee😯😯
Ndio utasikia tulikuwa na wanafunzi 200 ,wanfunzi 140 wamehitumu,40 walitoroka na 20 walifariki
Mgambo jkt
Napenda
wooooooh
Nakipenda Sana tZ yangu Ila ubaguzi umetawala nilitamani Sana kuwa mlinzi wa haki hapa Ila uwenyeji unasumbua sikupata nafac ilhali vigezo vyote ninavyo
Sio peke yako mwenye vigezo mpo wengi na kunaidadi inayotakiwa hata hivyo tambue wameenda wenzio wenye vigezo kama wewe usikate tamaa lakini MUNGU ndo hupanga ukafanye kazi gani.
Na wanajeshi wa kimalekani nao wana fanya kama ivi au tunajifariji?
🤔🤔🤔kwaiyo ukikosea zoezi unapata🔥
Hiyo ni sayansi, ukikosea formula unaliwa kichwa
Nimeipenda
Makomando wetu ulinzi upo wa kutoxha Tanzania yetu
Hamna k2
HAPA NAELEWA HAYA MAFUNZO SABABU NILIPITIA CHINI YA KAMA DA SHIPAVU ALBERT BALLAAT KWA ASKARI WA MIAKA YA NYUMA WATAMKUMBUKA HICHO KIFAA
Hawa nawaelewasana
Sio police wanakamata
Ukiwandani
Wakikuta pesa
Wanapitanayo
Hii channel popote ilipo iingie kwa mangi ihudumiwe kinywaj chochote nakuja kulipa
Hua naumia sana kukosa Nafasi ya Kupata Mafunzo ya Kijeshi. Bas tu
Jifunze mgambo
Kila kitu kinaenda kwa rizki...
Hizo bunduki mnachezea na kumalizia risasi chini !. Kwanini msiende vituo vya afya kusaidia wagonjwa
Hv ww unakielewa unachokisema kweli
Nenda ww uone kama wanacheza au laa
kila huko hospitalini huwezi kuwa daktari bila kufanya training na hivyohivyo!
Saf sana
Jamani naitaji Sana izo nafasi
Ukiwa na mtu wa kukuunganishia fasta unaingia
JAMANI JAMANI SIO VIZURI KUPOSTI HIVI VITU USHAURI TU
kwenyee vita vya kweli wanakulaa sabunii
Wanakulaje
mpuuzi kama wew muoga ndo huwa mnapigwa makofi na wake zenu alafu mnazani watu wote wako kama wew muoga hujiamini fara wew.
♥️🙏
Hata hivyo kiinteligensia sio sahihi kupost hizi picha
N'a hakuna nchi dunian ambayo haipost Koo kuwaa mpole intelijensia ni ishu zingine kabisaa
@@Puxladen if you want to win a hundred battle first you must know your enemy...so keep on....showing them your strength 😂😂😂😂😂
Arent the U.S, Russia,China , UK, even some asian countries do the same? Hii ni just basic tu.. nothing special from it.
@@jasonwatz7457 Do you think china, us, and those Asia countries you guess are showing those weekness that l see in a video?🤔
@@eaglecrown1101 you are on point
Uraaaaaaaaaàa
Ebwana nyie msituekee maonesho ya kijeshi ya karne ya 3! Saivi tuekeeni supersonic fighters jet, atomic bombs, advance air difence systems, modern tanks, anti tanks, artilleries, ivo ndo vitu kutuonesha tukajua yes tupo vzr. Lkn mnatuekea watu wanaruka ruka km vichale hakuna jeshi ilo duniani saivi watu wapo kwenye arms race. Sio kukusanya watu wakaruka ruka
Jeshi siyo promotion
@@clementiddi5708 nani kakudanganya nchi zote duniani zinafanya military parede wanaonsha vifaa nilivyokutajia hapo. Ww unasema jeshi sio promotion unaishi dunia gani ndugi yangu?
@@clementiddi5708 huangalii hata TV nchi kama Iran, north Korea juzi tu Urusi kafanya military parede wanaita siku ya ushindi kaonesha nilivokutajia hapo. North Korea Japan na US deli wanafanya military drill wanatumia vifaa vya kijeshi vikubwa sana, sasa ww unasema jeshi sio promotion?
Unaishi nchi gani we kima.. usijione uko smart sana na kitecno chako. Kiufupi, acha dharau mtoto wa mama
@@josephlorri431 acha upuuzi usilete mipasho kama msenge wa kale! tetea unaloliamini kwa hoja sio mipasho
Napenda