Itv, shukrani kwa juhudi zenu za kuleta habari na vipindi vinavyojenga na kuelimisha jamii. Mnaendelea kuwa chachu ya mabadiliko na maendeleo katika nchi yetu." 🌟🌟🌟🌟🌟
Hongera sana Rais Samia Suluhu kwa uongozi wako wa hekima na busara. Jitihada zako za kuimarisha uchumi na kuleta maendeleo ya kweli kwa Watanzania zinastahili pongezi kubwa." 🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟
Itv, shukrani kwa juhudi zenu za kuleta habari na vipindi vinavyojenga na kuelimisha jamii. Mnaendelea kuwa chachu ya mabadiliko na maendeleo katika nchi yetu."
🌟🌟🌟🌟🌟
Hongereni ITV kwa kuendelea kuweka wazi kesi za mauaji ya watu hasa hizi zinazoweza kua na utata katika taifa letu
Mioyo yetu iko pamoja nanyi katika kipindi hiki cha huzuni. Poleni kwa msiba huu wa ajali, na Mwenyezi Mungu awapatie faraja." ✨✨✨✨✨
Wapumzike Kwa amani amina 🙏🙏🙏
Moyo wa mshikamano na bidii ya wakazi wa Nyanguge ni ushuhuda wa nguvu ya umoja. Hongereni kwa kufanikisha ndoto ya kujenga zahanati yenu."
✨✨✨✨✨
Hongera sana Rais Samia Suluhu kwa uongozi wako wa hekima na busara. Jitihada zako za kuimarisha uchumi na kuleta maendeleo ya kweli kwa Watanzania zinastahili pongezi kubwa."
🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟
Watendaji:-🌟🌟🌟🌟🌟
Maendeleo endelevu yanahitaji suluhisho bunifu - chagua mfumo rafiki kwa mazingira na nafuu zaidi badala ya gesi." 🌟🌟🌟🌟🌟
Hongera wananchi wa baridi Kwa ujenzi wa zahanati
Handeni Tanga:-🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟
Polen idara ya elimu mungu awapumzishe Kwa aman
Hiyo mitungi ipo nchi nzima
Rip walimu hao
Tunaomba na sisi wanakagera karagwe tupate hizo ges za ruzuku
Poa