MashaAllah. Mimi nishapika ya nyana ya kondoo tamu sana na ndio afghanistans wanapika nayo. Ate first from my friend kisha ikanibidi nijaribu. Ill try ya kuku asantha
Hiyo sio sugar syrup hiyo ni burnt sugar, sukari ikiiunguzwa haiwi syru tena, inaleta kama uchungu hivi ina balance hizo zabibu na carrot kwani hizo ndio zina sukari
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THIS LINK ua-cam.com/video/fdSotICkJy8/v-deo.html
Perfect I know the next rice dish I will be making! Thank you!
Yani,utamu ajabu....thanks dada!!
Maa shaa Allah sina la kusema zaid nakuombea kher
Amin kwetu sote
Shukuran my
Mashallah my wetuuuu
Mashaallah Mmungu akubarik Amiin
Amin kwetu sote
Mashallah mashallah ❤️
Wow it is very delicious thank you
Wow nimeupenda haki
Mashallh nice
Shukraaan aunt
Wow iwill try nimependa kwakweli
Mashallah nice, I will try inshallah
I luv you aroma of zanzibar am your biggest fan all the way from mauritius
Thank you so much
Allah akuzidishie nguvu utufunze mapishi zaidi
Amin kwetu sote
MashaAllah nice, nitajaribu In shaa Allah shukran dada
Mashallah allah akupe affya. Ni nzuri
inaonekana tamu sanaaa.l have to try it this week in sha Allah. hongera sana
Inshallah
Masha Allah.. ntauleta MREJESHO in shaa Allah😋😋😋😋🤗😎
Very nice mashallah .
Thank you
Mansha Allah very nice dish my dear friend thank you so much for sharing
Sofia Erilleey it looks delicious!
@@alyssafaller582 it realy is my dearest lovely thank you so much for visiting and supporting me
It is very delicious
@@aromaofzanzibar so very true my dearest sis na kusema kweli ni tamu kabisa
Mashallah mamy chakula kizuri sana
Mshlh mungu akupe afya furaha na azidi kukubariki
Amin kwetu sote
MashaaAllah looks yummy, shukran kwa kutujuzaa mambo mazuri"mwanamke jiko"rabby akujaaze kheyri.
Asante sana
Natamani kuula uwo wali its look very yummy
It is very yummy, its time you go to kitchen 🤣🤣
@@aromaofzanzibar Haha ok
Nitalipika inshallah😊
nzr sn nimependa
Ahsante sana
Ijumaa isha Allah nitafanya
mashaallah unaonesha mzur
Asante sana,napata more ideas 💕💕💕
Asante momy tunaendelea kujifunza
Alhamdulilah
Mashaallah shukran mum pishi zury
Ahsante sana
Mashallah nice tamuuu Allah akujaazi kher
Dear as usually my adore goes to and all the credit as well
Alhamdulah
Shukran sis
Masha Allah shukran
Jazakallah khayran
Shukurani nice san
Afwan
MashaAllah. Mimi nishapika ya nyana ya kondoo tamu sana na ndio afghanistans wanapika nayo. Ate first from my friend kisha ikanibidi nijaribu.
Ill try ya kuku asantha
Inshallah
nice
Shukran for the delicious recipe
Afwan
Hello my sis, I am the first😍😍
Asante nitapika namimi
Inshallah
Yummy Resepi pls
Recipe is right there in the description box
mashaallah utamu kolea
Assalam alaykum aroma naomba recipe ya kutengeneza pilau masala,biriani Masala na fish masala
Aleikum Musalaam, nishaweka masala ya pilau na biriani zamani sana. Ya fish bado sijaweka
Aroma of Zanzibar oky thanks
Shukran, naomba recipe ya chicken triangles kama ipo dada
Asalam alaikum,
Aroma zanzibar naoba kuuliza hii hiliki nyeusi nilazima katika hilipis
Sio lazima kama huna
Mashallah habibty 😘😘
😋😋😋 sasa dada wale ambao kupata basmati ni shida... Tunafata njia hizi hizi??
Ndio utafanya njia hizo hizo
Sukari Hiyo Sipati Picha Kinafananaje
Nimeeleza, inaweka rangi na kuweka ladha fulani hivi lakini sio ya utamu kama sukari.
Ladha yake huwa vp coz sijawahi kula kabuli/pilau ambayo iko na sugar syrup naogopa nijaribu mara family waseme si nzuri.
Hiyo sio sugar syrup hiyo ni burnt sugar, sukari ikiiunguzwa haiwi syru tena, inaleta kama uchungu hivi ina balance hizo zabibu na carrot kwani hizo ndio zina sukari
Hasante Dada hey!!wewe Ni mpishi mkubwa una fa kuwa your own restaurant back home
Inshallah dada, dua zenu tu
Y8u8uu 787889