Shukrani sana mummy... Nitajaribu kupikia watoto wangu... You never dissapoint, nimejifunza kupika vyakula vya aina tofauti kupitia wewe.... Allah akubarik
Asalam aleikum I made this yesterday for lunch. It turned out so delicious Ma shaa Allah the pot got cleaned. Jazakh Allah Kheir for this amazing recipe
Allah akubarik.........yaani napenda sana kuangalia mapishi yako than namuomba Allah napika namm alhmdulilah mume wangu ameridhika nacho Allah akulipe mema
I like you, sometimes you forget Swahili words which makes me laugh- where did you buy your pans from? I like them a lot, enjoy your pilau must try this method thank you sister ❤
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THIS LINK ua-cam.com/video/MfhJ2Zql8Rw/v-deo.html
Shukrani sana mummy... Nitajaribu kupikia watoto wangu... You never dissapoint, nimejifunza kupika vyakula vya aina tofauti kupitia wewe.... Allah akubarik
Ahsante sana kwa support
MashaAllah
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Ma Shaa Allah Tabaraka Rahman shukran Aunty for sharing. ❤️
Allah barik.
Inaonekana test nzuri sana Maa sha Allah! Shukran sana kipenzi.
Mashallah Barakallah 😍🤩👌🏽 nimeipendaa hii
Wow!!! Thank u so much for a new recipe I will try this tomorrow inshaalah
Hope you enjoy
Maashallah nimepika leo wali mtam ajab, shukran jazakallahul kheir 😋😘😍
Alhamdulilah Ahsante sana kwa support 🌹🙏🏽🌹😴🌹
Mashaallah very nice
Masha Allah Allah aijalie kazi yako ya mkono
Shukran
Wooow ManshAllah nitajaribu hivi hivi Mama aksante umenifunza kweli.
Shukran Habibty
Mambo mazurii
Mashallah Allah ibarik fiki
Nzuri sana
Asalam aleikum I made this yesterday for lunch. It turned out so delicious Ma shaa Allah the pot got cleaned. Jazakh Allah Kheir for this amazing recipe
Thank you so much for the wonderful feedback am glad you all enjoyed it. Thank you for your support 😘
Masha Allah Tamu
Shukran, karibu sana dada
MashAllah very nice nitajaribu shukraan
Mashallah mapishi Rahisi na tamu asanti sana😋😋😋
Shukran
Asante na wewe pia Kwa kutufunza mapishi
Thanks God bless you
You too
Shukran Jazzaka llahu lkhair ❤
Maashaa-Allaah.Shukran.
Mashallah akubarik Allah 🤲
MaShaAllah.... Must try...
Inshallah
Chakula kinavutia jameni!! I prefer hii version ya pilau mandi 👌👌.
Yes dear I have been doing this for a while, its simple and best of both worlds
Nice one mashaallah I'll try
Mashaallah sister
Ma shaa Allah your cooking pots are gorgeous what brand please
it's been a while since I saw you comment, I think they are called Mr Saffron they are from citrus tv
Masha allah mapishi matamu dada
Wallah hii mke wangu alikua akiisubiri kwa hamu kutoka kwako dada fathiya😘😜
alhamdulilah right on time
Mashallah 😋ck nitakayoifanya nitafanya cheetind day kama wewe🤣🤣🤣Yaan tucheeting mana kiharufu cha mandi ukitaka usitake utakula tu😍😘😋
Nakwambia, harufu nzuri mpka wapi sijui
Jazakallah khayran
Maashallah napenda sana recipe zako nitapika hii this weekend in shaa Allah 😋yummy
Shukran, Inshallah utapenda
Hata mimi weekend hii lazima niipike..so yummy..be blessed dada
Hakuna lolote
Mashaallah mapishi mazuri Sanaa😍
Shukran ukhty
Maa shaa Allah
Yummy in my tummy
Thank you dear
Most welcome
Mashaa Allah namba simu
You making cooking look so easy,sijawahi choka kukufatilia
Shukran usichoke it is easy dear . Ahsante sana kwa support
Masha Allah.look delicious.yummu yummy ❤️
Thank you so much 😊
Ma shaa Allah
Welcome back 💝
Mash allah nakupendea hapo
Unatuletea mapishi wakati mzuri ili tuyajaribu week end
Naisikia harufu yake yakunukia kwa mbali ...
Shukran sana
Mashallah
Maa shaa Allah
Unzuri Sanaa mashahallah
Shukran
Masha Allah naweka like kabla sijaangalia yote video najua hutuangushi sister
Shukran kwa support
Wajib
Mashaallah
Walyem mssalam warrahmathuallah wabarakathu mum shukran kwa kutufuza
Ahsante sana kwa suport
@@aromaofzanzibar karibu sna tuko pamoja 🤝
Allah akubarik.........yaani napenda sana kuangalia mapishi yako than namuomba Allah napika namm alhmdulilah mume wangu ameridhika nacho Allah akulipe mema
@@rukiawabilela2856 alhamdulilah shukran kwa support 🌹
Mashallah ❤️
Thanks dear
Masha'Allah
Mashallah nice meal
Maa shaa Allah tabarak Allah 😘
Mashaallah samahn naomba kuuliza kwa asie kua na oven je inakuaje
Pika pilau ya kawaida halafu kuku mkaange kidogo apate rangi halafu fukiza kwa kupambia na mkaa juu
Inakaa tamu sana haki 😋😋
Maashaallah
Mashaa Allah yummy yummy 😋😋😋
Mashaallah ♥️👌😋😋😋
Moto kwa oven nyuz myotonic ngp
Moto ni 180C kiasi dakika 20
Asante mamy
Mashallah ♥️ ♥️ ♥️
😋😋😋😋
Mashaallah 😋😋😋
Mashallah
Yummy 😋😋😋
Thank you 😊
Love it
Salam aleykum hbbty
Mashaa Allah chakula kinavutia
Hbbty hpo ulipotia kwnye oven umeeka moto wa grill or moto wa chini plz ⁉️
Wa aleikum musalaam, nineweka moto wa juu na chini pamoja
Subiri mrejesho kutoka kwa Safia Jikoni 🤣🤣🤣
Inshallah tena haraka 😂😂
A,alaykum..pilau mandi unaweza kutumia nyama badala ya kuku ?
Wa aelikum Musalaam, ndio unaweza kutumia nyama
@@aromaofzanzibar shukran
I like you, sometimes you forget Swahili words which makes me laugh- where did you buy your pans from? I like them a lot, enjoy your pilau must try this method thank you sister ❤
It’s so funny that you noticed that. I got my pans from Oman they are sold on Citrus Tv
@@aromaofzanzibar oh ok don’t think we can get this type of pan in the UK
Nataka hasa kujua Hayo makaa jmn
Hayo ni makaa ya haraka haraka tu lakini unaweza kutumia mkaa wowote tu utapata ladha sawa sawa , haya makaa tunatumia kwa kufukizia udi
Kuna utofauti gani wa kuweka vitunguu mafuta yakiwa ya moto na kuweka mafuta yakiwa bado hayajapata moto?
Inapelekea utofauti wa ladha ama
Hakuna tofauti kwenye ladha Bali itachukua mda zaidi kama binefaham swali lako
MASHALLAH
Cheating day 😂, I would also cheat 😅
Yes sometimes we have to 😂
MashaAllah 😋
Yaani, nilijiona mshindi kula Boflo na Supu usiku huu, lakini kwa hiyo “Mandi” umenipata!😀
Pole sana itabidi ubadili hewa sasa
Unaweza kutia karot n boga
Jaribu
🔥🙏❤️
Maji yaliyo tumika ku chemsha mchele ni ya baridi
Ndio ni ya kwaida tu
@@aromaofzanzibar Asante
:Uroekeke " ni kiswahili
I hope so 😁
Unatumia nini kwa kufukuzia wali Jima naomba kujua ndio ninunue.
Mkaa
Ruqiyo office subskreb ruqiyo 👉🙏🙏🙏🙏🇸🇴👉🙏
Maa shaa Allah
Masha'Allah
Mashallah
Alhamdulilah
😋👍🏻❤
Mashallah