UKIYAFANYA MAMBO HAYA UNAKUWA TAJIRI | SHEIKH OTHMAN MICHAEL
Вставка
- Опубліковано 1 лис 2023
- #QiblateinOnline #QiblateinOnline #QiblateinOnline #QiblateinOnline
Follow Us On:
INSTAGRAM: / qiblatein_onlinetv
FACEBOOK; profile.php?...
UA-cam; / @qiblatainonline
Mashallah ❤
Mashallah ❤
Mashallah ❤
Mashallah ❤
Mashallah,, Mwezi Mungu akuhifadhi shekh wetu,, mimi binafsi najifunza mengi kupitia wewe.
Mashallah sheikh Michael Kazakhllah kheir
Mashaallah mashaallah shukran sana shekh wetu Allah akupe afya njema na umri mref
ALLAH mtukufu akujalie mwisho mwema shehk wetu twakupenda kwajili ya ALLAH
Allah akuhifadh sheikh wetu,awape subra katika huyo mtihani,
Maashaalah shukuran shekher Allah abaariki❤🥰❤🙏
Mashaallah kpz cha wengi
Asww akika tunashukurusana allah akuzidishiye zaidi nasi utatufundisha ili tufaulu wengine
Maa sha Allah Sheikh nakupenda unspohubiri hutoi mapivu ya mate, mishipa ya shingo haikusimami, hupayuki, hufumbi mimacho, hutishi watu, unaelemisha taratibu kwa sauti ya upole na unafahamika. Masheikh wengine lazima povu la mdomo linawatoka, makelele kama anagombana, wanarusha mikono kama wanajifunza boxing, wanafumba macho kama wakonkanisani wanaomba. Weye raha kukusikiliza. Weye nibmwalimu wa saikolojia ya watu hasa. Allah atupe njia iliyonyooka.
Mashallah
Umenivunja mbavu Dada!!
Nimecheka kwa saut daah eti hutoki mate hufumbi macho 😂😂😂
Wacha bangi
kweli hii ni bangi haswa cjui kwanin ametoa kashifa ivo subhannallah tumuogopeni Allah masheikh wote wana nafasi zao heshima muhim
Mashaallah
Alhamdulilahi Shekh wangu napenda sana kusikiliza mawaiza Yako amahakika hakuna siku sipati faida ila Leo umeongea mambo mengi sana Tena ya msingi zaidi Allah akubariki Akuhifadhi uzidi kutupa Elimu zaidi ya hapa
ALLAH AKBAR, ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR.Alhamndulillah
Mashallah..Sheikh Othman Mungu akupe kila kilicho katika dhamiri yako..na akupe nguvu ya kutuombea na sisi Aamin..
Mashaallah tabarakallah shekh letu proud of you
Shekh haydar basi bba.tutatekeleza majaaliwa yetu.maneno mazito.subhanallah.wafadi wsmtume
Mashaallah shekhe wangu naomba uniombee duwa majini wachafu watoke mwilini nipate stara
Sheikh assalamu alaykumu warhamatullah wabarakatuh niliwahi kukusikiliza niko rwanda alakini namimi sifanikie ninakamata mutaji nakosa kwenye inaenda basi sheikh nisaidie ju bwana arisha nicukia ju yakukosa kazi na frw
Mashaallah shekhe wangu mwenyezimungu atakulipa inshaallah
Asantesana sheikhe othuman kwaelimu uliyotufikishia INSHAALLAH ALLAH AKURIPEKILALAKHERI
Amen
Mashaallah , mashaallah
Mashaallah mashaallah
Allah akulipe pepo ya juu kesho Akhera tunanufaika sana na elimu yako shekh
Maa shaa Allaah
Jazakallah kheir
SHEKH Othman mimi napigia muhuri hapo kwenye sadaka ya kulisha chakula hapo yaani pale nimetia nia tu kabla hata sijapika ALLAH kanionesha majibu.
Mashalaa jazakalah heri
Asante sana kwa kutufunza masomo tusioyajua Allah s,w,t, akuxidishie
Mashallah tabarakallah Allah Jazakàllah kheri ❤
Jazaka Allah khayr mwalim
Mashââ Allâh !
Jazââka llâhu Kheir.
Allah akujalie umri ln sha Allah 🤲🤲
Mashallah shukran y'a Sheikh
Shukran sheh aallah akubarik
Pole Kwa Msiba, Tumuombe ALLAH Akukuzie.Amiina.
Masha Allah
Mashallah❤❤❤
Mashaallah shekh Allah atuzidishie sote in sha allah
Mashalla mwalimu ,tunajifunza na kubarikiwa sana mungu akubariki
Allahu Akbar
Mashallaah allaah akujaze kila lenye heri
Mashallah ALLaH akulip shekhe wetu .azid na sisi kutupa ilmu ili ya Qoro'an ya Allah 🙏
Allah akuhifadh sheikh kwa ajili yetu tunakupenda kwa ajili ya allah unatufundisha mengi. Yanayo tusaidia
Mungu akuzidishie afya njema na uzima akujaalie umri mrefu nakupenda kwaajili ya Allah
Mashallah
Mashallah mungu akubarik naomba mimi msaada
Subha😢Allaah❤
Khekh mayko
Allah subhana alulinde akupe amani yamoyo wako na furaha ya nafsi yako.umetutowa machozi.asante.kwa darsa kubwa.mlipaji subhana akulipe❤😢😂
Allah akubariki wewe na familia yako
Allah akumpe maishamarefu
Assalam alaikum ww sheikh Allah akulipe zaidi duniani Na adhéra
Kheihe ahsante naomba zako tafadhali
Ameen 🤲🤲🤲
ShEKH OTHMAN TUNAKUOMBA TAFADHALI SANA.HAO MASHEKHE PLS WAPATE MRADI WOWOTE WASIMAMIE WATOTO WAO AU MKE WAO.KAKA MAYKO TUTAWACHANGIA.KWANU MTEGEMEA ROHO NI NIMASKINI.NAOMBA RAFHI SANA
Shekh othuman naombaunisaidie nafanya biashara napata madeni, najitahidi sana lakini mishoni madeni makubwa nimechoka
Mashallah dalili naziona
🌺
Sheikh mim nakufatiliya san nakupendag san baba yangu
❤❤❤❤🎉🎉
Alhamdulilah sheh mm ninamitihani sn nasijui ntakuoata wap
Piga hizo namba natumai utampatia
Swadakta sheikh othman kama mm nshaajiriwa sehem zaid ya tatu ila sifiki ata wiki mbil kunaingia fitina na kuondok sehem iyo 😢
Asalaam alekm mimi nimeshukuru mimejivuza mengi nisio yajua
Asalam alekku utuombee na sisi ambao hatui kusoma
Utajiri bila Ku mcha Mungu ni bure,Mimi niambie njia ya kupata Pepo
Mwalim mimi sijuwi kusoma surat waqia illa yassin najuw nitasoma ingine ao
Mashalla mm ni mkristo lakini napenda mafundisho yakooo
Tupo wengi
Mpaka na me imenigusa kupitia kisa ulichokisimulia mwenyz mung akupe maisha malefu zaidii kipenz cha wengii
Jaxakumla kheran shukran ustadh othman Michael
Asalam alayikum warhamaturullah wabarakatuh
Sheikh nawumwa niko RWANDA Unaweza ukanisaidia ukanitibu
Shekh samahani Sana nilikuwa na shida na namba yako ya simu Niko oman mtt WA boss wangu kawa haeleweki gafra Tu mara Yuko sawa mara hayuko sawa
Alhamdulillah shekh,napenda niulize hii surat Waqia unaisoma yote?au kina aya za kusoma?
Asalam alykm sheh ss tumitak tum namb ip
Namftilia sana sana lakini namuona yupo kwenye mambo ya Kidunia tuu.
Ni maoni yangu
Nikweli yuko kwa mambo ya kidunia kwa sisi sote tuko duniani na yanayo tusumbua ni imani na challenge za duniani. Yuko sawa sana huyu sheikh. ALLAHU AKBAR.
Shehe.osman.maichel.mm.npo.sauth.afrka.napenda.sana.kukusikiliza.sheh.dar.ila.ninatatizo.sijui.ni.lakijcho.au.nn.naomba.unipe.ushauli.shehe.jicholangu.mojahalion.vizuli.sheh.nikifumbajicho.lakulia.hatakusoma.messege.nashindwa.naomba.uniisadie.sijui.tatizo
Na kwa mfaano mtu hajui kusoma
Asalamwalaykum warahmatullah wabarakatuh sheikh ninaswali vip kwa sisi hatujafikia juzu hilo?mana juzu moja limesha tushinda kumaliza tufany je? natamani sana nisome juzu zote 30 ila nimekua mtu mkubwa sasa shukran kwa darsa
jitahidi usome elimu Haina ukubwa Wala hainamwisho pambana upate faida
Salam halehkum chehe, mimi Nina shida ya kuto kujuwa kusoma koruhani nifanye je ?
Mbona kuna siku ulisema chanzo cha utajiri wako ulienda sehemu kusomea huko Oman kuna mtu ikuzawadia kiasi cha pesa
Inawezekana ujuwe kila mtu anasiri yake ya Maishs code
Shekh unapatikana wapi
Number jina linatoka nani nataka nitume sadaka yng
Mimi piano ulinisaidi natokea kenya nilikaa miaka sita bila ya mtoto nikafatilia ruqya yako ya live nikiwa qatar nikajihisi mwili tofauti nilifika kenya vacation sikumaliza miezi miwili Alhamdulilah mke wangu aka shika mimba shukran sheikh othman
Takbiiir !!!!Allahu Akbar
Masha'Allah ❤❤❤❤❤Alhamdulillah
Takbiiir ❤❤ Allah Akbar
Nakama aliekuhusudu humjui unafanyeje?
Masheikh wa mjini bwana sheikh walabighishe watu ktk kupata uchamungu haya mambo ya watu kuwa matajiri wameshakuwa matajiri na tunaona wanayofanya nifisadi tu ktk dunia
Kwan Dini Haitak Waislam Kuwa Matajiri?
Na Ni Lazima Kila Shekh Mjini Asaidie Waislam Jambo Hilo Hilo!?
@@mayaniphilipo9256 uislam inahitaji saana matajiri lakini hawa matapeli wanatumia uislam kuibia watu alafu we mwenyewe unaona jinsi gani waislam wanakuwa matajiri lakini saana lakini ndio tunakuwa wapumbavu kila siku ona waarabu walivyo matajiri naona ujinga waliokuwa nao kwa mambo ya kifakhari ulishaona asie muislam anafadhili vitu vya kipumbavu? Na hawa masheikh ndio watu wa mambo ya ufakhari tu
Mimi natakaa nijee hapo hapoo kupataa Ahuwenii kupitiaa wewee Dawaaa
Shekh othman jina linakuja nani
Mie nahisi tuwe na imani na hizo sura alotupa tuzisome na kuamka usiku ili Allah atusaidie kama alivyompa yeye Sheikh Michael. Tuwe na imani kwa aliyotuelekeza.
Mimba ikifika mwanamke akashindwa kuzaa anapigwa sindano ya uchungu au kisu wacha uongo.
Badala ya kukimbilia utajiri kwanza waase watu wamrudie allah uasi umezidi.watu hawaswali maovu yamezidi dhilma zimezidi badala uwaambie walete istighfara kwa wingi unawadanganya kama mapasta wauza mafuta ya upako.
Kwan kumsaidia mtu kuna tatzo gan
@@kheiramour2973 hajala dola zako ndo maana unaongea hivyo
Sasa Kama hujafika huko kwenye Surat yasini inakuwajee
Huyu jamaa yupo kwenye pesa tuuui
Mimi nnatamani nipate kingamuzi cha azamu na msahafu Tu wa tafri Tu naomb
nasisi wasiyo kuwa wa hislam tufanyaje?
Sasa wengine hatujafika hukoo
Uislam unatuambia tutafute au kumuomba allah radhi yake na rizki waasia maana yake rizki pana.uislam hautufundishi kuomba utajiri na fedha nyingi hayo ni yako na waninga wenzio.mnatuletea mambo ya mapasta wauza mafuta ya upako kudanganya watu watakuwa matajiri.oh cjui pokea benzi pokea nyumba upuuzi na ushenzi mtupu.
Mmmmh
Shekh nikisoma baada ya ishaa ni sawa?
Ndio
Salam aleikum ningependa kujua kusoma qoran mimi nilisilimiswa sijajua kusoma kwa hivyo kama utanifunza nita furahi
Nenda madrasa akufunze wap unania kweli
Quran dawa 😢
Ww mbona hui tajir
Unamjua au unaongea tu hivi mtu anamiliki nyumba ya gorafa na magari ya kifahari sio tajiri Unajua anamiliki sh ngapi nenda kwake ndo utajua nitajiri au masikin
@@tanzaniaonmzamiloon8627Kuna watu wapo kupinga tu... Duh tubadilike. Hata huyo sheikh hamjui anamsemea....
@@tanzaniaonmzamiloon8627sasa utajiri wa Sheikh Michael utafaidika nao nini? Wewe unapewa ilimu kumbe wajua zaidi ya mwalimu. Sub'hanaAllah
Huyu Sheikh ni Tajiri ndugu. Ana majumba na magorofa na Range rova. Na gari za kawaida
Ayo maneno mazuri ansyo tupa niutajiri tosha
Wacha kuhubiri utajiri wa Dunia,hubiri utajiri wa binguni, utajiri wa Dunia bila uchaji Mungu ni bure
We vip unamatatizo gani
Wewe hubiri utajiri wako wa mbinguni
Hata Mw Mungu anasema niombeni nitawajibu,omba,afya,uzima ,mali. Na mengine yenye kumpendeza Allahsw.
Asantesana sheikhe othuman kwaelimu uliyotufikishia INSHAALLAH ALLAH AKURIPEKILALAKHERI