Subhhana llah Allah Azidi kuhifadhi Sheikh Othaman Maalim Allah akupe maisha marefu na yenye manufaa na akupe mwisho mwema/ Allah akupe jannatun firdawsi yaaarab 😢😢😢😢😢😢😢
MAMBO SABA YANAYOUA MOYO WAKO 01kupenda sana mtu au kitu asie kuwa allah(kitu cha kwanza kupenda ni allah kisha vyengine kufuata) 02 kutamani tamani sana vitu vya kidunia 03 Kulala lala sana 04 kushiba sanaa/kula sanaa 05 kuchanganyika na watu wengi / waovu 06 kutizama sana wanawake/wanaume 07 Kuzungumza zungumza sana ❤❤🤝🤲
Allah akupe umri mrefu shekhe Othman maalimu uzidi kutupa elim 🤲🤲🤲
Subhhana llah Allah Azidi kuhifadhi Sheikh Othaman Maalim Allah akupe maisha marefu na yenye manufaa na akupe mwisho mwema/ Allah akupe jannatun firdawsi yaaarab 😢😢😢😢😢😢😢
Allah atujaalie Kila la kheir na watot wetu inshaallah
Shukran Sheikh wetu. Tunakupenda sana. Nakufatiliya kutokea Oman 🇴🇲
MAMBO SABA YANAYOUA MOYO WAKO
01kupenda sana mtu au kitu asie kuwa allah(kitu cha kwanza kupenda ni allah kisha vyengine kufuata)
02 kutamani tamani sana vitu vya kidunia
03 Kulala lala sana
04 kushiba sanaa/kula sanaa
05 kuchanganyika na watu wengi / waovu
06 kutizama sana wanawake/wanaume
07 Kuzungumza zungumza sana ❤❤🤝🤲
Shukran ❤
Allah awape uongofu watoto wetu na vijana wetu.😢😢😢😢Mtihani makubwa wallah
Allah'Akbar. akuzidishie maisha marefu inshallah 🙏🇲🇿🇲🇿
Allah akujaalie maisha marefu na mwisho mwema na waislamu wote allah atufanyie wepesi inshallah kuendelea kusikiliza da'awa munazozitoa.
SubhanaAllah Alhmdulilah AllahuAkbar
Saw shekhe wetu hayo yapi kwenye maisha yetu hay
Subhanallah! ALLAH atunusuru na Atupe uongofu.Allah azithabbit nyoyo zenu katika dini yake.
JazaakAllahu khair sheikh Othman Ma'alim. Very informative lecture. May Allah grant you janna. Allahumma amiin. Greetings from Uganda 🇺🇬
Mwenyezi mungu akupe Afya uzidi kutufahamisha na kutukumbusha mengi
Allah atusame n'a kutupa mwisho mwema inshallah
Allah ampe umri mrefu shekhe wetu
Allah atujalie mwisho mwema
Mashaallah
🇲🇿🇲🇿🇲🇿 SAWA
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Tunamuoomba,mola,,akupe,kherk
Huku oman wadada wa kazi tunaswal na watu hutuhiita na hupit mbele yetu inakweje shehkh?