Hello,shehe unafunsa mambo yako.mimi nina mambo mengi sana,baba mgonjwa miaka mingi ndugu mgonjwa miaka nine sasa,mimi taabu eee, familiar hatuelewani sijui niganyeje.
Shekhe.walahi naapa.ulichokisema ni mia kwa mia kabisa.watu walikua wananisifu sana, akiwemoshejiyangu yeye mpakaleo akija nyumbani kwangu anamwambia mke wangu.wewe dada umeolewa na shemeji umemukuta alisha isha. alikua mzuri huyo,wee acha tu.hukumuona enzizake akitana hizo nywelezake.sasa mpakaleoshekhe.kweli umri umeenda,mimi ni mtoto Wasita kwenye tumboletu lakini ukiniangalia nimezeeka kulikowakubwazangu. macho hayaoni vizuri,kichwani ninabonge la uipala.
Shukraan sana Allah akulipe kher shekh wetu
Ila hapo kama humjui alokusababishia hassad kujitibu mwenyewe ndio shida maana hatuzijui hizo dua/aya
Mashallah Allah atuondelee hasad kweny miwili yetu inshallah
Mashalla shekhe wetu mungu akulinde akuweke uzidi kututibu nakuttu saidia inshaallwah
Hello,shehe unafunsa mambo yako.mimi nina mambo mengi sana,baba mgonjwa miaka mingi ndugu mgonjwa miaka nine sasa,mimi taabu eee, familiar hatuelewani sijui niganyeje.
Asalam Aleikum warahmatullah wabarakatu,sheikh Allah akufungulie zaidi na zaidi ..Ameen
Man cha Allah
Tabarak Allah
Allah akuhifadhi
Mwalimu wetu
Mashallah Mashallah Mashallah tabarakah
Sheik hongera sana masha Allah.. Allah akulipe kheri
Amiiin yarabi
Allah atuwekeye wepesi kwenye hasad
Allah akupe umri mrefu naujuzi zaidi
ee sh , allah akurehem uzidi kutusaidia humu ulimwenguni
Allah akulinde sheikh wangu
Masha Allah, jazakallah kheri
Maashallah ALLAH akulipe kila lakheiri sheikh wetu
Masha Allah shk Allah akuzidishie in Shah Allah. Daudi Mombasa
MashaAllah,tabarkAlllah
Mashaallh Allah akujalie umri mrefu uzidi kutuombea muungu kwa dawaa
Sheh minitakutafut nip na mitian san pia mashaallah kwa mafunz mazr
Mashaal Allah akulipe kila laheri apa duniyani nakesho ahera
Mashaallah Mwenyzi mungu atuongoze sote na akupe mwisho mwema
Mashaallah
Maashallah BARAKALLAHU FIIKUM
Aslm alkm. Shekhe Othman mm Hawa Mustafa napenda sanaaa kuskia darsa zako Yani napenda tuu
Allah akuifadi n mabaya inshallah
Asalaam aleykum Sheikh Othman Michael Allah Bless
BISMILLAHI RWAHMANI RRWAHIM.ALLAH UKULIPE KHERI NAAKUPANDISHE DSRJA NJEMA YADUNYA NAAKHERA ILA NIOMBEE DUO KWAAJILI YAKUMLONDA MUME WANGU HUKO ALIKO OMAN COUNTRY ASIPATWE NAJAMBO BAYA HUKO ALIKO NAUKIT MDA ARUDI SALAMA INSHALLAH
Shukrn san
Asalam alaykum warhamatulahi wabarakahu Mashaal Allah akulipe kila laheri 11:41
Mashaa Allah
Alhamdhulillah, allah akuzidishie umri tuxidi kipata dawa ,allah akujaalie utajiri wa afya
Ameen Ameen ya Rabby
Ya Allah tuepushe na hasad
Shekhe.walahi naapa.ulichokisema ni mia kwa mia kabisa.watu walikua wananisifu sana, akiwemoshejiyangu yeye mpakaleo akija nyumbani kwangu anamwambia mke wangu.wewe dada umeolewa na shemeji umemukuta alisha isha. alikua mzuri huyo,wee acha tu.hukumuona enzizake akitana hizo nywelezake.sasa mpakaleoshekhe.kweli umri umeenda,mimi ni mtoto Wasita kwenye tumboletu lakini ukiniangalia nimezeeka kulikowakubwazangu. macho hayaoni vizuri,kichwani ninabonge la uipala.
Àslm alykm,shekh mi Niko Kenya,nitasaidikaje,na Sina hela
Siuende Kwa mashekh wa kenya ufanyiwe rukya
❤😂
Shekh uomchakato wa kutumia maji. Anafanya alie kuathiri au unawezafanya mwenyew ulio Athirika!?
Shekhe abdi ukizini umezini tu azabu ni ya uzinzi
Chekh OTHMAN nina swali langu alie fanya mapenzi na mama yake mkwe ana adhabu gani?
😂😂 shekheeee Fanya tawbaa hiyo ni zinaa khutubia kwa Allah hakika yeye ni mbora zaidi
The miss understood religion
S.Alrikum.Mungu skupr.msidhs.msrrfu